CHEKECHE| Washirika wa Ukraine wanaisaidia vilivyo nchi hiyo kivita?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Mataifa hayo 50 yamefanya mkutano huo nchini Ujerumani mara baada ya Ukraine kuomba msaada wa silaha za kivita ( vifaru vya kisasa ) kutoka katika mataifa hayo. Je Ukraine atapewa silaha hizo? ungana na Mwanahabari wetu kujua mengi zaidi.

КОМЕНТАРІ • 57

  • @chidiomari.65
    @chidiomari.65 Рік тому +5

    Natizama 👁️👁️ kutokea Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮,Rahbi we ni mchambuzi professional Hongera sana.hichi ndio kipindi changu pendwa sana Much love mr Nyamwihura tunawafuatilia sanaa maana Russia hatuko mbali nao kabisa🤝

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +10

    Jambo lingine Urusi hawezi choka leo wala kesho media za Magharibi zinadanganya sana kwasababu nao wapo vitani stori zao hazibalance kabisa

    • @fortuneakankizya5336
      @fortuneakankizya5336 Рік тому +1

      Mrusi alishajipanga baba afu jua kua . Biden amebaki na mwaka mmoja next year ni election trump achukuapo madaraka. Hatotaka vita na urusi.

  • @saidymwajeka8612
    @saidymwajeka8612 Рік тому +6

    Chambueni ukweli pande zote kwann NATO watu wao wanaandamana Kama wao wananguvu hizo kuweni seriously

  • @chamcham312
    @chamcham312 Рік тому +5

    Huyu sio mchambuzi, ni msimuliaji anachambua upande mmoja

  • @UUWF
    @UUWF Рік тому +4

    Wewe urusi hajachoshwa na vita
    Anachoshwa vipi wakati usalama wake bado haupo sawa

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 Рік тому +4

    Hao washenzi tu wanato urusi hashindwi vita wavilete tu abraham, leopard leta tutaviteka na kuwaua navyo sisi warusi hatushindwi vita nato wamekosea sana wasitunie mwavuli wa ukraine waingie wao wenyewe,mrusi hachoki vita msidanganyane urusi silaha anatengeneza mwenyewwe,usi underrate Russia power

  • @wakilimuhamed9766
    @wakilimuhamed9766 Рік тому +10

    Next time azam please mtuletee mtu timam na neutral mchambuzi gan uchwar na ukwel unajulikana na ijulikane kua ata urusi anajua ilo na amejipanga kwa ajili ya iro, kiufupi AZAM siku izi ni kama western Media ambazo zinatudanganya waziwazi but thanks God technology imekua so tuna source nyingine za kupata ukweli na simshangai RABI coz nishawai msikia BBC so ni walewale izo propaganda za magharib pelekea familia yako

  • @betinaernest2766
    @betinaernest2766 Рік тому +4

    Kwahy nchi zote zinapambana na nchi moja,,, ha ha ha

  • @jacksonmartin8485
    @jacksonmartin8485 Рік тому +7

    Acha mawazo yako eleza uhalisia bro

    • @alimkumbukwa8363
      @alimkumbukwa8363 Рік тому

      Kwa kwel uyu jamaa uchmbz wke w mchong kwan urus wao hawan watasmn vta kwnz akmbke urus ndio nch y kwanz kwend mwezn ivo kw vyvyte n watu weny akil kubwa hawa yy anchklia poapoa tu Mchmbz ajanshwsh

  • @salehkhamis9994
    @salehkhamis9994 Рік тому +1

    Huyu Ibrahim rahbi namkubali Sana anachambua kitu hadi kinaeleweka hongera kaka

  • @betinaernest2766
    @betinaernest2766 Рік тому +2

    Sasa Vita miaka ishirini zerensky awe bado hajafa ,,, wew mchambuzi hovyo kabisa,, zerensky akifa Vita inaisha

  • @barakashaban9698
    @barakashaban9698 Рік тому +3

    Uyu mchambuzi mjinga tu anawatetea ma bwana zake wa magharib

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Рік тому +3

    Kiufupi hawaisaidii Ukraine bali wanaipoteza Ukraine na Ulaya kiuchumi na kila kitu

  • @albertbissaga1425
    @albertbissaga1425 Рік тому +1

    Hongera kwa uchambuzi wako mzuri, uko vizuri.

  • @mshindiwayote0002
    @mshindiwayote0002 Рік тому +3

    Wachambuzi wanaolipwa na magharibi hawa lazma waulaghai ulimwengu.

  • @manarakassimmanara3132
    @manarakassimmanara3132 Рік тому +6

    wewe acha uongo urusi anasiraha ntoka wewe ujazaliwa tulia tuone

  • @ismailntungwanayo3945
    @ismailntungwanayo3945 Рік тому +3

    Wewe nimwongo

  • @mapikomkindu565
    @mapikomkindu565 Рік тому +3

    Kweli kbsa njjaa itatuandama huu mwaka

  • @donizzo9570
    @donizzo9570 Рік тому +5

    Marekani alifurumushwa Afghanistan na Urussi.. Baada ya Wagner kwenda kuwasaidia wale tareban

  • @abbasgumbo177
    @abbasgumbo177 Рік тому +3

    Yaani sijamuelewa vizuri huyu mchambuzi inamaana mpaka urusi anaingia kwa vita hii alikurupuka kiasi Mwamba achoshwe kwa Dora millions hamsini? Hivi kunaukweli hapo? Yaani mapema hivi muda wa mwaka?

  • @peterkabogo6468
    @peterkabogo6468 Рік тому +2

    Putin Hana mpango wakuchoka na ataendelea kuwa super siku zote

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 Рік тому +3

    Na urusi naye anawashirika wake we unaongea nini, mrusi hawezi kushindwa vita silaha anatengeneza mwenyewwe,wewe nawe uko nato

  • @betinaernest2766
    @betinaernest2766 Рік тому +3

    Ila huyu mchambuzi muongo anaenda mbele pia anaenda nyuma

  • @samwelsammy1121
    @samwelsammy1121 Рік тому +3

    Kuwa pigia magoti maanake nn

  • @user-dn2ic3jg5s
    @user-dn2ic3jg5s 6 місяців тому

    Profesa. Ali. Magama. Anasema. Urusi. SI. Rahisi. Kushindwa. Mna. Jidaganya

  • @fortuneakankizya5336
    @fortuneakankizya5336 Рік тому

    Ni kweli

  • @betinaernest2766
    @betinaernest2766 Рік тому +1

    Mchambuzi wa hovyo kabisa sijawahi kuona ameegemea upande mmoja wa nchi za maguaribi...hovyo kabisa siku nyingine muwe mnatuletea wachambuzi ambao hawaegemei upande mmoja

  • @nelsonnaga3775
    @nelsonnaga3775 Рік тому +2

    Rabhi ni mchambuzi bora wa masula ya kitaifa asiye elemea upande wowote

  • @khalfanmlala5093
    @khalfanmlala5093 Рік тому +3

    Azam tunawaheshi sana huyu siyo mchambuzi kabisa

  • @josephathmedia9237
    @josephathmedia9237 Рік тому

    Marekani siku sinyingi Anasalenda Na Urusi Anawashirika tuu sema washirika wake hawajitangazi kuwa wamepeleka kama wao

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 Рік тому +1

    Naomba kujua tathmini senu sinafanyika kwa muda gani ndani ya Mwezi? Maana nataka kutazamia ktk tv sio mb.

  • @abdalahngozi5455
    @abdalahngozi5455 Рік тому +2

    Sasa azam mbn mnamleta mtu wa ulaya kutuchabulia ishu nyeti namna iyo, na kwa jinsi anavoongea unaeza sema babu na bibi zake wako Ukraine. Ebu mlete mtu anaezijua siasa za kimataifa sio msikilza taarifa za BBC na CNN

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Рік тому +1

    Umechelewa sana wewe urusi ndio anaanza vita hujamuelewa baba NATO ndio wamechoka

  • @yohanamasebo3478
    @yohanamasebo3478 Рік тому +1

    Uchambuzi uchwara unaegemea nato

  • @muichorekishagani1751
    @muichorekishagani1751 Рік тому

    kwakwel mchambuzi ana maoni ya kufikirika kabisa tofauti na wachambuzi wengine ambao hawako balance katika issue either anataegemea marekani au anaegemea urusi

  • @asambakanyalusambya249
    @asambakanyalusambya249 Рік тому

    Niatari kweli

  • @sayshabani6350
    @sayshabani6350 Рік тому +1

    Hahahhahaa hata wakipeleka Malaika wa shetani watapigika2
    Hahaahahha Russia wakiendelea kumtia hasira atawafuata uko uko kwao
    Kwani mapeleka misada mingapi mpka leo sijui himas sijui nini zote mpka leo ni majivu
    Uraaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 7 місяців тому

    Watu huku wanalaumu tu mchambuzi sababu wana mapenzi yao binafsi...Ila jamaa anachambua vizuri tu mkuu, pia na nyinyi toeni maoni yenu.

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 2 місяці тому

    Ww mtangazaji tafuta watu Muhimi huyu alisomeshwa namarekani tutafutieni watu wamaana

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze Місяць тому

    Waache wampe hayana akili bakachezee kichapo cha mwana mme mrusi gaidii zelenski hawajuwi kuodowa vita wanajuwa kuchocheya vita mrusi babalao❤😂

  • @bensonnyondo3660
    @bensonnyondo3660 Рік тому

    Wemuonga kama kunamutu muonga niwewe muchambuzi husemi ukweli mbele ya watu uno wazungumza azamu waongo kambisa tafuteni wengine umupo kimagalimbi sana wote tunaumiya sana likini munaeleza mambo juju munaacha Mambo kamili hata Africa yenyewe haita endeleya

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 2 місяці тому

    Wewe Swahumu ina kusumbua nenda ufuturu

  • @papaabileo685
    @papaabileo685 Рік тому +1

    Mbona huyu mchabuzi ni muongo sana

  • @sumamatitu1204
    @sumamatitu1204 Місяць тому

    Kwaiyo mchambuzi unasema urusi kachoshwa na vita ukreni yeye ajachoshwa na vita? alafu ujue urusi apambani na ukreni kwa sasa ukreni ameshaishinda zamana kwa sasa urusi anapambana na nato nato ndio wanaopigana pale ukreni kwaiyo unapochambua usielemee upande mmoja mzee.

  • @zuberihamisi460
    @zuberihamisi460 Рік тому

    Munachambuwa nchi zingine mbona hamchambui siasa za nchi ya Tanzania?

  • @suleim505
    @suleim505 Рік тому

    HUYU MCHAMBUZI NINA SHAKANAE SANA...

  • @jumamambo7026
    @jumamambo7026 Рік тому

    Nikwambiekitu wee mchambuzi kitu ambacho hikijui muda wakuitwa baba waduniaa umekwishaa

  • @gabrielmtapila229
    @gabrielmtapila229 Рік тому +1

    Urus kachoka tyr

  • @josephkostans9128
    @josephkostans9128 Рік тому +1

    Hakuna mchambuzi hapo upuuzi mtu hilo ni brain washed hata mimi hanifikii kwa uchambuzi na nyie Azam TV vip mmelewa ama huyo jama mchambuzi kweli ama mlevi fulani tu wamtaani inaonekana kazaliwa juzi bado hajauwa historia ya Russia vizuli hizo hesabu zake za kitoto Putin alishamaliza huko.