HOJA MEZANI: Ni ipi hasa siri ya mgogoro kati ya Russia na Ukraine?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 179

  • @juliussuleiman3999
    @juliussuleiman3999 2 роки тому +10

    Adui namba moja wa dunia kwa karine hii na iliyopita ni Marekani ingawa Mungu mwenye zi atulinde na atujaalie Vita visiendelee

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому +2

      100 % Correct

    • @manarakassimmanara3132
      @manarakassimmanara3132 2 роки тому

      Huyu jamaa Hana maana sijui anaongea nini ni kati ya urusi na Europe na america ndio walio tutawala Kwa muda WA miaka mia tatu lakina rusia hawaja fila Africa hiyo Moja pili walitisaidia kugombania uhuru mpaka Sasa nyie wote mnaijoi lakini nasikitika uelevu ni mdogo WA kisiasa Kwa hiyo msitudanganye WATANZANIA na tupo huku Europa miaka na Miaka kwanza hamjui historiya kabla mosco kuwa kapitali ya rusia ilikuwa kievu taifa la kirusu limetoka Scandinavia na kukimbia kuunda rusia sasa ni upumbavu Kwa hiyo debeti yenu

    • @godfreydavid6267
      @godfreydavid6267 2 роки тому +1

      kivipi mzee?

  • @omysule7118
    @omysule7118 2 роки тому +6

    Wachambuzi jaribun kuwa wakweli, anachokililia mrusi ni sawa n kile alichokililia Mmarekan wakat USSR alipofaný installation ya nuclear pale Cuba

  • @germainpennant6439
    @germainpennant6439 2 роки тому +4

    Wachambuzi mko very smart! Mko poa

  • @jonathanmutiwa3734
    @jonathanmutiwa3734 2 роки тому +1

    Mahalia vita Kuna vita Mungu uacha watu kujitengemea.Kwakua Mungu aliacha upendo umtawale mwanandamu.

  • @martinsntonyo8537
    @martinsntonyo8537 2 роки тому

    Excellent analysis of what is going on in Ukraine and Russia

  • @staceychristensen7700
    @staceychristensen7700 2 роки тому +1

    Tunaomba Amani 🙏🏽Mapenzi ya Mungu yatimizwe 🙏🏽

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 2 роки тому +1

    Safi sana Nawapata vizur Azam tv tupo pamoja live mwanzo mwisho

  • @jumamataro4870
    @jumamataro4870 2 роки тому

    Safi

  • @kassimmurji2872
    @kassimmurji2872 2 роки тому +4

    Urusi sio wachokozi wachokozi ni nnchi zamagharibi zikiongozwa na marekani ustarabu wakimagharibi unawafaaa wao sio lazima waexport nnchi zingine magharibi ni mashoga

  • @danielgitau5880
    @danielgitau5880 2 роки тому +6

    Huyu mfalme mjinga, ataichukia siku aliyo saliwa,tayari maiti za waliye tumwa sinaozea ukraine 🇺🇦

  • @dorothymutegeki7543
    @dorothymutegeki7543 2 роки тому +1

    Hacha uongo Urusi iko vizuri saana

  • @amimumufaumekikwasa5921
    @amimumufaumekikwasa5921 2 роки тому +4

    China yupo sahihi ni afadhali kubaki kimia kuliko kuongeaya mambo habayo hayana bundi,ila tukija kwetu wa african marekani na wa farasa sio wazuri yani nchi nyingi za african zina filisika sana hakuna chochote kinacho kuwa eti kina leta mahendeo yani hawo wa jama wawili ni wabaya sana.

  • @bonita329
    @bonita329 2 роки тому +1

    kaka mwenye miwani na shati la drafti umeonge point sana 👏🏽halafu mwishoni hapo unaposema Putin sio wa kumuamini ni kweli kabisa na ndio haya yanayo tokea jana na leo mpaka Ex-president wa Ukraine kayasema pia leo hii kwasababu anayo full experience ya Putin na mission zake that is true👏🏽mwenyewe nilikuwa nashangaa how come nchi nyingine zipo jirani sana na Russia na wamejiunga nato toka kitambo how come Ukraine ndio tatizo?something is wrong 🤔halafu wafrica msijisahau
    Russia also wanted to put Africa in the same financial slavery as American too ana lake pia MRussia
    Tuzidi kuomba Mungu awapiganie wenye haki 🙏🏻 manake hizi vita za mataifa kwa mataifa zipo mpaka kwenye vitabu vya dini.

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому

    Huyo.mchambuzi maandazi. Eti nato haihusikina. Vtayaukrani

  • @danielmiburo8800
    @danielmiburo8800 2 роки тому

    Vizuri.marekani.nikutoka.nyumayake.mana.anasababisha.tuuwawe.anataka.kujifanya.mungu.anacoceya.vita!

  • @ruu6592
    @ruu6592 2 роки тому +3

    Mtangazaji kihere here utadhani ni mukrain

  • @johnmike6059
    @johnmike6059 2 роки тому

    Nyie waongo urusi aishindwe ukraine ivi urusi mnaijua vizuri au

  • @allymangosongo5570
    @allymangosongo5570 2 роки тому

    Wachambuzi awajielewi urusi super power munachambua utumbo

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 2 роки тому

    Mr bin awe rahisi lazima taifa life

  • @julianamargwe1663
    @julianamargwe1663 2 роки тому

    Duhh

  • @eatwell9161
    @eatwell9161 2 роки тому +2

    Hii kuzidiwa kifikra na kuanza kuvamia inanikumbusha Tanganyika na Zanzibar

  • @fredrickipembe8188
    @fredrickipembe8188 2 роки тому

    Nyinyi wachambuzi hajui kiti hapo nendeni mkanywe chai na chapati mambo mengi hamjui

  • @mashakaluhamba1183
    @mashakaluhamba1183 2 роки тому

    Nimewasilikiza vizuri lakini kuna dalili za kununuliwa na vyombo vya magharibi. Kwanini hamuoni kuwa Amerika anataka kuisogelea Urusi ili aidhoofishe kiuchumi. Halafu Maliasili iliyoko Ukraine ichukuliwe free kama wanavyofanya Afrika.

  • @dorothymutegeki7543
    @dorothymutegeki7543 2 роки тому +4

    Msitudanganye bwana Urusi watachukua Ukraine.

  • @ednageorge8676
    @ednageorge8676 2 роки тому +2

    Yaani Putin ni mshenzi sanaa hana hata huruma

  • @mahadymasawe2659
    @mahadymasawe2659 2 роки тому +4

    Urusi nawakubar

  • @nzeyimaamini3282
    @nzeyimaamini3282 2 роки тому

    Acheni kuingea msio yajuwa

  • @saheedali7467
    @saheedali7467 2 роки тому +2

    Inafanana na mashaka ya Tanganyika na Zanzibar.

  • @frankbrightonembida3076
    @frankbrightonembida3076 2 роки тому +1

    🙏🙏🙏tuwaombee

  • @aminsalum5731
    @aminsalum5731 2 роки тому +5

    ivi ni Mzozo au ni Vita???? TANZANIA bwana mpaka lini mnafichaficha

  • @hatibually2451
    @hatibually2451 2 роки тому +2

    Siovizuri.urusi.hajui.kama.wawo
    Ndug

  • @geraldpaul7772
    @geraldpaul7772 2 роки тому +1

    Miminaona kweli kwamba hizinisiku za mwisho wa dunia hii

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 2 роки тому +2

    Ni muda Sasa wa kuondokana na ukolonimambolea utawala wa kibepari tunamtaka URUSI aondoe utawala wa kibepari unaoletwa na marekani na washirika wake ,, URUSI ni WAJAMAA socialist huyu URUSI ndo tunamtaka

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 2 роки тому

    Alova shati jeupe ni form one ajui lolote kwanza haoni mtoeni miwani

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 2 роки тому +1

    Sasa kwanini na sisi waafrika tusiwe na soviet yetu umoja wa wa afrika kuachana kuwa vibaraka uchwara wa mabebelu wachumia tumbo tunasalitiana wakati ni huu wa kujiunga tuwe na soviet yetu kama uko ubebeluni

  • @abubakarmgaza9270
    @abubakarmgaza9270 2 роки тому +7

    Nafikiri jambo ambalo limekosekana kuelezewa hapa ni motives za NATO na siasa za magharibi dhidi ya Urusi tukianzia hapo tutaelewa vyema zaidi juu ya huu mzozo!!

  • @danielmiburo8800
    @danielmiburo8800 2 роки тому

    Marekani.nijambazi.sugu.waduniya.wanawokufa.wote.niju.ya.inchi.zamagaribi.namarekani.inabidi.wawonae.huruma.wana.wa.ukrene

  • @rengijohn3798
    @rengijohn3798 2 роки тому

    Mungu wasaidie weka maelewano na mapatano Kati yao

  • @halfanimasudi4679
    @halfanimasudi4679 2 роки тому

    Mungu atuepushe na haya matatizo

  • @chancekambale3498
    @chancekambale3498 2 роки тому +1

    Uyujama hajui Russia 🇷🇺
    Mbona marikani ilishindwa Somalia 🇸🇴 na Somalia 🇸🇴 ilikua na saidiliwa na Russia 🇷🇺. Usi zany Russia 🇷🇺 niwajinga wanao wekamambo yao yote inze

  • @allyshekh6610
    @allyshekh6610 2 роки тому +2

    Unapokua mchambuz jitahidi kuondoa itikadi au mapenzi

  • @josephgelvas2668
    @josephgelvas2668 2 роки тому

    Ok

  • @julianamargwe1663
    @julianamargwe1663 2 роки тому

    Hamna kitu hapa

  • @amimumufaumekikwasa5921
    @amimumufaumekikwasa5921 2 роки тому +1

    Leo Libya watu wana hangaika chanzo ni mumarekani na mu farasa leo Congo DRC hakuna amani ni hawo hawo wa marekani,mimi si suport vita ila mbona sisi wa african tungali na lala mpaka lini tutahamuka.

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm 2 роки тому

    ao wanao ojiwa wanavyo zungumza utafikiria wanajua Russia ikoje Russia la kufanya now ampe kichapo cha maana ucrain

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 2 роки тому +3

    Hapa tanzania tuna polis jamii washapu sana kukamata bodaboda ingefaa tuwapeleke huko wakapambane na vidume wezao

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 роки тому

    Umezaliwa lini ww libya , iraq, alfghanistan mboni ujajitokeza kuliongelea umetumwa?

  • @rithajulius740
    @rithajulius740 2 роки тому +2

    Wanao umia hapo ni watoto na wanawake😭😭😭😭

    • @danielgitau5880
      @danielgitau5880 2 роки тому

      Wanaume hawaumii??

    • @johnsonuriourio6121
      @johnsonuriourio6121 2 роки тому

      Upo sahihi dada ila zelenzk anapozwa anasababishwa kuua wananch wake siwez kukupa eneo langu Mimi ujekuingiza wachaw na wagaga kufanyia ramli kwa nitakuja nichukue eneo langu stajalii watoto wako Wala mkeo

  • @danielmiburo8800
    @danielmiburo8800 2 роки тому

    Nikweri.angetaka.kumunkoa.madrakani.angemutoa.rengo.nikupunguza.nguvuza.aduyiwafrika.tunamusapoti

  • @senikomanya7223
    @senikomanya7223 2 роки тому

    Huyo mchambuzi wa nguo ya njano hana point

  • @johnsonmurithi807
    @johnsonmurithi807 2 роки тому

    NATO niwachochezi tena sana,wao ndio wameshababisha hayo yote.

  • @saidiabas8855
    @saidiabas8855 2 роки тому

    Naomba mujadili na Palestine

  • @yusufuzuberi9884
    @yusufuzuberi9884 2 роки тому

    Kwann kama angekuepo trample kwamba vta into endelea ukren wakariti historia Inaonesha mgogoro ulikuepo tangu 2014 inakuaje

  • @ibrahimbura434
    @ibrahimbura434 2 роки тому +1

    Huwezi ukajikilim ukawa unahakili timamu

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 2 роки тому +1

    Mbona hawa wachambuzi wanaegemea upande mmoja

  • @yassinphonyogo2347
    @yassinphonyogo2347 2 роки тому +7

    mna bwsbeaja tu sadam alipigwana majeshi ya nato kwa sku ngapy toeni umbea wenu

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 2 роки тому +2

    Nimeelewa sana yan na uchambuzi

  • @juliussuleiman3999
    @juliussuleiman3999 2 роки тому +4

    Putin anafanya ambacho kimewahi kufanywa na Marekani huko Iraki na libya

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      Malipo atalipwa ipo siku wamemuua Shujaa wa africa gadafi walijua africa itakua na nguvu sasa wameingia motoni kwa mrusi putin black see

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому

      100 % 😀😀😀

    • @shabbymakapaneshabby5000
      @shabbymakapaneshabby5000 2 роки тому

      Watafurahi Na SHOW Hebu tuone kama BABA Mwenye NYUMBA Ataingilia 😂😂😂😂😂😂

  • @nigagi3ew231
    @nigagi3ew231 2 роки тому +4

    Acha mchezoooo mta kufaaa wote rashia wabayaa

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      Hiyo black see unambia kuna vifaa hatari vimechimbiwa

  • @tengezashemisea1787
    @tengezashemisea1787 2 роки тому

    Sababu zilizo tajwa na wachambuzi hapo zinatosha kabisa kwa Moscow kuingia vitan , zaidi yakuzuia hatar inayokaribia, hakunanjia nyingine.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +3

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @lorryvoice5223
    @lorryvoice5223 2 роки тому

    usikoskutazama majabu yakutisha andika lorry vois kusimlia uwe wakwnza

  • @MwonekanoTv
    @MwonekanoTv 26 днів тому

    Biashara ipi anayofanya mchina huko uraya

  • @salumsaid5369
    @salumsaid5369 2 роки тому

    Ila kuna umuhimu wa nyinyi wachambuzi kusoma historia ndio mje mtusimulie coz mnaelezea mnavyohisi tu kutoka kwa mitazamo yenu

  • @gfckukivi209
    @gfckukivi209 2 роки тому

    Tafteni habari za ukweli

  • @petershimbi7014
    @petershimbi7014 2 роки тому +3

    tatzo mchambuz anaulizwa tofaut na yeye anajibu tofauti

  • @nemecykongolo3682
    @nemecykongolo3682 2 роки тому

    pelekeni uongo wenu huko urusi nchi kubwa acheni ujuwa

  • @igiraneza4
    @igiraneza4 2 роки тому

    Yani mpaka sasa nikiwaangilia majamaa hawa hadi na waza kwa kauli zao Africa tunaelekea wapi mbona wa afrika hivi hatuone jamani !

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 роки тому +1

    Ukraine ni kibaraka ..anayehatarisha amani ya dunia

  • @sajadnduti4906
    @sajadnduti4906 2 роки тому +2

    Mchambuz Mwenyewe anajichubua,anachochambua ni Pumba tu

    • @ruu6592
      @ruu6592 2 роки тому

      🤣 usiwe ivo

    • @ruu6592
      @ruu6592 2 роки тому

      Padala yakuchambua Ana tetea🤣

  • @omysule7118
    @omysule7118 2 роки тому

    Dear wachambuzi muelewe kuwa democracy ni mfumo wa serikali km mifumo mengine, ss wengine mbn hawafuati democracy lkn wanaishi maisha mazur kulik nchi zeny democracy, mifan ipo mingi t, siwaelew wachambuz hawa wana biases san

  • @masindijr.7633
    @masindijr.7633 2 роки тому

    Nyie wachambuzi ni wa mchongo tuu hamna jipya. Nimewasikiliza mwanzo mwisho lakini nimegundua kuwa nyie ni vibaraka wa Marekani na washirika wake..... Na Ukraine.

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 2 роки тому +1

    NATO NI WACHOCHEZI WEWE KAMA HUTAKI BASI

  • @sherampunga3226
    @sherampunga3226 2 роки тому

    Marekani hausiki hapo, wao wenyewe wameamua wenyewe kujiunga na nato

  • @saidyhasshim2373
    @saidyhasshim2373 2 роки тому +1

    Tatizo muna waona wamarekani wako sawa. Wakati wana nyanyasa Afrika mzima

  • @frankmakomba378
    @frankmakomba378 2 роки тому +3

    Toka hapa nilikuwa nawasikiliza hoja na maoni yenu mbalimbali, 95 % ni kweli.

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому

    Usiseme hajielewi usiejielewaniwewe na us

  • @christophersimwinga6689
    @christophersimwinga6689 2 роки тому +6

    Huyu Rais mchekeshaji wa ukran ndiye wa kulaumiwa . Alitakiwa asifungamane na upande wowote kama TZ ilivyo elekea wakati wa vita baridi. Ukiwa upande fulani unakuwa adui wa upande wa pili . Ndo madhara yake

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      Huyo jamaa katulia mrusi hajataka ukrine wao ni kitu kimoja na nchi ilikua na maendeleo mrusi hataki aungane na mijibwa wa ukoloni mrusi uliwahi kumuona koloni yy alitetea isipigwr irag hawajamsikiliza

    • @unknownafrica5568
      @unknownafrica5568 2 роки тому +1

      Huyu rais kajitakia aende kwa mashoga wemzake mrusi alipinga ushoga mrusi hana kiloni wao walifata africa wakakomba mrusi katetea irag Libya hawajamsiliza haitoshi wakavamia sirya kuwa mamilioni ya watu alimtetea sirya mrusi mrusi kawa nae phalistin esrael I livyo wapiga mrusi hataki ukrine ila hawataki hao majibwa wamsogelee huyo rais wa ukrine mjinga tu

  • @zephaniapeter3167
    @zephaniapeter3167 2 роки тому

    Besisira kutoka nkome geita Mungu Ubaruku dunia hivi vita ikome

  • @magangakibella6895
    @magangakibella6895 2 роки тому

    Hamjui ninyi urusi yukoje

  • @AliSaid-il7ko
    @AliSaid-il7ko 2 роки тому

    mnatuangusha kuweni wakweli mnaongea msichokijua

  • @rashidrajab1391
    @rashidrajab1391 2 роки тому +2

    Hapa hamna kitu pia nanyi mnaunga mkono wachochezi uraaaaaa Russia 🇷🇺 💖

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 роки тому

    Urusi nikafiri ila ni mtetezi jhata enzi za mtume muhamadi saw wako makafiri ila waliipigania dini ya kiislam basi hakuna ajabu kwa urusi kupigania dunia zidi ya mashetani

  • @leonardnyange7152
    @leonardnyange7152 2 роки тому +4

    Dunia kwa sasa inamwitaji mlusi kuliko mlusi anavyoiitaji dunia awa awa wachambuzi akuna wanachokijua

  • @karimabdall5322
    @karimabdall5322 2 роки тому

    Anacho kulilia putin nisahih kwahiro inchi za magharibi sinzul kwadunia yote.

  • @teljanahmed2051
    @teljanahmed2051 2 роки тому +1

    Hawa sio wachambuzi nimashabiki wa UKRAINE au labda wanatafta viza ya ulaya🤔mnaelewa uwezo wa Urusi🤷‍♂️❓😳

  • @jacobotipo1451
    @jacobotipo1451 2 роки тому

    So 😢

  • @julianamargwe1663
    @julianamargwe1663 2 роки тому

    Hamna kitu

  • @saidiabas8855
    @saidiabas8855 2 роки тому

    Mbona nyinyi hamuyadili ya Palestine Congo Libya na irak mbona hamumjadili mmarekani na mabaya yake

  • @danielmiburo8800
    @danielmiburo8800 2 роки тому

    Ndiyo.raisi.waukereni.nikibraka

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 2 роки тому

    Huyo mchambuzi hamnakitu

  • @jumanassoro1552
    @jumanassoro1552 2 роки тому

    Hivi ninyi watangazaji amuoni uyo ukrin anapata nguvu kwa marekani nato na washirika wake kupewa siraha nzito kibaraka wao urussi apigani na ukrein tu

  • @allyhilal2747
    @allyhilal2747 2 роки тому

    Jamaa huyu naona saa hii anaona aibu kwa haya maneno alokua anatoa hapa. Putin Over calculated this bro, next time chill usikurupuke.

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 2 роки тому +5

    Mimi ninachokiona hapo mr.putin anajilinda dhidi ya nchi za kidemokrasia kuwa nchi za magharibi zikiipokea Ukraine kuwa mwanachama wait na hiyo itakuwa ni mbinu ya kubomoa/kumuondoa putini kwenye kiti cha uraisi wa muda mrefu,anaona Ukraine itakuwa chambo kwa siku za usoni kutumika kuimsambaratisha Putin kukiacha kiti!! Na kuingiza Urusi kwenye Udemokrasia!!

  • @chumakasibi3585
    @chumakasibi3585 2 роки тому

    Poutine acha muzozo autafika fasi aki ya mungu iko autafika fasi acha mapema utapata asara kubwa

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 роки тому

    Hiv ww ushajuwa fulani adui kisha jirani yako anamkaribisha karibu muhim usalama wa nchi

  • @benardsamba5248
    @benardsamba5248 2 роки тому +1

    mnaogopa kuongea ukweli urusi yupo sawa watangazaji muwe wakweli

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 2 роки тому

    Weunaongea utumbo kibaraka nato mchochezi wa dunia

  • @mustaphyassin9743
    @mustaphyassin9743 2 роки тому +1

    Wachambuzi nyie ni waongo

  • @danielmiburo8800
    @danielmiburo8800 2 роки тому

    Zeresiki.natabarisi.yemere.ivyasabwa.naprezi.wuburusia.