Team Russia, China, Iran, North Korea na Cuba moto uwake liwalo na liwe mpaka Marekani ateme ulimi. Big up kwa Simulizi na Sauti kwa wachambuzi bora wa Geo Politics kuanzia kwa Dj Smaa, Ally Masubi na Mwinuka.
Hawaiwezi Marekani,huyu Putin angekuwa na uwezo angeisambaratisha Marekani Muda mrefu sana,Lakini huo uwezo hawana, Changamoto ya Marekani kwenye Serikali Yako watu unaowaamini sanaaa wakiwa watatu Mmoja kibaraka wa Marekani.
@@damianlyimo1011 kama Marekani ana uwezo si asambaratishe Urusi kuliko kutoa milio😂😂 Acheni ushamba wa kuami katika movie na propaganda za Marekani front hawezi na hajawahi shinda hata vita na magenge ya wahuni😂😂 sembuse jeshi kubwa la Urusi
Kiukwel mimi ni rai wa Burundi 🇧🇮 huwa nafatilia sana habari zenu kiukwl huwa mnanifungua akili na kujuwa badhi ya vitu sawa sawa na wasomi asante sana wajomba 😂❣️🙏
Duuh wenzetu wametizid sana ki elim.. hebu angalia wanavosuka mifumo ya kuilinda nchi yao.. pamoja na kibiashara pia. Kombora linatoka USA kwenda Russia.. lakini tayari limeshabainika..😱 Huku kwetu African tutangoja sana aisee.
Volenez ndio mfumo upi maana Wana S300,S400 ndio yazamani na ilipigwa cremea na kombola la Atcmas kwa hiyo hii imefeli ndio maana wamepeleka S500 haraka ambao bado haijakamilika.
watu hawaelewiii sijui vichwa vyao wanaviwekaga wapii😂😂..mtu anasema kma Russia anauwez amsambaratishe Ukraine yn mtu haoni hata ukraine anasaidiwa na 46 countries vs Russia
Gu awe basi sisi tuluo tim russia ili hao manyabga'au wa magharibi washindwe wanaharam wamebeba dhahabu alimasi pembe za ndovu kutoka afrika wametajirika lakin eti sisi wanatupa vyandalua wanagalamia vita ukrain kwa mabilion ya dola lakin sisi wanatupabdikizia magonjwa
Tatizo letu elimu yetu ni ya kinadharia sana.Halafu uwekezaji wetu mkubwa wa pesa ni ktk siasa.Hatutoboi.Siku tukibadilika tukawekeza vizuri kwenye elimu,tutatoboa na kuwakaribia kama si kuwafikia.
Yani mifumo yote ya teknologia imeanzia kwa hao marekani na washirika wake G7 asa rusia anakiwa kama copy asa marekani walishajua yote hayo wataiga mofumo lazima watengeneze mofumo ambayo haionekani ya makombora
Ushakaririshwa wewe! Hiyo siyo Iraq wala Libya. Sifia huku viazi vya watu wasio na hatia wakiuliwa Africa, Lebanon, Gaza, na kushabikia ushoga kenge ww
@@samkitwima7933matusi ya nini ndugu,vumilia dawa ikuingie.Marekani baba lao.Hata hii mitandao ya intaneti na youtube unayotumia ni ya wamarekani na sio urusi na ndio ujue Marekani kwenye teknolojia wako juu kuliko Taifa lingine lolote hapa duniani.
Waswahili tuendelee tuu,kuzilinda nyumba zenu kwa zindiko la nyumba tuu,maana hayo mengine tumuachie mrusi!Tanzania sijui tuna mifumo mingapi yakujilinda na kombora hata moja?
ATACMS imeshambulia na kuteketeza mifumo ya ulinzi ya S300 na S400 crimea na ndani ya urusi na hiyo mifumo imeshindwa kupangua hata kombora moja la atacms.Baada ya kuona mifumo yake ya S300 na S400 imeshindwa urusi imeamua kuja na mfumo wa S500 na nao ukipigwa habari ya urusi itakuwa imeishia hapo.chezea marekani ww.
Sio kweli, Russia ni wajanja sana, walimtega adui, akamtengenezea kitu kinachofanana na hizo mifumo ya anga kumbe sio yenyewe, ni maputo yaliyojazwa hewa afu zikafanana na hizo mifumo ya anga. Akili mingi sana kwenye vita.
Ni ngumu sana kuzielewa siasa za dunia hii kila ukweli watu wameshachoka na hii vita uchaguzi ujao bila janjajanja biden hatatoboa so itategea msimamo wa raisi atakayeingia madalakani
Kwani mifumo ya wengine ni miĺaini wanaume wenzako usiwatishe kwani wengine hawawezi kupiga wote wanayo nionavyo mimi wote wanaweza kufanya chochote vita usimtishe mtu wajerumano wafaransa waingereza urusi hawa wote lazima waogopwe hakuna mtu wa mkumtisha yeyote ma usa
Propaganda tu hatari ya kifaa huoneshwa kwenye Vita sio kwenye MEDIA😂😂😂😂. Mbwembwe tu TEAM NATO TUNAWASOMA TU HAWA PRO MEDIA DICTATORS ILA SISI BADO TUPO SANA MTUGUSE TU MUONE MOTO WAKE KENGE NYIE😃😃
Rusia hana tofauti na 🦬 anayejipishia kwenye mto wa mamba alafu ajui mamba gan atamdaka 😂😂😂😂achana na wazungu yani marekani na washirika wake G7 wale watu balaaa sana
Yameharibu mifumo yote ya ulinzi ikiwemo S300 na S400.Bado mfumo mmoja tu wa S 500 na Urusi akiuleta nao ukipigwa atakuwa mweupe manake hayo makombora ya Marekani ya ATACMS mifumo ya ulinzi ya urusi imeshindwa kupangua.
Daaah jamaa umeona mbali saana,😂😂 nilikuwa natafuta sana hii coment,, yaan jamaa wanazingua maana wameingiza udini na uteam,, kilz siku ni mambo ya urus urus wao wamebase na team Urus,, hivi wanahis kitu chepes mrus apigane na nato nch wanachama 30+
Yani nyie wachambuzi mnataka kudanga watu kwamba urusi ndio mwenye akili tuu duniani hao wengine awana silaha acheni kupotosha watuu. Vita inamazara pande zoteee akuna mbabee wanapata hasaraa na pili nyie waandishi mnajua kwenye magala ya majeshi yote dunia au nyie ongeeni mnayojua tuuu msituone ss kengee😂😂😂
Wanaipendelea urusi na wakati ukweli unajulikana kuwa Marekani ndio baba la teknolojia duniani.sasa kama juzi makombora yake ya ATACMS yaliharibu na kuteketeza kabisa mifumo ya ulinzi ya S300 na S400 ndani ya urusi na crimea kiasi kwamba mifumo hiyo ilishindwa kabisa kupangua kombora hata moja la ATACMS na kupelekea kuharibiwa urusi ina nini tena?
Namba 4 hapa, Like za Putin please.

Ata marekani angesha isambalatisha URUSI kwaiy ao wote ni ma giant na usisahau mpk ss URUSI anapigana na NATO
Ha ha ha kwahy yeye marekani kama anauwezo nae ilipaswa awe ameshaifuta urusi ktk ramani ya dunia,,, swali mbn hafanyi hvyo?
@@damianlyimo1011 kama Marekani ana uwezo si asambaratishe Urusi kuliko kutoa milio😂😂 Acheni ushamba wa kuami katika movie na propaganda za Marekani front hawezi na hajawahi shinda hata vita na magenge ya wahuni😂😂 sembuse jeshi kubwa la Urusi
Unamegwa@@damianlyimo1011
Kiukwel mimi ni rai wa Burundi 🇧🇮 huwa nafatilia sana habari zenu kiukwl huwa mnanifungua akili na kujuwa badhi ya vitu sawa sawa na wasomi asante sana wajomba 😂❣️🙏
Mm niko bongo napenda kuona dugu zetu mnatufatilia
Bwana alli masubu ni mchambuzi mzuri sna sns mnatupa habari ambazo hazina shida 👍👍👍
Uchambuzi mzuri sana... Hongera sana sky na SNS kwa kutuletea vitu vya tofauti,, hakika utofauti wenu ndio utakao waweka juu..
SNS siku zote naipenda ❤❤
❤❤❤pongenzi kwa mwambA PUTIN/RUSSIA
Godbless russia 🇷🇺
Hujazungumzia Pantsir Air Defence system ya Urusi
Mnatisha sana Tz kwa uchambuzi bora nawenye kueleweka pongezi nying san Alliy Masubi Dj Smaa na sky
Duuh wenzetu wametizid sana ki elim.. hebu angalia wanavosuka mifumo ya kuilinda nchi yao.. pamoja na kibiashara pia. Kombora linatoka USA kwenda Russia.. lakini tayari limeshabainika..😱 Huku kwetu African tutangoja sana aisee.
Mungu wape ulinzi na ushindi warusi.
Asante sana mtaalamu wa habari, hivi kwenye tuzo za online TV hamjanyakua sifa kweli maana mko vizuri sana, hongereni
Likes zangu jameni @starguy
Asante kaka nakubari habari zako
Nooo Kuna tochika, pensa m,
Uitaje wasikilizaji wajue
Uraaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Uraaaaaaaaaa uraaaaaaaaa uraaaaaaaa
Uchambuzi wa kitaalamu!
Sisi anga letu wachawi wanajimwaga tuu 😂😂
😂😂😂
Sns itakuja kuwa bora sana apo baadae
Muwe mna tuletea mara kwa mara hiz chambuzi na tarifa za uhakika kwa mim hapa ndio sehemu yaku aminika big up sana
Hapa kazi tu
Safi sna
Upo vzuri kaka unaelimu yakutosha putin hapa nakukubali kaka
Asante kwatalifa
Pongesi kwa mwamba putin
Sauti yako leo imetulia sana ali masubi
Kama marekani ana uwezo kweli, aamue kuishambulia Urusi. Afanye hivo. Marekani ni mtoto tu wa hapa manyara. Wameshindwa kumtoa Urusi pale ukrein. Oky?
Good urus ❤❤❤
Ubarkiwe sana kaka masubi
Asante sana mchambuzi kunywa soda Kwa mangi nakuja kulipa
Tunakufuata 5/5 kutoka Bukavu /DRCongo. Ongera sana kwa habari nono.
Tuko pamoja kutoka zambia from DRC
Habari kama izi uwezi pata bbc
Masubi ndan sns kwenye ubora wake fuse ime shiba good news
Hey am number1 leo jamani naombeni likes zangu
Safii.Vipi kuhusu GIBKA S,inafanyaje kazi.
Ni mfumo wa kujilinda pia ila huu upo kwenye majaribio kwa hyo details zake halisi na ubora bado sio za uhakika boss.
Huyu mmarekani wakati wake umesha pita na maandiko ya anguko ladoll unaelekea kutimia awapishe na wengine watawale😂😂
Nooma sana
Ongera sana
Ok
Hivi huyu Ruto anaakili za kivipi? Ni kibaraka wa magharibi Kwa nini? Huyu Ruto anataka kutuletea balaa África mashariki
Wa tatu leo
Kushambuliwa kwa Ukraine ni andiko la mungu maana wote ni ndugu
Mungu yup
O ipo siku ataamua
Pale ukitoa vifaa vya vita unategemea vita itaishia huko mara game inageuka inakuja kwako moja kwa moja
👍👊✌️.
Mjomb mix ally na smaa mmoja peke yake inachosha maaana kila mmoja na utam wake apo na kila mmoja anasifa yake
Volenez ndio mfumo upi maana Wana S300,S400 ndio yazamani na ilipigwa cremea na kombola la Atcmas kwa hiyo hii imefeli ndio maana wamepeleka S500 haraka ambao bado haijakamilika.
R.I.P Millard Ayo 😂😂
Nazidi kuipenda urusi
😢😢😢😢😢😢😢😢
S waliamshe tu kila sku mitekenyo ya nn fumua tufe wote tuzaliwe upya
Asa hivi sio Ukraine now wapo na nato intelligent ,weapon, na kila kitu Ukraine n uwanja tyu kama kwa mkapa
watu hawaelewiii sijui vichwa vyao wanaviwekaga wapii😂😂..mtu anasema kma Russia anauwez amsambaratishe Ukraine yn mtu haoni hata ukraine anasaidiwa na 46 countries vs Russia
🇹🇿❣️🇷🇺👏
Gu awe basi sisi tuluo tim russia ili hao manyabga'au wa magharibi washindwe wanaharam wamebeba dhahabu alimasi pembe za ndovu kutoka afrika wametajirika lakin eti sisi wanatupa vyandalua wanagalamia vita ukrain kwa mabilion ya dola lakin sisi wanatupabdikizia magonjwa
Hiyo wanayoitoa watupe sisi tutambe nayo huku kwetu.
Kenya wanategemea anga ya TANZANIA 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 daaah wanataka kutuponza awaa
Alafu ndiyo wanataka kwenda kukiwasha huko watajua hawajui😂😂
Tatizo letu elimu yetu ni ya kinadharia sana.Halafu uwekezaji wetu mkubwa wa pesa ni ktk siasa.Hatutoboi.Siku tukibadilika tukawekeza vizuri kwenye elimu,tutatoboa na kuwakaribia kama si kuwafikia.
Niko sweden nakusomeni 100 chini ya 100 SNS habari nyengine
😢😂😂😂ety Africa kaipiga russia mfano impossible
Yani mifumo yote ya teknologia imeanzia kwa hao marekani na washirika wake G7 asa rusia anakiwa kama copy asa marekani walishajua yote hayo wataiga mofumo lazima watengeneze mofumo ambayo haionekani ya makombora
Kumbe Russia 🇷🇺 wako vizur sana kijeshi
Upo dunia gani ndotaifa lenye nguvu dunia nzima 😂😂
Asate kwa madini hadimu
Yani subirini mjue marekani ujasikia akisifia na vita zote anazoshindaga staili yake ndio hii sasa subirini nyinyi marekani ni dunia yenyewe
Ushakaririshwa wewe! Hiyo siyo Iraq wala Libya. Sifia huku viazi vya watu wasio na hatia wakiuliwa Africa, Lebanon, Gaza, na kushabikia ushoga kenge ww
Usimtukane bali mfundishe jamani
Ee bwana uache utani
@@samkitwima7933matusi ya nini ndugu,vumilia dawa ikuingie.Marekani baba lao.Hata hii mitandao ya intaneti na youtube unayotumia ni ya wamarekani na sio urusi na ndio ujue Marekani kwenye teknolojia wako juu kuliko Taifa lingine lolote hapa duniani.
Waache wajidanganye na ma s400, yameishaanza kuunguzwa huko crimea
Urus zaif
Cc tz cjui ata km tuna mfumo wa ulinzi wwte labda mfumo wa kupambana na wachawi
Hu
Marekani kama anammudu urrusi si aende peke yake mbona anabeba mimtu kibaaaaaao
Wao walishndwa toka zaman
Ndio maana wakaamua waungane waunde nato.wt ni woga baada ya kujua hawaiwez urusi
Umoja wakuujihami unakusudia mrusi
Waswahili tuendelee tuu,kuzilinda nyumba zenu kwa zindiko la nyumba tuu,maana hayo mengine tumuachie mrusi!Tanzania sijui tuna mifumo mingapi yakujilinda na kombora hata moja?
Why urusi tu
kuna silaha za mionzi mbona ujataja nataka kujua hatari zake
Kwaiyo marekani yy anapenda amiliki dunia ? anakwenda kuanguka marekani mwisho wake unafika bilashaka
Mfumo wenyeqe umegongwa nda drone siku chache zilizopita sasa una faida gani
Amesahau s- 550
Marekani hana inshu ndo maana, anatafuta wa kumsaidia
ATACMS imeshambulia na kuteketeza mifumo ya ulinzi ya S300 na S400 crimea na ndani ya urusi na hiyo mifumo imeshindwa kupangua hata kombora moja la atacms.Baada ya kuona mifumo yake ya S300 na S400 imeshindwa urusi imeamua kuja na mfumo wa S500 na nao ukipigwa habari ya urusi itakuwa imeishia hapo.chezea marekani ww.
Wewe upo urusi au Ukraine mkoa gani
@@abdulrazack9577 belgorod
Hawajui waambie wasijijaze upepo.
Sio kweli, Russia ni wajanja sana, walimtega adui, akamtengenezea kitu kinachofanana na hizo mifumo ya anga kumbe sio yenyewe, ni maputo yaliyojazwa hewa afu zikafanana na hizo mifumo ya anga. Akili mingi sana kwenye vita.
Ni ngumu sana kuzielewa siasa za dunia hii kila ukweli watu wameshachoka na hii vita uchaguzi ujao bila janjajanja biden hatatoboa so itategea msimamo wa raisi atakayeingia madalakani
Maengineer wa kisoviet wapewe maua yao, hawa jamaa sio poa aiseee
Ally masubi ur Kikuyu bro😂
In Kenya
Hawa jamaa waki mbali, na wanaijua vita . Inabidi wengine wajipange
Kalipuliwa Crimea SAS
Nato walishndwa toka zaman
Mashoga hata wawe elf clolote
Kam rassia atakuw anaxhambuliw, je yeye hatashambulia na kama ataxhambulia ukrein ye kajipangaje
Marekani watatupia ugonjwa hatari urusi
kwan wew marekan unaiona Kama nn unadhan Urusi ni wajinga Kama wew?
Ingekuwa uingerezaa mngetangaza dk 3
😂😂😂Wao utafikir wamezaliwa Russia
kwann urusi isipige nyuklia ukrain mambo yakaisha
Vita ni hatari akipiga nyukilia Yani vita itakua ya dunia ndio maana anahofia
Wewe usitupotishe wewe mshabiki wa urusi alafu huendani na utangazaji waachie wakina bundala
Hihi sns ni channel ya Urusi kabisa duuuuuh walahi
maana CNN,BBC na zingine ni channel za Marekani walahi
Yaan wanajua taarifa za urus kulilo hata jesh la urus lenyewe😂😂
Kwani mifumo ya wengine ni miĺaini wanaume wenzako usiwatishe kwani wengine hawawezi kupiga wote wanayo nionavyo mimi wote wanaweza kufanya chochote vita usimtishe mtu wajerumano wafaransa waingereza urusi hawa wote lazima waogopwe hakuna mtu wa mkumtisha yeyote ma usa
Ukiona mtu anakuambia tuungane dukapgane na flan na ukakubali jua ww na yy ni dhaifu kwa huyu mtu
Nato iliundwa kukabiliana na urusi
Nikua hawamuwez
Haileee putin❤
Nyinyi SNS kazi yenu kuwasifia urusi na kuwaponda USA.
Sns huripoti kila kinachoendelea hamna sehemu katika hyo video imeiponda US.
Leta na makomboro ya marekani pia sio tu urusi
Marekan makombora yake ya kipuuzi tu hana maajabu kwa sasa
Propaganda tu hatari ya kifaa huoneshwa kwenye Vita sio kwenye MEDIA😂😂😂😂. Mbwembwe tu TEAM NATO TUNAWASOMA TU HAWA PRO MEDIA DICTATORS ILA SISI BADO TUPO SANA MTUGUSE TU MUONE MOTO WAKE KENGE NYIE😃😃
Tafuta ela ule na mama ako wew na NATO wapi na wapi Kama c ujinga tu kuhangaika na mambo yasiyokuhusu
Rusia hana tofauti na 🦬 anayejipishia kwenye mto wa mamba alafu ajui mamba gan atamdaka 😂😂😂😂achana na wazungu yani marekani na washirika wake G7 wale watu balaaa sana
We ni shoga usie jua lolote unafata mikumbo tu
putin uraaaa
Urusi inashindwa kudungua makombora ya ATACMS ya marekani
Yameharibu mifumo yote ya ulinzi ikiwemo S300 na S400.Bado mfumo mmoja tu wa S 500 na Urusi akiuleta nao ukipigwa atakuwa mweupe manake hayo makombora ya Marekani ya ATACMS mifumo ya ulinzi ya urusi imeshindwa kupangua.
Makuma nyie. Atacams nyingi zimepigwa na Mrusi. Ni moja tu ndio imefanikiwa kufika Urusi tena kwa bahati mbaya
Nyie acheni ufala. Urusi amelipua hizo Atacams za kutosha. Ni hako kamoja tu ndio kalifika kwa bahati.
@@MathewNathan-yb2bzmarekani alipiga maputo yanayofanana na hiyo mfumo wa anga
@@user-cw8zn2dn6m putin asingeleta s500 kama america kapiga maputo.Acha kujidanganya ww.
Sawa urusi media tunawapata 😂😂😂 inabidi mbadili Jina la media yenu kwamana sio kwa sifa izo kwa urusi
Daaah jamaa umeona mbali saana,😂😂 nilikuwa natafuta sana hii coment,, yaan jamaa wanazingua maana wameingiza udini na uteam,, kilz siku ni mambo ya urus urus wao wamebase na team Urus,, hivi wanahis kitu chepes mrus apigane na nato nch wanachama 30+
Hamfatilii tu ndugu zangu sns inariport taarifa zote iwe za marekani iwe au urusi fuatilia.
Nyinyi watu leteni habari za muhimu za kutujenga kama jamii za afrika mashariki
Yani nyie wachambuzi mnataka kudanga watu kwamba urusi ndio mwenye akili tuu duniani hao wengine awana silaha acheni kupotosha watuu. Vita inamazara pande zoteee akuna mbabee wanapata hasaraa na pili nyie waandishi mnajua kwenye magala ya majeshi yote dunia au nyie ongeeni mnayojua tuuu msituone ss kengee😂😂😂
Wanaipendelea urusi na wakati ukweli unajulikana kuwa Marekani ndio baba la teknolojia duniani.sasa kama juzi makombora yake ya ATACMS yaliharibu na kuteketeza kabisa mifumo ya ulinzi ya S300 na S400 ndani ya urusi na crimea kiasi kwamba mifumo hiyo ilishindwa kabisa kupangua kombora hata moja la ATACMS na kupelekea kuharibiwa urusi ina nini tena?
Nikujuze tu hilo unaloota likitokea, Russia atanyanyua nyulia hapo hapo.
@@MathewNathan-yb2bzhata wewe pia unajipotosha ivi unazan kabla ya marekan kuitawala dunia alie kuwa anaitawala dunia ni nan
@@MathewNathan-yb2bzkalia hayo hayo ukwel huwa aujifich mdogo wangu kama unamacho unaona na kama unamasikio utasikia tuu
@@MathewNathan-yb2bzsio kweli. Ww hujui kitu.
Slava Russia
Sasa ukiletewa stori ya silaha za marekani utazimia. Watu wengi wanadhani ni urusi tu ndo ana silaha nzito
Letewew unaejua