MAKONDA AFOKA KWA UKALI HADI CHALAMILA AKATIKISA KICHWA, AONGEA MANENO MAZITO....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2023
  • MAKONDA AFOKA KWA UKALI HADI CHALAMILA AKATIKISA KICHWA, AONGEA MANENO MAZITO....
    CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
    ========================
    Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 146

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 8 місяців тому +12

    Hongera makonda umesitisha maongezi kwa ajili ya AZANA mungu akubariki

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 8 місяців тому +7

    Nakubali sana pamoja na mapungufu yake, anamchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi yetu.

    • @lemonadesoldier1377
      @lemonadesoldier1377 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂

    • @jdanny497
      @jdanny497 8 місяців тому

      Yapi...taja alichokifanya kimoja kikawa na positive result

  • @gerishamgonja1064
    @gerishamgonja1064 8 місяців тому +12

    Baba hizo salamu zifike na kwa wakuu wa wilaya hasa ARUSHA

  • @edithafrancis847
    @edithafrancis847 8 місяців тому +14

    Mungu ni mwema akisema ndio hakuna wa kusema hapana, na ktk hii dunia huwezi pendwa na watu wote, chapa kazi timiza majukumu yako

  • @mereyamhomesmariamhomes3464
    @mereyamhomesmariamhomes3464 8 місяців тому +14

    Kama kweli kuna haki masidie mama Warda apate mwanae tafadhali

  • @ericksimon3899
    @ericksimon3899 8 місяців тому +7

    Kwahyo huyo Rc alivotikisa kichwa ndo ukaona upost😢

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 8 місяців тому +7

    Chapa kazi kaka

  • @goodnessmndeme198
    @goodnessmndeme198 8 місяців тому +1

    Hongera kiongozi makonda piga kazi ,kazi iendelee tunampenda sana mama na mitano tena tutampa hakika,kama kazi mama amefanya

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 8 місяців тому +6

    Tunaomb mutusaidie tumpqte mtoto Warda sasa mwez wa 7 mwalimu wema kahonga pesa sijui vip jamani tulia tunaomba😢😢😢😢

    • @FatmaZena
      @FatmaZena 8 місяців тому +1

      Nasikia amepatikana,leo ingia kwenye kipindi cha jumapili tupate mengi alikuwa wapi,ilikuwaje.leo hii

  • @hawa6052
    @hawa6052 8 місяців тому +5

    Sawa mkuu tunakukubali ila kunamtoto WARDA aliepotea tunaomba msaada mkuu

  • @VenaEliki
    @VenaEliki 8 місяців тому +2

    Mnaongea sana maisha yanazidi kuwa magumu kilakitu ghali mafuta umeme vinywaji yaani ninyi mnafurahi sisi tunahuzuni

    • @user-ge3cg4ct9z
      @user-ge3cg4ct9z 5 місяців тому

      Hapo sio serikali bali iliandikwa kukaribia mwisho wa dunia kutakua ni nyakati ngumu Tena za hatari tuombeane tu Mungu atupe mwisho mwwema

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 8 місяців тому +5

    😄😄😄😄MTU habadilishwiii kwa kusemwaa piga kazi Makondaa

  • @richimuniko3578
    @richimuniko3578 8 місяців тому +3

    Acheni wizi haki itawale ndio tutawapenda.

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 8 місяців тому

    hongera sana

  • @sss3s867
    @sss3s867 8 місяців тому +2

    sijaelewa haya maneno kiongozi wa chama cha ccm kusema tz haina vyama vya upinzani. bali ina watowa taarifa

  • @user-fi6og2xm9x
    @user-fi6og2xm9x 7 місяців тому

    Pamoja baba

  • @rashiditembo1574
    @rashiditembo1574 8 місяців тому

    Asante mkuu, Tumevuka,

  • @azizamvungi1871
    @azizamvungi1871 8 місяців тому +2

    Nakupenda dogo Makonda wewe ni mwba

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 8 місяців тому +11

    Makonda you are good! Keep it brother

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 8 місяців тому +2

    Makonda mwamba kabisaa

  • @isihakaliyuma1848
    @isihakaliyuma1848 8 місяців тому +8

    Baba wewe nikiongoz ulieteuliwa na mungu

  • @SamiraameirSamira-qt9yn
    @SamiraameirSamira-qt9yn 8 місяців тому +3

    Mbn hilo jukumu la warda hamlibebi wala hawaambii hio siri kali ahh 😢😢😢

  • @shebbytrante7025
    @shebbytrante7025 8 місяців тому

    Simpendi huyu baba,sijui kwann hafi

  • @user-db4xu7vv1z
    @user-db4xu7vv1z 8 місяців тому

    ❤❤❤❤❤

  • @rosemarymunyi5035
    @rosemarymunyi5035 8 місяців тому

    Coming back strong all the best 👍 👌

  • @gerishamgonja1064
    @gerishamgonja1064 8 місяців тому +2

    Tumepata shida sana madereva bajaji

  • @JamalKhan-le9ud
    @JamalKhan-le9ud 8 місяців тому

    Kazi hiendeleee 🙏🙏🙏🙏

  • @user-ld4ed1kb4l
    @user-ld4ed1kb4l 8 місяців тому +2

    Upo vizr piga kaz

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 8 місяців тому +2

    Ole wenu mumuue hamna jema tunakesha na kumlilia mungu atakufa yy

  • @fredpiter4657
    @fredpiter4657 8 місяців тому

    Hongera Sana makonda

  • @memorymakweta8253
    @memorymakweta8253 8 місяців тому +2

    Chongolo huyu huyu...nchi ngumu sana

  • @linazebadia7555
    @linazebadia7555 8 місяців тому

    njoo arushaaa

  • @jonassemka
    @jonassemka 7 місяців тому

    Apewe ukatibu mkuu uyoo,kipenzi cha wananchi

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 8 місяців тому

    Huyu mwamba mama Samia akimpa ulinzi. Aisee huwa amuanyi mtu Wala amuogopi mtu. Usingekuta NI sheria yupo tayari ata kuzupiga ngumi kwa wazinguaji.😁😁🤣🤣

  • @mossyfimbo3577
    @mossyfimbo3577 7 місяців тому

    Chalamila yupi anatikisa kichwa Chalamila mpya au wa zamani acheni unafiki

  • @immanuelinvocavith1498
    @immanuelinvocavith1498 8 місяців тому +1

    Kiburi hutangulia anguko

  • @samirysahiry5109
    @samirysahiry5109 8 місяців тому

    Kwenye mungu oyeee kimyaaaaaaa dar oyeeeee oyeeweww

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 місяців тому

    Waooo Makonda wetu🙉🙉

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 8 місяців тому +1

    Mungu akisema ndio haiwez kusema hapanaaaaaa

  • @user-pm7pj6zi6q
    @user-pm7pj6zi6q 8 місяців тому

    Congratulations

  • @BakarySalim-xn7po
    @BakarySalim-xn7po 8 місяців тому

    Jamaa anajua siasa

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 8 місяців тому +1

    Mtajua hamjuwiii...mmetimba tena😂😂

  • @zaiboris9696
    @zaiboris9696 8 місяців тому

    usiempenda kaja❤

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 8 місяців тому +2

    NAPE ALIFITI SANA KWENYE HII NAFASI

    • @NunuKupela
      @NunuKupela 8 місяців тому

      Sana sana aliweza mno na Bado akipewa nafas anaweza unaushawishi mzur

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 місяців тому +1

    Ninampenda Makonda..Tumtunze ❤

  • @mchiwakaka8911
    @mchiwakaka8911 8 місяців тому +1

    mungu akupe maishamarefu❤❤❤

  • @sautiisiyosema
    @sautiisiyosema 8 місяців тому +1

    Usituangushe tu binafsi nakupenda sana ila si dhani kama utanishawishi

  • @MariaKegoro-xv2ou
    @MariaKegoro-xv2ou 8 місяців тому

    Jembe

  • @hajiissa9200
    @hajiissa9200 8 місяців тому

    Combread upo vizuri tunakupongeza combread

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 8 місяців тому

    Moto wako ni mkali utaweza kweli kweli

  • @SamiraameirSamira-qt9yn
    @SamiraameirSamira-qt9yn 8 місяців тому +2

    Mbn husemi kitu kuhusu mtt warda 😢😢

  • @Ramadhaningamba
    @Ramadhaningamba 7 місяців тому

    Kwaiyo ata ukikosea kiongea una kua umeagizwaa

  • @nasermeme80
    @nasermeme80 8 місяців тому +2

    Chama cha mapinduzi ni wanyanyasaji kwa vijana kazi yao kuchumia matumbo yao tu ikifika kipindi cha kampen kutudanganya na kofia tu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 8 місяців тому +2

    Makonda tunaomba tu umsaidie mama warda alokuwa akikaa kwa mwalimu wema tunakuomba sana wewe kiongozi shujaa warda kapotea na kapotelea kwa mwalimu wema lakini mwalimu wema kakaa kimya kama hajapotelewa na mtoto

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 8 місяців тому

      Makonda siyo polis, nendeni polisi mkaeleze mtasaidiwa,huko mnakotaka Ni kwenye siasa

  • @japhetselestine2156
    @japhetselestine2156 8 місяців тому

    Unafaa hata kuwa Raisi ndg, una hotuba zenye upako, Mungu wa Mbinguni akutunze na kukuinua, ikimpendeza akakufikishe hata kwenye ngazi ya Uraisi, wewe ni maghufuli namba mbili.

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 8 місяців тому +1

    Mwamba huyu hapa.

  • @Gracemima
    @Gracemima 8 місяців тому

    NILIMUONYA TUNDU LISSU, KUMUTUSI HAYATI MAGUFULI, NI KUWAUDHI WATANZANIA WALIO WENGI. WATU WANAVYO MUSHANGILIA MAKONDA, NI HOPE YA KUONA KAZI YA MAGUFULI KWA SASA INASHUGHULIKIWA NA HAIPUUZWI NA KUONA SAUTI YA MAGUFULI IMERUDI. HII IMEWAPA HOPE WATANZANIA.

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 8 місяців тому +1

    Anae jua uwezo wako ni mkeo.

  • @winfridagama5832
    @winfridagama5832 8 місяців тому

    Nilikumiss

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 8 місяців тому

    Mtoto warda aliyepotea wakuu mfuatilieni

  • @salmahostel903
    @salmahostel903 7 місяців тому

    Makonda tunakuomba uje huku kwetu Arusha sombetini hatuna umeme na ukija una haribu vitu maji miezi 2 hakuna maji lakini bili zinakuja kumbukeni uchaguzi unakuja

  • @jafalishomary
    @jafalishomary 8 місяців тому

    Safisana makonda tunakuamini upo vzr

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 8 місяців тому +1

    WANACHAMA WAMEKUA MACHAWA SIO SAUTI YA WANANCHI WANACHAMA KAZI YETU NI KUSIGIA TU

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 8 місяців тому

    Miaka zaidi ya 60. mnaimba ngonjera zile zile. Kwanini msijiulize ni kwanini hawajakombolewa kama kweli mnajua mnachofanya zaidi ya usanii? Leo umeramba matapishi yako pale ulipomtisha. Natamani akuripishie

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 8 місяців тому

    MUNGU akulinde tupo nyuma yako tunakuombeaa

  • @goodnessmndeme198
    @goodnessmndeme198 8 місяців тому

    Mwenezi msaidie mama watumishi kilio chetu hatutaki hiki kikokotoo tunakufa kwa stress tunataka turudi kikokotoo kile cha awali

  • @tatotato506
    @tatotato506 8 місяців тому +1

    Makonda kaka yetu kunamtoto wetu warda kapotea kwa mwalimu wema tusaidie apatikane

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 місяців тому

    Wakurudishe tu uwe mkuu wa mkoa wa dar madawa ya kulevya ni mengi sanaaaa

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 8 місяців тому

    Chalamila mwenzako atakusaidia sana apo Dar es salaam kazi imempata mfanyakazi 😂😂😂

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 8 місяців тому

    Kumbe bado upo😂

  • @user-zs7wn3xe7o
    @user-zs7wn3xe7o 8 місяців тому

    Katiba mpya tunapata au?

  • @HassanSimeon
    @HassanSimeon 8 місяців тому

    Ila bro dah hay

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 8 місяців тому

    ❤2025 Rais wangu P.Makonda

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 8 місяців тому

    Mama wardaa

  • @wardaridhwankassim4774
    @wardaridhwankassim4774 8 місяців тому

    Mungu oyee tenaa😂😂 Yaan huyu Aktoboa 2025 sjui

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 8 місяців тому

    Taratibu taratibu mzee siasa hainaga sifa kaka, unakula nao unacheka nao na...

  • @hidayaismail-fk1js
    @hidayaismail-fk1js 8 місяців тому

    ila jamaa kazid et mungu oyeee dur

  • @catherineHenryMalila
    @catherineHenryMalila 8 місяців тому +2

    Waliaza hivyo.kwakua wanakujua Umefanya ukatili sana kwa baadhi Raia...kipindi cha magufuli umeumiza wengi...ulitumiwa vibaya...mlilitaja sana jina la Mungu lakini huku mkifanya ukatili...mlikua watu wa kupenda kusifiwa sana...watu wamekunugunikia sana....jitahidi kutumia polite language

  • @Kadebecomedy
    @Kadebecomedy 8 місяців тому

    Baba baba karibuuuuuuuuuuuuu❤❤❤❤❤❤

  • @user-kd9cj8zb8s
    @user-kd9cj8zb8s 7 місяців тому

    Abee

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 8 місяців тому +1

    Unafany ukaseme jela Kwa uov ulio ufanya

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 8 місяців тому

    Mm nilimeshamtumia kink😊

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk 8 місяців тому

    Basi tunaomba kunafamilyi inamtafuta mtoto wao warda tunaomba msaada maanahawa viongozi wengine wameshindwa

  • @athumanihamisi6265
    @athumanihamisi6265 8 місяців тому

    Mama amechemka

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 8 місяців тому

    NAKUAMINIA MAKONDA WAKONDESHE MAPEMA MAJIPU YAMEIVA MENGI KWA VIONGOZI TUMBUA NYAYO ZA BABA HAYATI 👏 😂

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 8 місяців тому

    Yani Chalamila hatoskika tena 😃

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 8 місяців тому

    Akiwemo huyuapa😅😅

  • @evaristkasavaga402
    @evaristkasavaga402 8 місяців тому

    sikioni kinachofurahiwa hapa maana umeme shida maji shida mafuta bei juu nyie mmefurahi tu

  • @maskatitravel
    @maskatitravel 8 місяців тому

    Amechaguliwa tena mtenda maovu wa magufuli.

  • @happypiusi3801
    @happypiusi3801 8 місяців тому

    ,💪💪💪💪💪💚💛💚💚💚💚💚

  • @PaulPyumpa
    @PaulPyumpa 8 місяців тому

    Majambaz wamerudi mzigoni

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 8 місяців тому

    Mama kachoka sasa kaona ngoja awaletee chuma

  • @MariaKegoro-xv2ou
    @MariaKegoro-xv2ou 8 місяців тому

    3:50 jembe

  • @davidtz1320
    @davidtz1320 8 місяців тому

    Bro Ushauri wangu jitahid kubakisha maneno katika uongozi wako binadamu hawana kumbukumbu

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 7 місяців тому

      Binaadamu kuwambiwa ukweli huwa hawapendi siku zoote kwa kuwa ni majizi

  • @yussufsaid8223
    @yussufsaid8223 8 місяців тому

    Allah akupe hidaya uweze kuijua haki na kuifata,chapakaz makonda

  • @lemonadesoldier1377
    @lemonadesoldier1377 8 місяців тому

    Mwizi wa kura anaongea😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @abuumkumbalu9123
    @abuumkumbalu9123 8 місяців тому

    Bashite huyo kaja na Speed

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 8 місяців тому

      Huyu jamaa mama akimpa ulinzi kweli aogopagi mtu. Yupo tayari azipige ata ngumi😁😁😂😂

  • @ramadhaniraphael6955
    @ramadhaniraphael6955 8 місяців тому +2

    Hana jipya huyo

  • @allymasanilo1961
    @allymasanilo1961 8 місяців тому

    iki chuma kisipate uraisi kaz ipo😅

  • @chonjorigesura5511
    @chonjorigesura5511 8 місяців тому +1

    Wewe ni mchapakazi nakubali ndio..!✓lakini kwa mazingira ya sasa...nahitaji kuona utashi wako,pambana tupate umeme na pia ofisi za umma ziwahudumie watanzania kama ilivyokuwa katika awamu ya tano