MCHUNGAJI MSIGWA AMVAA MBOWE kwa MARA ya KWANZA MKUTANONI kwa CCM - AFICHUA MADUDU YOTE ya CHADEMA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • MCHUNGAJI MSIGWA AMVAA MBOWE kwa MARA ya KWANZA MKUTANONI kwa CCM - AFICHUA MADUDU YOTE ya CHADEMA..
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 405

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Місяць тому +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @jdanny497
      @jdanny497 Місяць тому

      Pimbavu hakuna mchungaji kama wewe tapeli

  • @YangaNews
    @YangaNews Місяць тому +10

    Tanzania tuamke huu upuuzi wakna msigwa usituteke ccm imeharibu nchi yetu

  • @MelkizedekUrio-xl1jp
    @MelkizedekUrio-xl1jp Місяць тому +4

    jamani njaaa inatesa huyu ni msigwa kweli

  • @oswadrdaniel819
    @oswadrdaniel819 Місяць тому +4

    Njaa inakuua we lipa fazira

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 Місяць тому +4

    Ila nja nimbaya sana mwanadamu hata anamkana mungu

  • @reginaruta3249
    @reginaruta3249 Місяць тому +6

    Wachungaji hawatakiwi kuwa wanafiki. Futa ilo jina kabisa.

  • @HulumaKisakali
    @HulumaKisakali Місяць тому +3

    Huna maajabu mchungaji mzima ovyo mmbea wewe

  • @user-ou1ls6oj2f
    @user-ou1ls6oj2f Місяць тому +2

    Unajitambulisha mchungaji huna haya hubiri kilichokuhamisha utafutaji pesa huna haya kabisa

  • @omarinyahegs4539
    @omarinyahegs4539 Місяць тому +6

    Hii njaa Msigwa juzi tu unaiponda Ccm unatuchanganya ndg Msigwa kweli tusiwaamini wanasiasa

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Місяць тому +2

    Nasikia ulichukua pesa,Ili ukishinda uenyekiti wa Kanda uibomoe Chadema,Mbowe Hana njaaa amesemwa mengi,Lakini mwamba Yuko imara sana,Utabomoka mwenyewe

  • @user-kg8dn6qr8o
    @user-kg8dn6qr8o Місяць тому +5

    Wa Na siasa Malaya Malaya kama huyu kibaka msigwa mwalimu Nyerere Alisama ni hatali Sana Kwa nchi yetu Hatakiwi kuaminiwa Na mtu mwenye Akili timamu

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 Місяць тому +12

    Njaa mbaya sana, Esau akiuza haki yake ya ukubwa wa familia Kwa CHAKULA tu, Hana tofauti na huyu nyumbu

  • @user-lw3tg3yg5b
    @user-lw3tg3yg5b Місяць тому +5

    Loo hakika siasa ni mchezo mchafu hivi msigwa unaikashifu chadma iliyokupa umaarufu namengine kweli? Ccm kuweni makini mtu huyu hana maana kabisa . Mimi si mwanasiasa na sina chama ila hapa msigwa hufai kabisa.Unajitambulisha ati mchungaji mchungaji gani mnafiki wa kiwango hiki? Mwogope Mungu wewe.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 Місяць тому +4

    Mtu mzima lakini unaongea Utoporoo tu puuzi kabisa
    kwa hiyo unatuona watanzania hatuna akili, puuzi kabisa msigwa

  • @ericksimon3899
    @ericksimon3899 Місяць тому +5

    Huyu sijui ni mchungaji wawap

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r Місяць тому +1

    Tahira hili yani ukishakula hela ya ccm unakuwa boya

  • @user-jg2dy4kb6j
    @user-jg2dy4kb6j Місяць тому +2

    njaa na kukosa uongozi imemfanya afike apo wakimtema ccm hana pa kwenda ndo mwisho wake

  • @tumainieverest9928
    @tumainieverest9928 Місяць тому +3

    mSIGWA NJAAA ITAKUUA MAPEMA

  • @SolomonKaay-gq3gl
    @SolomonKaay-gq3gl Місяць тому +23

    CCM ulikuwa unaitukana kila ulipo fika,leo unaisema chadema haukuwa mtoto useme ukuijua ccm,waombe radhi watanzania wewe CYO mtu wa kuaminika milele.

    • @mkude
      @mkude Місяць тому +1

      Kama hujui siasa hiyo ndo siasa,siasa hakuna adui wa kudumu Wala rafili wa kudumu,kwahiyo usishangae msigwa kwenda ccm.labda kama utakuwa hujui siasa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 Місяць тому

      Solomon yamemfika huyo acha ayamwage hiyo ndiyo Siasa mchezo mchafu

    • @polokotomwalusamba1132
      @polokotomwalusamba1132 Місяць тому

      Hafai hata kumpa dakika kumskiliza

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li Місяць тому +3

    Ata watu huna kitu wewe aibu sana angalia watu hao ndiyo watao kumpigia kura wapo 7 tu msigwa umeisha kabisa

  • @user-bn4br7qm7r
    @user-bn4br7qm7r Місяць тому +3

    Yani hili tahira kweli,kwa hiyo umeona ni bora uungane na wauaji

  • @jonathanakhabuhaya1693
    @jonathanakhabuhaya1693 Місяць тому +2

    Baada ya kuitukana CCM na kuwadhalilisha viongozi wa CCM, wakiwemo Marais, kwa miaka mingi, wananchi wengi na CCM hawakuamini. Huko utatumiwa kama toilet paper na meisho kutupwa chooni.

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi Місяць тому +2

    Simwami mutu kwenye maisha yangu

  • @MarkoFabiano-s5u
    @MarkoFabiano-s5u Місяць тому +6

    Njaa nimbaya

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Місяць тому +3

    Tamaa mbele mauti nyuma shezi kabisa

  • @ramadhanmahongole9293
    @ramadhanmahongole9293 Місяць тому +20

    Hahahahaa njaa kweli ni mbaya sana

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 Місяць тому +2

      Punguza stress kijana wanasiasa sio wenzako, tafta pesa

  • @Anithawilielemi-uh3ww
    @Anithawilielemi-uh3ww Місяць тому +3

    Msigwa anatabia kama ya jamaa moja kwenye Biblia Kwa jina SANBALATI aliyenunuliwa kwa chumvi ya jero akasahau damokrasia aliyowahi kuhapia.

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Місяць тому +5

    Kwani,mkutano huo inanihusu chadema.eleza utakayoliganyis taifa.

    • @user-jr3mg3ko6m
      @user-jr3mg3ko6m Місяць тому

      Huoni aibu kenge wewe Malaya wewe njaa inakusumbua

  • @AbeliIrikaeli
    @AbeliIrikaeli Місяць тому +3

    Madakitari.wa afia.ya.akli.waongezwe jamani
    Apa tunapo elekea wagonjwa wata ongezeka Kwa kasi

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v Місяць тому +4

    Njaa itawamaliza wanasiasa wa nchi hii.

  • @philliminusmugereza5699
    @philliminusmugereza5699 Місяць тому +1

    Peter Msigwa Kawaombeladhi Wanachama Na Viongozi Wa Chama Kikuu Cha Upinzani CHADEMA. Kinacho Tetea Mwananchi Wa Tanzania. Kabla Haujaokota Makopo, Umewakosea Sana Watanzania. Hasa Wanachadema. Siamini Kama Kweli Ni Mchungaji. Unayejua Miiko Na Maadili Ya Uchungaji. Naomba Nikupe Pole Sana. Kwa Hicho Ulichokifanya Cha Kusaliti Chama Kilichokutoa Tongotongo Machoni Na Kwenye Ubongo Wako.

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 Місяць тому +4

    Yaani wamekupa ubunge miaka 10...mwenyekiti wa kanda miaka 5... Leo heti chama hakikufai...
    Kama waliuawa ndugu za watu wa chadema ina maana wauaji ndio hao uliojiunga nao?
    Msigwa mtu mpumbavu sana...

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому +12

    lakini msigwa umesahsu mlivyofanya vigisu kwa zuberi zitto kawe?hizo ndizo sera zao

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd Місяць тому +1

      ZITO HANA LOLOTE ZAIDI YA UDINI NA KUPENDA UKUBWA!!! ANGEPEWA UWENYEKITI TAIFA CHADEMA, ANGEUZA CHADEMA YETU!!! MH. MBOWE SI MALAYA WA KISIASA NI MWAMBA WA SIASA SAFI NCHINI NDIYO MAANA CHADEMA NI IMARA SANA AMEIJENGA KWA HALI NA MALI KWA GHARAMA KUBWA!!!

  • @LesiJama
    @LesiJama Місяць тому +3

    Acha njaaaa msigwa hakuna mtanzania atakaye kuelewa

  • @FrankMwakatundu-cu6bd
    @FrankMwakatundu-cu6bd Місяць тому +1

    Nawahumia sana Watoto wako kuwa .na baba wa namna hii!!! Ingekusaidia kidogo kama NDOA yako na MAFISADI HAO WANGEKUOA kabla hujashindwa uwe nyekiti kanda angalau Wapumbavu wangekupa heshima kidogo,lakini hata wapumbavu hawawezi kukuheshimu kwa sasa!!! HAKUNA ANAYE KUELEWA KABISA KWANZA USO WAKO UMETAHAYARI(AIBU).

  • @LucyVenant
    @LucyVenant Місяць тому +3

    Msigwa unajipya umechoka ,upati ata ujumbe wa nyumba kumi

  • @harunamtiko117
    @harunamtiko117 Місяць тому +2

    Mchungaji, mh we mjinga kwel kuna mchungaji malaya wa siasa km wewe.

  • @DahHodges777
    @DahHodges777 Місяць тому +2

    Bora ungestaafu siasa tu.
    angalau hiyo ingekuletea heshima na utu..ila kwasasa hata namna kuongea umebadilika kwa kifupi unaitesa nafsi..

  • @user-hb8er6dq2q
    @user-hb8er6dq2q Місяць тому +3

    MaFara katka nchi hiibado wapooo eti ili nalo ni lichungaji

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv Місяць тому +2

    Mzeee wa kununuliwa bei cheeeee

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl Місяць тому +3

    Huyo njaaaaaaa. Msipompa cheo huyo shauri Yenu. Ok

  • @SolomonKaay-gq3gl
    @SolomonKaay-gq3gl Місяць тому +3

    Hauna point kabisaaa.

  • @ephrahimkivuyo4275
    @ephrahimkivuyo4275 Місяць тому +14

    Ila msigwa ni mpumbavu sana tena sana we ni mpumbavu mnoooooooo

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 Місяць тому +2

    Wewe ni mchumia tumbo kweli. Lakini pia IQ yako ni chini ya kiwango. Imekuchukua miaka 20 kutambua kuwa ulipotea? Ama kweli hufai, hufai.
    Ongea sera na si chama kingine. Au Huna sera? Hayo ni machungu ya kukosa kura. Pole kaka

  • @xxxl-jf2ji
    @xxxl-jf2ji Місяць тому +6

    Jaman khaaa

  • @denisnjaila2182
    @denisnjaila2182 Місяць тому +2

    Hasiraaaaaaaaaaa usipopata muda wa kutafakari zitakufanya uwe...........

  • @sebastianmakassy8083
    @sebastianmakassy8083 Місяць тому +1

    Mbona umelamba matapishi yako?

  • @rugemalilalucas4533
    @rugemalilalucas4533 Місяць тому +2

    Mavi kiraka unajipya zaidi ya njaa ya asubuhi chooni.

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 Місяць тому +7

    Njaaa mbayaaa

  • @user-fx6zr6ij5y
    @user-fx6zr6ij5y Місяць тому +3

    Huyu mtu naona amechanganyikiwa ata anachoongea akijulikani mpelekeni kwa mwamposa 😂😂

  • @tunumigila8995
    @tunumigila8995 Місяць тому +1

    Wamemwaga mboga, amemwaga ugali.😅😂😂😂😂

  • @kelvinmgaya-gp8jk
    @kelvinmgaya-gp8jk Місяць тому +2

    Njaaaa haijawahi mwacha mtu salama

  • @eladiuspeter586
    @eladiuspeter586 Місяць тому +1

    ,😂😂😂😂 Hiii nchi inachekesha
    . kwa kweli

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 Місяць тому +1

    Nani alimpeleka SA kusoma?

  • @EuniceMadaha
    @EuniceMadaha Місяць тому +1

    Njaa mbaya sana

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 Місяць тому +1

    Kwa uchungaji huo, hakika hukawii Kula Kondoo. Mzee unatamaa. Aminia ulikotoka wamekushepu. Usiache kuwashukuru.

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 Місяць тому +14

    njaa ya madaraka inakusumbua umekula vya sisisem lazima ulipe kwa kuongea utumbo

  • @LaurentMpilu-qe6lq
    @LaurentMpilu-qe6lq Місяць тому +1

    Ogopa sana kupingana na moyo wako, yaani unasema Leo ni jumapili mdomoni, lakini akilini inakwambia Leo ni jumanne

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Місяць тому +1

    Kwenda zako msaliti ww hii ni baada ya kukosa uongozi, tuache na chadema yetu,njaa tuu huna jpya

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Місяць тому +1

    Kwa kweli siamini masikio yangu mpaka nalia yaani umefikia hatua mpaka unamwita mbowe nkurunzinza? Kweli Dunia mayowe

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 Місяць тому

      Kumbuka pia huyu alikuwa mjumbe kamati kuu, hiyo huyo anayemsema Nkurunziza ndiye alikuwa akisimamia vikao vya kumpitisha kwenye UONGOZI wa Kanda na Ubunge,
      Watu hatuna shukrani aiseee

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 Місяць тому +1

    Hasira zina kusumbua huna lolote

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Місяць тому +2

    Miaka kumi Ulikuwa Mbunge kupitia Chadema,Hapo je?Leo hii unataka kuidhibu Chadema yote?Umekufa kisiasa wewe ni Yuda iskariote,

    • @HatibuSozi
      @HatibuSozi Місяць тому

      Usinge shindwa na sugu tungekuamin ila kwa hili ni njaa tuuuuuumchungaji mzima

  • @hafidhhemed1514
    @hafidhhemed1514 Місяць тому

    Shikamoo siasa

  • @lutembekarodi
    @lutembekarodi Місяць тому +2

    Pole Msigwa nakuona unavyoshindana kuulazimisha moyo wako useme usiyoyaamini. UTATESEKA HIVI MPAKA LINI Msigwa? Kwa vyovyote vile huwezi kupata amani.

  • @ndemabhwila
    @ndemabhwila Місяць тому +1

    Umekubali kuongozwa na akili ndogo,?

  • @jescalutahoire8125
    @jescalutahoire8125 Місяць тому +2

    Tunahitaji Siasa za kistaarabu siyo kusemana, haitusaidii wa Tanzania. Tunataka maendeleo siyo maneno

  • @user-lx2lo2lp8m
    @user-lx2lo2lp8m Місяць тому +1

    We kima,nilikushauri mapema shirikiana na chama,ila dhambi itakayokumliza ni kumsakama mbowe,huna muda mrefu,amini!...

  • @AishaNdinadyo
    @AishaNdinadyo Місяць тому +1

    Na ww ulikuwa ulikuwa kiongozi ulifanya nini ww

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo Місяць тому +1

    Kwisha abari yako boraungeamia act wazalendo

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 Місяць тому +5

    Njaa mbaya

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 Місяць тому +1

    Mm sio mwanasiasa lakin mpaka sasa naona mwisho kwako nmbaya,pia hauna mvuto tena hata huko ccm

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Місяць тому +4

    Unakijenga CCM kwani kina hali gani,je kiko dhoofu hali?Hapo umesema kweli CCM imechoka,jaribu kukijenga,kwani kimechokwa na hakipendwi.

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 Місяць тому

    Unajidhalilisha sana, na Kwa kweli hata uchungaji wako una mashaka sana. Njaa imekuzidi.

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 Місяць тому +1

    Huyu ni mchungaji aliasi kazi ya Mungu akaja kwenye siasa.
    Sasa kakosa chadema kakimbilia ccm kutafuta chakula.wa hovyo tuu

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Місяць тому

    Kati ya watu niliowadharau sana tena sana ni wewe Mch. Msigwa. Wewe ulikuwa mpinzani mkubwa sana wa CCM. Leo CCM kuna nini cha pekee kilichofanyika kilichokushawishi kuhamia CCM.
    Mara mia zaidi ungeachana na CHADEMA halafu ukabaki bila chama chochote cha siasa au ungeanzisha chama kipya, na si kujiunga na chama kile kile ulichokinga kwa nguvu zote miaka yote.
    Ni aibu kubwa sana.

  • @user-yo7sj8fs4h
    @user-yo7sj8fs4h Місяць тому

    Njaa inatumaliza sanaa

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 Місяць тому

    Hata SISI CCM TUNAKUSHANGAA mchungungaji.

  • @RBMBAKARI-bv6wn
    @RBMBAKARI-bv6wn Місяць тому

    Huyo ndio msigwa bwana niliwaambia chadema wamejimalize wenyewe.acheni matusi msigwa amefuata demokrasia alipoiona inafaa

  • @muhamadsalim5295
    @muhamadsalim5295 Місяць тому

    Huyu jamaa laaana ya mungu haipo mbali naye

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x Місяць тому +1

    Kuna mafataki wakiona mke amefiwa na mume wao kazi ya nikuvizia kuwatongoza wajane
    Huyu mjane alishindwa kuvumilia hisia Kila la kheri ww mjane upate mapenzi moto

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Місяць тому

    Guud

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 Місяць тому +1

    Duh jamaa karogwa vibaya

  • @user-zg4yz7je8d
    @user-zg4yz7je8d Місяць тому +10

    Akili matakoni mwake yaani chadema kimekupa umaharufu leo unaongea utumbo wako

  • @frankminga9307
    @frankminga9307 Місяць тому

    Inasikitisha hata ccm wenyewe hawajamchangamkia kwasababu wanajua anachoongea hapo sio yeye ni njaa tu

  • @mashakakwembe7482
    @mashakakwembe7482 Місяць тому +1

    Punguza njaa

  • @korogwemandari
    @korogwemandari Місяць тому +6

    Hicho ndicho kimesababisha ukaukosa mwenyekiti wa Kanda?

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 Місяць тому +13

    Loooo, msigwa kwa heri umesha kufa kisiasa hutosikia tena kwakweli kama usemi wako akiri ndogo haiwezi kutawala akiri kubwa kwahiyo msigwa unatawaliwa na akiri ndogo ya CCM hakika njaa haijawahi kumuacha mtu salama halafu angaria msigwa hata hotuba unapangiwa ya kusema

    • @IkoUwasi-it6qy
      @IkoUwasi-it6qy Місяць тому +1

      Kazi mnayo chadema yaani mtu akitoka chadema kwenda ccm eti njaa akili huna ana njaa gani mtu Kawa mbunge miaka 10

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 Місяць тому

      @@IkoUwasi-it6qyNdo nashanga Msigwa amewauma sana chadema Msigwa kwenda CCM 🤣🤣🤣 Msigwa ni mtu makini msomi hana haja na pesa amefata ukweli . Sasa chadema badala mjitafakari kwanini amehama mnasema njaa pole sana ufahamu wenu ndo umekwamia hapo

  • @JofuAmuko
    @JofuAmuko Місяць тому

    YAANI KUKOSA CHEO TU !!!!!! UNAHAMA CHADEMA !!!!! NA HUKO WASIPOKUPA CHEO ITAKUWAJE ???? TAMAA ZIMEKUPONZA, UMEMSHINDWA KWA POINT CHACHE TU,, ETI UMEHAMA, UMEKWISHA HABARI YAKO !!!!!

  • @charlessolomon5928
    @charlessolomon5928 Місяць тому

    Hakukanusha alipoambiwa na msukuma kuw Hela anazo zitumia ni Hela za ccm

  • @emanuelmsangi6686
    @emanuelmsangi6686 Місяць тому

    MTU anasema watu waliuwawa kwwnye uchaguzi badala ya kuhoji ni nani aliwauwa anaishia kutukana upinzani..sasa apo hoja yake ni IPI?

  • @GraceWilliam-d1w
    @GraceWilliam-d1w Місяць тому

    Pole sana

  • @hashimsalum7025
    @hashimsalum7025 Місяць тому +1

    Umefisilika msigwa tafuta kazi nyingine, hamna cha maana unachoongea, hizo ni chuki binafsi

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 Місяць тому

      Ila kawahi mno kufirisika, amesahau KUWA amewaacha kondoo porini

  • @shedrackpallangyo4004
    @shedrackpallangyo4004 Місяць тому

    Kama chama hakufai ilikuawaje utumikie miaka 10 ya ubunge na miaka5 ya m/kiti je ungepata nafasi m/kiti ungetoka kwenye chama weka akiba ya maneno

  • @piusrweyemamu3900
    @piusrweyemamu3900 Місяць тому

    Mbona bado ongea yake ni kana ya Mh. Mbowe hata sauti pia!!!

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 Місяць тому

    Msigwa huyu ni shirika la wapumbavu hajielewi ameshagikoroga ccm ipi sasa

  • @davidmachumu3150
    @davidmachumu3150 Місяць тому +3

    Mchungaji haya maneno unayaongea kwa wananchi wa Dar ,vema. Ungeongea huko mikoani kuliko wa Dar waelewa sana, unaonekana hoppless😅

  • @planetbrand
    @planetbrand Місяць тому +1

    Hata unavyo ongea sera huna!!Hayo ndo umeyaona leo baada ya kukaa miaka 20?😂

  • @user-ue5vf9cy7o
    @user-ue5vf9cy7o Місяць тому +1

    Mmh unaelekea kubAya

  • @wilisonmikate1652
    @wilisonmikate1652 Місяць тому

    Msigwa shukuru hata kidogo kwa walicho kufanyia kumbuka wewe ni mchungaji.

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 Місяць тому

    Haupendez hata kidogo we mbambaishaji tu!!!!