MAKONDA AMUITA JUKWAANI BIBI ALIYEAMBIWA ATAPIGWA "TWENDE WAKATUPIGE WOTE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • MAKONDA AMUITA JUKWAANI BIBI ALIYEAMBIWA ATAPIGWA "TWENDE WAKATUPIGE WOTE"
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 337

  • @HawaRadha
    @HawaRadha 9 місяців тому +5

    Makonda oyaaa m mungu akuweke akupandishe na daraja Inshallah

  • @richardlizomba1291
    @richardlizomba1291 9 місяців тому +29

    Leo umenifurahisha sanaaa..haya mambo ndio mm napenda.. safi sanaaa

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 9 місяців тому +4

    Mungu amekutengeneza wewe mungu ana kuandaa wewe makonda wenda anakwenda kuzaliwa magufuli mwingne eeh mungu tusaidie msaidie mtumish wako makonda akafanye kazi ambayo mungu amemtuma🙏🙏🙏

  • @rodamasanja6601
    @rodamasanja6601 9 місяців тому +31

    Hongera Makonda Mungu akutangulie,akuongoze,akusimamie,akulinde

    • @kunsah2
      @kunsah2 9 місяців тому

      Amen and amen.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 9 місяців тому +19

    Magu alikua anakupenda sanaa alijua tu unamadini❤❤🙏🙏🙏🙏hapa samia kacheza sanaaa jembe

  • @SilasMollel-mp9ib
    @SilasMollel-mp9ib 9 місяців тому +5

    Mtemi ana haraka hakika naziona NYAYO za magufuli ...mungu akusaidie bro. Na kazi iendelee kidumu chama cha mapinduzi

  • @johnjoel5012
    @johnjoel5012 9 місяців тому +27

    Asante Mhe Makonda kama namwona Mhe Makufuli njoo basi na huku Bunda mbn raha

  • @highnessrichard9324
    @highnessrichard9324 9 місяців тому +18

    Mungu aendelee kukutumia vema mhe makonda nakupenda sana ❤

  • @hassanmoalimmuse6014
    @hassanmoalimmuse6014 9 місяців тому +13

    Makonda unatupa tumaini sana sisi watu wahali ya chini kupata kiongozi kama wewe, mungu akulinde na majungu ya wenzako

  • @marymuna5810
    @marymuna5810 9 місяців тому +20

    Jamani Leo nimemona magufuli tena Mungu akulinde makonda baba tutaomba usiku na mchana roho mtakatifu akufunike

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 9 місяців тому +9

    Niliumia sana wakati umetolewa madarak nimefurahi sana kumuona makonda Yuko pamoja na mwenyez mungu ndo maana karudi kazin tunakuombea sana mungu awe mlinzi wako Kwa kila hatua

  • @mwenem8130
    @mwenem8130 9 місяців тому +11

    Umeanza Vizuri, Hongera sana!! ILA NAOMBA UKAWASIKILIZE MASAI LOLIONDO PIA, na umshauri Rais Vizuri.

    • @MCNgakungaJunior
      @MCNgakungaJunior 9 місяців тому +1

      KABISA!MAANA TASWIRA YA KULE HAIKO VIZURI.

  • @Dantaata
    @Dantaata 9 місяців тому +91

    watu wa Magufuli bwana wana vitu flan hv vinatia moyo wallah,, kila la kheri

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 9 місяців тому +7

      SHANGWE LA WATU....UNAWAFANYA WATU WAKUPENDE KAMA WANAVYO KUPENDA TANGU WALIVYO KUPENDA.... NAKUPENDA KITU 1 HUNA UNAFK HUNA MUDA WA KUOGOPEA NAFASI MAKONDAAA BINAFSI NAKUOLEWA KAZ UNAWEZA

    • @mbwanamtessa8607
      @mbwanamtessa8607 9 місяців тому +3

      Haswaaaaaa

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 9 місяців тому +2

      Haswaaaa!

    • @ahmedsdk6736
      @ahmedsdk6736 9 місяців тому +2

      Kabisa yaan

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 9 місяців тому +2

      Hawa ndiyo walikuwa viongozi wa awamu ya tano

  • @mc-stephenmasome6553
    @mc-stephenmasome6553 9 місяців тому +46

    Staili hii ya uongozi ya kutatua kero ana kwa ana tuliimisi muda mrefu, Tanzania iende hivi. Big up makonda ,msaidie Dr. Samia Rais wetu

    • @ibrahimkibira9943
      @ibrahimkibira9943 9 місяців тому +1

      😂😂😂 choko kweli ww amsaidie huyo mama .wakati yeye ndio anaongoza kwa kuwapa waarabu ardhi za watanzania ujielewi ww waulize wamasai

    • @hassankaita1039
      @hassankaita1039 9 місяців тому

      @@ibrahimkibira9943 huo udini na roho mbaya na Chuki unaleta ingekua mzungu usinge ongea

    • @mtewatina9471
      @mtewatina9471 9 місяців тому

      @@ibrahimkibira9943 ndio utukane mwenzako ? Haya upewe wewe Sasa usie na mapungufu. Mbona hata magu mlikuwa mnamnyanyapa na lugha chafu hivihivi laki Sasa mnamiss uwepo wake acheni jamani.

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      ​@@ibrahimkibira9943😂😂😂😂eneo gani mheshimiwa hakimi

  • @mondestaTV
    @mondestaTV 9 місяців тому +1

    Hongera sana kamada comred makinda tunaimani na weye mungu ukupe maisha malefu na 2030 ungobee na fasi ya ulaisi utashida kwa guvu ya mungu na uma namie nakutabilia mema ni katibu wa Modesta dunian Hassan siitta mome iyege ungunibona dumalija tumamaga utagulize umugubha
    Ikikupendeza 30 uonbe kit

  • @HawaRadha
    @HawaRadha 9 місяців тому +3

    M mungu akupandishe saana kijana watu
    Asante mama samiha kwa kumrudisha huyu kijana makonda tumefurahi saana ccmoyeeeeeeee

    • @JophasJohn-oh8zu
      @JophasJohn-oh8zu 6 місяців тому

      Hivi Makonda ni kabila gani maana yuko vizuri kwa kweli

  • @dicksonjonas1799
    @dicksonjonas1799 9 місяців тому +1

    Ninakuombea Mungu azidi kukulinda na kukupigania katika kila Jambo mheshimiwa makonda,,sisi waTanzania tunakupenda sna🔥🔥💯✅

  • @nyandajr
    @nyandajr 9 місяців тому +10

    Magu aliwapika vijana tunaona matumaini ❤❤❤

  • @user-rv7zw7fb7i
    @user-rv7zw7fb7i 9 місяців тому +5

    Hongera makonda

  • @kilingahamisi9386
    @kilingahamisi9386 9 місяців тому +32

    MAGUFULI VOICE

  • @brownmtafya-1505
    @brownmtafya-1505 9 місяців тому +28

    GHOST of magufuliii,🙏🙏🙏🙏mkonda forever

    • @sulemanrashid427
      @sulemanrashid427 9 місяців тому +1

      Ni siasa tu hiyo

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 9 місяців тому

      ​@@sulemanrashid427kweli kabisa SIASA TUPU.
      Hebu kama anaubavu apunguze bei ya Mafuta, kesho yapungue bei
      WaTanzania hatujajua chama na serikali vinautofauti .mkubwa!!!

    • @MrTop-wj7no
      @MrTop-wj7no 9 місяців тому

      ​@@sulemanrashid427tulia utaona

  • @marianampega
    @marianampega 9 місяців тому +4

    Yesuuuu
    Mlinde mtunze mfunike
    Maana neno lako linasema
    Mna hila nyingi moyoni mwa mtu lakini kusudi la Mungu ndilo litakalo simama

  • @joynessmichael1824
    @joynessmichael1824 9 місяців тому +5

    Mpaka Raha Yan unasikiliza mpka unaona Raha mungu awe pamoja na wew Paul makonda

  • @Sulutani993
    @Sulutani993 9 місяців тому +52

    Unaleta matumaini makubwa sana Kwa wanyonge.tunamuona magufuli mpya

  • @vanessajames2192
    @vanessajames2192 9 місяців тому +4

    Sema namuona Magu wangu ndani yako 😭😭😭

  • @mariamlucas6922
    @mariamlucas6922 9 місяців тому +22

    Makonda ishi miaka mirefu baba tumesubili mno saut ya utetezi lakni naona mungu amejibu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 9 місяців тому +2

    Mama Samia hapa kacheza lazima tumpe hongera zake bado sabaya tu team ikamilike

  • @habibarashid2997
    @habibarashid2997 9 місяців тому +2

    Yaan mpka napata matumain kwa kweli mungu tujalie tuzd kupata viongoz kama hawa wallah 🙏🙏

  • @SakinaHassan-eh2pr
    @SakinaHassan-eh2pr 4 місяці тому

    Mashaallah Allah akulinde makonda

  • @user-yx9hn6wv4w
    @user-yx9hn6wv4w 9 місяців тому +3

    Makonda unanifanya nilie nakumbuka mbali sana😢😢 piga kazi kaka na ninauhakika utafika mbali sana

  • @alexanderdustan8872
    @alexanderdustan8872 9 місяців тому +20

    Huyu ndie mtu niliyekuwa na msubiri kwa hamu

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 9 місяців тому +28

    Mama Samia Suluhu Hassan hapa umeupiga mwingi sana kurudisha huyu mtu aisee,,, ikikupendeza fanya mpango na Ally Happi, Sabaya, Medard Kalemani

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 місяців тому +3

      Ishu sio kuupiga mwingi kugundua staili ya magufuli ndio karata yakuuza kwa wtz imebidi arudi tu kulekule alipokuponda awali

    • @user-ii6gs2jg4g
      @user-ii6gs2jg4g 9 місяців тому

      Kwa kalemani kidogo hapana ndugu

    • @mrsab303
      @mrsab303 9 місяців тому +2

      Thanks we need Ally Happi to ❤❤❤❤❤😂

  • @lakaspamedia
    @lakaspamedia 9 місяців тому +1

    Asanteeeee

  • @mondestaTV
    @mondestaTV 9 місяців тому

    Hongera sana kamada comred makinda tunaimani na weye mungu ukupe maisha malefu na 2030 ungobee na fasi ya ulaisi utashida kwa guvu ya mungu na uma namie nakutabilia mema ni katibu wa Modesta dunian Hassan siitta mome iyege ungunibona dumalija tumamaga utagulize umugubha

  • @jabirkasunzu6841
    @jabirkasunzu6841 9 місяців тому +1

    Ubarikiwe 🤲🤲🤲

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 9 місяців тому +2

    Makonda ni Mchapa kazi hodari sana kuwahi kutokea nchi hii

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 9 місяців тому +11

    Unatoa matumain Kaka safi

  • @Ramadhani-ui8hl
    @Ramadhani-ui8hl 9 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu akitangulie kwa kila hatuwa.

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 9 місяців тому +13

    Jambo limempata Mwenye jambo lake

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 9 місяців тому +8

    Makonda 😢😢😢ume ludisha mambo tuliyo ya miss tangu afe baba yetu magufuri

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 9 місяців тому +1

    Mama na Raisi wangu
    Dr samia kongolezako katika teuzi zako zote hapa umepatia nikusii epuka maneno ya wanafki Makonda ni jembe

  • @ruthntimwa5578
    @ruthntimwa5578 9 місяців тому

    Magu wa 2 huyooooooo❤️nakupenda Makonda

  • @theresiamateru6426
    @theresiamateru6426 9 місяців тому +1

    Makonda Asante kwa kumsaidia Mama yangu Samia

  • @lucykilasi1870
    @lucykilasi1870 9 місяців тому +1

    Mungu akutuze daima ❤️ ❤️❤️❤️

  • @user-sw8ww6mc2v
    @user-sw8ww6mc2v 9 місяців тому +1

    Sizani kama nakosea kukupenda mungu akulinde❤

  • @user-qc3ex9pu2b
    @user-qc3ex9pu2b 9 місяців тому +2

    Mama Samia hapa umepata mtu hongera makonda

  • @LufingoMwamwimbe-du5nl
    @LufingoMwamwimbe-du5nl 9 місяців тому

    Hongera mwamba sura ya makonda moyo wa magufuli ehiiiiiiiiii ahaaaa

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 9 місяців тому

    Magufur karudi ,M,mungu amsimamie

  • @JohnZorro-sn4ej
    @JohnZorro-sn4ej 9 місяців тому

    Hongera makonda mungu akuzidishie ufanisi katika nafasi Yako ya katibu mwenezi,ukitoka Dodoma uhende songea mkoani ruvuma migogoro ya aridhi imekisili na wenyeviti wa mabaraza na wenyeviti wa mitaa na maafisa watendaji wa kata bahazu Yao sio wahaminifu,utayakuta madudu mengi

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g 9 місяців тому +6

    Nazani sasa ninaanza kua na Imani kwa mbali

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 місяців тому

    Mungu akubariki makonda

  • @estersilver9872
    @estersilver9872 9 місяців тому +1

    Si hami CCM❤ Hongera sana mkuu 💪

  • @user-wy4fv9vd7w
    @user-wy4fv9vd7w 9 місяців тому +16

    makonda umerudi mzigon😂😂😂😂

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 9 місяців тому +20

    Another Magufuli😂😂

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z 9 місяців тому +1

    Magufuli is back❤

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 місяців тому

    Mungu ni mwema 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 місяців тому

    Makonda mungu akulinde na husda za walimwengu kijana wanangu

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 9 місяців тому +8

    Baada ya samia uje uwe rais nakuombea makonda🎉

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 9 місяців тому +2

    Makonda ni magufur ajae❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉

  • @AyubuKiuongo
    @AyubuKiuongo 9 місяців тому

    Hongera sana kwa kazi nzuri!

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 9 місяців тому +4

    Kazi nzur

  • @FoxJr-lh4fe
    @FoxJr-lh4fe 9 місяців тому

    Huanga nikimuona makonda namkumbuka magufuli mungu mpunzishe kwa aman maguguli mpunguzie azabu za kabuli

  • @Ramadhani-ui8hl
    @Ramadhani-ui8hl 9 місяців тому +2

    Siku zote namkubari sana makonda...

  • @richardchawenda5938
    @richardchawenda5938 9 місяців тому +1

    Asante kaka

  • @user-uf4bc7qs9g
    @user-uf4bc7qs9g 9 місяців тому +1

    Asante Makonda njoo wilaya ya Kilombero

  • @happyfaniabatromeo8010
    @happyfaniabatromeo8010 9 місяців тому +5

    😄😄😄😄😄 kwel viongoz wa CCM ndio wanaongoza kula Rushwaaa📌📌📌na kutotimiza ahad zao kwa wananchiiii❤️❤️🇹🇿🇹🇿

  • @lovenessfrancis5547
    @lovenessfrancis5547 9 місяців тому

    Nilikua nimerudisha kadi ya ccm na kuichukia ccm ila now nimepata nguvu Tena ya kuiamin ccm kwakuteuliwa kwako makonda,narudi Tena ccm Mungu akulinde,hakika Tanzania imefufuka Tena Toka 2021 ilipozima kwakuondokewa na mpendwa jembe letu magu

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 9 місяців тому +2

    Tuanakukubali sana natamani hapo badae uwe Rais wetu

  • @ustadhisimbula8622
    @ustadhisimbula8622 9 місяців тому +5

    Had nimemkumbuka mzee rip maguful

  • @user-ky2sz9tc6m
    @user-ky2sz9tc6m 9 місяців тому +5

    Piga kazi mkuu

  • @whiteAfrican83
    @whiteAfrican83 9 місяців тому +4

    Amkeni
    Nimejikuta nimemiss wimbo wa Ney wamitego 😊😊😊

  • @Mwachanji
    @Mwachanji 3 місяці тому

    Jembe kweli...roho ya magufuli Ii hai🙏🏼🙏🏼

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 9 місяців тому

    Asanteeeeeee mwamba

  • @user-ri2ww9ec1t
    @user-ri2ww9ec1t 9 місяців тому +1

    Nayie wasukuma mnapenda kazi jmn nduuuh

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 6 місяців тому

    Makonda Mme wangu amenidhulumi ardh

  • @mwatelaedward1638
    @mwatelaedward1638 9 місяців тому

    Another Magufuli makonda uko vizuri

  • @MJB-Africa
    @MJB-Africa 9 місяців тому

    Be a next president

  • @simionbirai7851
    @simionbirai7851 9 місяців тому +2

    Tunahitaji,Sabaya,Kalemani na Ally Hapi

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 6 місяців тому

    MAKOmakufuli nyayo za baba mama Ajapoteza kwa msemaji wa CCM ❤❤❤😂😂😂

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 9 місяців тому

    Nyayo za Ayati baba makufuri 👏🙏👍

  • @DoctorPesandegeMgangaTibAsili
    @DoctorPesandegeMgangaTibAsili 9 місяців тому +3

    Kumekuchaaaa Kumekuchaaaa 😊😅😂

  • @wanatangawaja6397
    @wanatangawaja6397 9 місяців тому

    Good

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 9 місяців тому +1

    Nakupenda bure MAKONDA. CCM Oyee. Karudi Jembe letu mtetezi wa wanyonge. Adumu Makonde. Kidumu chama Cha Mapinduzi. Mama Samia safi.

  • @saidkipalo4427
    @saidkipalo4427 9 місяців тому +5

    Kama ni kweli Imekula kwao

  • @wariobatv6708
    @wariobatv6708 9 місяців тому

    Hii ni super sub

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 9 місяців тому +6

    Kivumbi

  • @user-de2rg9kk7u
    @user-de2rg9kk7u 9 місяців тому +2

    MAGUFULI HOYEEEEEEEEE! SPIRIT OF Magufuli is BACK!!

  • @makara6671
    @makara6671 9 місяців тому +4

    Bado sambaya ali hapy kalaman😊

  • @user-ys1kb7zk6k
    @user-ys1kb7zk6k 9 місяців тому +1

    KAZI IENDELEE

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 9 місяців тому +2

    Respect Makonda well done❤❤🎉🎉

  • @josephnkango1905
    @josephnkango1905 9 місяців тому

    Namwona magu ndani yako 👏

  • @anitajacob3641
    @anitajacob3641 9 місяців тому

    nimeanza kukuelewa sasa dili na mambo ayo yaviongoz wanaotumia madalaka vibaya nas kuonea watu wasiokuwa na hatia nimekuoenda tena sasa 😘

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 9 місяців тому +4

    Uyatendayo ni mazuri Ila na rasmali za nchi tufaidi wote

  • @WAKRISTOKANISALAMUNGU
    @WAKRISTOKANISALAMUNGU 9 місяців тому +5

    Magufuri wa pili

  • @SaidiAmiri-qv5ed
    @SaidiAmiri-qv5ed 9 місяців тому +9

    Ninyi Munang'aa raia tunapauka halafu unasema utasimama na masikini dah😢😢😢😢 inaniuma sana.

    • @ezrayohana3541
      @ezrayohana3541 9 місяців тому +2

      Ulitaka wote tupauke kwani wapinzani wanapauka unavyowaona

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 9 місяців тому

      Ww ndio una pauka wenzio tunazid kunawil na tupo mtaan,sasa ww endelea kubweteka subir wakuwekee pesa mfukon

    • @mohamedslh5478
      @mohamedslh5478 9 місяців тому

      ​@@ezrayohana3541swali zuri sana

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 9 місяців тому +1

    Jama figisu hapana tuachiyeni Makonda wetu

  • @hemedmganga8536
    @hemedmganga8536 9 місяців тому

    Nafikili mzee magufuri Amerudi kwa jina la makonda

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 6 місяців тому

    Magufuli aliwaivisha makonda,aliy hapi na sabaya,vijana hodar sana

  • @fanuelkitembe7404
    @fanuelkitembe7404 9 місяців тому

    Ww kweli mwenezi,haya

  • @meryamabdullah2081
    @meryamabdullah2081 9 місяців тому +1

    HONGERA SANA MAKONDA