KUNA UNAFIKI MWINGI KWA WASANII | BAADA YA MHE. MAKONDA KUTEULIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 38

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 10 місяців тому +1

    Huyu Makonda anayo nyota kali sana
    Mlizogazoga eti mgumba Mungu akampa uzazi.
    Na Leo bila kutagemeya karudi kibosi zaidi.
    Msishangae siku moja huyu akawa kiongozi mku

  • @user-uo6bo3ph6g
    @user-uo6bo3ph6g 10 місяців тому +7

    Kwa hasil binadamu sisi wanafk sanaaa,,,,,ndiomana Kuna kauli inasema pata shida ujue rafik idadi ya marafik ulionao😢😢

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 10 місяців тому +2

    Maisha Ndivo yalivo

  • @issackmashauri4577
    @issackmashauri4577 10 місяців тому +2

    Kwanza mulize boss wako makonda bado ni milezi wa wasafi au 😂😂😂😂

  • @johnrington3015
    @johnrington3015 10 місяців тому +5

    Uharisia ndio huo binadam huwa tunabadilika sana ndio hivyo

  • @pilimateleka5111
    @pilimateleka5111 10 місяців тому +4

    Maisha ndivyo yalivyo. Ila Kuna alichojifunza as a human being.

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 10 місяців тому +3

    Sio unafiki, "When you are nobody, nobody sees you. Once you turn into somebody, people tend to see you because the spotlight hits from every angle."-Muddyb Mwanaharakati.

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 10 місяців тому +4

    Makonda wetu ajifunze sana juu ya hili

    • @musason1680
      @musason1680 10 місяців тому

      Sio makonda n sisi ambao tnatizama apa

  • @chachajulius4481
    @chachajulius4481 10 місяців тому +3

    Maisha haya bhana Yana Siri kubwa Sana kumbe usimcheke mtu akichuka hatua Fulani

  • @Gamba177
    @Gamba177 10 місяців тому +1

    Huyo Makonda ni mwizi muuwaji pia msenge.

    • @zuberisalum2004
      @zuberisalum2004 9 місяців тому

      Duuuu achakuhukumu

    • @CikeTanzania
      @CikeTanzania 2 місяці тому

      Wee mwenyewe msenge kenge wewe muache makonda kazi anayoifanya tunaiona

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 10 місяців тому

    Yaani wazembe na wapigaji shughuli wanayo Kwa jembe kurudi chanani Yani sasa ccm yamoto naiyona ccm ilee ya kina nape na comred pole pole ndio imerud ccm ile.wazembe wababaifu shughuli wanayo.

  • @kabwemaembe9827
    @kabwemaembe9827 10 місяців тому

    Levo pia mnafiki

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 10 місяців тому +1

    Wanafki sana

  • @olugundulugemalira2471
    @olugundulugemalira2471 10 місяців тому

    Huyu ndiye kiongozi tunayemtaka anayediriki kushughulikia ishu ngumu!kaukataa ushiga hadharani na kuchukua hatua bila kujali amerika wanasema je ! Mwombee i Makonda atufae watanzania na kizazi chetu!

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 10 місяців тому +2

    Me nataka aje kuyatoa yake magereji ya uswahilini km alivyosema atawapeleka kigamboni

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 10 місяців тому +3

    Kiukweli nimefurahi sana kuona Paul Makonda karudi kapewa ulinzi maana walimsaka sana hadi akakosa raha nimependa sana CCM kufanya kitu kama hicho

    • @user-tw9wu2gz4g
      @user-tw9wu2gz4g 10 місяців тому

      Si ndio wanachokiongelea hao jamaa kuwa ni unafki.

    • @subirajohn728
      @subirajohn728 10 місяців тому

      Sana Sana Makonda❤️❤️❤️

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim 9 місяців тому

    Makonda ndio nani yy ni mtu wa chama hana nguvu yyte serikalini

  • @stivepeter8054
    @stivepeter8054 10 місяців тому

    Baba revo mkumbuke gazi buti hii ni dunia

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 10 місяців тому

    Ila pamoja na hayo mh rais anarocha kiasi

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 10 місяців тому

    Ishi kutokana na mazingira yanataka nn...

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 10 місяців тому

    No moja mwijaku 😅😅😅😅😅

  • @emmanuellongon3136
    @emmanuellongon3136 10 місяців тому

    Hakuna wanafiki kama wasafi ninyi si alikuwa mlezi wenu ,mnajizima data

  • @IbrahDeDonny-lv2lo
    @IbrahDeDonny-lv2lo 10 місяців тому +3

    Mm issue ya Aaliyah inaniuma xana, 😢

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 10 місяців тому +1

      Tatizo nyiyi wanawake mna mambo ya ajabu uko kazini mnataka na mengine km umeamua kifanya kazi fanya usiwe mtaka mengine

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 10 місяців тому

      Yupo tu...na mshahara unaingia kama kawaida. Sijui utakuwa umenielewa???

    • @MikiGermany210
      @MikiGermany210 10 місяців тому

      Kwani bado mfanyakazi wa wasafi

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 10 місяців тому

      ​@@mohammadoman8963kwan kimemkuta nn kk mohamed😮😮

  • @mussamayawa817
    @mussamayawa817 10 місяців тому

    Mpaka nyie wandishi mulikuwa kimya ote nyie wanaa

  • @stivepeter8054
    @stivepeter8054 10 місяців тому

    B levo mkumbuke gazi ndugu yangu

  • @danielnyangasi8808
    @danielnyangasi8808 10 місяців тому

    Kweli Nyani halioni kundulee nyie ni wanafiki tu hata nyie Makonda alikuwaa Mlezi wenu alipotoka nje ya system mkamtupa jongoo na mti wake Leo mnaanza shoboo

  • @hamiyhamadi2613
    @hamiyhamadi2613 10 місяців тому

    Harmonize tu ndio aliimba kasema tuongee namama amrudishe makonda