Underated (Remix) Stamina Shorwebwenzi Ft. Maarifa, Dizasta Vina, Motra, P Mawenge & Boshoo ( Video)
Вставка
- Опубліковано 20 гру 2023
- #Stamina #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina
Video Directed by
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Dizasta vina ni msitu....wa ....VINA....MISTARI YAKE LAZIMA UPITE SHULE....MWENYEWE ANASEMA.....I CAN SCHOOL YOU....kama unamuelewa VINA LIKES ZAKE HAPA
Vina ni kichwaaa, head yan brain 🧠🥶🔥 HE REALLY BELONG TO THE UPPER CLASS 🔥🙌🏽
Balaaa hilo
Aminia 🔥
Hawa wote sio size yake kiakili na mtazamo wa namna wanavyoliangalia solo, ndio maana kajiweka tofauti humpati walipo wao wa kufurahia kioo kama sehem ya kujionesha.
Pande lake moja tu la ki K RS1 AMA RAKIM. Nguvu moja kwa uzima wa mwili na uhai wa roho milele utaishi miongoni mwa wanaoamni na kuishika kweli.
Haraf kaimb sekunde 30 tu
Mpoo wapi mashabili wa dizasta vina like zotee hapa
Dizasta vina kauwaa
Duuh dizasta vina angepewa nafasi mara mbili ni hatari 😮😮😮
Nimeingia apa kumsikiliza dizasta tu likes nying kwa vinaaa
Dizasta kaanza kaa Eminem im in survival mode
Wana wa Dizasta vina tukutanee😂 hapaa
nipo hapa kijana wa vina
Kwa yoyote aloelewa verse ya Dizasta he deserve to be UNDERRATED..wengi hawajastic na topic
Mawenge pia kauwa...
DIZASTA VINA THE KING OF STREET
MZEE ANA BARS NZITO HAZIBEBEKII 🙌🙌
Ivi dizasta ni mtu kama sisi kweli 🤣🤣🤣
😅😅😅
😂😂😂 nomaaaa uyu jamaaa
Hahahaha ni kwikwii
kwa kwanza mm nipen likes zangu🙏🫵🏻
Dizasta + wenge we need another collaboration from them🔥🔥🔥🔥🔥
Dizasta vinaaa
Vina ....should go international no one can be compared to this rapper
Dizasta n past present n future
Niite maarifa misondo😂😂😂
Naombeni like hata 10
Asee Dizasta vina ni habar nyngne 🔥🔥 so underrated
DIZASTER VINA NI ANOTHER LEVEL FROM CBE UNIVERSITY ...MORE LOVE TO DIZASTER
Dizasta na p mawenge wameuwa sana
Nachana kama nmegundua rap 😊😊vina ni 🔥🔥🔥🔥
Dizasta vina on fire 🔥 ❤
Kila siku mnaambiwa HUYUUUU VINA SIO WA KUMUWEKA KWENYE ,,, COMPETITION hamsikiii😂😂😂😂😂 ona alichowafanya🎉
Vinaaa
Umeonaeeeh..amewafunika kibabe skuln them man is a Wenger
STAMINA IS SO MUCH UNDERRATED!!
Sahihi
Jina la nyimbo. Limebebwa na mistarii ya VINA
Vina never disappoint 💥💥
Vina ni shule kwaiyo ina bidi uchukue peni na daftari utoke na kitu like hapa kama vina una jua kafanya mauaji ya halaiki
Vina gottA LOWKEY sh*T🔥🔥🔥
U guyz u have kill it 👌Dizasta & Stamina &p mawenge salute
Dizasta utaniua kws love😢😢😢😢 namkubali inakua mpaka kelo Kama ilikua unaimba na wanafunz wako m niljua mp3 kumbe hata mp4 👊
Huyu Dizasta, P Mawenge Na Motrah! 🙌🙌🙌🙌
Nikiambiwa msanii gani nimpe dada free ( DIZASTA VINA ) anachukua toto la kitutsi rwanda to bongo✊🔥na nipo tayari kununua kazi zake mpya kwa bei yyte kmk🙌
VINA is bringing a DISASTER 🔥🔥🔥🔥🚀🙌🏽
😂😂😂 Vina bana🙌🏽🙌🏽🙌🏽♥️♥️♥️♥️. Lyrically monster aloooo. Dizasta vina 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽😂😂😂😂
1.Dizasta vina
2.p mawenge
3.Maarifa mtoto wa baba
4.Boshoo
5.Motra the future
6.stamina ( Huyu nyimbo yake)
Hizo rank zangu ww je
1. Dizasta vina
2.Dizasta vina
3.Dizasta vina
4.P mawenge
5.Maarifa.
6. Stamina na Boshoo
7. Motra
kumuelewa vina n lzm upate lyrics uyu mwamba haangalii n ngoma ya aina gn ye anaweka uzito ule ule 😀😀
sure
Vina katumia silaha nzito sana kwenye ugomvi wa fimbo
I just found myself having watching the whole video waiting for Stamina's verse😊Much love from 🇰🇪
1. DIZASTA 2. DIZASTA 3. DIZASTA 😎🙌💯✔️
Dizaaast
Vina
vina is underrated
Underated dizAsta kashaua na kuzika
Africa's finest, big up Stamina, My friend Maarifa, Vina is 🔥🔥🔥 Motra on another level P-Mawenge is fire 🔥 plus gasoline, Boshoo is something else Underated is lit 🔥 like hellfire 🙌....
MOTRA THE FUTURE 🔥🔥
DIZASTA WEEEA A YUUUUUU😢😢
1. DIZASTA 2. DIZASTA 3. DIZASTA 😎🙌💯✔️
Vina is of another level.... P mawenge ❤❤
Vina ni mmoja tanzania😂😂😂
Hayo manguo yenu kama watoto wa kike dizasta kakataa kabisa kuyavaa😂
DIZASTA ni T'TCHAA
Stamina Is Another Level Guys Let's Go To Support Them , Good Music Never Dissapoint Our Fans 🎉🎉🎉🎉🎉
Kweli asee afu hapewi uzito wako😢
Vina ni version ya Ace hood wa bongo
Dizasta vina apewe kombe lake
Dizasta💥💥💥💥💥
Vinaaaa
Wasikutishe wakawaida tuu hawana maisha
Walichokuzidi Simu zao nzuri wakipiga picha Boshoo Ninja 🔥✊
Huyu maarifa na dizasta vina wame funika wote.
D vina n nomaaa
Dizasta vina 💪
Daaaah.! Sending love ❤️ from Kenya 🇰🇪 love to my Tanzanian bros
🇰🇪
❤🎉🎉🎉from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 abedi number one ☝🏾 tuna kupenda sana stamina tuna kufatilia hapa usa 🇺🇸
Akili ya vina Ina akili mingi sana🔥🔥🔥 kapewa sekunde lakin ni kaka dakika mbili
Dizasta ni moto sana
D vina..boshoo...mawenge...maarifa
Di dazta vina moto wakuotea mbali kama unamkuli vina gonga like kwa vina
Happy to see Vina akiwa na wana
Wana wnyw kajitenga nao
@@user-cd4dv7wq9g Itakuwa hawezi kuvaa nguo zenye rangi nyingi nyingi kama miamvuli ya zamani
Ndo mkome kumshirikisha dizaster vina 😅
😂😂😂😂 inawezekana kuna watu wapo umo ndani na hawajamuelewa vina
Hip-hop now mikono salama ya DIZASTAVINA
Vina iz anaza man wazee,,🔥
Dizastaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mamae
Dizasta vina underated
Stamina is the most underated rapper but has everything needed in the game
"Mawenge",
U got it bro.
The game is your's P.
True dat!!
Daaah😂 vina kapiga kivywake mwanangu sana booom tena🎉
Oa kama umeirepeat hii ngom ,gonga like apa
Mimi nimerepeat kipande cha black maradona mara zaidi ya mia
My boy Motra baaabako killed that verse,maarifa did justice to the beat ..
I love Disasta Vina.
Boshoo salute
Vina anajua mpaka anajua tena
Vina, mawenge, stamina 🙌🔥✍️
I can school you coz I'm like wanger... Nipo kwenye top 2 n I'm not second😂 Uyu black Maradona c mtu wa kawaida wala c wa sayari hii huyu level zake n za kina Drake🎉
Hatwariiiiii
vina vina vina vina vina vinaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dizasta atengwe aisee🙌🏼
Hawa jamaa wote ni noma sana Big ups Kwa Stamina kuwaleta All underated Rappers.Dizasta anahitaji skio la tatu
Maarifa anasema Mi sio missondo inarudi Misso misondo.Boshoo wao Khanga Moko mi ndio Maulidi Kitenge
wenge anasema atageuka rambo
@@dangomc_niger noma sana
Uyu Dizasta kama J coleeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
DIZASTAAAAA
dizasta Hana mfano namkubali sana sitamina lakn anisamee kama akiwekwa na dizasta
Hahaha kma mm nilivomssliti pmawenge Kwa DIZASTA T'TCHAAA🙌
Vina 🔥🔥
Wote mme Kill it maniger..
halisi ya underrated
Hii ngoma kali sana yaani iko juu sana, mwanangu p mawengeeee umeuwaaaa sanaaaa
Sio kila mada niwe wa kwanza kuzua jamboooooooo
Bonge ya kolab 🎉🎉🎉🎉
Dizasta vina❤ niwakip3k33saana nimnona kinoma yaaan
Ukute huyu dizasta vina ni Allien ila kaamua 2 kuvaa ngozi ya binaadamu philosophy msanii wa Karne respect 💪
"Nipo kwenye top two and am not second" Dizasta vina.
Dizaata🎉🎉🎉
P mawengeeee
Nilifata kuona kama DIZASTA atakunana na madg alio wainspire ila nikajua awez kujichanganya na madg anao wainspire...@boshow @ maarifa😂😂
Dizasta anajitenga sana
He deserves to be special than others
@@felixdizorro7295 sahihi
Dizasta alikuwa wapi mbona hayuko kwenye crew😂
😂 itakuwa bado yupo underground
Ila dizasta ni mbishi sana😂😂
Maarifa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shorobwenzi umeua broo😂😂😂🤗🤗
Hip hop is alive🔥🔥🔥🔥
Hizi ndizo kazi tunazo hitaji..huu ndio ushirikiano tunao uhitaji...mukiwa hivi hip hop itasimama... kazi mzuri...heshima kwako stamina kuja na wazo hili
Boshooo Ninjaaa
Nipo kwenye top two and I'm not second.... JUDGE MWENYEWE --VINA🙌🙌🙌
Wazee uuh mkwaju daa! Aisee mumeuwa kila mtu kauwa
Duh wazee moto mkali ❤
Kama magma
Maarifa 🔥💯
Hapa nimetendewa haki aise wanangu kwenye treli moja❤❤❤❤...mm ndio yule fan mtukutu toka sirisia kenya🇰🇪
Stamina :- "na ndio maana skuizi mapenzi hayatupi pressure ukinitaka unachagua nkupe moyo au nkupe pesa 🔥🔥🔥" Stamina the GOAT kama unamkubali gonga like