Stamina Shorwebwenzi - Msanii Bora Wa Hip Hop (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 26 бер 2024
- #StaminaShorwebwenzi #MsaniiBoraWaHipHop #SlideDigital
Stamina Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/staminashorwebwenzi
Written & Performed by Stamina
Video Directed by Eddy
Follow Stamina on:
/ staminashorwebwenzi
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Bwenzii i'm The one like moree
Hii nyimbo nimeisubili kwa miaka 25 sasa hatimae leo ndo imetoka much respect bro✊🏿
😂❤
Respect
We mzee 😂😂😂😂
Stamina is so dope. I can't stop watching this track again and again.
I am sure he will be #1 soon due to 💖 a u t h e n t I c v i e w s 💖
Umemalizaa kaka atakayebishaa wew sio msanii bora wa hip hop,,,,, mwambie pasta anafelii mtihani wakati Yesu ni jibuu ,,,, awaeziii elewaaa
Kama mkenya Yuko hapa rusha likes stamina moto nani anakataa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Meru -Kenya representing.STAMINA TUNAKUAMINIA toka MERU-KENYA listening and playing the SONG.Stamina to the World 🌍🌍. follow up on
Meru side gani msela✍🏼
@@nathanmurithi01 Meru Kathelwa
@@nathanmurithi01sai kimeshika Colombo
Sana mwana
Wameru tuko hapa
club naagiza soda mbele ya shomar kapombe... staminaaaaaaaaa
Tanzanians in the house aallow us from Kenya to approve this tune,, Huyu stamina hajewai angusha beat
stamina babaaaaaaaaaaaaa
Wakwanza Mimi Leo like zanguu #morotown 🔥🔥🔥
Muitenni kaligraph afeeeeeeeee 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Imefika Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 courage stamina na kukubali sana salute kwako kaka 🙋♂️🙋♂️🙏
Huna mpinzani 🎉
Stamina💥💥💥
Kaka angu stamina huna baya.....kiufupi broo unaweza kwenye game ya bongo.....na hakuna anaekuweza apa bongo ukweli usemwe..... salute sana bro...
Eti mkojo wa shoga..254 pwani wapi like za coast
Baba umekasirka yani mpaka umepitiliza hahaha safi sana kk
Kali ya hip-hop bukavu tuna kubali🇨🇩
He Is The Greatest Of The All Time on Hip Hop. 😀💥... Stamina has Stamina on Shorwebwenz.
Ibweee ibweee ibweee 🙌🙌🙌🙌
Eb jarbu kuvaa earphone alafu ufungulie hili dundo kudadeq utakuja kunishukuru ❤❤
🤣🤣🤣
Stamina ndio mkali wao kwa hii shule🔥🔥🔥 mie sikohoi kama konde 😂 🇰🇪 show me love
wapi like za huyu mwamba stamina
TAYAL NIMEKUPITISHA MKUUUU
hiphop bira metaflow bado haijakamilika, fidq, stamina, contawa, tox fuvu, maarifa,nyoungkiller, bando mc, these are the best lapper in tz
Morogoro moja nakumbuka enzi za kabwela niko sec. Form 1,,,,kuna wakaka wa form 3,,4,wakikaa tuu ilikua stor stamina daaa basi nilikua nasogea karibu ili nijue uyo stamina ni nani love u brooo umepambana sana
Aminia kaka braza umetisha toka zama za kale from kenya listening to this dope rap to the world, got u stamina
Rostam❤❤❤❤
Top ☄️💯
This is big 🔥🔥🔥
Hii Kali big bro 🙌🚀
Sawa kabisa kaka naku kubali sana stamina endeleya na kazi🎉🎉 ness depuis Congo 🎉🎉
oya jamaa kanyooooooshaaaaaaaaaa😲😲😲😲😲
Nepo kijana wako tka unahaz adi leo na bado nakuhamin ujawai niangush respect broo🎉
ALOOOOH KULAANINA Maangamizi kama SHANGAZI kakutana na @KUSAH 😂😂😂 🙌🏾🙌🏾
Umeuwa
Na mwana HipHop bora ni wew tuu broo
Mzee baba sasahivi ndio naiona bongo hip hop, respect my brother hizi ndio ngoma tunataka kusikiliza aisee
Aggressive heavy beats, vina vyenye ujazoo i like this
Nomaaaaaa bro aina haj kuandika kwa herufi kubwaaa🔥🔥🔥
Braza stamina anaga kazi mbaya katika tungo zake,sijawahi ona hip hop artist mwenye rap ya style kama yake...uandishi mzuri..
Umetisha mwamba gongeni like basi
Fundiiiiiiiiiiii HipHop umeibeba beganiii🎉🎉🎉🎉
Mwamba huyu hapa ngoma kali sana hujawahi kuniangusha stamina🔥🔥🔥
Tz kunavichwa asee najivunia kuwabong staa mwenyemadin
Msani bora wa Hip Hop alfu kwenye tunzo anapewa Lunya 😝😝😝
Saruti sana captain unatisha sana sema nn Mzee baba hii punch umeuwa hatariiiiiiii
Oya Umu ndan angekuwepo young killer
Ulijuaje mwanangu
Oyaaa weeeh so poa
dah unajua kuwacollaboresha mzee😁🤙
Kk unatisha tangu zamani. Congo tunakukubali sana . Apa Hona ...
Big up 👏
Brother sitami uko vizuri sana
This is fire 🔥
Umemaliza kaka hata bigblaza wa marekani ameshakiri ya kwamba wewe ni noma 🎉🎉🎉🎉🎉
Mkalii waooo tongwee records
Shobweeeeees Leo umetumia Moro. Moro town dadekiiii... Mbeyambeyaaaaa sikuiziiiiii❤❤❤❤❤❤ chupa kali shabikiii yako wa dhatiii mzeee
STAMINA🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Representing my country.. Representing the whole rap industry... Thumb up my good people 👍
Mvutaji mwenye arosto kakutana na pusha..🔥 Unyama mwingi
Dah stamina hatari kudadek🔥🔥🔥🔥
Satamina ni mmoja tu
On fire 🔥 🤧
Best Hip Hop Song 24 so far
Noma sanaaa 🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Dahhh kila nikiweka bando naangalia hili goma kwnz hip hop
Msanii Bora WA Hip Hop.. 🙌🙌
Oya weeeee😅🎉❤
The masterpiece
From kenya uyu saa ndo king wa rap bongo alafu kwa mix Roma aingie🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hatari sana
Moto❤
Best Hip hop 2024
Kama bongo Bado wanakuzarau , weye njoo uku kwetu baba
Hatariii you kill it
One of the best❤️❤️
Kali sanaaa
Underrated
Best rapper in Africa 🔥
Mistari ya humu ndani ni🔥🔥🔥🔥🙌
Mdogo wanaipigia punyeeeetoooo
Tz wow ❤The only artist who did this in tanzania ni Ay nimetoka kenya but khali need another collaboration with you likes,za mwamba
Umetisha mpaka uku chuga 🎉
🎉Ujawahi kuboa Bwenzi
Qubabakeee..... Anaebisha aje Na hoja ,,,,Shorwebwenzii🔥🔥🔥
Duuh kaka utatuua umetisha Sana
Alf utaskia rapaa namba moja tanzania sjui young nani uko jmn stamina namba zoteeeeeeeeeee sio moja tu
STAMINA gonjwa la Jiji Doctor Mwaka hawezi tibu.....
Hip hop is back pole kwa moni centrozone
🔥🔥🔥💥
🔥 🔥 🔥
duuh aissee mzee baba umechana hatar
💯👌hata siku moja hujawahi niangush
Dangerous 🔥🔥
Hehehehehhee Rapper ! Love from Sydney !!!! Nimekubali
Embu kenya representing mara ya kwanza Tanzania wameweza hapa kali sana
💥💥💥💥
tusameee mr bonventure
Jamaa anajua hadi anakera❤
🎉🎉🎉upewe mauwa Yako kaka
Your fan here master
Gonga like apaaa moro Town
Always ur my no. 1 Hip Hop Artist.
Msanii bora wa hip hop