Manengo ft.Jaivah,Moni Centrozone, PMawenge, Nacha ,Stamina, Frida Aman - Oyah Mzee (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 13 кві 2024
- #Manengo #Jaivah #MoniCentrozone #PMawenge #Nacha #StaminaShorwebwenzi #FridaAmani
#slidedigital
(C) Free Nations
Manengo Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/manengo
Written & Performed by Manengo
Follow Manengo on:
Instagram: / manengo_tz
Facebook: / manengo.tz
Twitter: manengo_tz?s=09
Watch More Videos
Bombaipepee● • Manengo Ft Stamina & M...
Habari●
• Manengo - Habari (Off...
Kwambinde● • Manengo - Kwa Mbinde (...
Jirani●
• Manengo Feat Belle 9 -...
Kwaheri●
• Manengo_ Kwaheri (Offi...
Mbuzi●
• Manengo_Mbuzi (Officia...
Warm up●
• Manengo - Warm Up (Off...
Hayana Jipya●
• Manengo Ft Belle9 & Mr...
Warm up remix●
• WARM UP (Remix)_Maneng...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - Розваги
P Mawenge ameifanya rap kuwa kakitu ambako hakampi shida. Flow, vina, bars,social consciousness 💯
Nacha ,eyoo! Buda like yule rapa wa kesho 😅😅
P mawenge🎉
Nachaaa umeua
Nacha🔥🔥🔥
Goma kali manengo💯💯💯
Kweli P The Mc Ni Rapper Wa Taifa Ila Nacha Na Stamina Jamaha Wamekomesha
Wazee mmeuwa Sana ila mawenge itabid tukupe mtaa au tukuchongee Sanam kiwalani, Kama vip shushen dude lingine🤸
Mamanina NACHA kijana toka nyasubi kahama umeua sana
Banger Hit Noma 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜💜
Aliepiga chorus likes zake ni hapa❤❤❤
P mawenge vs Nacha nataka mje na battle yenu 🙏🙏🙏🙏🙏
Nacha anapitaa 🔥🔥💯💯
Itakuwa hatarii san ✊✊✊✊
humjui p vzr eeeeh @@allysonjohn8578
marumeeeee 👏👏
My favorite rappers 🔥🔥🚨🚨...... bongo noma
Frida aman 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Oya mzeeee
Malume ametisha sanaa👑
Goma limetembea kote wameua ila stamina moto wa kuotea mbali ndo stering wa rapper walioshiriki kuimba nacha wenge central wote wameua na jaivah kwenye corus ...maua yao tafadhali...🎉🎉
Nime jaribu kuacheck Mara 4 kujuwa Nani kauwa nimeshindwa aisee Yaani wote wapo, Ila P the MC mawenge mustari yake ime bezi ndo kauwa zaidi
mawenge 🙌
ua-cam.com/video/EyBLxDK490I/v-deo.html uganda remix luga version
Ni noma sana🔥
Kila mmoja kala, katafuna, na kameza mistar yake
Una sikio nzuri
P mawenge, nacha, mon🔥🔥 gone deep bruuh, wamechambuwa vizuri mada
Watu wamechinja kabsa ..hakuna aliedeka
P mawenge ni level nyingine kabisa kaua sana mistar hadi flow jumlisha ujumbe husika....
Nacha+wengeee noma sanaaaaa
Hii chorus ndio kali salute sana mwamba Jaivah
Oya Mzee Ni Ngoma nkali kabisa ✌️✌️✌️✌️
Nacha umepigaje hapo…. 🔥🔥
Nacha umenyosha sana humu nacha umepigaje hapo
Mawenge mbaya sana nyongeza nacha ☝️
NYANSUBIIII NDANI YA MBANYUUUU🎉🎉🎉
Kawakimbiza sana humuu 🔥💯
Majengo sokon umeuwa umu🔥🔥
Sikutegemeya kama #Nacha anauezo kama huu.bro tukitowa stamina, ww umeua
#NACHA umepigaje apo💪🇧🇮wakukome😂😂😂😂
Aliyesikia akitajwa Perci Tau na Pacome like hapa
Malkia Frida anaendelea ku inspire generation
NACHAAA🔥🔥
Pmawenge,Nacha,Frida,shorobwenz,na mwenye chorus Yake AWEEEEEEEEEE 🔥🔥🔥
Nacha atengweee🖐️🖐️🖐️
Nacha ataree mzee
@@allysonjohn8578 ameshindikana mkuu
Mawengeee
Every bar is lit🎉🎉
Kama umeskiliza vizuri Kila mtu. Kaongelea kuliwa tako japokua kwa namna tofauti
Kasoro shorobwenzi na madam president
Stamina, nacha ,weng, frida amani 🔥🔥🙌
Big up. To all Rap nzuri lets Go #oyamzee
Uwenda hii inaweza kuwa hip hop Bora Kwa sasa mana wamekutana wanahip hop Bora wa kisasa @manengo
Once banger fire on hip hop
Oyaaa wenge nacha nengo naomben like zao hawa wadau🔥🔥🔥
Bonge Moja la ngoma beat Kali kolasi yamoto San, nmependa idea yakumuwek mtot wakike Frida amani mm namfananish na Dej loaf umu kaumiza San....nimerudia ngoma mar mbil nmepat wakat mgum San kujua Nan wakwanz mpak wa mwisho maan wote wamepita vizr nafikir kwasab ya beat Kali inaleta Radha na vionjo vikali San....binafsi nmependa flow za nacha na p mawenge bila kuwakosea heshim wngn maan wot wamepita vzr ila hao wamenivutia Zaid....all in all kazi nzr ❤ congratulations nying kwa Mr T tachi 🔥 🔥
Aisee hy mtu uliomtaja dej loaf mby sn hy kiumbe aisee
Oyaa weeeh mie shabiki wa p mawenge ila nacha Manina zako 🙌🙌🙌🙌🙌
Kubababakeee NACHA umoooooo
Nacha, Mawenge na stamina, mmeua
FRIDA AMAN ❤❤❤
Khaligraph kawafufua banaaa vitu kama hiziii ndio tulikua tunatakaa tulimiss vaibu kama hiziii freshh kabisaa big up eanyamweziiii chidi yu wapiiiìiii😂😂
Ila nacha na p mawenge shenzi nyie watoto🔥🔥🔥
Manengo rasta man
Majengo sokoni🔥🙌🏻
NACHAAAA 🔥🔥
Hivesi inamabrichi kaimendikwa na pakome 🔥
Nacha kaua sana na p the MC pamoja na moni alfu Kuna anajiita God😂😂 mtu mfupiii
Ni got usialibu maana
Gomaa lakwenda
Me legend so msiniweke kwenye list ,😁🙌🏳️ STAMINA
Nacha🔥🔥🔥🔥
Maluuuuuuume 🔥 🔥 🔥 nomaaaaaa
P mawenge amefanya niuelewe huu wimbo!
p mawenge umeua sana🎉
Best rapper ,he knows how to unit artists
Moni cetrozon na nacha wameu 🔥
“Hii verse ina mableach ka imeandikwa na pacoume..”😂🔥🔥 project kalii hii Manengo
Safi sana
Ka kipapa ka kiafande unashindana na berger wakati ni makande 🔥 🫡🙌
good music sio poaa
Wenge 🔥🔥 but all you did 🎙️💯
sina budi ni appreciate wote walioshiriki kwenye huu mkwaju👏
Nacha na Mawenge wameua sana🔥🔥🔥
Nacha kaingia vzr kinoma 🎉😂😂
Hip Hop Tamu Buanaaaa Khaaaaa Big Win Kabisa Hiii
Frida amani dada umekiwasha ..ndio first nakusikia ila uko na talent aiseee
P mawenge na nacha wameuwa sana humu🔥🔥🔥🔥🔥
Nengoooo mkuyun in the house
Moni homeboy🔥🔥🔥🔥🔥
Long live nyasubi ndani ya mbanyu .....kanda ya ziwa manegani kwako mzeee🤝👽
Wanangu wa amani mumeua sanaaaa🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
Frida maua yake apa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Faridaa🔥🔥🔥🔥🙌☄️☄️
Nacha killed this 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
oya mzee hii ni bonge moja la anthem....respect broh
Aisee this trap music 🎶 good 👍 iko na content kali .....wazee hakun kukaa ghetto bila pesa qfuu malengo ...shouts sana kwenu
oya mzeee noma sana, kweli umri unakwenda
Goma ra hip hop la mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥
Rap city, Rock City on 🔥
Sema umelikubali sema "oyah mzee"
Hip hop collab of the year❤
This is amazing, we need more projects kama hizi. EastAfrica OnTop
Wazee mmeuwaaa,mpk sijui Nani kafunika bonge la ngoma
Wote wa nangu lakini mawenge utabaki juu kwa hapa kibongo bongo unajuwa mzee baba
Mon🔥🔥🔥🔥🔥
Hip-hop hip hop for life ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kenya we respect you guys keep up
The man P he is the MC of michano to me!
#Nacha Umekill Ukamaliza Show....
Mucha Love From Kenya...
Kabla sijamaliza wimbo nacha is unstopable
B9nge la hit #pacome. #perci tau
Daaah nacha na p mawenge mmeuwa sanaa
Duuh huyu frida nae mhmh big up sanaa
Conscious sana, old school kwenye replay hapo 2050
Nacha katisha saaan