Dizasta Vina - Achia jala Ft Kaa La Moto
Вставка
- Опубліковано 6 лис 2023
- Official music video of a record Achia jala by Dizasta Vina off the upcoming album A Father figure, Written and perfomed by Dizasta Vina & Kaa la moto & Irene, incredible nory & Gerrard Mhabi
Shot and edited by Dee ayo.
Stream/Download Achia jala
Boomplay - www.boomplay.com/songs/146659...
Mdundo - mdundo.com/song/2725437
Audiomack - audiomack.com/dizastavina/son...
UA-cam - • Dizasta Vina - Achia j...
Apple Music - / achia-jala-single
Spotify - open.spotify.com/album/3xZ5AX...
Genius - genius.com/Dizasta-vina-achia...
Other music by Dizasta Vina
Audiomack - audiomack.com/dizastavina
Boom play - www.boomplay.com/artists/3288611
UA-cam - / dizastavina
Mdundo - mdundo.com/a/2263
Spotify - open.spotify.com/artist/1IC2b...
Apple music - / dizasta-vina
Deezer - www.deezer.com/artist/67967532
Spotify playlist - open.spotify.com/playlist/37i...
Genius - genius.com/DizastaVina
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter/ X - x.com/dizastavina
Facebook - / dizastavina07
sw.wikipedia.org/wiki/Dizasta...
Business: Pan.authentik@yahoo.com
Website - bio.link/dizastavina
Lyrics
Oya
Mwela alikuja nikampiga sound mbumba mbaya
Siwezi lala down town naitunza kaya
Niko around ninavunja taya
Michongo kibao town wana hawakuvuta waya
Achia jala
Ni heri kuyashinda majaribu
Ila kufeli ni kushindwa kujaribu
Baba alifeli siwezi feli pia
Namiliki jina la ukoo sio sheli dia
Siwezi lala njaa itanigaraza
Kwahiyo usiniletee risala achia jala kwanza
Sina kazi nimedandia ndala
Alafu unanikazia fala
Bro achia Jala
Hauna shida ndo' maana unapendeza
Alafu unaniambia hauna fedha
Sikupi kichaka sikupi hata stata utakimbia,
Achia jala ntakupiga mitama utajifia
Sikupenda kuwa vikundi vya wahuni,
Nilikuwa madini ambayo hauyakuti vitabuni,
Nilikuwa mtu kabla enzi zangu
Haya maisha yangu ni kitabu na hii ni peji chafu,
So achia jala
Dingi mwenyewe alitoboka
Madeni kama dhambi milele nakokota
Na alipodondoka nikarithi shida
Ndio maana Kuelewa mtu lazima uelewe alipotoka
So, Achia jala
Sichezi kamali na washua
Nitakupiga kabali nitakuua, sikuachii hata ukisali
Matumaini yako mbali
Nami nipo katikati ya bahari Na mashua
Hauwezi kuwa mtoto ukishazaa
Nina mtoto sasa, sitaki kuuza ndoto ka bidhaa
Mwanzo nilikuwa na ndoto na iling'aa
Lakini bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa
Nilipenda kuwa rubani
Ila mambo ni makubwa ukubwani
Nikaishia kuwa mkulima fani niliyofunzwa nyumbani
Kabla shamba halijakumbwa tufani
So achia jala
Nimekufata tangu Benki najua kuwa una cash
Uliingia ukiwa empty ukatoka na mabegi
Una-act kama Ndezi
Unaniletea undezi nitakuletea ushenzi wewe
Nilichora plan na sikupiga mchele
Wenzangu wa mtaani ni'shazika tele
Najua unahesabu time si ujaribu kurun sijui
Nimeshika gun nitakuchezea shere
Achia jala,
Siwezi kudanganya kuhusu
Haya Madusko hatuwezi kugawana nusu
Usihubiri sisadiki maadili
Maisha yenyewe mafupi na hatuishi mara mbili
Achia jala
Mbunge halijui jina langu
Ramani ya jiji haisanifu njia zangu
Hawajivunii ndugu zangu, Miungu haisikii sauti yangu
Niko peke yangu mimi na gun yangu
Nitaku pah pah
Kisha unione mamluki
Nitakuchezesha mabuzuki
Nishafungwa mara tatu nimetoa roho nne
Utakuwa wa tano, so jaribu kutoka nduki nikuonyeshe
Nipo kazini so achia jala
Nitakutia ngwara ufe
Mafanikio ni kwa wale majasiri
Walio tayari kusubiri ni makupe
Nisikize brother
Ni'shafanya mamziki
Sikuvutia kukusanya mashabiki
Naogopa kuwa begi nishazika marafiki
Nilishalala na maiti nishajiuza kwa shangingi
Nishafunga mahirizi, nishakula mamizizi
Nishafuga Jinamizi mamisuba nikasizi
Nishakuzwa na waizi waliokuzwa na machizi waso....
Mama ananiona failure for life
Na ninamisi kumbatio la wife
Mkwe ananiona bwege, napeleka nuksi malangoni pake
Shemeji ananiona sio type
So achia jala, nitakubia roho nipe jala
Usinizoee usinipe gwara
Unahisi sina maadili ninafata mkumbo bwege
huwezi kuwa consious ukiwa tumbo empty
Achia jala
Sijarithi mali ili nizichunge kama zako
jala ziko mbali nizifuge Kama zako
Wajomba masadali sio wabunge kama wako
Sijaenda shule yako...
I'll fucking shoot you, Achia jala
Nimeshindwa leo sio kwamba nilisinzia jana
Sijakwambia kwamba alisinzia baba
Hakujua mkwanja ni maua mazuri yanafifia ghafla
Achia jala
Hey, so sad hunijui boy, am not of your Calibre
Usituone tu tajiri, wengi tuna suck blood ki-Cannibal.
Msimamo kitaliban, na roho ya kijahidina.
Kama mbwai mbwai ndio utajua mi kikosi kama Pina.
But I won't choose that hata ka' niko street smart.
nna-pure fact nahisi we ni mgonjwa unahitaj.......
Mazungumzo ya wimbo wa #achiajala ni ya kubuni na yamelenga kuchochea majadiliano kuhusu maudhui tofauti ya kijamii kama kanuni za ubaya na wema (moral values), athari za ukosefu wa malezi bora, msongo wa mawazo, ukosefu wa ajira na mahusiano kati ya ongezeko la uhalifu na umasikini. Wasanii wa hii kazi hatukulenga kuchochea maamuzi mabaya kwa namna yeyote. Tunaamini kuwa sanaa hii ni sehemu ndogo tu ya uhalisia na wasanii tunajaribu kucheza nafasi yetu tu kupeleka ujumbe kwa jamii
Shoutout to incredible performance by @incredible_nory kuwakilisha antagonistic role kwenye wimbo. Character aliyechezwa na @incredible_nory amekuwa inspired na a legendary character Robin Hood from 1370’s ballads and tales anayesemekana alihisi kudhurumiwa umiliki wa rasilimali na akachukua maamuzi ya kulipa kisasi kwa kuchukua miliki ya walio daraja la juu la maisha na kuwapa masikini
#DZSTVN
Kaka me ni mwandishi wa vitabu naomba uniruhusu niandike kitabu kwa kutumia wimbo wako wa shahidi & mlemavu
Mhuu Kal sana mtalamu
u know what u do and u r pfct boy❤❤❤🎉🎉
Daaah imekaa poa sana hii track brothers nitaifanya tena kwaajili yenu TAFADHARI
imeenda broo hujawahi kutungusha kwenye kuandika stroy wewe n ibora zaidi ya hta waandika stry za movie bongo hpa take a time weka stry njoo na movie brooo your master mind on this all in all bonge moja la ndoma bonge moja la idea...... @dizastaVINA
Dizasta unajua tz huna mpizani anae mkubali dizasta like hapa %
Kama unakubaliana na mimi kwamba hii Combination inatakiwa irudie collabo nyingine gonga like hapo ili washtuke
Real mcs wamekutana wamefanya real HIP HOP real fans mko wapi? One love from Zanzibar leo kaa limewaka mpaka Zanzibar na Tribulation ipo forodhani
Nilipenda kuwa rubani.. ila mambo ni makubwa ukubwani🙌
(punguza maninja ndo uweze kumkumbatia mkeo) mstari wa maana sana maana ndoa nyingi huvunjika kwa watu wanaoendekeza masela na kusahau familia
Dizasta noma sana kabla ya kusikiliza ngoma yake nieacha like kwanz sababu najua hukosei
Nilikua kijiweni nimepaki bodaboda yangu Ila hii nyimbo imenirudisha ghetto nisikilize vizuri, sikuhitaji makelele ya pale kijiweni. Apa ndo narudi kijiweni baada ya kusikiliza...🙌🙌🔥
Haya maisha yangu ni kitabu,na hii ni page Chafu, So achia JALA😂
Noma sana ..
Waiting Brotherhood
We jamaa,ni nomaaaaa,ukitaka kujua hii ngoma,ni kali isikilize mida flan ivi ukiwa umejichokea na msongo wa mawazoo😩😩
Dude tamu sana lazma vijana tujifunze kujitegemea sio wote walionavyo wamerithi wengi wao wamehustle congratulations to both of you Disasta n Kaa
Ee bhana brother kamaliza poa sana achia jala
30min count down.....
Siku na mwaka wowote kama nikiwa hai kuanzia hii nov/2023 nikipata like itanikumbusha na kunirudisha hapa kuulisha ubongo wangu tena na tena
There you go
Story Taylor kama story Taylor TANZANIA NA WORLD WIDE naamini sana katika kazi zako
ONE minutes remainiiiii wananguiuuu tufurahie kitu roho inaaminiaaaaaaaaaaaaaaaa
Mwenye vina viake 🕊️
Vinaaaaaaaaaaaa
Nilikua nimemiss sana aise haya madini
dizasta ana mfano asee noma story teller master
Mmekutana leo collabo safi sana
Kumbe kaa la moto big up bro
Hip~Hop ipo mabegan mwako bRoo🙌🙌
Naacha Comment leo, nitarudi 2050 nikiwa mzee kuaambia wajukuu wangu kwamba ngoma za Dizasta zimenikuza📌🔥
na reply kwako😎
We msengeeee unatishaaaaaaaaaaaa
Mwamba THE BLACK MARADONA
Kali sana
On trending....
Na wait fundi
Mpaka wasemee kaka ww niwamoto ❤
Noma sana💯💯💯🙌🙌🙌
Oyaa wee hili jinii
Kala moto❤
Vina mzee ni 100%
Hii ni bonge la ngoma good vibe
Bonge moja la tracker shout out to ma man #@dizasita
Here we go
Haya madusko,hatuwez kugawana NUSU.🎙️🎤🎤
Unaweza
DIZASTA BRO WEWW NI ZAWADI KWA DUNIA ME NIMEKULA NGOMA ZOTE HIZI HAKIKA WEWE NI NOMA YA NOMA BROH HAVE LONG LIFE: confessions, hatias, no body is safes, enigma, shahidi, tribulation, muscular feminist, Sina, kesho, njia, last chapter, fallen angel, Yule Yule, gori la ushindi, maabara, word play, verteller, sister, ndoano, mlengwa, kijogoo, mwanajua, kanisa, wimbo usio Bora, achia jala etc... zote hzo zimezidi kuwa baraka kwa dunia.
Nakukubari bro miaka mia nipo nyuma yako razima aachie jala
nimerudi sababu hawa jamaa nilitamani kitambo sana walink up... kama mtu huna skio la ndani huwezi ona hii combination.... kwa haraka natamani kuona more collab btn them than hii moja... sAFI SANA @KAALAMOTO NA @DIZASTAVINA sana brothers.. sio lazima watu waonekane uchi au ziimbwe content za matusi ndio tutrend noooo..... keep on going vina.. time will tell mzee.. i believe this gonna make them notice kwamba HIP HOP is still alive n nobody can against this sababu hata trending imezama bila kick na snare... HIP HOP IS GREAT LIFE AISEEE
Kitu moja kali zaidi na ngoma za Dizasta, ukianza kuiskiliza ata kama wewe ni mtu wa mbwembwe unatulia kwanza na unaanza kuwa conscious🙌🙌
RESPECT genius 👏👏👏👏
Meru Kenya we salute 💯
Nonde sure skills mine
Wala siachii Jalan Leo no.
Kakae kule kwa akina whozu na kina bonge la nyau.. siachii jala bro
Heh! Yoh bro,
Ila kaa la moto ni mbad uyu jamaa all in all dizasta tujengewe Sanamu lako mamayeeee
Dizasta vina recpect brad namuona skubi mtu mbaya
Madini mengi sana humuu
Nakubal kaka hatar saana
Dizasta Vinna❤❤❤❤ unajua ninja
Huyu jamaa wa vers ya pili ya yeye kauwa kinyama Daaah!
Dizasta Rapa pkee aliyebakia bongo
EA anthem “lakin bahati mbaya mtoto hawezi kula ndoto ikija njaa”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇰🇪black you don’t have to bend knee ile ki uncle tom ,,, kipaji + maarifa+juhudi+ubunifuu= DIZASTA
Duuh! Huyu Kaa La Moto! ASEE! Mmekutana Wote Magenius Wa Uandish! 👏👏👏
Nai Subiri mwalimu
Daahh!!! Dizasta sikupingi kaka
Mwalimu wangu 🗽
Combination ya akili kubwa kwenye ukubwa wa maudhui real recognize real the big chemistry of hiphop 🙌✊✊✊
Oya wana tunakukubal dizasta achia mawe acha ukimyaaa
Unajua mpaka unajua Tena anyway achia jala
1day na viewers ni 24k yasipoe haya machakula ya ubongo inatia moyo sanaa ❤ wana hip hop wote tukaze tufike 1M subscribers tumsapoti dizasta azidi kutupa madude ya ubongo
Nimaaaaasaaa tiche
Kaa lam moto kauaaaa
Big up broo
Daaaah. Kaka kwa hiki chuma aseeeh!! Ni atr sana. Yan ni zaidi ya darasa. Mungu akujalie zaidi kaka
Nilipenda kuwa ruban ila mambo nimakubwa ukubwani..... Dah kweli Hip Hop shule
Wakali ndani ya track moja
Nasubir ngoma ya akili ili nijifunze kitu👊🏿👊🏿👊🏿
Nomaaa sana
Lecturer wa Mtaa👂👂💥💥💥
One my favorite story teller salute bro achia jala
Duuuh !!! We Dizasta wewe
Uwezo wa dizasta unajulikana kuwa ni next level,, ila leo nimejua kuwa kuna KAA LA MOTO nae ana verse moto balaa
Hata mm pia❤
Kuna tofauti kubwa kati ya fid q, geez mabovu , gwair pamoja na wewe. But iyo tofauti ndio wewe halisi .
Ngoma kali kaka a.k.a The Verteller
NAAAMH HONGERA SANA KWA KAZI YENYE UJUMBE
haikupita hata sekunde nsilie
nikitamani mpaka ardhi ipasuke niingie
Big up mr
Noma Sana
Dizasta we Noma sana
Namiliki Jina La Ukoo Sio Sheli ✨
THE GREATEST OF ALL TIME..HUTAKI PITA HIVI
Shukuru leo kakaako nipo so school iz free, this iz the real meaning of school🤞thanks black Maradona🎉
Dizasta umeangamiza shout out kwa kaa la Moto
Haipingwi mwamba wa Kali🙏🎵
255 na 254 on top nakubali kaa la moto kiumbe
Mwanangu nyimbo zako kapenda brother sio mchezo
Ngugi 🔥 🔥 🔥
Dah kweli kusingelikuwepo Taifa angelikata Tamaa Nyerere
🤙
Unajua Kwa marapa hatar huyu mwamba aseh anajua ngoma zake zin jumbe sana aseh
From 🇿🇲
Daah noma sana
❤❤❤❤ achia jala
siachii jala broo
Humu kuna shule sana na hii ndio Hip Hop
Najua itakua ni shule,nasubir muda