Leo naenda nawakati kesho naenda na wapembeni........asa shuka la nini wakati mgeni mwenyewe maaasai.....kifua cha uji wa ulezi.......roma wa nini huyu kwanza unamficha kwa voko acha wadiscuss.uhisi unacho ambacho huna .......10/10 unajua mzee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
@@saleheabdallah5461 wenye uelewa mdogo ndo huwa wanamshabikia mbuzi sikiliza verse ya kwanza ni album mbuzi kagoma kwenda 😀😀😀😀👇👇👇ua-cam.com/video/4IIgtXoVtQg/v-deo.htmlsi=MzNKfGkrMHv17B-V
Na hizi sio habari za sahizi, ni habari za baadae, mwenyekiti si ukae, ama kauka nikuvae, kumbe familia, oya hae hae hae, mamamaeee mzuka upae, ngoma itambae, oga ung'aaeee🙌
Hili goma kweli halinaga swaga ila ni msumali wa moto kwa wanaolopokalopoka kama mtoto wanaokiita lunya ila sijaelewa ishu ya Loma hapo dah ila hili ni jiwe ❤❤❤❤ Kama Kuna anaepingana na hiii ngoma basi kaenda na wapembeni akati sisi tunaenda na wakati🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
UZURI NI KWAMBA HUYU MSUKUMA HAJAWAHI KUKISS AZZ YA MDAU YOYOTE ANAAMINI KWENYE TALENT YAKE..... something many Tz cats cannot live without. binafsi im happy we still have main stream rappers who can speak their minds without hesitating about wadau fake waliojaa drama. (mamae akina Petwoman)
Kitambo sana hatukuskia michano kwenye beat ya real HipHop #Bum,ku,Ba Thanks for this Msodoki You are my Idol since day one ❤💥🔥 #Goat @self.discpline.sio.kila.mtu.kapewa😎🙌
Kwa mara ya kwanza nimecomment kwenye goma la mwaka nikiwa wa 3 hili goma ni kali Paragraph na Young K....... wakisikia hii watajichimbia sehemu walie
Kichaa katoka mirembe watoto wadg wot tulieni 😂😂
Yeah
Lunya kajichanganya kwa ngosha
Msodokiiii
Naona mipira inachezewa sheli
Mimi fan ya huyu jamaa tanguy dear gambe...nawaombeni likes from KENYA😊😊
Disi yanga izi extravaganza 💪
Jamani naombeni na mm like zangu huyu jamaa fire 🔥
Mr sinaga swagga mm Leo ndo nime anza Ku kufatiya naomba like Ili moyo🫀🫀 uzame kwako miLele Amina boy from DRcongo 🇨🇩🇨🇩
Disi yanga izi extravaganza 💪
Sjawahi kuomba like, ila kwa ukali wa hii ngoma naombeni ata moja tu
Disi yanga izi extravaganza 💪
walio sikiliza mala mbili kama mimi tujuane kwa like
mie zaidi ya mara tano
ivyo yani
Dangerous
Disi yanga izi extravaganza 💪
Bonge ngoma
Kutoa ni moyo,,,so Figo ni kujumlisha,,,like zake jmn
Nyimbo Zake kumi ni sawa na iyeeeee
Disi yanga izi extravaganza 💪
Leo naenda nawakati kesho naenda na wapembeni........asa shuka la nini wakati mgeni mwenyewe maaasai.....kifua cha uji wa ulezi.......roma wa nini huyu kwanza unamficha kwa voko acha wadiscuss.uhisi unacho ambacho huna .......10/10 unajua mzee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅
Naombeni hizo like mimi ndo wa kwanza kucoment hapa 👑
Disi yanga izi extravaganza 💪
Disi yanga izi extravaganza 💪
Acheni Kumfananisha Huyu Msukuma Na Rappers Wenu Wa Ajabu Ajabu!! ✊🏾
Sure
Mtaje tu kutomfananisha na lunya😅
Disi yanga izi extravaganza 💪
Sasa msodoki ww babalao from now and on kama unamkubali mwanetu gonga lake zetu hapa mwanza mwaza 💪
Félicitations Artistes Young msukuma Im from Congo drc 🎉🎉 🇨🇩 On ensemble
Yule young nasikia " kwao ana BA KWA NYUMA" HIyo imeenda kabisaa😊
Mhuni sana huyu mwamba hapo basata hata kwa tebo ya 2 haishi hiyo 😂😂😂
Home. Boi
nilikuwa naitafuta hii comment
Su - MAKU
Bila d mbili
Tulio rudia kuskilza zaid ya mara 5 tujuane😅 kunawatu wametajwa humu😂
Alafu kuna kijamaa kibana pua kelele nyingi kina kuja kushindana hapa chizi kweli yule KING msodoki 1 tuu........SINAGA SWAGGA 7💥💥🔥🔥
Oya huu ugaidii tuliukosa kitambo sana 👊 SKUDAI TENA🚶
Disi yanga izi extravaganza 💪
Kama unatoka Kenya 🇰🇪 na unamkubali killer weka like
We mpumbav huon tumedisiwa 😂😂😂
@@SammyTv-zx7bynae alidiss pia
Disi yanga izi extravaganza 💪
Young killer stail zako za video huwa zinanikosha.... Kama wiz khalifa vile🙌🙌🙌🙌
Disi yanga izi extravaganza 💪
Hakuna kinachosalia mfukoni kwa sababu hakuna kanisa, nipeni hizo like sasa
Hapa akimaanisha nini?
😂😂😂😂usinitunishie kifua kilicho jaa uji wa ulezi😂😂 young killer 🙌
💥✌ mu uwe alafu uni atchiye ni mzike oyo dogo na izi rapu kiswahili zakongo zilizo na machango ya lingala
Haturudishi walioenda tuko bize na waliopo🔥🔥🔥🔥
Mzigo WA🔥 saaana
@@Georgevasco-ld8be 🔥🔥 hizi ndo Ngoma zinazoishi
@@SidniAlly hukuti ikichuja Leo wala kesho🔥
Yaaah mahn🔥🔥
Usiwe kama stranger mwili huwez jengwa Kwa kokooto 😅😅
Rap shit wakina naniii waje waibe maujuzi na album zao mnovuuuu,,,gaddam hii ni like shwaaa😂😂
From drc🇨🇩 kama unamkubali youg killer msodoki weka like apa 👍👍👍👍🔥🔥🔥🔥🔥
Disi yanga izi extravaganza 💪
Hawana vigezo vya kuwa wapinzanu🔥🔥🔥
Tushanyoa vichwa vya habar afu mipango tukasuka🔥🔥
Nilijua ni mwana kumbe we kundu-wamzimbazii😅😅
Disi yanga izi extravaganza 💪
Tuliorudisha rudisha tena kusikilizia mstari wa nyuma like hapo.... Me sinaga shobo hata Kwa nasibu abduli..😂
Gonga like acha udwanzi ww ,,,Ngoma ya moto hii🔥🔥🔥
Unajua sana mwanangu hii ngomaa ni album ya mbuzi kagoma kwenda😂😂😂😂
Naona mbuzi kajisfia mmemsema ila young killer kajisifia ila mmenyamaza
@@saleheabdallah5461 wenye uelewa mdogo ndo huwa wanamshabikia mbuzi sikiliza verse ya kwanza ni album mbuzi kagoma kwenda 😀😀😀😀👇👇👇ua-cam.com/video/4IIgtXoVtQg/v-deo.htmlsi=MzNKfGkrMHv17B-V
Hahaha we jamaa umefanya nimecheka sana
Mbuzi kila ngoma anajisifia
@@saleheabdallah5461ujue killer anaongea facts ila lunya kila ngoma jau😂
Sanaaa msodokii🔥🔥🔥
😭 I can't stop crying like a kid, We jamaa unajuha mpaka unakera. unajua..kuandika mamae!
Namuomba ..mungu Afanye tufe siku moja.
ngoma ni kali sasa na shangaa huwa mnaomba like zanini kwani zina wasaidia nni come on guys 🙌
Wanakeraga hao jamaa
Asiyemwelewa huyu dogo akapimwe akilo
nakukubali sema tatizo unarudia vense sana brother aaha yaan ngoma zako karibia nusu lazima Kuna misitari unarudia sana
Na hizi sio habari za sahizi, ni habari za baadae, mwenyekiti si ukae, ama kauka nikuvae, kumbe familia, oya hae hae hae, mamamaeee mzuka upae, ngoma itambae, oga ung'aaeee🙌
Eti ana-bakwa-nyuma "ana bar kwa nyuma" punchline 🔥
Naamm Hii nyenyewe kabisa.hii ndo Ngoma bora ya rap Kwa mwaka 2024
Nilidhani friend kumbe we-kundu wa msimbazi😂😂😂😂
USAMAKI sio UNYAMA 😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
We kweli sukuma😂😂
Sijawah pata like wakuu ata hii asee...sema me mchoraji nipeni subscription wakuu wekeni na Oda ✏️🫶🏾🇰🇪🇹🇿🇹🇿
Disi yanga izi extravaganza 💪
Huyu jamaa anamjua sana kuimba❤❤
Dude la mwaka sio wale wanna jiita buumzii 😅😅😅😅 msukuma mjanjaaa 🙌🙌🙌🙌📌🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑👑 NIMMOJA TZ 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Hili goma kweli halinaga swaga ila ni msumali wa moto kwa wanaolopokalopoka kama mtoto wanaokiita lunya ila sijaelewa ishu ya Loma hapo dah ila hili ni jiwe ❤❤❤❤
Kama Kuna anaepingana na hiii ngoma basi kaenda na wapembeni akati sisi tunaenda na wakati🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mkali sana uyu jamaa
Na waamini wasukuma ndio wa kwanza kugonga pas nakuingia Nairobi 😎
kama kutoa ni moyo basi figo ni kujumlisha,,,mkali wetu a big fan from 🇰🇪❤😂
kama unaamini msodoki is the rap God leteni likes. From kenya young Lunya tunamvalisha dera
Sio kila Young ni Killer!!! Sio Michano tu hata Futaa hawakuwezi.. 🎉🎉🎉
Nyieeeeee 🙌🙌 we here again Msodokiii mwanangu wewe haunaga shobo naelewa kbs
Hili goma ni kali sana, naomba likes za killer na producer wake palla midundo 🔥🔥🔥🔥🔥
hip hop music 🎶💪🎧😊
nimziki imara sana
umejaa tungo zakutosha
nimziki ambao hiwezi kuedit 😅
good music lives forever 🎧☺️💪
msukuma mjanja haturudishi walioende tuko bize na waliopo
Apo 3:03 np
nime sikiliza mala 100 naombeni like zangu
Unafki utakuua..
Disi yanga izi extravaganza 💪
Dream come true unatak kuwek heshima baa kwa buku🎉
Wakukaya🙌 super mwenye nyota sio waganga wa tangawizi😀
Young Killer Mwanza Mwanza
Young lunya ni mpiga kelele tu broh bendachiiiii zeee la kuedit😂😂
@@Science-concept1234 Iko waziii!!!!!!!!!! Damu yang
Wanaonipanda kichwani wananipa siti ya dirisha💥💥
Sawa kabisa ila umekawia kuwa jibu...💣💣💣🔥🔥🔥🔥🙌🙌ingine kama hiyo msukuma mjanja
Kuna mstari mmoja sizan kama kuna yeyote kauelewa kanasema ... Mwenyekiti si ukae, au kauka nikuvae... daah killer ni muuaji
Hapo ana mana gn
Kuna mxtar unaxema. No cap no mzula ki alhaj🙌🙌🙌🙌
.nguo n moja kila siku anavaa iyoyo..ndio maana ya kauka nikuvae so hapa mwenyekiti hawezi kukaa coz nguo alovaa bado mbichi haijakauka vizur 🙌🙌🙌
😂😂🙌🙌🙌🇹🇿
😂😂😂 rapper wangu Bora wamda wote 😢 nakubari 🔥🔥🔥🔥✊ day yes tutasimama ote on stage
Huyu ndo kendrick lamar wa 255😈🔥🔥🔥
Hamna Kendrick apo😅😅😅
Mtoto wajana huijui hip hop bola uvunge tuu😂😂@@dadyvypa
UZURI NI KWAMBA HUYU MSUKUMA HAJAWAHI KUKISS AZZ YA MDAU YOYOTE ANAAMINI KWENYE TALENT YAKE..... something many Tz cats cannot live without. binafsi im happy we still have main stream rappers who can speak their minds without hesitating about wadau fake waliojaa drama. (mamae akina Petwoman)
Bonge la Biti... limeadhibiwa na Ma - Punch 🤜💥🤛 Kutoka Kwa Msodokiiiiiii... "Ma-Young Wengine hawana Madhara kama Kuvua Nguo Mbele Ya Kipofu" 🔥🔥🔥
Kumbi leo mtazamaji Kula chuma😂😂 mama maeeee
Classic sounds sio kila young ni killer 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤜🤛💪
THe GREATER RAP of Tanzania 🇹🇿 msodoki❤❤❤❤ no swager kabisa🎉🎉🎉
hili pini nilikuwa sijalisikiliza khaa.. ni🔥🔥🔥 mbuzi kagoma ajipange kwakwer sio young ni killer tofaut na killer mwenyewe.
Bongo hiphop ni mmoja tu MSODOKI
😂na DIZASTA
Kumbe We Kundu wa msimbazi 😂😂😂😂
Mwenyekiti si ukae au kauka nikuvae.... Killer Zenj tupo pamoja Bro
Achana na anavocha chana hanaga swaga kabixa, big killer num one, leo kivumbi leo mtazamaji haya kula chuma 😮
Always kaka we ni mkali nakukubali sana na mimi ninaimba kama wewe young killer forever sinaga swagger
Content hatr saan mkal!killer always killing bro
Gonga like kwa killer wanang🙌🤝
Oyaaa weeh nimesubir sana hii midondoko ya mzee killer aiseee oya ni moto tu kmk💥💥🔥
Msodokiiiiiiii 😂😂😂😂
The sun 🔥🔥🔥🔥🔥
Nilichokaliliumuuu mpak saiviii we kundu msimbaziii na maku😂😂😂
killer mtu makini muda wote na ngoma kali imetulia 🔥🔥🫂✅✈️🇺🇸
It’s time to wake up!!! Young killer msodooookiiii shoutout Sanaa kaka 🤛🤛
YULE YOUNG NASKIA ANABAA KWA NYUMA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 , baba huu mstari umetisha sana
Young killer najiskia fahar sana nikimwita young Pele maana hip hop inamjua mpaka inampa siti ya mbele. ❤❤❤❤ salute young Pele killer.
Huyu ndo msanii wa hiphop ,tunae mheshimu,
Umekunya sanaa humu😊😊😊😊
Kawanyea kinoma yan
Aminia san kijana wetu.. Wanadai haki wakat haki cku hzi hailipi
Kali sana bob
Dah! daah daah daaaadadada🎉 maua tu
Huyu ndio youngkiller sasa naemjua mimi 🙌🙌🙌
🔥🔥🔥
Kwenye ukweli tuongee...
Dude kali...
#competition muhimu lakini ✌🏻
My favorite rapper 🙌🙌🙌🙌🙌
Kendrick Lamar wa bongo💪
Ni ni mr rapa na raba unaweza hadi umezidi kipimo bro 💯🤸♂️
Yani minaga swaga kabisa😂😂😂 Young killer
Tunao sema ngoma kali like hapa
jamaaa utengwe bongo co level zako kaka unajua adi unakera
This work is the masterpiece, killer anajua mno.no body like this dude
Bado levels zako chini (village)khaligraph international 💪💪
Kitambo sana hatukuskia michano kwenye beat ya real HipHop #Bum,ku,Ba
Thanks for this Msodoki
You are my Idol since day one ❤💥🔥
#Goat
@self.discpline.sio.kila.mtu.kapewa😎🙌
🎉🎉🎉🎉 oya hupingwi mzeee kkkaleee sanaaaaaa
Achia ngoma nyingin baba uwanyamanzishe marapa wanaopigq kelele
Mamaeeee huu ni moto mkali sana, zaidi ya album nzima😂
Bado sana...pambana na Lunya kwanza, OG sio size yako bro
"Kama kutoa ni moyo basi figo ni kujumuisha"🔥🔥🔥🔥🔥