Stamina Ft Atan - ASIWAZE (Official Video) Sms 9560614 to 15577 Vodacom Tz

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2020
  • Stamina Featuring Atan
    Song Asiwaze
    Audio Produced By Bear (Kiri Records)
    Video Directed By Deo Abel In Dar Es Salaam, Tanzania.
    ALL RIGHTS RESERVED.
    Safina ► • Stamina Ft Barnaba - S...
    Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
    Kibamia ► • Video
    HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
    Kaolewa ► • Rostam - Kaolewa (Off...
    ParaPanda ► • ROSTAM - PARAPANDA | ...
    Kijiwe nongwa ► • Rostam x Nay Wa Mitego...

КОМЕНТАРІ • 6 тис.

  • @user-us4tg2it5q
    @user-us4tg2it5q 3 місяці тому +69

    Tunao endelea kufatilia Goma hili hadi 2024 gongeni like hapa

  • @peteradonga7668
    @peteradonga7668 4 роки тому +936

    Skizeni ujumbe wa Stamina kwanza LIKES mtaomba baadae..

    • @davidsedekia1337
      @davidsedekia1337 4 роки тому +8

      Nataka kukupigia Lake marambili but imekataa badala tusikilize ngoma tuomba Lake

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 4 роки тому +6

      Yuko vizuri nice song

    • @Babjerr
      @Babjerr 4 роки тому +4

      Exactly

    • @shabanmnyama2567
      @shabanmnyama2567 4 роки тому +3

      Nimeipenda sana

    • @papadaviofficial254ke9
      @papadaviofficial254ke9 4 роки тому +3

      Tangu enzi za sikati Tama Badoo naganda sitamina ujumbe mzito Papa Davio from+254

  • @miketez2160
    @miketez2160 2 місяці тому +10

    2024...❤🇰🇪🇰🇪....😢cjai pata likes jameni

  • @imriddenvlogs1077
    @imriddenvlogs1077 Рік тому +14

    From uganda 🇺🇬 wapi likes za Uganda 🇺🇬. We love u man talented

  • @petermaengo9166
    @petermaengo9166 4 роки тому +278

    "Asiwaze " imenikuna sana hii ngoma alafu nahisi huyu ndo stamina wengi tunaomjua gonga like kama tupo pamoja....nampa 5 producers kwa kusimamia kazi nzuri kama hizi...natamani nisign kwenye hii label inaonyesha uhalisia wa mziki na maisha yapo hapa ..hii ndio sanaa kamili.

  • @kelvinebens5239
    @kelvinebens5239 4 роки тому +30

    Nilicho gundua kwenye huu wimbo stamina ametoa ya moyoni kabisaa tena kwa hisia.
    Ila ujawahi kosea bro salute 🔥🔥

  • @Drash254
    @Drash254 3 місяці тому +9

    Wimbo umeimbwa ukaimbika....imagine wa Uganda 🇺🇬 hawawezi elewa huu wimbo watanzania big love ❤from 🇰🇪 🇰🇪

    • @joshuason557
      @joshuason557 8 днів тому +1

      Kiswahili ilikuwa mob 🤗lakin tumeelewa ✌🏿🇺🇬🫡

  • @ibrahimsitati744
    @ibrahimsitati744 2 роки тому +74

    "Akisikia nimekufa, mwambie asilie sana, aite rafiki wafurahi wachome nyama, nitazikwa na ndugu-marafiki na mafans kibao" kwa wale wote waliotuacha kwa sababu za kijinga

  • @babyofficial7767
    @babyofficial7767 4 роки тому +380

    Dah hii ngoma inawagusa wengi japo like 100 jmny

    • @laurentthomas235
      @laurentthomas235 4 роки тому +8

      Biblia imetuagiza kuishi kwa akili na wake zetu. Angalizo Kama huna akili usioe utakuja kuimba ujinga kama huyu mpuuzi utafikiri tulimtuma.

    • @abdukadrilwassa408
      @abdukadrilwassa408 4 роки тому +4

      Akili za wanawake wazijua wenyewe

    • @nasramkuya9828
      @nasramkuya9828 4 роки тому +4

      Sanaaaaa

    • @babyofficial7767
      @babyofficial7767 4 роки тому +2

      Ah simchezo stamina kaongea maneno makali sana

    • @stevenmbaga8683
      @stevenmbaga8683 4 роки тому +1

      Baby Pendo mamae ndo mhn wanyamwezi tunachap nakuacha

  • @mvoih4854
    @mvoih4854 4 роки тому +30

    Kwa kweli bonge la ujumbe, kama umeulewa gonga like kwake!!!!

  • @miketez2160
    @miketez2160 3 місяці тому +11

    Mwambieni yule dogo alie ichezea club ya Simba kutembea na mke wangu asijione kama ameshinda😢😢,mstari ulionikosha na kuniumiza zaidi

  • @miketez2160
    @miketez2160 3 роки тому +5

    Life nayo na ndoa...aty unaeza kumpamia mkongo mkeo na usimridhishe, alfu anaempakia mkorogo ndo akamfanya amridhishe.... Daaaah.... 254....stamina is killing yo

  • @lovenessandrew9121
    @lovenessandrew9121 4 роки тому +70

    Roma this song is gonna touch the whole society man!kazi ya msanii ni sanaa na umedeliver....no matter how painful it is!

  • @abelysimbeye8903
    @abelysimbeye8903 4 роки тому +17

    Bora wew ametoka mwenyewe broo me alibeba na vyombo vya ndan vyote daaaaaa ASIWAZE

  • @amnazoh254
    @amnazoh254 2 роки тому +45

    Not only a song but a life lesson❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪254

  • @dioncmusic7027
    @dioncmusic7027 4 роки тому +75

    Kama umesikiliza hii ngoma zaidi ya marambili gonga like hapa twende sawaa

  • @thabitilinolo740
    @thabitilinolo740 4 роки тому +27

    Amin kwamba jamaa nizaid y Kipaji cha Hipapu ngoma kali acha like kam umeanglia zaid y mal100

  • @mtembeijulias3074
    @mtembeijulias3074 4 роки тому +4

    Hayo ndo mapungufu yakutanguliza cheti badala ya mtihani so tahasisi ya mahusiano irekebishe kufungu cha ndoa tuwe tunaanza mtihani chet baadae ahsante starmina

  • @user-sx4zh1ub8f
    @user-sx4zh1ub8f 4 місяці тому +3

    Ndoa ni nouma bro, japo wachache wanahesabika thank my brother for good song

  • @jacksonreuben948
    @jacksonreuben948 4 роки тому +83

    *Hata Posa niliyotoa mwambieni aingize vikoba* daah hyu jamaa katisha san like hapa chin tulisongeshe mbele goma la mkali rostam tz

    • @hadjially9013
      @hadjially9013 4 роки тому +2

      Ndoa ni kama boti haiwezi ikapaki stendi

    • @giftgwness132
      @giftgwness132 4 роки тому +1

      Huyo manzi mwizi arudishe hela za stamina za posa

    • @yohanagunda8335
      @yohanagunda8335 4 роки тому +1

      Bongo la ngoma stamini

  • @MrManchoso
    @MrManchoso 4 роки тому +34

    Wew ambae hujasikiza hii ngoma
    Kabla ya kuomba like hebu kwanza anza kusonya
    Classic music stamina wew ni mkali

  • @samsondaniel3377
    @samsondaniel3377 4 роки тому +253

    Wimbo wa kwanza kuwa namba moja kwenye trend. Then ukatoka arafu baadae ukarudi tena namba moja.
    Kama umegundua ilo dondosha like.

  • @edwardreonard9878
    @edwardreonard9878 4 роки тому +3

    Duuuu inauma sana kaka pole sana wanawake viumbe vya ajabu wote madelila

  • @jojoqn1043
    @jojoqn1043 4 роки тому +32

    ❤❤❤❤😍😍😍 hisia za kweli kwa stamina

  • @arexmerck2324
    @arexmerck2324 4 роки тому +620

    Kama nawwe unaamini huwimbo unaujumbe mkubwa ndani yake gonga like apa
    👇👇

  • @agnesrutebuka827
    @agnesrutebuka827 12 днів тому +1

    Huu wimbo mimi napenda chorus tu!!! 👑👑🙌🙌🙌

  • @nikkithe2rd383
    @nikkithe2rd383 2 роки тому +32

    am addicted to this song, i have to listen it daily before i sleep

  • @0scarnaizaoscar480
    @0scarnaizaoscar480 4 роки тому +74

    Kama uko USA 🇺🇸🇺🇸🇺🇸na upo ndoani same time umemuelewa stamina NIPE LIKE ZAKE 🔥🔥🔥🔥✈️✈️✈️ ndoa shemo la wahuni

    • @Watema23
      @Watema23 4 роки тому

      0scarnaiza Oscar sisi ambao atujaowa tuwe makini sana kuowa hapa marekani, ndoa ndo wano.

    • @0scarnaizaoscar480
      @0scarnaizaoscar480 4 роки тому

      Acha tu brow niulize mm ndoa za America 🇺🇸🇺🇸🇺🇸 utadeal na 911 kila siku 😂

    • @suleimanhaji5559
      @suleimanhaji5559 4 роки тому

      Stamina

    • @suleimanhaji5559
      @suleimanhaji5559 4 роки тому

      Mhh

  • @DYKeynan
    @DYKeynan 4 роки тому +31

    Poleni wasmamizi, kwa ujinga mlosimamia. 100%💥

  • @joshuason557
    @joshuason557 Рік тому +4

    Khabla hujjafunga ndoa ,,sikiliza vizuli iyi ujjumbe ...........ndoa ndoano 🤷🙆✌️🇺🇬

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 3 роки тому +29

    Kama bado unatazama huu wimbo weka like yako hapa

  • @chrismute8186
    @chrismute8186 4 роки тому +214

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪niwakilisha wakenya wote tunamkubali stamina 100/100

  • @mosesbariuh5443
    @mosesbariuh5443 4 роки тому +23

    Be wise as you engage yourself with women.
    Aisy!!! Stamina ushasema. Bonge la hit. 💯💯💯

    • @nurdinkijaji6886
      @nurdinkijaji6886 4 роки тому +1

      moses bariuh hatari sana

    • @BossMistari
      @BossMistari 4 роки тому

      Zimefanana.. ua-cam.com/video/1N_f8LpIJTc/v-deo.html

  • @eliahrioba6679
    @eliahrioba6679 Рік тому +5

    Kama Umerudia this song two times wapi likes.. Im from Kenya 👊👊👊👊

    • @joshuason557
      @joshuason557 Рік тому

      Not only 2 times bro but every day ✌️🇺🇬👊

  • @sultanvdeo4996
    @sultanvdeo4996 4 роки тому +20

    Hii ngoma ilitakiwa iwe on trend zaman sana cjui ilikuwa inakwama wap

  • @feisalkigoda26
    @feisalkigoda26 4 роки тому +35

    What goes around comes around..
    Pole sana kaka

  • @mwitarange8938
    @mwitarange8938 4 роки тому +45

    "Kaka yake Nilishakula so ruksa kutoa vyombo", "Ila atakayemuoa mwambie ampe mtaji wa Bodaboda",
    Wimbo mkali kila nikisikiliza natamani kurudia, Ujumbe kwa masela na wanandoa. Take it from Stamina

  • @abdallahkombo303
    @abdallahkombo303 4 роки тому +38

    Heart touching song,,,big up brother stamina for great job

  • @tontonwakabila2836
    @tontonwakabila2836 4 роки тому +7

    Big up Kaka kwa nyimbo nzuri sana ,iyi nyimbo inagusa watu wengi sana ...

  • @uchebemedia5418
    @uchebemedia5418 4 роки тому +289

    Kama Leo Umeview Tena Hii Ngoma Gonga Like Chap.!!

  • @foxboyofficial3334
    @foxboyofficial3334 4 роки тому +23

    Daaaaah blother katugusa tulio single
    Like utatisha Sanaa

  • @user-lg6dd2qn2k
    @user-lg6dd2qn2k 3 місяці тому +1

    Aiseee hii inakubalika 💯 akunapinga mizi yoyotee 🇹🇿🤛🤛🤛🇰🇪🇰🇪💯💯💯

  • @kevinkituyi5143
    @kevinkituyi5143 3 роки тому +4

    Mad respect Stamina.Huku Kenya tumekubali 👏👏👏

  • @mapandejr8932
    @mapandejr8932 4 роки тому +76

    "Unawez mpakia mkongo mkeo na usimlizishe, arafu anae mpakia mkorogo ndo akafanya amridhishe"
    mstari nime ukubali sanahuu big up 🙌🙌🙌

    • @waltermfikwa4361
      @waltermfikwa4361 4 роки тому +1

      Mapande Jr ndugu yangu, mwenzio hapa nataman kujua kamaanisha nin ila naon huu mstari unanipa utata...

    • @samwelimseyi3388
      @samwelimseyi3388 4 роки тому

      Atari xn hp

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 роки тому

      Mi sijauelewa🙄😳

    • @samwelimoshi5614
      @samwelimoshi5614 4 роки тому

      @@waltermfikwa4361 njooo inbox nikuambie kamanisha nn 0714333699

    • @korneliserafini7843
      @korneliserafini7843 4 роки тому +1

      Hahahaaaa bro kweli cha mkongo hatari sana ,huo mstari tunaelewa Wa chache
      Sana

  • @shaddymarks7472
    @shaddymarks7472 4 роки тому +340

    Straight outta kenya,,, we are asking for likes here but this guy has represented all men, we keep things inside us with leads to depression,,, big up

  • @felitusjacob1008
    @felitusjacob1008 Рік тому +15

    3years and can't get enough of this song 🙂💔

  • @BUTTERFLYTZONLINETV
    @BUTTERFLYTZONLINETV 4 роки тому +3

    Tulio owa na tunapambana na Hali zetu Gonga like za kutosha bigup kwa stamina

  • @eliudchangamike7827
    @eliudchangamike7827 4 роки тому +334

    Km umesha sikiliza zaidi ya mara mbili 😣😣😣😣😣😣 gonga like yako

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 роки тому +1

      Eliud Changamike 👇👇👇👇👇👇👇👇👇ua-cam.com/video/x1-jSq-yEeU/v-deo.html

  • @edwingwesso129
    @edwingwesso129 4 роки тому +20

    Kama umejifunza kitu kipitia huu wimbo achia like

  • @raphaelphenius353
    @raphaelphenius353 3 роки тому +16

    Leave out real reason for the song.... And take the song as a real life story situation that can can happen or ever happen to anyone..... THUMBS UP STAMINA My guy👍.... U delivered💯🔥🔥🔥

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 роки тому +2

    Haikuwa muda sahihi wa wewe kuoa na haukupata mtu sahihi wa kumuoa, ukifika muda sahihi na mtu sahihi utaoa tuu stamina, the problem is watu wanaangalia pisi kali halafu inawaingiza kwenye mateso makali, how can you read a mind of a woman una date nae for a months na unaingia nae kwenye ndoa? Haya mambo yanahitaji hekima ya Mungu pekee tukienda kiubinadamu tunakutana na mambo ambayo hatukuyatarajia !!

  • @ivanmcdonimcdoni7890
    @ivanmcdonimcdoni7890 4 роки тому +9

    The first one from Mozambique.
    Personally me ni shabiki wa WCB, lakini napenda sana music wa huyu jamaa. Stamina is an awesome guy 👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽👌🏽

  • @frankryricstv129
    @frankryricstv129 4 роки тому +690

    Kamaww tem rostam tujuane kwaku piga like hapa

  • @luthimunuo8838
    @luthimunuo8838 3 роки тому +1

    Romaaa😭😭😭wimbo wako was ASIWAZE Ni kitu kinacho nisumbua mpaka Leo yaani badala ya kusikilza na kufurahi najikuta nalia tuu kwani Kuna misemo Ni adhabu kubwa kwenye ndoa.aliesema neno ndoa ndoano aliharibu sana.na aliefundisha mapenzi alisahau na tendo.ukweli cheti Cha ndoa hakina mchongo popote.bora sonara nilikula nusu asara.kama hujui ndoa uliza Kwanza upewa maelekezo ili usije ukajuta Kama walio kutangulia.big up Broo stamina😭😭😭🙏🙏🙏🙏god bless you

  • @prisillahnjeri1804
    @prisillahnjeri1804 4 роки тому +7

    Kuolewa apana Doa huumiza🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️wacha nikae single

  • @dizzonofficial1937
    @dizzonofficial1937 4 роки тому +80

    "Aliesema ndoa ndoanoo hivii huyo mjinga ni naniii" !!!

  • @daudichawo240
    @daudichawo240 4 роки тому +93

    Tunaoiba wake za watu ...tuonane hapa gonga like apa😀

  • @isayakamwela1858
    @isayakamwela1858 4 роки тому +10

    Kwakwer inaumiza sana brooo🤭🤭

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa8483 4 роки тому +30

    NO LADIES!! ON THE COMMENT'S SECTION.when a man truly airs his grievances

  • @honorekiza8762
    @honorekiza8762 4 роки тому +75

    Dah gonga like kama Moyo wako umeuma kwa hii stori ya kweli😭😭😭
    Kuna mwingine amepanga kwenda kununua ile pete ya Stamina kwa nusu bei pale dukani😂😂😂

  • @innocentg.2733
    @innocentg.2733 4 роки тому +52

    Rostam ni majembeeee kama unakubali hiyo piga like tuwe wazalendooo

  • @alanmabia2643
    @alanmabia2643 Рік тому +26

    A song like this never get old it remain on the top all years

  • @ewardndundulu4769
    @ewardndundulu4769 4 роки тому

    Nimekuelewaa #siminaaa#
    Poleeee
    Ndoa # doa

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 роки тому +96

    Upo kwenye mahusiano ila hujui yanausiana na nini🙌🙌🙌🔥🔥😁😁

  • @immaabukuku7180
    @immaabukuku7180 4 роки тому +18

    Stamina anahitaji cancelling hayuko sawa anaonekana kweli amemaanisha maneno aliyo ya sema

  • @ironladyhawa536
    @ironladyhawa536 4 роки тому +9

    Hello ivi ni mmi narudia kuplay au tuko wengi jamani weka like kaa ulishakata tamaa ya kuolewa/kuoa Kwa kuogopa matokeo kama hii

  • @godfreykessy8661
    @godfreykessy8661 4 роки тому +39

    Kama umerudia i nyimbo zaid yamaramoja kama mm gonga like

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 4 роки тому

      Godfrey Kessy 👇👇👇
      ua-cam.com/video/x1-jSq-yEeU/v-deo.html

  • @sifunikamwela2299
    @sifunikamwela2299 4 роки тому +740

    Kama uko single na ujumbe umeuelewa gonga like

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 роки тому +185

    tulio single ii nyimbo ina tuusu🔥
    Gusa like kama umeelewa✋🏿

  • @martinmuzungu862
    @martinmuzungu862 Рік тому

    Thank for speaking to many
    Wanaume hupitia mengi Sana na machozi hudondoka tumboni

  • @RomaMichael-ei6di
    @RomaMichael-ei6di 10 місяців тому +1

    Stamina!! Stamina!! Unajua sana😥😥😥😥

  • @mustaphamuslim6564
    @mustaphamuslim6564 4 роки тому +65

    Kama umesikiliza interview ya Roma ndo ukarud kusikiliza wimbo gonga like.

  • @stevekyando1561
    @stevekyando1561 4 роки тому +651

    Kama umeludia zaidi ya mala 2 like🇹🇿

  • @piusaugustino9270
    @piusaugustino9270 4 роки тому +13

    Somo kwa vijana tulio mwelewa stamina tumpe zake like Kama zote

  • @KakaDolla
    @KakaDolla 4 роки тому +75

    Tuliorudi huku wakati wa Corona tupo wengi sio 😂😂

    • @wilisonset35
      @wilisonset35 4 роки тому

      Sitamina kweri Kaka jipe moyo utapata wa kwako dear

  • @neemalukombe2571
    @neemalukombe2571 4 роки тому +285

    Walio ludia huu Mara mbili huu wimbo gonga like tujuane

  • @dopnap4855
    @dopnap4855 4 роки тому +70

    😂😂😂daaah,.. Stamina katiiiisha saaana,...:
    "Pole wasimamizi wa ndoa,
    Kwa ujinga mliosimamia,
    Mngesimamia ukucha,
    Mngekuza hata familia"
    😂😂😂HIVI JAMANI,..MSIMAMIZI WA NDOA YA STAMINA SI ALIKUWA PACHA WAKE " ROMA" ??
    😂😂
    "Nikiziona picha za harusi,
    Najisikia vibaya,
    Namuonea huruma padre,
    Pamoja na waimba kwaya"
    😂😂😂😂
    Saaaaaaaaaluuuute kwako STAMINA

  • @josephsanduli.5216
    @josephsanduli.5216 3 роки тому +1

    Wangapi wamekuja huku baada ya refresh kumhoji stamina na kusema kajuta kufanya hii ngoma

  • @onesphoryo407
    @onesphoryo407 3 роки тому +1

    Wasimamizi wa ndoa kwa ujinga mlosimamia ,,,,stamina bhn

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 4 роки тому +316

    tuliokubali huu wimbo tujuane hapa kwa like🙂🙂🙂

  • @florianmasawe9520
    @florianmasawe9520 4 роки тому +11

    Duh!!! Mimi nimeielewa sana hii ngoma kwa ambae ameielewa kama mimi agonge like hapa!! Ndoa bhana walio kwenye ndoa wanatamani kutoka ambao hawapo wanatamani kuingia 😭🙏🙏

    • @flovamanmusic3663
      @flovamanmusic3663 4 роки тому +1

      dah true man

    • @samirrymichealpollah1767
      @samirrymichealpollah1767 4 роки тому +1

      DaaaaaH!!! Amakwel nDoa inamitiHani migimUsana thus why vyetiVyake vnaanZa kutoka kabla yamitiHan xo pole sanaBroo c0z wew nikakayake ushakula so muache2 atoeVyomBo

  • @andersonmunga6363
    @andersonmunga6363 4 роки тому +1

    R.s.t in PC ndoa ya star kama hyu

  • @haithanhabib
    @haithanhabib 4 роки тому +28

    "Mwambieni yule dogo aliyechezea club ya Simba..kutembea na mke wangu asijione kama ameshinda..mi samaki, mapenzi yangu yana shombo..kaka yake nishakula, so rukhsa kutoa vyombo.."..

  • @Ngepetv
    @Ngepetv 4 роки тому +159

    Vipi Kuna anae mkubali huyu jamaa tugonge like

    • @ngederemkatamkaachuwa6445
      @ngederemkatamkaachuwa6445 4 роки тому +1

      Nyimbo inameng sana

    • @NEXTtz
      @NEXTtz 4 роки тому

      Check
      ua-cam.com/video/nfBI5dRtlcc/v-deo.html

    • @coronavirustanzania7514
      @coronavirustanzania7514 4 роки тому

      Tupo pamoja, pata biashara nzuri hapa ua-cam.com/video/C_oUN-VndWA/v-deo.html

    • @batulemwamwaja6524
      @batulemwamwaja6524 4 роки тому

      Iv like zinkusaidia nn

    • @Ngepetv
      @Ngepetv 4 роки тому

      @@batulemwamwaja6524 Kama hujui faida y like bonyeza hapa ua-cam.com/video/OWjp4jJpu_c/v-deo.html

  • @abdallasarai6327
    @abdallasarai6327 4 роки тому +19

    "Sijui aliyenishauri nani" that's deep.

  • @user-kp8yu5ve6m
    @user-kp8yu5ve6m 3 місяці тому +1

    Wow Tanzania moto mungu awambariki 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @collocrap233
    @collocrap233 4 роки тому +5

    its a good song....they say you don't loose in an experience ... u either win or learn ...if u never won bro u have the lessons now ...don't focus on closed doors others have already opened

  • @nicellylyimo6788
    @nicellylyimo6788 4 роки тому +363

    Kama umerud baada ya kusikiliza interview ya roma like tujuane

  • @henryhyela8925
    @henryhyela8925 Рік тому +3

    Man I love Swahili hip-hop am from Kenya the flow of story Iko on top bro

  • @tausiginga1038
    @tausiginga1038 Рік тому +1

    Jamaan huu wimbo kwangu kama umetoka jana

  • @gosbertbuberwa6198
    @gosbertbuberwa6198 4 роки тому +47

    😂😂😂😂 Pole Wasimamizi, Yakwamba Wangesimamia Ukucha Wangeongeza Familia! 👏👏👏🙌🙌🙌

  • @jaxboy5880
    @jaxboy5880 4 роки тому +73

    Wale tunao iangalia iii ngoma kali uku tunaxoma comment tujuane kwa like 👇🏼👇🏼👇🏼

  • @mwalahnationcku8880
    @mwalahnationcku8880 4 роки тому +4

    Wangapa wana amini aliye kuwa dg wasimba ni ibra... ngonga like tujuane

  • @godluckemanuel3133
    @godluckemanuel3133 3 роки тому

    Good boy sema fresh tu mapenz muda mwengine inabid upige fatya yan unakamat unamaliza na safi tu

  • @mouhmahsein5798
    @mouhmahsein5798 4 роки тому +200

    Bonge LA ngoma hata like kumi tyu

    • @eriqemarson2362
      @eriqemarson2362 4 роки тому +1

      Nakubaliana na wewe....tunakupa like zaidi ya Kumi tyu 👊🏼👊🏼👊🏼

    • @brainbuzzsystemtech.9408
      @brainbuzzsystemtech.9408 4 роки тому

      Sasa nawashangaa nilike comments zako umeimba wew??

    • @maulakaroli8323
      @maulakaroli8323 4 роки тому

      Like unazoomba kwani umeimba wewe?

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 4 роки тому +14

    Mke wangu katoroka nakuniachia mtoto mdogo ndani wa mwaka moja na miezi miwili sijui kaenda wapi natena kaondoka usiku tena mida ya 8:00 kasema Ana enda kununua mafuta ya kupikia ila kaenda mazima hajarudi ten a mpaka saa tisa usiku sijamuona ten a na saizi hajarudi saa tisa 3:05 nimeandika message kwa ukrasa wa stamina asante kaka maisha y angu kama umeyaona nitatuza mwanangu bila kujali mwanamke tena maisha yakumtegemea mwanamke yashaa nitoa imani nisito yataka tena

    • @khalifabiggy3439
      @khalifabiggy3439 Рік тому +3

      Pole mwanangu

    • @eliyasanga6374
      @eliyasanga6374 Рік тому +3

      @@khalifabiggy3439 asante kaka sasa mtoto ana miaka nne amjui mama ake

    • @eliahrioba6679
      @eliahrioba6679 Рік тому +3

      👊👊👊keep going brother

    • @eliyasanga6374
      @eliyasanga6374 Рік тому +2

      @@eliahrioba6679 asante kaka sasa dogo ana miaka minne na miezi mitano amjui mama yake

    • @albertmoris7925
      @albertmoris7925 4 місяці тому

      Polee😢

  • @davidsafari2477
    @davidsafari2477 2 роки тому +1

    Jamaa aliyetembea na chorus ni fundi sana

  • @elizabethmichael9738
    @elizabethmichael9738 4 роки тому +2

    Hata biblia inasema wanawake tuish nao vizur ila nilimpa mpaka sehem za sili.......... daaaaa AF mwisho wasiku ana kuacha......... Oa mdau kama inauma gonga like

  • @superandemediatv953
    @superandemediatv953 4 роки тому +77

    Dah kama nawewe umeirudia rudia kama mm gonga like

  • @jcksondaudon6530
    @jcksondaudon6530 4 роки тому +145

    Kama kuna kitu umejifunza kupitia Wimbo huu gonga like tujuane