WARM UP (Remix) - Manengo Feat Nacha,P The Mc,Stamina,Moni Centrozone,Nuhmziwanda
Вставка
- Опубліковано 10 бер 2021
- #Manengo #WarmUp(Remix) #Nacha #PTheMc #Stamina #MoniCentrozone #NuhMziwanda #SlideDigital
(C) Free Nations
Manengo Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/manengo
Written & Performed by Manengo
For Bookings : Rafaelmanengo@gmail.com
Raphael Charles Lucas popularly known as Manengo,is an hiphop artist in Tanzania (Recording Artist/ Music composer). He was born 1995 in the city Mwanza .Manengo has achieved massive gains through his mostly liked songs “ Bomba Ipepee, warm up/ warm up remix and a lot of nice songs which are doing great in east Africa
Follow Manengo on:
Instagram: / manengo_tz
Facebook: / manengo.tz
Twitter: manengo_tz?s=09
Tiktok: www.tiktok.com/@manengo_tz?la...
Bombaipepee● • Manengo Ft Stamina & M...
Habari●
• Manengo - Habari (Off...
Kwambinde● • Manengo - Kwa Mbinde (...
Jirani●
• Manengo Feat Belle 9 -...
Kwaheri●
• Manengo_ Kwaheri (Offi...
Mbuzi●
• Manengo_Mbuzi (Officia...
Warm up●
• Manengo - Warm Up (Off...
Hayana Jipya●
• Manengo Ft Belle9 & Mr...
Warm up remix●
• WARM UP (Remix)_Maneng...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - Розваги
Kila wakiskia NACHA 🔥🔥🔥
Wapi likes za Nyasubi
Bandle ni moto wa kiotea mbali
majengo sokoni 👏🏻
Ni mimi tu ndo narudiarudia verse ya P Mawenge? 🔥🔥🔥🔥🔥
Tupo wengi
Tupo weng
Mm pia
Mawenge kaua sana
Huyu Mwamba ni hatari sana mzee
Ndoo ya barafu henessy 1
Coca nyingiii😁😁👊
Sitaki mechi na vibonde Dimba la kati la kwangu MUKOKO TONOMBE
watu wa Yanga tuishinayo hii 💚💚💛💛
BONGE LA PUMBU WANANGU YAANII 💥💥💥💥💥💥💥💥 ILA MONI CENTROZONE KACHIIIIINJAAAAAAAAAAA
Stamina na nyi daaa. Munatisha sana
We need another one of 2023 from this crew❤
P mawenge 💪💪💪💪💥💥💥💥💥
The beats tu wueh 🔥 🔥 🔥
My boy Nacha n mr bonventure
P the Mc yuko level tofauti🔥🔥😍 kama unaiubali gonga like ukipita
Waliofunika kwa namba
1. P Mawenge (Kwa sababu anaflow kali, vocal kali na Punch kali pia hana sifa za hiyo mistari ya kicomedy lakini ukimsikia lazima utacheka na kufurahi pia utajifunza na ujumbe wake hufika sawia kabisa)
2. Moni Centrozone ( Ana sifa inayokaribiana na Pmawenge ila kikubwa anapochana kwenye Bum Bap anakuwaga wa tofauti sana)
3. Nacha( Ana sifa ya mistari ya kicommedy na kudeliver ujumbe fulani hivi)
4. Manengo(Mistari ya kiComedy ni mingi kuliko Content, nimeishia kucheka au umeniburudisha lakini sijajifunza kitu. Ila sio mbaya kwa kuwa umenifurahisha pia naongeza siku za kuishi)
5. Stamina(Umewapa watoto ujinga wa mistari ya kicommedy sana kuliko content, ila pia hiyo mistari ina raha yake sio mibaya mwanangu STAMINA. Nakukubali sana kaka unatisha. Pia unazo ngoma zako za ujumbe na mafunzo ikiwemo ile uliyo fanya na Proffesor jay na zingine za zamani)
EXTRA-(Heshima pia ziende kwa #nuhmziwanda kwa Chorus Kali.
Kiujumla woote mmeua kwa aina ya mistari yenu hakuna aliyekuwa na mistari mibaya humo.
Msikilize TN stamina Kwa makini
Ujamuelewa kwa umakin stamina rudia ten vizuri
Hawa wote mafundiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwanetu moni unatubeba centra zone! we proud of u
pmawenge baba unajua 🔥🔥🔥
Mziwanda korasi umeinyosha sana
Noma sana like kama zote❤
Daaa Hili Song La moto sanaa ,Ivi nani kwanza anaangalia video huku anasoma comment Tujuane Haraka aisee
Iddy munyamwez apa man👊
Na Nina mkubar xana p mawenge Ogg 💪
@@iddyismaily4914 Nakubali man
Nalikubali pia
Nom san
Nacha is killin in, “Muhind anachachawa namuua Fernabache nampa Basel!!”
nengo mwanza mwanza✊
Walio chizika Na verse ya MONI CENTROZONE GONGA LIKE HAPAAAAAA
Yupo tangu watu wameolewa na king konk
Mmeua wakali🔥🔥🔥
Moni hiyo sauti balaaaaaah (indodomya)
Napika walimwengu na mboga dagaa mchele ivi ninani apo kapita ivyo majibu tafazali💥💥💥💥
Hennesy moja coca nyingiii😀😀😀
Am from kenya Rapper still nawatambua 💥💥💥💯💬💬👊👊
Simuoni Bagdady humu jmaniiiii
Nilidhan n macho yangu tu ndo hayajamuona
Central Zone, Unahisi wana wamekutenga na ulishare nao madesa, Hawaja kutenga wanasubiri upate Pesa....... noma sana
Maweng3ee🔥🔥🔥💥
Humu kawakalisha majengo sokoni 🔥🔥🔥
nyasubi ndani ya mbanyu. hatar sana uyu mwamba
Ngone💯💯💯
Hatariii
Hom Boy Manengo hapa tushatoboa mwamba, wengi tunaishi tegeta nyuki ila hatujui utamu wa asali.
NACHA representing Nyasubi 💥💥💥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪kam inbox
“Nawa ona matozi kidimbwi, Ndoo ya barafu, Hennessy 1, Coca nyingiiii” 😁 - M Centrozone
🤙🏻✔️💯💯💯✨️✨️✨️✨️✨️✨️
Kuna marapa Bora halafu Kuna p mawenge 🙌🙌🙌🙌🙌
p mawenge
Umu namba1
nacha2
Stamina wameuwa
Muhindi anamawazo🦻🏼🎶🎶
Hapa ni punchlines tupu 🔥🔥🔥🔥 na hii ni warm up tu
Tanzania dsm ii ngoma ni faya
This warmup hype makes me forget even corona exist 💯
Damn it,hiyo kitu ni hatari p mawenge, Moni centrozone
P Mawenge, flow hatari sana kaka
Hennessey moja coca nyingiiiiii😂
Wamemchokoza bea😀😀😀
Anaitwa Manengo hatari mtu huyu,🇰🇪
Tz still rules on hard core hip-hop....kudos
Nacha mnomaa Sanaa umepita🔥🔥🙌🙌
Sana wanangu presoo ni Ile ile 💪👊👊
Mawenge❤
P Mawenge kawaonea sana madogo 😀😀😀😀
Hip hop is fire
Aah mamaeee kali sanaaaaaa
ndio iyo mwanangu """ Upo tu sahihi #MajengoSokonCrew#malume
hapa kakosekana Mr Blue Simba mwenyewe
Nacha oyooooooo💪💪
Wengeeeeeeeee wakisikia Nachaaaaaaaaaaaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mkumbuke hii ni *Warm up tu sio Mechi*
Bloody of bloody salute NACHA💪💪💪
@Kingmapesah yes buanaa
Nacha my boy did it and moni killed it
P Mawenge💪💪💪
Sa mniombe battle mi niwaache bila meno, niwafanye alichonywa Lord Eyez kwenye NENO. 😂😂🔥
Wabongo sio watu wazuri 😂
@@MrNdanguza 😂😂
NACHA 🔥
Watchin' from mozambique 🇲🇿❤️🔥
Kaliii sana. Bagdad yukwap
Nacha Kenya loves you. Top top song
Hahahaha 🙄🙄🤔🤔 jamn mmetihach San wan big up Jah bless kwa Wana hip hop like 👆👆👆🙏manengo& nach
mazish n yale yale 🔥"TT empire"
Moni.... Fireeeeeeee
Daima me ni mbele tu...💪💪
mbati Kali zaidi ya kawaida
All in all Stamina kauaaa
Sisimizi mwenyekilo za mmakonde 🎵🎼⛽🕯
Big up,mad love from Kenya 🇰🇪,the song is on 🔥,
Tuko hapa!
First Kenyan to watch...
🔥🔥🔥💥💥
Anaitwa Manengo hatari mtu huyu
Mon cetrozone 🔥🔥🔥🔥🔥 home boy dom city
Love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🔥🔥🔥
Nzur From rwanda 🇷🇼 we are the same
Nacha aliua sana hii kitu
Hahahahahahaha hii ndiyo Tanzania... Aiseee nimejikuta nacheka kwa furaha.. daah hii ngoma kali kupita maelezo. Nahene bhabha Manengo, natogwa sana lyembo lya wiza nkoyi.
Hii track imetendewa haki much love from Kenya
Nmeikubali ✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️ kinomaaaaaaa
kama richard munduri na mradi wa richmond dondosha like za @moni centrozone hapa
Manengo hatajwi ila mitaa ndio inamtaja...
Mabruk kwa hii collaboration 👍👍👍🔥🔥🔥☄☄☄
Aaaaaah kumamake mnisaidie jmn kati ya Verse ya *Wengeee* vs *Centrozone* ipi imeumiza wengine nazipima kwenye mzani zinakaa sawa 😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Monicetrozone kauwa😂😂
Mawenge katisha
Wote wameua
Mawenge na Moni wameuaaaaaaa
nengo kawaua kabisa
.malume.....ndo ya barafu na koka moja
Nacha❤
Jamaa ukweli usemwe majengo sokoni aka centrozone kaua🔥🔥🔥🔥
When the first man-Nacha-
Stepped forward,I knew this were no ordinary people.
If only bongo music had afew English lyrics on it,no part of this world wld hv missed it.
The beat is so so energetic
True man they are too good with hip hop, the missing piece in their jigsaw is the English language!
Kali saaana 💯💯💯💯
Moni centrozone 🔥🙌🏽
Show show,,mbaka ndaaaan
Show love
Moni i see u..u killed it bro.
Ndo ya barafuu hennessy moja coca nyingiii😂🔥🔥moni centozone
Mwaga motor rastar
Ebwana stamina wemtu atalii
Sana tuuuuuu,,,
Mko deep sana wahuni