Dakika 10 Za Maangamizi- Dizasta Vina | Planet Bongo I
Вставка
- Опубліковано 26 вер 2024
- Mistari ya wimbo wa Kanisa imefanya kila mtu kumsikiliza sana Dizasta Vina na mistari hiyo imesisimua watu wengi sana.
Planet Bongo kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa saa 7:00 maacha hapa East Africa Rario kupitia 88.1 fm.
Huyu mwamba nilimtambua kitambo nimerudi tena leo 2024 gonga like kwa wote 2024.🎉
Dizasta Ni GOAT Kama Upo Hapa 2024 Ww Ni Mbuzi Pia
2024 April
@@mwakiboy968Mbuzi 💪🏿
😂😂💪💪
Tunaoicheki mwezi wa saba nane tujuane 2024👍👍
watangazaji wote wanafki ndio maana hata hip hop a bongo haifiki mbali kwa sababu nyimbo kamka hiz "kanisa" hawazijui ila huku kitaa ndio misosi yetu..respect
Nwn Kiranja Mkuu kweli kabisa
kweli kabisa
Nwn Kiranja Mkuu we eat it and we swallow hard
sanaa broo watangazajii wengii n wakudaa tu
Sasa watangazaji wanaingiajeee apooo Mkulaaa??
2024 @Dizastavina hii ndio dakika 10 Za maangamizi Bora Za muda wote.
tunaorudia mwez wa 9 2024..gonga like hapaa
Na hii ni habari kwa taifa zima mabibi na mabwana, anaitwa vina🤲✌️
Tulio rudia 2024 like hapa
🔥
Best wangu wa muda wote dizasta vinna ✅
4 yrs now, who came for this legend? Twende pamoja, he deserve the respects.🙌🙌. Man you are the Legend.
Hii ni bleed huwezi ficha kwa kufuri... we jamaaa next level.. gonga like kumtia moyo huyu Common wa Bongo 😎
Daaah jamaa kweli common wa bongo
Breed
Sio bleed
kijikanga resort Hakika dizasta Vina unaweza
Huyu mc anatisha habahatixh
2024 tuanze kuzidish love kwa @dizastavina
Jamaa unaflow nzuri sana ya kumfanya mtu asiboeke kukusikiliza, flow yenye matamshi yanayosikika vizuri.....Dizastavina unafaa kuwa mainstream by now”!!!
true aisee.leo ndio naona hii video imenistua sana
Na hii ndio siku dunia ilipomtambua dizasta vina..historia ilandikwa hapa. Nakumbuka nilikuwa udsm kipindi hiko mwaka wa 3. Mixer na zile skendo za gwajima kuvuja video zake za uchi basi dizasta na hii session yake ika trend sanA. Na leo ni 2023 nimerudi hapa tena kusikiliza. Wote wanosikiliza hii session kwa mwaka huu 2023 acha like hapa tujuane.
Unyama
Oooi oooi oooi
Uhakika
Kbs
Uhakika
Attention every body, Am here to declare that Dizasta is the real meaning of Vina . Thank you.❤
kwenye mistari ya jamaa unakuta kuna physics geography n.k hii style anafanya dizasta na one incredible tu. nice rap mzazi
Noma
Umeona Mwana Huyu jamaa Kama One Kafanya Vyema
hawa ndo wakali wao
Kwa mtoni kuna jamaa anaitwa papoose
Kweli kabisa
Daaaah kumbe Tanzania kuna wachanaji conscious wa Kenya mmeona....like for this
Mm mkenya ila namkubali sana vina,nko na album yake ya jesusta na verteller...mwamba anatisha sana
kama uko apa 2024 gonga like apa
huyu jamaa fundi asee kama una mkubali huyu jamaaa gonga like hapa👇👇
Baada ya one the Incredible leo nmempata Genius wa pili tz
Nakubali sana
Tuliokuja tena mwezi wa 8, 2024 gonga like
Since day one hujawahi niangusha nakufahamu kwenye mic huwa hunaga Utani aiseee Mbeya boy Dizasta vina moja kati ya Rapper ambao wanaweza kukaa kwenye beat yeyote,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,PanoRhymes forever
Kumbe dizasta anatokea MBEYA nilikua sijui
Yeap
niaje madafar ulikua hujui kama dizasta ni mtu wa mbeya
HIPHOP is school of thought and dizasta just proved that
Very true
Listening to this for like the 8th time. Can't get enough. This talent.
Very conscious,huyu jamaa kwa uandishi wake na iyo flow, akizidisha hapo ataleta matatizo makubwa nchini bora abaki hapohapo!
Kabisa
Ahahahahah...dah
🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣
Very true unaona nachokiona pitia nyimbo zake nimeweka comments
leo January 2023, nimetazama tena. dizasta vina
Kama unakubali haijawahi kutokea!! Gusa Like
Link
Oslo I'll
"Kitacho nionyesha bingu ni bidii ya kutenda mema, so sitaki kujua dini ipi ni sahihi.."💯🔥
Tulio rudia 2024 september gonga like
Nobody can rap above this
11 September 2020. Still listening to the best hip hop technician. This ain't man its Allien trust me. Live long Dizasta
One of the best rapper sichoki kumsikiliza ukizukunzia hip hop bila kumtaja dizasta basi hujasikiliza vizuli mziki wa hip hop!!!
Daaah nimekubal dizasta umeua mbaya mzee salute nataman wangekupa nusu saa
lisaaa lizima ingependeza
tulio rudi kweny dakika 10 za maangamiz baada ya zile distrack tujuane 😅
Washkaji kama hawa ndo wananifanya niamin Mziki wa hip hop Unaweza kuishi hadi wajukuu wakaukuta_ Acha kina madee waendelee na Mziki wao
kendrick Lamar jembe hili
"Hizi dk kumi za Maangamizi za huyu Ndgu yangu ##usipozielewa kuna matatzo kwenye Ubongo wako (Brain Yako). Jah Thanks kwa kuzaliwa Tanzania 🌍🇹🇿🇹🇿. "
Nakukubalii brother skupingi hata kidogo
Mkali sana!! Mistari mitam kama vile nakitupa cha kwanza, Hawa ndo mfano wa Ma Mc wa Bongo ambao wanaweza fanya nisahau Kuwaskiliza watu kama Kina Common, Krs 1, Nasco Damas au The the roots, Big up Mi shabikiako tayari, Hata kama Kopi ya Album yako utauza raki 1 nitanunua.
mm hata km lak 2
Axnten xanaa mnaonipa moyo nakuja kivingne
Vina dizasta ni noma sana... bigup brother... nimekumanya sanaaaaaaa.... ukweli mtupu na hakuna wakupinga... mpangilio madhubuti kabisa wa mashairi... unaacha tunatafakari ujumbe kabambe... Mungu akutangulie brother... fungua macho ya watanzania kwa kupitia kipaji chako. Umenifurahisha sana. Now this is very rare. This is talent... Big up!!!
*30/4/2019 bado .namsikiliza **#dizastavina** nani mwingine.?*
Kanisa
me evryday
Gonga like nyingi km unamkubali dizastA
Ebwanaee nifanye mpango hii niiplay kanisan maana nimaubili tosha nikitoa kudadeki mazee dzastar on🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
hongera man,, unaandika Sana kwa anaye elewa real hip hop atakuwa amenielewa,,,,we ni tofauti Sana na mistari mipasho ya kina boshoo
Tukiwaka tunaweza kumgeuza fid kuwa sagna......🔥🔥🔥🔥🔥
Maxwell Wige hapo hatari sana jamaa anajua balaa
Nomaaa....🔥🔥🔥🔥
Afu mwamba yuko serious kinyama,. Umetisha sana mwana ukome as Swahili wanaitaga
Dizasta Professor tungo
Ametisha Mie nikimpendekeza mtu jua hiyo mtu ni noma kinoma
Mlete stereo au Dubo Jesus
Ww ni mkagulu
Dubo hawezi tembea km hv
wa 2024 tujuanee jaman Gonga likee hapoo
The girl in a background makes some cool vibes
5 years down and guess what! Dizasta is a man of this game🙌
Dizasta vina is awesomely and tremendously doing data orientation full of awesome and positive information
Creativity is intelligence and his role in this society is filled with inspirational Innovation
Thumbs up
This is real Hiphop
What a Wrap !!!
Dizasta me namfananisha na wakadimali huku Kenya, media hazichezi ngoma zao lakini bado mashabiki wanawakubali
Maaan...nimekutambua leo...na nimekuheshimu. ..kutoka marekani ujue kuanzia leo...am a fan...you killing it...bro....keep up..hip hop for real..I'll start looking and following you bruh....MZUKA..ndio huu man.
uyu jamaa aanajua bhan!!!..japo nimechelewa comment
now this is the man i was praying you call in. He is a MONSTER!
miaka 1000 hakuna atakae vunja hii people talent ya hali ya juu respect planet bongo jamaa afanye nyingine please we miss dizastar vina
Always Tamaduni music is a real Hip Hop
Respect Dizasta 👊
Hivi ndo vitu ambavyo masikio yangu yana penda kuvisikia
Sure bro,but sio nyege za mafara
professor tungo,, kubali sana bro,,ncku niliyo kuwa naisubir kwa ham sana.
Nimeludia mara 4000 mamae
Support for Dizasta is support for real life
I'm sayin' TZ, y'all are representing East Afrika hard man. Got the most substantive, dopest bars on the continent. And that Swahili, metaphors and word play is on another level KABISAA! One love from the diaspora from this brother from the 256! EA stand up!
Ww ni mbuzi❤❤❤
This guy raps in very nice , inspiration and unique style
2024 still here listening this guy straight from Kampala Uganda 🇺🇬🇺🇬🇹🇿
#DIZASTAVINA We ndo king of dakika 10 za maangamizi
Wengne watasubil. Respect bro #KINISA
Kuanzia leo ww ni DIZASTA KIMA.. Yaan Nyani mzeeeeee
This guy is dope...
Jamaa yuwatema 🔥🔥🔥🔥.
One love from Kenya +2547
``na hii ni breed mwana hawezifichwa na kufuli`` Tisha sana brother
*29-03-2021 baada ya kumzika MAGUFULI nakuja kujifariji na hawa wanyamwezi* 😢😢😢😢😢🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 msosi wa kitaa ni Hip Hop
Myfavorite rapper of all time...
Ujumbe mzuri sana kwa makanisa na waumini, #Dizasta vina mc mahiri.
"Nikitema hadithi utadhani Ngugi."🇰🇪
Hatarii sana profesa tungo....nakuelewa kitambo toka STAKI GAME
Atuludii shahili sio 👊👊
Kwa mwaka 2018 huyu ndo kaangamiza vyema dakika kumi za maangamizi n nooooooooma sana # dizasta
Mamae🙌🙌🙌🙌 we ni moto wa kuotea mbali
Daahh huo mdundo wa pili cjui n wa ngoma gan aceee......
Big up vina umetetendea haki 10 zko ukiongeza bidii utafika mbali sana sana
Dizasta noma, dk 10 hazimtosh
Natamani kuwaona #blackfire & #adamu_shule_kongwe
mpjozze galvanize bila kumsahau mtaalam SHAULIN SENETA
Danii Kirunda yah man mzee wa #simu_ya_dada. Kwel jamaa naye mkal wa #storytelling
bila kumsahau mbeya boy chuma
Man, TZ is full of talent. Dizasta you good man. So much respect. Enyewe wewe ni tofali la kuchomwa
it's now 2023 still listening 🎤🎤🎤🎤
fundii wa rap east Africa nzima
Dizasta kweli vina.. Heshima
first time to see 10 min. to be 10 sec. yuko sawa fid akawa sajna
🤣🤣🤣🤣
Kazi nzuri Dizasta. Big up 🇰🇪
planet bongo, frida aman alkuwa analeta vibe sana. anaskiliza kwa makin
Maninja wa tamaduni
Ni mwixho wa mochano
Dizaster vina
Siku mbaya, Hard, cter kadata
Ata ukitaga yai uwez ryms juu ya hapa dizasta vina ni incredible group usimuweke na watoto wasio jua anachoma zaid ya jua
Utasikia nani yupo 2024
Back again in 2024. Never enough. Genius.
Dizasta vina mshenzii wa tabia kauaaaaaaaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kak mzaz daaa!!! Unajua aisee, nyie ndomarapa hawa wengine niu2mbo2 one love brother";
"Single sentence ninaye analyse full CHAPTER"!!.,Kibaha mile moja me ni 8 miles EMINEM". Midondoko on point,you are the Lyricist lyrics mzee Baba,mpk fifi anang'ata vidole that means #UMEMCHUKUA mbali sana kifikra 7:57-8:30's..
Mtaani kwetu za namna hii masela wanaziitaga"Kanjibai Flow"
Yan nmeona nirudie kusklza iz dk 12 za Disaster af na zle za Rapcha...adi nashangaa yule dg kajiamin nn kubattle against Disaster🤣🤣...mbna ni watu wawil weny ubongo tofaut sana...yule dg anaimba mipasho sana aisee hamn hip hop kichwani🙌
Huyu jamaaa ni moto nasemaa firee💯💯huyu infaa wafanye kolabo yaani hit moja safy wakiwa na James moto💯✔️✌️
2022 This is still banger GOAT
5th May 2023 still on this masterpiece 🙌🏾
Mistari CONCIOUS ...Salute Kwako
Aisee jamaa anaweza san huy mbon , hakka n mistari yenye mantic sio kelele, big up 2u Dzasta boy
U'a talented 4sure.
Dizasta na mawenge ndo hazna pekee Ambazo hazipewi heshima.
2024 tunaosikiliza hii tujuane
dizasta ni zaidi ya star salute kwako mwamba