Mimi huyu jamaa hata akisema album yake ni 50k nanunua kwasababu najua kazi yake, kuliko nimpe malaya nanunua nipate kuusumbua ubongo. Hip hop na dizasta ni kurwa na doto.
Dizasta vina songs -Verteller Into -A confession of a mad man -A confession of a mad son -A confession of a mad teacher -A confession of a mad philosopher -No body is safe I -No body is safe II -No body is safe III -No body is safe IV -Muscular Feminist -Money -Kesho -Yuleyule -Mlemavu -Shahidi -Hatia I -Hatia II -Hatia III -Hatia IV -Tatoo ya Asili -Kibabu na Kibinti -Siku Mbaya -Maabara -Wild Noise -Losen Angel NGOMA KIBAO SANA ZOTE KALI😂😂💥
"Ikumbuke jana au uanze kuifata future, future ni Leo....wanasema tomorrow is a mistry..."wooii sema DJ ungewaanzia wadau na intro ili ambae hawajui misingi ya album waanze sanda.
Uyu jamaa namuheshimu alichagua njia yake na akaiishi na ana mashabiki zake kabisa na nawakumbusha Album zake ziko boomplay na zina stream zaidi ya Million moja ko unaweza ukaona ni jinsi gani kaweza kutengeneza fan base yake bila promotions za media wala nn He needs some Respect aisee na Heshima yenu clouds kwa kumpa nafasi coz He Deserve
Huyu mwamba nilikua simfuatilii kabisa ila kunamwanangu anamfuatilia mda sikuwahi mzingatia ila nilimsikia mara moja tu nikaenda kustream album zake zote nyingine nikanunua
Nye hamjuituu dizasita vina ni best rapper Tanzania nzima kweli anani expaya kwenye mziki dizasita vina ni mbunifu sana anavo dondokea beat anateka wengi mioyoyao pia anarap vitu hinaitwa #Nilly jos nicheck UA-cam
Yaani mmeni'dissapoint mwanzo kusema hamumjui D ila Tulupa kaja kunifurahisa sana maana na kufuta mlichokionesha maana anamjua sawa alna anavojulikana. Tisha sana James maana unazijua mpaka line za Ipo juu, sema D umeaadatisha na kuokota buku ukabukuka mpaka wamekukatisha hujawajulisha kuwa wewe sio malaika ni Mungu wa rap.
Hakuna mziki una pesa Kama wa underground kwasababu wateja wake wapo huru kununua direct na hii ni sababu watu wanaumiza ubongo na tunatumia muda mrefu kujitengeneza since we know all faking life style many artist they leave
Kutojua kupenda sio ujanja ni ulemavu... kisaikolojia hawa watu tunawaweka kwenye kundi la watu wenye tatizo la haiba ie personality disorder hasa antisocial au paranoia
Dzasta vina nimtu asie na makuu japo sjapata mda wa kumwangalia kwa ukalib lakn namfatilia sana ktambo sna sana ila spend tena amjb rapcha yeye nikaka kama dogo kakosea asizdi kubishana atulie kwa ngoma zake hanaga kk dzasta vina ombi langu kwake hilo tu maana kuna watu wanahsi ameaza kutafta kk
Wangap tumeludia tena 2024
Wangapi tunaludia hii interview 2023
Niko hapo naicheck.
☝️
🔥🔥🔥🔥
Me naiangalia tena leo tar 26.06.2023
nipo apa 29 jully 2023
Dizasta kwetu ni SuperStar kuliko hao wasanii wanaopenda kuonekana. Dizasta akitoa kazi sisi tupo karibu yake atusikilizi tu, mpaka tunanunua.
Sawa kabisa mwamba anajua sana mi nina Album zake tatu
Mimi huyu jamaa hata akisema album yake ni 50k nanunua kwasababu najua kazi yake, kuliko nimpe malaya nanunua nipate kuusumbua ubongo. Hip hop na dizasta ni kurwa na doto.
Bg up sana
From 254 Mombasa Kenya, namkubali Toka harder mpaka mlemavu ...nimebakisha kutimiza ndoto yangu yakumuona live nimpe zawadi
Mi nimeirudia 2024🎉
The guy is so simple in the street, But in his field, Looks like Monster. Pamoja Sana Mwamba VinaDizasta. Appreciated Man.
Dizasta vina songs
-Verteller Into
-A confession of a mad man
-A confession of a mad son
-A confession of a mad teacher
-A confession of a mad philosopher
-No body is safe I
-No body is safe II
-No body is safe III
-No body is safe IV
-Muscular Feminist
-Money
-Kesho
-Yuleyule
-Mlemavu
-Shahidi
-Hatia I
-Hatia II
-Hatia III
-Hatia IV
-Tatoo ya Asili
-Kibabu na Kibinti
-Siku Mbaya
-Maabara
-Wild Noise
-Losen Angel
NGOMA KIBAO SANA ZOTE KALI😂😂💥
Nishasema mara ngapi jaman sitaki Tuzo/
Sitaki kuwa juu alafu nimefua chin....
Oyaaaah😂😂😂🙌
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kwenye play list yako + na *MWANAJUA* 🙌🙌🙌🙌🙌
Kibabu na Kibinti....wimbo wangu bora kabisa kutoka kwake...🔥♥️
Kwa mara ya kwanza naona Mmeleta Msanii anayejua huyu mwamba Sasa ndo inabid mumplomote sio ndege wengine aseer
Mmi nashangaaaa midia zetu zina promote wasio na uwezo wa kuimba aseeee huyu jamaa wakimpa support tuta rudisha heshima ya hip hop
"Ikumbuke jana au uanze kuifata future, future ni Leo....wanasema tomorrow is a mistry..."wooii sema DJ ungewaanzia wadau na intro ili ambae hawajui misingi ya album waanze sanda.
Nakubali sana Dizasta shabiki ako tokea kitambo the black maradona
Dar kuna joto ila Dizasta Vina ni wamoto kushinda Jua🔥🔥🔥
Uyu jamaa namuheshimu alichagua njia yake na akaiishi na ana mashabiki zake kabisa na nawakumbusha Album zake ziko boomplay na zina stream zaidi ya Million moja ko unaweza ukaona ni jinsi gani kaweza kutengeneza fan base yake bila promotions za media wala nn He needs some Respect aisee na Heshima yenu clouds kwa kumpa nafasi coz He Deserve
Huyu mwamba nilikua simfuatilii kabisa ila kunamwanangu anamfuatilia mda sikuwahi mzingatia ila nilimsikia mara moja tu nikaenda kustream album zake zote nyingine nikanunua
Sure thing 👍👍👍👍
Dah Dah sijui Nmemic vipi hii show. Anyway one of my favorite hiphop artist. Akuna kama wewe Africa Akunaaaaaa✊🏾
One of the best, can't wait the next project ....Kwa Spotify naona 3 Album in 2021, zote ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kuna ngoma ipo umo inaitwa wimbo usio bola naomba ipigwe Kwangu mm ndio best song naikubal San
Kutoka Hatia I , II , Kanisa, Nyumba ndogo mpk sa hv mlemavu magoma mengine kibao ...One love brother
PROFESSOR TUNGO / THE BLACK MARADONA / SHAHIDI Ndiye #DIZASTA_VINA🎤🎧🎵 🇹🇿 IS ON FIRE....💥💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
Master Vina, Rapcha kayakanyaga isikilize Best Friend 🙌🙌
Nye hamjuituu dizasita vina ni best rapper Tanzania nzima kweli anani expaya kwenye mziki dizasita vina ni mbunifu sana anavo dondokea beat anateka wengi mioyoyao pia anarap vitu hinaitwa #Nilly jos nicheck UA-cam
Dizasta vina nipo na wew since kijogoo, sister kadata✊
Mr times two Smarter.. Mdo mdo tutafika mwanangu mwenyewe Vina
People Fall in Love With Character ....which is not a Person. QuuuumaaaaKibuyuuuuuu. 💪💪💪💪💪💪
Nipo tayari kununua kwa cash kazi yoyote ya mwamba DZSTVN 💯✌
Here in 2024🔥
2024 ayeeeeeee
Mimi nime share hili pndi kwa watu wa hip hop weto
Professor Tungo 🔥🔥🔥🔥
Huyu jamaa ni moto sana❤
🎉🎉 sina mengi achujuwe tu mauwa yake
Katika huu mwaka ndani ya XXL hamkuwahi kupata ugeni wenye heshima katika HIP HOP.. Kama uwo.
Mwanangu upo clouds ,taratibu wataelewa tu
Genius above all
Like hapa 2024
G.O.A.T storyteller.
Am a big fun wa huyu jamaa since dakika kumi za maangamizi
Huyu ndo rapper peke anae rap kuliko fid q
Mwamba huyu hapa dizasta vina 🔥🔥🔥🔥
Dizasta vina is too hot
Huyu mchizi ni KONYO ✊
the man himself vinaaaaaa
Professor tungo 🔥🔥 👊 🙏
Yaani mmeni'dissapoint mwanzo kusema hamumjui D ila Tulupa kaja kunifurahisa sana maana na kufuta mlichokionesha maana anamjua sawa alna anavojulikana. Tisha sana James maana unazijua mpaka line za Ipo juu, sema D umeaadatisha na kuokota buku ukabukuka mpaka wamekukatisha hujawajulisha kuwa wewe sio malaika ni Mungu wa rap.
Dizasta keep it up brethren
Today we're so blessed with one of genius
Namubali sana brother ...unajua unachokifanya
Anajua sana
Dizasta ndo jina logo ya mtaa Ina-shine kuta
vina vyenye maana #DIZASTA VINA
Black Maradona is here
Vina 🔥🔥
Mmefnya n anze ku tune clouds fm nlianza isahau awandio wasanii tunaitaiji waskia
Oya nani huyoo.. aaah kumbe familia
Legendary vina
Mnaandaa Verse wawili and still not enough
Yoyoyo worup nsome kam dejong mimi sio mwizi ila leo ngoja niwaibie siri disaster is the baddest one big time
Professor tungo 👊🏿
Kituwo cha mistar wew🔥🔥🔥
Kweli kaka dizasta anajua
Huju ni jini vina dizasta zombie anajua sana
Baraka hapa dizasta vina we noma san
🔥🔥
Mlemavu, haujui kupenda moyo wako hewa😅
Me namjua kitambo
Maomba ngoma ya dizStA unaitwa mapendo
Black maradona #hiphop stand up
Dizasta anahuska vizuri kwenye kile anafanya yani jamaa mnyama sana
♥️♥️♥️♥️♥️
Mbona hamuongeleshi vina ...show yakijinga sana
Jamaaa yetu huyu
Dizasta ni hatarii xana ...nyie mnamuona Kama underground ..wakati sisi ni aicon ye2
Wao ndio underground wa shule ya hip-hop
Nairudia hapa hii interview
🇰🇪respect vina
Vinaaaa🙌🙌🙌
Dizasta ni mtu na nusu naweza weka reply ngoma zake siku nzima
Leo tar 22/3/2032 nasikiliza 🔥🔥🔥
Nice
Msanii wetu mtaani
Dizasta vina, the black Maradona
huyu jamaaa kna maswali ashawajibiu bwanaa,,,,,,, em mskillzeni wachuga tunamwelewa kikummmmmest
Where is adam
Dizasta vina prof tungo ni noma ktambo
Jamaa ananyimbo ambazo unaweza sikiliza kuanzia dar mpaka kigoma na zisikuboe
Jamaaa noma sanaa huyu 🔥🔥🔥
2024🎉🎉
Msinambia hamjagusa no body is safe 3
Nobody is safe
Dizastaaa vinaaa
Uyu jmaa atari nmkubal sana
Mwanajua😂
Anajua
Hakuna mziki una pesa Kama wa underground kwasababu wateja wake wapo huru kununua direct na hii ni sababu watu wanaumiza ubongo na tunatumia muda mrefu kujitengeneza since we know all faking life style many artist they leave
How bro, mana me naona hiyo njia anayoipita dizasta na ma underground wenye mawazo kama yake ni ngum sana au Kuna kitu sikijui bro
Uyo mwiteni jini jamani
Black maradonaaa
NA HUU NI MZIKI WA KUSIKIZA SIO WAKUSIKIA KAMA ambavyo wengi wanafanya
Jamaa nomasana
💥💥💥
Genius black maradona
Hanaga mda wa kk wala nn bas uwe mwaka wake huu wakupaa mana anangoma kbao sana
Kutojua kupenda sio ujanja ni ulemavu... kisaikolojia hawa watu tunawaweka kwenye kundi la watu wenye tatizo la haiba ie personality disorder hasa antisocial au paranoia
Mwanajua ni extraordinary
Mpaka leo sjajua kazungumzia nin mule ndani
@@seifmiraji43 nichek nikufungulie
Interview