WANAUME LALENI NA KANGA WANAWAKE TUSIANDAMANE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 лют 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 44

  • @zainabnoor2278
    @zainabnoor2278 4 місяці тому +3

    Shukran kwa kutuletea somo mwenye madini yake MashaAllah...Allah awahifandi

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 4 місяці тому +4

    Asante Madam kwa Darsa Nzuri Tunapata kujua yaliyojificha Naangalia kutoka Oman

  • @user-bt8bk7pm6e
    @user-bt8bk7pm6e 4 місяці тому +2

    Somo pambe na nusu Mashallah Allah awabariki

  • @RahmaRashid-lc6nw
    @RahmaRashid-lc6nw 4 місяці тому +3

    Mashallah Mashallah somo bado uko mdogo lkn una madini unaokoa ndoa za wengi mafunzo yamejaa staha nakusikiliza kutoka Uk

    • @soamShs-cp4dl
      @soamShs-cp4dl 4 місяці тому

      Msikilize vizur sababu sababu waume zenu wakija Tanzania mara nyingi wanaowa unachezea mambo ya kanga haha

    • @RahmaRashid-lc6nw
      @RahmaRashid-lc6nw 4 місяці тому

      Ndo weye nn umeiba mume wa watu hahahhaha

  • @muhammadMwinyikombo
    @muhammadMwinyikombo 3 місяці тому

    Kwakweli ilmu ni faradh ❤

  • @atfatabdul5414
    @atfatabdul5414 4 місяці тому

    Masha Allah ❤❤❤

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 4 місяці тому

    Mashaallah tabarakallah

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 4 місяці тому +1

    Asante sana dada

    • @TheFire_Gamer
      @TheFire_Gamer 4 місяці тому

      Najoto hili ni bora uvae kanga

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 місяці тому

    A: Unajua ukiwa somo unakutana na vitu vingi
    B: Bila shaka!

  • @aishabarua6857
    @aishabarua6857 4 місяці тому

    Shukuran daa Hatia,kwa mafunzo ya kanga

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 4 місяці тому

    Asante sana. Kipindi safi sana. Natamani kanga. Ila sijui ntazipataje

    • @zainabuali9915
      @zainabuali9915 4 місяці тому

      Mtafute somo kwa no iliyopo japo kweny kioo utapat kanga pambe tu

  • @danielshauri6390
    @danielshauri6390 4 місяці тому

    Nimepata somo kubwa sana , maana halisi ya khanga

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 4 місяці тому

    Yaan raha sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @abuufarheenfarid9320
    @abuufarheenfarid9320 4 місяці тому

    Visiwa

  • @abuufarheenfarid9320
    @abuufarheenfarid9320 4 місяці тому

    Sio kisiwa ni visits vya Zanzibar (Unguja na Pemba)

  • @AshaMakame-dc4nz
    @AshaMakame-dc4nz 2 місяці тому

    Madam, kanga ya shingo hata kwa mwanamke alieolewa, has Kwa mwanamke mwenye kibuno

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 4 місяці тому

    makosa jamani kusema maneno hayo kila mzanzibar anajua

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 4 місяці тому

    aibu jamani umwambia mwanamm e maneno huyo makosa jamani hiyo ni siri yako na mumeo tu

  • @user-ej9sn1qq1p
    @user-ej9sn1qq1p 4 місяці тому

    Somo inamalezi ndani yake.

  • @al-hidayahonlinetv3447
    @al-hidayahonlinetv3447 4 місяці тому

    Khanga imaongeza nguvu😂 we mwana utazifanya ziadimike😅

  • @wardawarda6535
    @wardawarda6535 4 місяці тому

    Nitavaa kanga iloandikwa *ukisusa wenzio wala*😂😂😂😂

  • @user-gz5qu5qy1y
    @user-gz5qu5qy1y 4 місяці тому +1

    Hahahaha jamaani hadimpunguze uwazii wengine wanao tazama ni watoto

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 4 місяці тому +1

      Mtoto kafika youtube? 😂

    • @bintiyusuf9
      @bintiyusuf9 4 місяці тому

      Dada attiya naomba no yako please

    • @kulthum8335
      @kulthum8335 4 місяці тому

      Mashallah ​@@AttiyaHassan_somomtoto

    • @user-gz5qu5qy1y
      @user-gz5qu5qy1y 4 місяці тому +1

      @@AttiyaHassan_somomtoto hahahahkqhq watoto wengine wa kimaumbile yaani bachela na bachelati wakiskia hivo mnawatia mawazo hawana wa kuwavalia hahah 😆 😂

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 4 місяці тому

      @@user-gz5qu5qy1y basi wana hashuo kutaka mambo si saizi yao muhim walengwa ujumbe uwafikie

  • @NOORMOHAMED-sg9lo
    @NOORMOHAMED-sg9lo 4 місяці тому

    Mmekosa adabu .
    Washenzi mlokosa haya.
    Mbwa kasoro mikia nyie .
    Mambo hayo yana wenyewe wala wasingejianika hapo kuongea .
    Mambo ya wakubwa yana ngariba.
    Mmekaa hamna tafauti na mashoga ama malaya wa kizungu kuongea uouuzi hawana sehemu wala mafundisho kutoka kwa waalimu.
    Nyie mkifanyiwa kazi na kama nyie basi hatuna haja ya ushenzi na ubaradhuli wenu.

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 4 місяці тому

      subhanallah, ni vizuri ungewaambia kwa lugha nzur kuliko kuwamalizia matusi kama ivo,kumbuka hawa ni binaadamu si wakamilifu. kama kila anaekosea anatukanwa uislamu usingepata mtu.

    • @AttiyaHassan_somomtoto
      @AttiyaHassan_somomtoto 4 місяці тому

      Kwa kosa gani haswa kwenye hiyo mada ilojadiliwa? Allah amsameh yy na sisi​@@Allybinamour