USITEGEMEE KUPATA MAPENZI KWA MWANAMKE BILA KUYATENGENEZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 27

  • @suleimanomar5823
    @suleimanomar5823 Рік тому +1

    mashalla kipindi kizuri sana wazungumzaji wapo vizuri sijawahi kuangaliakipindi chochote kwenye mtandao nikapoteza mda kama ninavyo angalia vipindi hivi shukurani sana

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 Рік тому +1

    Kaka unaonekana unayaweza mambo ya wanawake mashallah unajuwa majukumu ya mke hongera san

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 25 днів тому

    Kina dimoso morogoro moja kaka yangu huyo❤❤❤

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 місяців тому

    Masha Allah shukran jazeelan

  • @awaaabdullah3061
    @awaaabdullah3061 Рік тому +2

    Hii kauli nimeikubali ....ukiolewa na anaetegemewa na familia tabu sana

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Рік тому

      Mm iliwah kunijia bahat iyo ya mume anaetegemewa na familia yake halaf ana make na watoto eti mm niwe make wa pili, nilikataa vo, Mana yeye ndokla kitu kwao na huyo mkewe anadai talaka aachwe Kwa hayo hayo

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 25 днів тому

      ​@@nahlahassan-fd6lebora umekataaa kinge kuramba

  • @omanmuscatmus2155
    @omanmuscatmus2155 Рік тому

    Mashaallah 😘😘

  • @zainabuliza2664
    @zainabuliza2664 Рік тому +1

    Nilikua sijui kua mwanaume kusaidia ndugu zake ni lazima lakini kusaidia ndugu za mke ni hisani 😮

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Рік тому

    Ww hina hio unayo itembeza kwa jamini kweli ndio una ndoa au ndio mwalimu wa kufunza ndoa Mitihan,,Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho wataipenda sio jua ndio wataonekana wanajua walio Wawazungu wanapiga muda imefika

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 Рік тому

    Swali umuombe Allah in shaa Allah atakupa

  • @zainabuliza2664
    @zainabuliza2664 Рік тому +1

    Hata wanaume wana u selfish unakuta ckukuu ikifika ataandaa mazingira mazuri kwao lakini kwa ukweni kwa mkewe hatoi hata sumni hili nalo limekaaje?

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le Рік тому

      Mwanamme akikujal ww tu inatosha ukweni utafany ww Kwenu sio lazima

    • @zainabuliza2664
      @zainabuliza2664 Рік тому

      @@nahlahassan-fd6le Utafanyaje ilhali wewe unamtegemea yeye akupe
      Mimi naogopa sana jamani mbona ni kama ubinafsi hivi
      Unakuta na wewe ndio ulikua tegemezi kwenu alafu yeye kakuchukua na kukata mirija ya msaada kwa wapendwa wako mfano wazazi n.k alafu unashuhudia jinsi yeye anavyo mwagilia huduma familia yake huku yakwako ikikauka kwa ukame wa huduma kama hizo
      Kwa hali ya kibinadam hivi unajisikiaje
      Unapewa pesa "mkewangu nenda kamtumie mamangu hiyo pesa ckukuu inakuja" halafu kwako wewe hata robo hupewi halafu inakuwaje sawa?
      Kama ni hiyo hissani bac wanaume wanapaswa kuusiwa sana kuhusu hisani

  • @iddswalehomar1323
    @iddswalehomar1323 Рік тому

    Somo mtoto ameolewa

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 Рік тому

    Jaman mm nahitaji mume anaye juwa majukumu ya mke wake