Mke mwenza ana raha kweli? | Gumzo la Sato na Fridah na Lofty

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 182

  • @mariamgitau8637
    @mariamgitau8637 2 роки тому +10

    Mashaa Allah leylah is such a mature lady kulingana na vile anajibu maswali kwa utaratibu..hongera dada na Allah azidi kuilinda ndoa yenyu na muzidi kuwa mfano bora kwa mujtamaa

  • @WilliamGatoto
    @WilliamGatoto 3 роки тому +13

    In my view, I don't see why we are demonizing Leila. Why isn't anyone talking about the husband who went after her? If Islam allows the man to marry more than one woman, where is Leila wrong? I respect the man because it means he works hard to manage 2 homes. If Leila respects the first wife, and she has been the second wife for 18 years, where is the issue? Better this man who has declared Leila as a second wife. I can guarantee you in this Kenya, alot of men have 2nd wives hidden somewhere. Achaneni na Leila. And why ask about sex life in marriage? This is very personal

    • @jonesjois3169
      @jonesjois3169 2 роки тому

      Shut up I'd sex was personal why did she decide 2 come and tell us about it in public coz No2 ++ wives is all about sex

  • @mohamedaminah3448
    @mohamedaminah3448 2 роки тому +7

    Hongera dada, MUNGU AKUZIDIE IMANI LEYLA UKO SAWA KABISAAAAA BI LEYLA.

  • @ahmadmadhi8147
    @ahmadmadhi8147 2 роки тому +10

    Leila very smart hao wanawake watatu sato na Frida na mwenzao alokuwa akimuhoji leila walikuwa na mori sana juu ya leila ,na haya mambo kuoa mkewa pili kuongeza na watati hadi wa nne ni sheria ya dini ya kiislamu,mama mwenyezi Mungu anajua kya wanaume hawatosjeki kw mke mmoja .mfano mzuri ni vile munaona wakristo wengi sanaa wana mipango ya kando .M.Mungu hapendi zinaa ndio ameruhusu muislamu kuoa wake hadi wanne kw mwenye kueza. Wasokua waislamu ni wengi wanazini na wanawake zaidi ya wanne kw mwezi hebu nambieni nyiwe madada mulokua mukimshambulia leila ni bora mtu kuolelewa wake wenza wanaojulikana au ku share mume na wanawke wengi wa siri wasijulikana?Aaaah huo wenu ulikwa ni wivu tu.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Sadakta👌umenena hakika!hizi habari za mke zaidi ya mmoja hakuwepo msemaji wetu hapo mezani!, hao studio wamshambulia leila wamealikana wenyewe,hakika hawajui waume zao huko wako na wanawake zaidi ya 4 huko nje,basi wasitusemee sie tumesha pewa 4 wa halali,wao wadanganywa ati ukopeako mke wangu sina mwinginewe😂subutuuuu!!!!🤣🤣🤣🤣

  • @lutufyodixon9997
    @lutufyodixon9997 Рік тому +1

    I'm a Tanzanian and very impressed by your Kiswahili... Thats awesome.
    Uendelee kutangaza Simba Miaka yote

  • @alhajbakary7337
    @alhajbakary7337 3 роки тому +16

    MSIINGILIE DINI ZA WATU KAMA HAMUWEZI KUOLEWA NI HIYO DINI YENU YA KRISTO

    • @hanifajuma6121
      @hanifajuma6121 2 роки тому

      Hata katika ukristo bibilia yao haijakataza wake wengi, wazungu ndio walikataza kua na wake wengi lakini wanakubali ndoa za wanaume kwa wanaume, na wanawake kwa wanawake. Ushetani huo.

    • @aggysm2116
      @aggysm2116 6 місяців тому

      Wanzungu wapi, kama husomi Biblia hutawahijua venye Munge ameamrisha

  • @josephotieno8374
    @josephotieno8374 2 роки тому +4

    That introduction Lofty, fire fire

  • @casillascicero7944
    @casillascicero7944 2 роки тому +3

    Truth is very bitter to swallow but you feel the relief thereafter

    • @tonnynzamsa
      @tonnynzamsa Рік тому

      The I will 🎮 the same as soon I can get it 7th off the a first

  • @gracew7460
    @gracew7460 3 роки тому +4

    How do they manage to share love

  • @raelobiele3328
    @raelobiele3328 2 роки тому

    Am learning alot much thnks Evelyn ans bii kadzo

  • @milkahachar1794
    @milkahachar1794 2 роки тому +18

    Hahaha, these discussions are hilarious 😂....but women,let's strive to be no.1...I come from a polygamous family, and it's not as smooth as Leila puts it,the level of jealousy and repacations that come out of these jealousy is despicable! If you can be the only wife... then let that be your goal.Coming in as a second wife will bring endless battles to your entire generation.

    • @jacklinemutie8901
      @jacklinemutie8901 2 роки тому

      Very smooth

    • @charlesweru7787
      @charlesweru7787 2 роки тому

      Depends on so many things 😜

    • @tonnynzamsa
      @tonnynzamsa Рік тому

      Hahahaha and a I love you 👍 😍 you can assist you with that as you can assist 😉 in your home to be able 🎁 to help me get the back 😉 the first one 😉 so ❤️ I will be back on Sunday so I'll probably need 😊 hours 😊 to get the rest will look at your email and I'll have to will the email

  • @loisegitau4897
    @loisegitau4897 2 роки тому +4

    Some men mistreat 1st wife and love 2nd wife, I've seen many 1st wife with depression, stress.

    • @puritykarimi3914
      @puritykarimi3914 2 роки тому

      I second you

    • @tonnynzamsa
      @tonnynzamsa Рік тому

      5th floor of the my house 🏠 I am have the better one in a the to the above and the people who are a bit worried that we you ❤️ in 👍 and I love you too much and we will never miss out again during

  • @abdallahcharo2798
    @abdallahcharo2798 3 роки тому +6

    Kila mwanamume anatamani Kua nabibi wawili tatizo uwezo wakuwamiliki tu

  • @midabingamlata9129
    @midabingamlata9129 2 роки тому +7

    La kusikitisha ni kwamba wenye kuchangia wanamshambulia mgeni...ndoa yakubalika wanne . Msilete feelings za kwenu ...hapa ndio watu hukosea. You need a refined counselor who does not bring feelings ..you listen and learn. Ouch!

    • @salwasuleiman3525
      @salwasuleiman3525 2 роки тому

      Kweli

    • @MaggieNdirangu56
      @MaggieNdirangu56 2 роки тому

      Wanafaa kuleta pia watu neutral kwa issue kama hizi hawa wako biased sana

    • @neamusic2601
      @neamusic2601 2 роки тому +2

      Wote wameletwa ni WA dini moja tyu

    • @pheobeasiyo6674
      @pheobeasiyo6674 Рік тому +1

      Kunawanaume wawili waliniambia hata wameoa wanne lakini bado hawajatosheka

    • @MariamAlly-hk7io
      @MariamAlly-hk7io 18 днів тому

      Bakieni na dini yenu
      Ninyi na dini yenu Nasi nadini yetu

  • @evelynomwenga823
    @evelynomwenga823 3 роки тому +3

    Leo kumewaka moto 😂😂😂😂I like 👍

  • @jumbahumphrey6288
    @jumbahumphrey6288 2 роки тому +2

    Mume kuoa mke wa.pili.sokua kakosa kitu kwa mke wake wa kwanza ola ni.yamaa tu za wanaume , mana mwanamme sikuzpte ajuo anachotaka kwenye maisha yake, mana akioa bado atatamani mwengine ambae amjui ila akishamjua undani mwake atamuona tu kama wakawaida na wengine.

  • @thepowerofsilentsoul2135
    @thepowerofsilentsoul2135 2 роки тому +1

    Congratulations mama

  • @issabakari6103
    @issabakari6103 11 місяців тому

    Mashaallha.
    Mwanaume anapenda kwa kuona. Mwanamke anapeda kwa moyo

  • @salimhamisi990
    @salimhamisi990 2 роки тому +5

    Leila is very right
    The others are only very emotional

  • @maggynowak3555
    @maggynowak3555 2 роки тому +4

    How religion presses a womans ego is amazingly sad. Until someones self esteem reaches the bottom.

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 2 роки тому +3

    Hata mimi nimeolewa wapili ndani ya miaka 17yrs tuliishi nyumba moja zaidi ya miaka nane kisha badaye nikafanya kazi na nikanunuwa kwangu

  • @balancedviewpoint7418
    @balancedviewpoint7418 3 роки тому +4

    Ugumu wa sasa sana sana uwa ni wivu, magonjwa, upendeleo au tamaa ikisidi. Kwa Uislamu inakubalika hata sasa lakini kwa Ukristo, kidogo haileti shangwe ingawaje mapenzi ya pembeni ndio hali ya maisha siku hizi.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Shukran umekaribia sana na fikra zangu,sadakta

  • @mystyjakanyango4079
    @mystyjakanyango4079 2 роки тому +9

    Leila amenena ukweli mtupu. Hawa wanawake wengine wote wajidanganya bure. Hulka ya mwanamume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja..

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 роки тому +3

    Nihaki lela kuwa mke wa pili na sheria ya kiislamu imeruhusiwa kwa sababu hata asipoowa atatoka nje na uchumi ni mgumu na yuwatoka nje aradhiwa atelekeza mke wa kwanza

  • @chichiresian9645
    @chichiresian9645 3 роки тому +4

    Lete guzmo ya wazee nayo tusikie maoni yao, na vipi wanaweza !

  • @ruthmwangi6084
    @ruthmwangi6084 3 роки тому +4

    It all depends with all the characters involved.

  • @peterokalo9632
    @peterokalo9632 2 роки тому +1

    Pesa pesa pesa the second wife will-Côme will come because of the money is theirs in the families

  • @hellenjethro9709
    @hellenjethro9709 2 роки тому

    it is not easy

  • @emmanuelkahindi587
    @emmanuelkahindi587 3 роки тому +3

    Hahahaha mbona mwanamke akubali kuolewa kama mke wa pili?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Kwani ninani pia amekuambia mke ni mmoja?na huyo mwanamke asie kubali kuwa wa 2 ipo siku atakubali kuwa 4,na huyo mke wa1yeye pia anajua kuna mke wa 2,3,4 hata anajifanya hajui atajua 2 akiletwa,hata ukawa dini tofauti na islam'bado wewe ni mwanaume haikubadilishi'utakuwa tu na wengine pembeni!sasa kwanini uwe nao?naikiwa dini haikuruhusu?huoni bado unauhitaji waziwazi kuliko kificho?na utamdanganya huyo mke mmoja kuwa ni yeye tu uko nae'hali unao wengine nje!ipi nzuri?kuoa kwa ruksa 4 au kuiba nje?

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 8 місяців тому +1

    Dadangu hajavujcha ndowa kama imvujaji mpaka sasa mke wakwnza asingekuepo wceni kujidaganya eti sabanu ni pesa sikeli

  • @hassandormkeyo4867
    @hassandormkeyo4867 2 роки тому +1

    guys! do you think watu wanaoa upon uwepesi wa maisha? kama ni hivo watu wengi wasingekuwa hata na mke mmoja...imagine hao wote wanaodai hawawezi kuoa mke wa pili wanajaza vimada mtaani na wanawaonga more than hata gharama za mke wa kwanza

  • @ndutawanjiku9367
    @ndutawanjiku9367 2 роки тому +1

    The end😂😂

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +8

    Evelyn na Kadzo wanawake ni wengi kuliko wanaume. Aamtaki uke wenza wanawake wengine mnataka wawe malaya? Unaleta habari za bibilia wakati ilikua ni sheria ilikua imewekwa na paulo na paulo mwenyewe hakuoa na alikua si mwanaume kamili. Mnakataa mabwana zenu wasioe wanawake wengi na tunawakuta bar wakizini na malaya. Mwanaume haridhiki na mke mmoja na ukiona mwanaume ametosheka na mke mmoja basi huyo hajakamilika. Nyinyi wakristo bakini na dini yenu na sisi waislamu wanaume rijali mutuache na wanawake wengi kwani tumekamilika

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 2 роки тому +2

      @Yusuf Mwangi.... kweli kabisa. Leila ndiye amenena ukweli mtupu. Hawa wanawake wengine wote wajidanganya bure. Hulka ya mwanamume ni kuwa na wanawake zaidi ya mmoja. Waendelee kujidanganya.

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 2 роки тому +1

      @@mystyjakanyango4079 Wao wanasumbuliwa na wivu

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 2 роки тому +2

      @@yusufmwangichannel6692 Yaa, wivu na kukataa kutambua uhalisi wa mambo.

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      kheri za Allah zikuendee Al habibby,umenena hakika umenigusa👌👌👌huo ndo ukweli,na hao wake wa kwanza wameanza namba tuu,kuna wa 2-3 na 4 sasa sijui huwa wakataa nini waume zao wasiongeze wake ili hali mambo ndani hawayawezi,na kumkataza mume kuongeza mke hiyo ni choyo na dhulma huyo mume haqi yake alopewa na Allah,siku hizi mke mkubwa ndo mume yeye ndo kila kitu atoa maamuzi kama ndie alie owa na sio alie olewa!hata huwa nashangazwa na hao waume pia,maziwa lalaaaa?mahanithi waolewa na wake zao,wewe mume wakubali kufanya na kupata dhambi ya zinnah kisa mkeo hataki uowe?inakuingia akilini hii?amri yote na haqi za mume mke ndo ameshikilia,hata tendo la ndoa mume hapewi na hana afanyalo,mume ampigwa kalenda tuu haoni ndani,hii itaendelea mpaka lini haswaa?mbona wanaume sasa ndo waolewa?hii haikupata kutokea enzi za wazee wetu,mke hana asemalo zaidi ya HEWALLAH mume wangu,bibi (nyanya)zetu,mama zetu walikuwa na heshima na hekma mbele ya waume zao,leo wanaume ni aibu wallahi,mambo mengi mengi sana yapo kwenye maisha yetu ya ki haramu na watu hawasemi kuifundisha jamii tunaogopana huku haramu inashika hatamu

    • @faithcarol3755
      @faithcarol3755 2 роки тому

      In Kenya there are only about 300k more ladies than men.
      Worldwide, there are slightly more men than women believe it or not. That's data from WHO

  • @lydiawambui5863
    @lydiawambui5863 3 роки тому +3

    Very enlightening conversation 😂😂😂 👍

    • @tonnynzamsa
      @tonnynzamsa Рік тому

      Very excited coming 😂😂😂like 👍

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 2 роки тому +5

    Leyla anabishana na makafiri hawawezi kukuelewa,

  • @penny4310
    @penny4310 3 роки тому +1

    🤐🤐🤐 juu nikisema itakuwa topic mpya.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +2

    Evelyn, kua na wanawake tofauti ndio maana waislamu tukaruhusiwa kuoa wanawake tofauti ili waturidhishe

  • @carolinewanjiku9809
    @carolinewanjiku9809 2 роки тому +2

    Interviewer should stop interupting while someone is talking

  • @lurrysam.2534
    @lurrysam.2534 2 роки тому +2

    viko vitu vya ku share lakini sio mapenzi

    • @nyembomajidi3027
      @nyembomajidi3027 2 роки тому

      dhuuu wewe kiboko na nikishia nguvu zakiume ndo unanikimbia?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      @@nyembomajidi3027 huyu bila hata kuishiwa nguvu za kiume'hawa wahivi hata hawayawezi ajua tu kukumiliki hata kukukidhia haja hawezi na hajui,wapo tele hao

  • @blessedhighlyfavored1697
    @blessedhighlyfavored1697 2 роки тому +1

    She is right because some rituals r repeated over and over since are found in blood lne....probably that would be a question she should answer 🤔

    • @tonnynzamsa
      @tonnynzamsa Рік тому

      She will also have the a bit of a few days of her family are here for Christmas so 😊 will not come home

    • @tonnynzamsa
      @tonnynzamsa Рік тому

      Asha is and the first person

  • @aishaabubakar4521
    @aishaabubakar4521 2 роки тому +2

    Queen natamani kumjua huyo mumeo nikunyooshe mpaka unyoke vizuri

  • @aliathmani7165
    @aliathmani7165 Рік тому

    Wakristo wanaoa wake wengi kwa tofauti sheria unaowa kanisani mwanzo, kuna desturi na mila, na kuna za sheria za nchi.
    That's Kenyan law, msidanganye watu

  • @truthfinest2035
    @truthfinest2035 2 роки тому

    My question will always be,
    Why is it that all questions are for the woman
    Why should you not call the husbands and ask them questions

  • @carolinemwende110
    @carolinemwende110 2 роки тому +1

    Hebu twambieni kuhusu second wife ambaye aliolewa na a devorced man....
    Talk ya Leo imewaka

  • @MariamAlly-hk7io
    @MariamAlly-hk7io 18 днів тому

    Ndoa kwetu ni dini tena nistara muhim
    Tzm sensa za nchi zote duniani
    Wake ni wengi kuliko waume

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 роки тому +3

    Sikuhizi mke mkubwa hakubali mke mdogo kwasababu ana vishindo

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Mke mkubwa au mdogo wawe na wasiwe na vishindo haijali, wao wajue tu hakuna mume wa mke mmoja basi yatosha kuwatia akili,wameolewa na mume 1,bado wengine wawili sasa mwajichetua huko vipi namba bado kukamilika ndo kwanza 2😄anae gombea mume hajatimia na hajiamini!ukiwa wa kwanza msubirie nawapili hatakama hatatokea wee hesabu tu,utaishi burudani bila jitundika roho

  • @aonali9997
    @aonali9997 2 роки тому

    🔥

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 2 роки тому

    Wakristo mna shida Sana hivi Kuna andiko katka bibilia mme aoe mke mmoja. Na km wanaume wa kikrsto kweli mwamfata Yesu. Je Yesu alioa😏😏😏😏😏si mkae km Yesu

  • @sallysally9011
    @sallysally9011 3 роки тому +1

    Smh. Lies. 18 years of nothing else but happiness ??? Uwongo nampo wawili? Smh!!

    • @bintf4345
      @bintf4345 2 роки тому +2

      She never said that. She actually said that at the beginning it was difficult.... Listening is a skill.

  • @mdalamgir-gu9hu
    @mdalamgir-gu9hu 3 роки тому +3

    Mume mnyanyasa uyo binty wakislam walai.shida dini zawatu mucngilie.matambo eri pia ungeweka muislam pia apo studio

    • @TheJamaa001
      @TheJamaa001 3 роки тому +1

      True

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Wazo zuri,hata nimeona hivyo kuna upungufu wa wasemaji,maana leila ni mwanamke wa kiislam'hao wachangiaji hawawezi kujua upande wa pili wa isilam!wanawasemeaje wanawake wa dini ingine? ikiwa hawaelewi dini hiyo inaruhusu? ujumbe utafikaje hawaujui!wanajisemea hovyo tu'angekuwapo ustadhat hapo kuwasemea wanawake wa kiisilam ingependeza!hao hawajui lolote kelele tu

  • @kerubodamaris479
    @kerubodamaris479 3 роки тому +2

    Kadzo na malkia wajeni kimbelembele,men are unpredictable kila mtu ajiamini.

    • @MaggieNdirangu56
      @MaggieNdirangu56 2 роки тому +1

      Ata yawezakuwa mabwana zao wako na wengine watano huko nje,waache kiburi washukuru Mungu kama hawajachezwa.

    • @noreenwabwile2813
      @noreenwabwile2813 2 роки тому

      Yes,wanaumwa wanamachungu sana

  • @irenelopez7804
    @irenelopez7804 2 роки тому +1

    Mwanaume akiamua kuoa akuna utakalo Fanya,so usijipige kifue ati ni Mimi tu,hiyo ni uongo,mwanaume hata kama ataoa mke wa pili lazima yuko na mpango wa kando,mume mwaminifu ni Mungu tu ila sio mwanadamu😂😂

  • @saumumresh1198
    @saumumresh1198 2 роки тому +2

    Koa wa pili lkn kuzini ni rahisi si bora kua na mwezako unaye mjua kuliko kua peke yako lkn huko kando anavimada kama vyote

    • @nishamillicent614
      @nishamillicent614 2 роки тому +1

      Kuoa mke WA pili haifanyi mwanamme kuwaacha kuzini,ataendelea Tu kuzini.

  • @nduwimanafatma9948
    @nduwimanafatma9948 23 дні тому

    Hapana leila hajuwi dini.kawaida dini ukiwa na wake wawili ukimnunulia huyu leso na mwengine nayeye lazima umnunulie leso ila kama sio leso lazima umpe kile kiwango kama ulicompa mke mmoja

  • @mercynicevlogs2874
    @mercynicevlogs2874 2 роки тому +1

    Leila ni mwanamke mwenye maarifa tele.dini yake kama Muslim inaruhusu na sioni ubaya alioufanya yeye kuolewa mke wa pili

  • @jmkentertainment..8247
    @jmkentertainment..8247 2 роки тому

    Wacha weee Everlyne watuletea zako za Mariakani mwareni huko😂😂😂

  • @salimhamisi990
    @salimhamisi990 2 роки тому +1

    Kuolewa mke wa pili ni maamuzi ya mtu mwenyewe.Kuoa mke wa pili si utajiri maskini wengi tu wana wake wawili ni maamuzi YAko MWENYEWE

  • @mercygatwiri4346
    @mercygatwiri4346 2 роки тому

    Wwe kanzo na uyo mwenzako nyoooo mmetigishwa na leiyla

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 роки тому +1

    Mm hapo hata sitaelewa kitu lakufanya ni shekhe ili atuambie kuhusi kuolewa mke wa pili maana mume nae akiwa hana kitu pale atakapo kuwa na pesa ndio anajitia ataka mke wapili alafu waume wengine wanatabia akitafuta mke wapili hatamwambia nakupenda nataka uwe mke wapili na bila kumtia dowa yule mke wa kwanza

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      hutaelewa wewe ni vile hujakamilika ktk dini!ikiwa ni wa dini wewe hata hutahoji kama hivi!nyie wanawake baadhi wa kiislamu namna moja mnaufanya ummat wa muhammad kuwa mchache!hii ni dini!ikiwa huwezi basi wapingana na Allah na hufai,kuongeza mke sio utajiri,mume aoa kwa pesa yake nasio yako huwezi mpangia,kuwa mke wa kwanza isikufanye ukajimilikisha huyu mume,ukasahau Allah kamuumba tofauti na kamruhusu wake 4,omba tu mume mwema kwako,awe muadilifu na akutunzie heshma yako,na hebu tuseme huyu mume hakutimizii chochote' akufanyia mateso ukalala na kuamka njaa'ungeishi nae?nadhani ungemuacha hata bila kukuolea mke,mke ni matunzo na kuishi nae kwa wema hiyo tu yatosha ukasitirika,hata akakamilisha 4,mradi akutunza,kukupa furaha na upendo na zaidi,nini tena wanawake mwataka???

  • @pheobeasiyo6674
    @pheobeasiyo6674 Рік тому

    Leila asimtaje kabisaa MWENYEZI MUNGU kwa uongo, he said ONE MAN ONE WIFE

  • @mkosakuumbwamwendazake4254
    @mkosakuumbwamwendazake4254 2 роки тому +2

    Ujinga tu mbna mkiolewa mwajisahau mbna msiolewele wenza

  • @aliathmani7165
    @aliathmani7165 Рік тому

    Uongozi wa mji kitambo ulikuwa ni majukumu ya mwanamume au mume nyumbani, ambapo siku hizi kuna madiliko mengi, kumbuka wakati hu wanawake na watoto nimakubaliano hamna amri tena, lingine wanaume wasasa wanauzembe wakutegemia wake zao, na nguvu za uongozi ni uwezo wa kutegemewa.
    Kwa hivyo leo ni mamlaka ya nusu mkate nyumbani kama inavyojulikana

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 2 роки тому +1

    Hapo studio kuna upungufu wa wasemaji,muwe mnawaalika na wasemaji wa upande wa pili islam,ili awaelimishe wengi hasa walio islam

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому

    Kuna wakati mnabebwa gari moja ????

  • @beautifulmind1177
    @beautifulmind1177 3 роки тому

    Biki biki haina simo moja

  • @MariamAlly-hk7io
    @MariamAlly-hk7io 18 днів тому

    Hata mke wakwanza ni tamaa wa mali

  • @tonnynzamsa
    @tonnynzamsa Рік тому

    John Lewis is an opportunity

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 8 місяців тому

    Mume wamke moja akuna ukisema uko pekeako wajifariji tuu

  • @elizabethawino8598
    @elizabethawino8598 2 роки тому

    Labda uislamu unawaanda kuishi kwa ukewenza, ukristo ni nooo.

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 3 роки тому +1

    Mke wa pili huja kwa sababu mke mkubwa akiwa kwa siku zake hawezi kumuingilia mke akiwa yuko kwa siku zake ndio maana akiwa kwa siku zake ndio anahamia kwa mke mdogo kwa sababu atakuwa yuko kwa siku zake

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      Ukaiona hiyo tu ndo sababu?zipo sababu nyinyi mume kuongeza mke,hata ukiwa jeuri tu na hujui wajibu wako kwa mume ,basi mume aweza kumleta mke msikivu,wapo wanawake kila saa yeye ako udhu tu

    • @maureenkangethe5762
      @maureenkangethe5762 2 роки тому

      This is so silly by the way

  • @alhajbakary7337
    @alhajbakary7337 3 роки тому +3

    IYO DINI INARUHUSU WEWE KAMA HUWEZI KAA KANDO PLZ

  • @wanyamaedinah4984
    @wanyamaedinah4984 3 роки тому +5

    Huyo kalaaniwa mwanamke wa pili ni laana kutoka kwa mungu kaa ulikuwa omba mungu akuondolee laana kwa family yako

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 3 роки тому +2

      Ni wewe ndo hata maandiko ya bibilia huelewi!!
      Hoja ya Kama mke wa pili ni kulaaniwa na ikawa eti ishara ya ukewenza ni katazo litakua halina ukweli kwa sabb Kama hoja ni neno kulaaniwa ndilo linalo fanya jambo hilo kuwa halifai labda tuihoji bibilia maana ya neno kulaaniwa na jinsi wakiristo wanavyoitumia visivyo.
      Wakiristo wanaamini kabisa kuwa yesu alisulubiwa. Tukuhoji bibilia inasema kwamba Yeyote anayetundikwa mtini amelaaniwa na Mungu (Kumbukumbu la Sheria 21: 22-23). Amelaaniwa anayetundikwa kwenye mti (Wagalatia 3: 13). Kama ni hivo watueleze Yesu kutindikwa msalabani je hicho kitendo ambacho bibilia imesema wazi ni la laana bila kumuemgua yeyote Sasa nae alilaaniwa na akawa hafai Tena?

    • @alhajbakary7337
      @alhajbakary7337 3 роки тому +1

      Huyu pia ndo walewale hujui maandiko waropoka kama hujui c uliza

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 роки тому +1

      Wanyama Edinah lete andiko mke wa pili ni laana. Mbona wanaishi kwa amani? Unajua maana ya lana au kufuata sheria za wazungu? Mnajifanya mnaoa mke mmoja na bar ni nyinyi mnaongoza wanawake wa kikristo kujiuza (umalaya) na wanaume kununua malaya

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 2 роки тому +1

      Huelewi wanena nini. Laana zatokea wapi hopo?!

    • @jacklinemutie8901
      @jacklinemutie8901 2 роки тому

      Eti laana?🤣🤣🤣

  • @fatumaramadhani1283
    @fatumaramadhani1283 2 роки тому

    Leyla hajui kuzungumza,hii ni sheria ya mungu sio Kama mke mkubwa alishindwa majukumu!

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 10 місяців тому

      Leilah Amejibuu vizuriii tuh,ila ni kwelii alivyomke Mkubwa na Leyla ni tofautii,hawawezi kuwa sawaaa ,Ata Watoto hawafanani,hao wanajinakii xanah

  • @imeldanamusia6922
    @imeldanamusia6922 2 роки тому

    Interviewer give time to someone to express

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972

    Wachangiaji wote mfumo kristo mtupu, wote hao ni mafemenist mapinduzi yanatamani haki za wanaume ziwe zao. Hamna lolote hapo.. huyo naye sijui kwa nn kakubali kuhojiwa na hao wachafuzi wa Hali ya hewa?

  • @zainabusabas7421
    @zainabusabas7421 2 роки тому

    Mh hapo kwenye kijakaz hao wakristu nao wengi wanazini ni Bora ujue mko Wawili na wengine hawatki kusema sababu ya sisi wanawake tunakua mambo ya shirk ukiambiwa mume anataka kuoa lazima uanze kiangaika na shirk

  • @sibiahnchobera5308
    @sibiahnchobera5308 3 роки тому +2

    Napongeza, mama, kila mtu ua lake.

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 3 роки тому +1

    Ukunda cyo likoni

  • @blessedmum7317
    @blessedmum7317 3 роки тому +3

    There is no true love in polygamous marriage.

    • @mystyjakanyango4079
      @mystyjakanyango4079 2 роки тому

      You have no idea

    • @mkasiali6956
      @mkasiali6956 2 роки тому

      Mapishi nitafauti wewe cheupe

    • @mkasiali6956
      @mkasiali6956 2 роки тому

      Lela unawivu

    • @hellespont1
      @hellespont1 Рік тому

      What is true love if not by actions? You mistake love with just the emotional feelings. Does not even the bible say 'love without action is dead'? Love is about intention and choice not just feelings

  • @sanaf8367
    @sanaf8367 6 місяців тому

    Hakuna tatizo nyie wakristo munachekesha yaani baba wa imani yenu Ibrahim awe kafanya uovu kumuowa Hajra wakati ni Mungu ndie alieridhiya awe mke wake wa 2.

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому +1

    Hata sasa huyu mwanamume atatafuta watatu

  • @janependo133
    @janependo133 2 роки тому

    Sikio la kufa haliskii dawa

  • @jacklinewesonga7267
    @jacklinewesonga7267 2 роки тому

    Mke wa pili nikupe

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому +3

    Mke wa pili ni haramu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      Huo ni mtazamo wako na wa Dini yako maybe,lkn islamu yaruhusu na ukiongea usiwaongelee wenzako hasa islam maana wao waruhusiwa na sio lazima ni uwezo wao

    • @saabafaraji7781
      @saabafaraji7781 2 роки тому +2

      Din yko tu..ila dini ya ukweli na haku ni ya kiislam..na kwa ujing wenu nandio mna wanaume wen wanachepuka nje..

    • @jacklinemutie8901
      @jacklinemutie8901 2 роки тому +1

      Mke wa kwanza ni jina tu na shida tupu

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      @@saabafaraji7781 👏👏amekuelewa nadhani😄

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому

      @@jacklinemutie8901 umeupiga mwingi,sadakta umepita mlemle hujakosea,na ndio sababu kubwa ya waume kuongeza mke!

  • @jmkentertainment..8247
    @jmkentertainment..8247 2 роки тому

    Hapo Leila umesema kweli wanaume hawana mke1...kadzo yuakataa lkn yuajua ni ukweli

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому

    Mke wakwanza fungua kuzaa

  • @isihakaabdul6784
    @isihakaabdul6784 2 роки тому

    Wacha wivu

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 3 роки тому +2

    Mnachanganya nyie. Topic hii ita confuse watu wa bara kidogo wasiio elewa dini ya kiislamu. Kuleta wa pwani wakristo kujadili uislamu makosa. Kisha kuna mila pia hapo kwenye mix kisha kuna mpango wa kando ambapo haikubaliwi kiislamu ukitaka unaooa

  • @sibiahnchobera5308
    @sibiahnchobera5308 3 роки тому +1

    Unaweza aje kuolewa na maskini, anadanganya.

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 3 роки тому +5

      Hadanganyi tuulize sis tukujibu kwa sabab ndio waowaji na tunao wawili na sio matajiri Bali wahangaikaji na hao tulowaoa ni wavumilivu wenye Imani na wamefata mapenzi na sio Mali. Tatizo la baadhi yenu na mawazo ya baadhi yenu sio ya wote. Kama ilivo pombe sio ya wote na tabia, Imani na malengo pia zatofautiana

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      @@ibrahimsiddiq4018 👌👌👌

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 2 роки тому +1

      @@aairraahseif5648 umeonaee

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      @@ibrahimsiddiq4018 wanawake wachoyo eeee,wanaona wanaume wanafaidi wakioa wake zaidi,na kwa uelewa wao mdogo kuwa wakiwazuia waume wasioe wake zaidi wanadhani wametukomoa wanaume,kumbe matokeo yake mpango wakando😂😂lkn mpangowakando siyo suluhu ni matatizo makubwa,njia ni usimuogope mkeo nenda kaongeze mke fanya yalo sahihi na ni kheri na utakuwa umefanya ibada,na kuongeza mke sio utajiri ni mipango na maelewano mazuri na maridhishano tu na kufuata haki njia njema kabisa na ukiwa mginga mume wewe ndo fitina ya ndoa na wake zako,mchawi ni wewe mume,ukisimama imara kwa misingi ya haqi utawajenga wakezo na utafurahia maisha inshaallah Allah atuongoze ktk njia njema ameen

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 2 роки тому +1

      @@aairraahseif5648 aaameen Yaa Rabb,,, kunywa soda naja kulipa,

  • @mscantraah8210
    @mscantraah8210 3 роки тому +2

    Wallah mimi ni mwisalamu bt siwezi kukubalikabisa dini Siya sasa ilikuwa zamani Kwa hiyo leila ametudanganya kabisa yeye leila anampango wa kando

    • @kvfihf6324
      @kvfihf6324 2 роки тому

      Audhubillah

    • @gracenjeri7155
      @gracenjeri7155 2 роки тому +1

      Naeza fichwa lakini nimenunuliwa adi nyumba

    • @raiyaaaraiyaa6054
      @raiyaaaraiyaa6054 2 роки тому

      Wewe sio muislam wewe kafiri tuu. Utamsingiziaje. Mtu usie mjua mzinifu. Pumbavu mkubwa wewe. Wewe ni Malaya tuu wa kawaida. Choo cha kulipia idiots

  • @jacklinemutie8901
    @jacklinemutie8901 2 роки тому

    Wanajuaje hao wanawake wako peke Yao???

  • @nashipaikoima682
    @nashipaikoima682 2 роки тому

    Mngemleta pia wa kwanza
    Lakini wake wenza wanaharibu familia - homewreckers
    Wajute tu

    • @jacklinemutie8901
      @jacklinemutie8901 2 роки тому +1

      Mumeo ako na side chick na unaongea hapa

    • @nashipaikoima682
      @nashipaikoima682 2 роки тому

      @@jacklinemutie8901 watch her painful life. Not worth it.

  • @gpp9667
    @gpp9667 3 роки тому

    Bona hukutafuta mume wako

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 2 роки тому +1

      Lakini mie najua mume ndio atafuta mke,akatafute wapi huyo mume?tuambie

  • @abdallahcharo2798
    @abdallahcharo2798 3 роки тому +1

    Wanawake hawapendi kuolewa wapili wanasumbuliwa nawivu tu hao kama nguvuziko nauezo oa hata wa 4 kwanini mume achepuke siafadhali ao