Mambo ambayo wazazi hufanya huharibu watoto - Ukht Fatma Mdidi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Hii ni sehemu ya pili ya Darsa la malezi ni saba 3.Katika Darsa hili Ukht Fatma ameeleza kwa kina mambo ambayo wazazi wengi hufanya ambayo huchangia kwa kiasi kikubwa kuharibu watoto.

КОМЕНТАРІ • 19

  • @zuhurayusuph901
    @zuhurayusuph901 11 місяців тому +6

    Masha Allah! Jazakallahu khayrah ukhty Fatma, Allah akupe umri mrefu tuzidi kunufaika na ilmu unayotupatia.

  • @Garusahir
    @Garusahir 26 днів тому +1

    Tabaraka Allah Rabul Aramin ukht Allaha kupee umri mrefu tuzidii pataa manufaa na Darasa hizii

  • @kurusumuakimana8233
    @kurusumuakimana8233 Рік тому +4

    Asante saana kwa Darsa nzuri Allah akuzidishiee kheli n'a umburi muref kwakuzidi kutufunza❤❤❤❤❤🤝🤝🤝🤝💕💕💃💃💃

  • @DelightfulPenguin-wk4kv
    @DelightfulPenguin-wk4kv 5 місяців тому +1

    MashaAllah tabaraka Allah ukhty Allah akuzidishie iman iyoiyo ya kutuelimisha ss wanawake wenzio wa kislam na akuajaie kheri katika mambo yako na pia uwe na mwisho mwema

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y 7 місяців тому +2

    Nakupenda sana kwa ajili ya Allah.nimekuelrwa sana.

  • @user-qk3gx9xi2u
    @user-qk3gx9xi2u 11 місяців тому +3

    Maashaallah ukhty wangu,tunafanyia kazi

  • @thuwaibabughe3601
    @thuwaibabughe3601 11 місяців тому +1

    Maashaallah tabarakallah Allah akulipe kher dada

  • @saft9482
    @saft9482 8 місяців тому +1

    Jazzakalahu likhayra ukhut Fatima Allah akujalie uwemiongoni mwawatu walio salimika nyoyo za na wasema kweli

  • @zuenamsonga5274
    @zuenamsonga5274 11 місяців тому +3

    Jazakallah ukhty Mada imenigusa kweli Mwenyezi Mungu akulipe kheri,Tutafanyia kazi Inshallah

  • @fatmasaid3134
    @fatmasaid3134 8 місяців тому +1

    Mashaa Allah,,, ukhty mm nataka niwe napata mawaidha yako niwe nasikiliz hata offline nifanyeje

  • @marwaabdalla9306
    @marwaabdalla9306 Рік тому +1

    MashaAllah, shukran ukhty Allah akulipe kheri

  • @mwanaherimatata8571
    @mwanaherimatata8571 Рік тому +2

    Allah Akubariki ukhty Fatma

  • @themembinga3996
    @themembinga3996 Рік тому +1

    Maashallah Allah akulipe Dada yngu

  • @khadijaramadhani5562
    @khadijaramadhani5562 11 місяців тому +1

    Jazzaka llah kheir

  • @SwalhatjafarMussa-yq2iu
    @SwalhatjafarMussa-yq2iu Рік тому +1

    Ma sha Allah shukrani

  • @user-mt4sd6cj5y
    @user-mt4sd6cj5y 7 місяців тому +1

    Kweli kabisa.

  • @shuweikhahamad6392
    @shuweikhahamad6392 11 місяців тому +1

    Mashallah

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Рік тому +2

  • @AshaIddy-kn5lk
    @AshaIddy-kn5lk 11 місяців тому +1

    Asalaam aleykum ukhty unapatikana wapi ninashida na wewe