KIDANI EP 47:-SIRI YA KUISHI NA MKE MWENZA MWENYE HEKAHEKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Bi Fatma Mdidi akiwa bi mkubwa wa wake wenza wanne. anatupa siri ya kuishi bila hekaheka

КОМЕНТАРІ • 44

  • @matpokea9442
    @matpokea9442 Рік тому +10

    MASHA LLAH wallahi wanifurahisha alhamdullilah nipo kwenye uke wenza na alhamdullilah Allah amenipa confidence kama ya kwako na kauli mbiu ni kutokujishughulisha na chochote kuhusu mke mwenzio na ukija upande wa mume usimuoneshe gubu eti anafanyiwa no usiwaze ilo mume akija mpe matashititi bila kuwaza ametoka kwa mke mkuu alafu kila munapo ongea na mumeo jitahidi muongee ya kwenu

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 10 місяців тому +5

    Mashaallah mke mwema!Ukhty fatma pepo ya Allah ipo kwako

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 8 місяців тому +2

    Mimi napenda sana mada kamaizi za uke wenza ukeweza ibada siuadui

  • @azizajoseph2178
    @azizajoseph2178 5 місяців тому +2

    Hapo kwenye fujo ndo tatizo baina ya mm na mke mwenzangu yeye ni mjanja sana mm ni bi mdogo ila yeye ni shida

  • @uwimanahamu4583
    @uwimanahamu4583 10 місяців тому +1

    Allah akuhifadzi naomba namb yak

  • @bas2823
    @bas2823 8 місяців тому +2

    Mwanamme kuowa zaidi ya mke mmoja! Iko shariya yake! Men kuowa mke zaidi ya mmoja sio anaowa kwa tamaa zao na starehe zao tuu. Kuzidisha mke! Shariya inasema kuwa mke awe hazai au mgonjwa hawezi tendo la ndowa! Na mengineyo mawili nimeyasahau! Sio dume linampenda mwanamke na anaamuwa kumwoa tuu bila ya sababu yoyote ile😢 linajiolea kwa raha na starehe zake tuu baas. Hana sababu ya yeye kuowa mke zaidi ya mmoja😢

  • @user-vv5it8rv1r
    @user-vv5it8rv1r 7 місяців тому

    MASHAALLAH jambo la kheri hilo ALLAH atakulipa INSHALLAH

  • @user-wk2pb1ky8f
    @user-wk2pb1ky8f 9 місяців тому

    MAsha Allah dada Fatma...Allah akulipe kwa kila jambo la kheri ulifanyalo

  • @subiramustapha6125
    @subiramustapha6125 8 місяців тому

    Manshaallha dasa zuri Allha awalipe kheri

  • @user-oq6hb9hh2b
    @user-oq6hb9hh2b 4 місяці тому

    Huyu mama mweusi a natoa maelezo mazuri sana. Anayo. Maneno. Y hekima ni muelewa

  • @user-je1zi7zb3h
    @user-je1zi7zb3h 5 місяців тому

    shukran vipenzi 💞tunajifunza kitu

  • @bisharaibrahim1464
    @bisharaibrahim1464 10 місяців тому

    Worth sharing shukran ukty

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 5 місяців тому

    Sauda Husein ana wivu mpaka unahidhirika😂😂😂😂😂😂

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 Рік тому

    Jamiil jamiil jiiddaa!!!

  • @bas2823
    @bas2823 8 місяців тому +1

    ALLAH KASEMA LAA YUKALLIFU NAFSAN ILLA WUS'AAHAA! USIJIKALIFISHE NAFSI YAKO ILLA WUS'AAHAA! IKIWA HUWEZI KUISHI NA MUME ALIEKUOLEA MKE MWENGINE! BASI BORA AKUACHE! OMBA TALAKA YAKO! USIJIKALIFISHE KUISHI NAE. HAKUNA MTU MUME AU MKE KUWEZA KUTAGAWA MAPENZI YAKAWA SAWA! ILLA MMOJA ATAMPENDA SANA! NA MMOJA HATOMPENDA SANA! MAPENZI HAYAGAWIKI YAKAWA SAWA! NO! WAY! MSIJIDANGANYE NAFSI ZENU BUREE! EWE WANAWAKE NYIE! USIJIWEKE KATIKA MSIBA WA KUKOSA MAPENZI KWA MUME ALIEOWA JUU YAKO HUYO NDIE ATAKAE MPENDA SANA KULIKO WEYE! KWA SABABU SIO YEYE MWANAMME ANOTOWA MAPENZI! MAPENZI YA KWELI YANAKUJA KUTOKA MOYONI MWA MTU BINAFSI SIO YEYE WALA WEYE!😢

  • @user-jy5kj8dd9y
    @user-jy5kj8dd9y 9 місяців тому

    ❤mashaallh

  • @user-jt6dn9jb1w
    @user-jt6dn9jb1w Рік тому +1

    Tell your colleague that with makeups la yajuzuuu

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 8 місяців тому +1

    Kweli kabisa kuto shuulika na mambo ya mke mwezako ukeweza utainchoi sana ila kumfatilia mke mwezako maisha yake uta umza moyo wako chamsigi fanya yakwako tuu utanichoi uke weza tena ukaisi kama ukopekeako

    • @ZakatyMapeza-eb5bg
      @ZakatyMapeza-eb5bg 6 місяців тому

      Shukran kipenz

    • @ZakatyMapeza-eb5bg
      @ZakatyMapeza-eb5bg 6 місяців тому

      🎉asante

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 6 місяців тому

      Nimekuwamini mimi nina mke wenza wala papala sina kila mtu na maisha yake ndo kwanza napiga kaxi najenga kwangu na mali zangu namiliki kila nitakacho sina mpango wa kumfatilia mtu

    • @ZakatyMapeza-eb5bg
      @ZakatyMapeza-eb5bg 6 місяців тому

      Masha Allah fatima naomba no zako

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 Рік тому

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Рік тому

    Masha ALLAH

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Рік тому

    Mashaalah

  • @bas2823
    @bas2823 8 місяців тому +4

    MEN ANALALA NA HUYU IKISHA ANAKUJA KWAKO KULALA NA WEYE! YAANI MWANAMKE HANA THAMANI KWAKE! IKISHA ANAONGEZA MWENGINE TENA!😢😢😢

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 5 місяців тому +2

      @bas2823 MEN anae lala na uyu na yule ni mzinifu kama wewe !! Kuzini ni dhambi nani kinyaa !! MEN anae owa mke zaidi ya mmoja ni halali na hakuna shida . Ndoa ni halali .

    • @BMboss108
      @BMboss108 4 місяці тому

      Duh heri kuwaondokea tuu kwa salama yako

  • @aminangenzi8765
    @aminangenzi8765 5 місяців тому

    Na kwamume ambae hakutanishi wake zake hii imekaaje yaan mnajuana kama mko wawili na zam ipo lakini mkikutana nikama maadui hata salam hampen

  • @SophiaChambellah-vl7ns
    @SophiaChambellah-vl7ns 4 місяці тому

    Aiseee, yani mwanaume awe kicheche kila siku anahili na lile, mara kampa huyu mimba ujaa kaa Sawa kampa mwingine mimba, badae unaskia Familia imeingilia nimeamua kuwaozesha. Japo mwanaume kamwambia hana uwezo wa kufanya uadilifu Lakin Familia ya mwanamke nimesema itqgharqmikia kila kitu bint naye kasema amekubali kuolewa kwa mahari hata ya msaafu. Mke mkubwa kaslimishwa kutosha ukristo Kuja uislam. Leo uje uone tu kwenye kufatilia cm alafu bado unamlelea mwanaume watoto alio zaaa na mwanamke mwingine wakatalakiana jamani 🤗 Si bora mtu urudi kwenye Dini yako tu

    • @user-gu1lg2zr8s
      @user-gu1lg2zr8s 2 місяці тому +1

      Pole dadangu. No usirudi kwenye ukristo, ulisilimu sababu ya mungu sio mume... Sasa nenda kwa kiongozi wa karibu jivue kwenye hio ndoa, sitokushauri kuishi kwenye hio ndoa

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 6 місяців тому

    Wangu waliowa na alinicha hasa yy na ndugu zake na akapata na mtt family yote upande wa mume wanajua nimeenda kusikia kwa jirani wakati mimi nipo namsubiri mume kasafiri miaka inakwenda kumbe yy kaanzisha maisha kwengine

    • @user-gu1lg2zr8s
      @user-gu1lg2zr8s 2 місяці тому +1

      Kwani mimi ndio mke mwenzio, mbona hii kama ya kwangu, mume wangu kafanya ivo na ndugu zake, na mimi pia sikujua kama ana mke

  • @rumaukombo6415
    @rumaukombo6415 Рік тому

    Bila ya shaka mwanamme awe msimamo na pia atende haki.

  • @rizikichamosi7551
    @rizikichamosi7551 8 місяців тому

    Ukeweza nimaisha sivita kwaivo wanawake tuache chuki kwa wake wezetu

  • @bahatihaji3032
    @bahatihaji3032 6 місяців тому

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le Рік тому

    Mm ukewenza siogopi ikiwa mwanamme atatimiz haki zake

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 6 місяців тому +1

      Wewe ndo kama mimi na mke mwenza nilionana nae na nikalala kwake baadae akabadilika kila siku vichambo ananitukana nikampotezea mpaka leo mwaka wa 21 huu sijamtia machoni kila mmoja yupo kwake na wanawe sina muda wakutukanana na mtu

  • @alishee6571
    @alishee6571 11 місяців тому

    Swadakta ddangu

  • @bas2823
    @bas2823 8 місяців тому

    MWANAMME AKIWA MASKINI ATAISHI NA MKE WAKE MMOJA LAKINI UKESHA MFANYA MUME KUWA TAJIRI NDIPO ANAPOKUBADILIKIA NA KUKUOLEA MKE MWENGINE NA KUKUDHULUMU HAKKI ZAKO ZOTE ANAKUWA YUKO PAMOJA NA HUYO MKE WA PILI AU MWINGINE! ANAKUWA ADUI YAKO HAPO! WALA HAFIKIRI IHSANI NA KHERI ZOTE ALIZOKUFANYIA WEWE MUME😢!

    • @mwanahamisikibaha454
      @mwanahamisikibaha454 7 місяців тому +1

      KUWA TAJIRI KWA MUME SIO WEWE UNAYEMFANYA BALI NI QADARI ZA ALLAH TUU,NA PIA MIONGONI MWA MASHARTI YA KUOA WAKE WENGI NI KUWEZA KUWAHUDUMIA JE KAMA HANA UWEZO ATAOAJE HAO WAKE WENGI???UKEWENZA SIO UADUI NA WATOTO NA MALI NI MTIHANI TUU