HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 38

  • @mwanaidiiddi-hh5lc
    @mwanaidiiddi-hh5lc 6 місяців тому +1

    MashaAllah Allah awalipe kheir kubwa dunian na akhera

  • @ZainabIssa-v5u
    @ZainabIssa-v5u 8 місяців тому +2

    Mashallah hubbu lhalali inafanya kazi mpka kwa waandaaji wa kipindi inaonesha msumari umegongomelewa kwa umakini na rangi inaendelea kupakwa kwa ustadi.

  • @MohammedAbeid-c9v
    @MohammedAbeid-c9v 2 дні тому

    Mashaallah

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 7 місяців тому +1

    Mashaallah ❤❤❤ Allah awazidishie InshaAllah

  • @asiasuleman8750
    @asiasuleman8750 Місяць тому

    Manshallh nimeipenda sana my❤❤

  • @umurimbotv304
    @umurimbotv304 7 місяців тому

    Asante 👏

  • @MohammedAbeid-c9v
    @MohammedAbeid-c9v 2 дні тому

    Assalamu alaikum vp hali zenu studio naomba namba yasimu lakwanza yahuyo mama yetu pia naomba hiyo chai yagari kulegalegaa

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 7 місяців тому

    A alaikum warahmatullah wabarakatu mashallah somo zuri shukran saba kwa ukumbusho Allah akubarik

  • @amnerashid9026
    @amnerashid9026 8 місяців тому

    Mashallah nimefurahi kumuona somo mtoto jungu kuu amerudi mezani kipindi kimenoga 🥳👏

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 8 місяців тому

    Mashaallh

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 7 місяців тому

    Somo miwani kama mjeruman kweli😂😂😂😂kusem kwel hki kpind nkipenda kinaamasha ndoa zlizofubaa, ahsante somo❤

  • @faizaa155
    @faizaa155 Місяць тому

    Asalam alykum warhmatullh wabarakat naomba number yko dada

  • @MohammedAbeid-c9v
    @MohammedAbeid-c9v 2 дні тому

    Pia naomba namba yasimuu

  • @MohammedAbeid-c9v
    @MohammedAbeid-c9v 2 дні тому

    Mimi naomba hiyo chai yagari kulegalega

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 7 місяців тому +1

    Jamani wmama wenzangu kuwa mama unaejitambua ni raha sana hata km mtavurugwa na hasad mumeo atakuganda

  • @rehemaomarsaid
    @rehemaomarsaid 8 місяців тому +2

    Aalaykum mashallah kipindi kizuru,lakini kunawanaume wengine hata ujitahidi kiasi Gani haoni jitihada zako Sasa mwanamuke kama huyo tufanyeje?

    • @nadiaali9147
      @nadiaali9147 27 днів тому

      Achana nae songa mbele tafuta kazi upate pesa uendeshe maisha mamy

  • @MamiMohamed-c6l
    @MamiMohamed-c6l 7 місяців тому

    Assalam aleikum me naomba muzungumzie hii mada mume anaependa kumuapiza mkewe kwa mambo tu madogo madogo ya nyumbani

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 7 місяців тому +1

    hii mada yafaa waarabu maana kila kitu mtu wa kazi

    • @mkude
      @mkude 6 місяців тому

      Wewe huna unalolijua kabisa ,zero brain.kama me wako Hana hela za kukuwekea mfanyakazi usiwe na husda Kwa waraabu kuwawekea wake zao mfanyakazi. Kwa Taarifa yako mwanamke sio jukumu lake lazima akupikie chakula au kukufulia nguo,anaweza kukufanyia hivyo Kwa mahaba tu lakini sio lazima.mwanamke jambo la kwanza anatakiwa kuwa na heshima kuwa na upendo na tendo la ndoa ni wajibu wake Kwa mme wake.mme wake kama anamoenda mke wake atamuwekea mfanyakazi amsaidie kazi za ndani ikiwemo hata kupika pia.

    • @mkude
      @mkude 6 місяців тому +1

      Eti hii mada yafaa Kwa waraabu kila kitu mfanyakazi khaaaa 😮😢.kwahiyo unataka mke wako aangalie watoto afue nguo za watoto akupikie chakula akufulie nguo.halafu na usiku akupatie na tendo la ndoa.acha husda Kwa waraabu wewe kama huwezi kufanyiwa na mme wako ni wewe hiyo

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 7 місяців тому

    Kweli kabisa tena utamgandaa nabutampambania mumeo wakt wote!!

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 7 місяців тому

    20:45 🎉🎉🎉❤😂😂😂😅🤣

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 7 місяців тому

    🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sophiaesmarcharo9775
    @sophiaesmarcharo9775 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 8 місяців тому +1

    Tutanunua kitanda, sio usingizi
    Tutanunua nyumba, sio makaazi,
    Tutanunua dawa, sio afya
    Tutanunua mapambo, sio utulivu.

  • @FatimeOmari
    @FatimeOmari 7 місяців тому

    Nikweli somo mtotot hata mimi mwanagu mmoja yupo hao wako

  • @fayzakarym8943
    @fayzakarym8943 8 місяців тому

    Somo umenena mashaa Allh.....

  • @nadiaali9147
    @nadiaali9147 27 днів тому

    Mtu akiamua kubadilika atabadilika na km hajaamua kubadilika habadiliki wewe dada

  • @OmanOman-bm1lr
    @OmanOman-bm1lr 8 місяців тому

    Uyuu atie jeuri saana na anaringa

  • @nadiaali9147
    @nadiaali9147 27 днів тому

    Wewe mwenywe unaonesha unashindana na mumeo sasa mutasaidiana vipu na wakati mume kashamkataza mkewe asifanye kazi pesa atapata wapi mke? Wewe unajiangalia wewe tu kwasababj uko na kazi na mumeo kakuruhusu kuna wengine hawapewi fursa yakutafuta kaz na wazaz wamekusomesha mpk phd loh

  • @MohammedAbeid-c9v
    @MohammedAbeid-c9v 2 дні тому

    Assalamu alaikum vp hali zenu studio naomba namba yasimu lakwanza yahuyo mama yetu pia naomba hiyo chai yagari kulegalegaa

  • @samirajumanneanzuruni7320
    @samirajumanneanzuruni7320 4 місяці тому

    Mashallah

  • @MohammedAbeid-c9v
    @MohammedAbeid-c9v 2 дні тому

    Pia naomba namba yasimuu