HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA. IKULU DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2019
  • HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KATIKA JUKWAA LA UONGOZI AFRIKA LILOFANYIKA IKULU DSM. AGOSTI 29, 2019

КОМЕНТАРІ • 25

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 4 роки тому +24

    Huyu JPM hakutoka kwenye sayari tunayoishi sisi ndio maana ana akili za kipekee kabisaa kwenye hili bara letu la Africa ndio maana pia alibanwa sana kwenye ujana wake kwenye mambo ya uongozi yaani inauma sana ameupata uraisi akiwa mtu mzima au kwa kiswahili chepesi uzeeni hivi ingekuwa vipi kama angeupata akiwa 30-35 naadika huku machozi yakinimwagika MUNGU nichukue mimi mapema lakini mlinde huyu JPM ili aishi zaidi ya miyaka 200 nakuomba sana MUNGU

  • @nyangimarwa8023
    @nyangimarwa8023 4 роки тому +8

    Kila lakheri Rais wetu tupo nyuma yako waTanzania wazalendo Mungu atakusimamia

  • @thinkerabu-haidary4007
    @thinkerabu-haidary4007 4 роки тому +7

    Thanks Raisi wetu... Dhana Ya uhuru ni uwezo Wa kufanya maamuzi ya rasilimali zetu kwa namna unayotaka wewe na bila kushindikizwa na taifa lolote.
    Africa should delink from the evils of colonialism..

  • @abdulabass5808
    @abdulabass5808 4 роки тому +9

    We raisi usiwaeleze mipango yetu mengine yanatumiwa hayo

  • @januarykefa4218
    @januarykefa4218 4 роки тому +5

    Wonderful, A true son of Africa.

  • @davidelliot3267
    @davidelliot3267 4 роки тому +7

    thats my LIFE PRESIDENT...JPM FOR LIFE PRESIDENCY

  • @jacksonkinange4605
    @jacksonkinange4605 4 роки тому +6

    Hongera Sana Kiongozi Wangu Mungu akutie nguvu

  • @nestor384
    @nestor384 4 роки тому +3

    He is energetic all time!
    Speaking the truth infront of who hate it!
    Adores him very much!
    The only remained true son of africa!
    If i could meet with the organisers i could tell them to get this every year and all africa head of states shall have to attend!

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 4 роки тому +5

    Upo sahihi kabisa rais watu!

  • @richardmsumari4051
    @richardmsumari4051 4 роки тому +5

    Baba uishi vyema ili uweze kutimiza ndoto zako katika muda wako wa uraisi

  • @Kingnelbo
    @Kingnelbo 4 роки тому +2

    My prezdaaa
    Mungu akueke JPm. we proud of you 🇹🇿

  • @andrewsam364
    @andrewsam364 4 роки тому +3

    Nitafurahisana sikumoja awe raisi wa Afrika

  • @nyanda427
    @nyanda427 4 роки тому +5

    💪💪

  • @TheDeancapaul
    @TheDeancapaul 4 роки тому +1

    on point

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 4 роки тому +3

    Viva maguu

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 4 роки тому +2

    Mzee huyu Magufuli anauwezo wa kuongoza AFRICA nzima yenye nchi zake.sijui alichelewaga wapi,akili yake ni kubwa sana juu ya kutukwamua kiuchumi lakini wengi hawajui na kumuunga mkono

  • @alleverythingfun9699
    @alleverythingfun9699 4 роки тому

    May God bless you JPM

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 4 роки тому

    Safiii Tanzania Mbeleee JPM Nambari 1 Miaka 40 anatosha Sana'a Kazi Inaonekana Waziii Kabisaaaaa

  • @ajolstore3117
    @ajolstore3117 4 роки тому

    Lets heaven bless u!

  • @immanuelluvanda5606
    @immanuelluvanda5606 4 роки тому

    JPM umefanya jambalo kila mtanzania ameduw aa juu ya hekima uliyon ayo kukaa na watendaji ambao hudharauliwa sa na pia hawakujijua kuwa wao nisehemu ya uwaki lishi wa Rais wa nchi hii Mungu akupe Afya njem a na maisha marefu CCM mpya,!!!?TANZANI A mpya!!!!!!!?

  • @harunilibangite7205
    @harunilibangite7205 4 роки тому

    😂😂😂😂😂😇AM sorry.. I. M going to use kiswahili. Over