RAIS DKT. SAMIA AKITEMBELEA NA KUONA MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA KATAVI
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea na Kuona Maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi ikiwa ni sehemu ya ziara yake leo tarehe 14 Julai, 2024.
Serikali imejitahidi vizuri mno,na watanzania wote bila ya kujali vyama vyetu tukishikamana nchi inaendelea haraka sana
Mhe.Rais kazi iendelee mwenyezi Mungu akulinde na hasadi mama wa Taifa insha allah 2025.
Vizuri sana mama samia ❤❤❤
Proud of you my president Dr Samia Suluhu Hassan ,mwenyezi mungu akulinde na kukupa afya njema
Mheshimiwa Rais mwenyewe anazungumzia kazi inayofanywa na serikali. Anatambua maana ya uwajibikaji wa pamoja na si wa mtu mmoja. Viongozi serikalini jifunzeni kwa Mheshimiwa Rais
Kwili kabisa
HONGERA MAMA SAMIA
Mama Samia weee! Tumekuzoea hata hatukuiti cheo chako❤ A.KA Mama Samia😂 kunamtu kamaind😊
Bima ya afya iwe ni mpango wa serikali. Kuwe na registration ya serikali sio option. Tanzania Health Insurance Services (THIS). Wale wanaofanya kazi wakatwe moja kwa moja. Wait na kipato wachangie kidogo na serikali iwasaidie
huyu Mama ndomana Magufuli alimchagua..walijua wanachoenda kufanya
asanta mama kwa hospital..mbona dialysis bado haipo? watu mpaka tuende Mbeya? mwandamizi aliepita aisisitiza iwepo.lankin mpaka leo machine hiyo haipo..Mama mbona hili linapuuzwa?
HUNA LOLOTEE 2025 HUPITUI TENA WANAISHI TUNAKUCHOLA
Anapita kwa kishindo tena uchaguzi utakuwa huru na haki ila nyie wenye chuki jiaandaeni kuteseka zaidi
Raisi samia oyeeeeeeeèee❤🇹🇿
@@abuumuhammad7133 kachawa ka samia
Wewe piga kelele na chama cha familia ya mbowe 😂😂
@@yahyamajidyahyahilalal-har8762 Yahya hao wanasumbuliwa na udini tu hakuna kingine