RAIS DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizungumza na Wananchi wa Laela Rukwa ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 17 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 5

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому +2

    Mwenyezi Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi Mungu mbarik Rais wetu na Viongozi wetu wote , Pole pole ndio mwendi sahihi wa kufika Kwa haraka sehem unayotaka kufika

  • @fatumapedersen193
    @fatumapedersen193 Місяць тому

    Mungu hakubarikie sana na Mungu ibariki Tanzania na viongozi wote. Mungu hatakusaidia na kulinde sana mama.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 Місяць тому

    Wee Bi Samia binti yake na Suluhu Mungu akulinde na kukupatia hekima..barikiwa na Bwana Yesu

  • @Yuzzlehussle
    @Yuzzlehussle Місяць тому +2

    Nani kama mama ❤