RAIS DKT. SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA NAMANYERE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwasalimia Wananchi wa Namanyere Mkoa Rukwa ikiwa ni sehemu ya Ziara yake inayoanza Mkoa huo leo tarehe 15 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 4

  • @DativaValerian
    @DativaValerian 2 місяці тому

    I get envy when I see you,I don't know what will happen to me, even now I have 17 years, I wanna studying more but not in hard situation like this, l want to be more like you "MAMA" SAMIA I have no more words but bravo kinajaribu kutumia tuu kiingereza. Sijui kama ninaweza kusahihishe kama nimekosea

  • @mohamedmwendo7225
    @mohamedmwendo7225 2 місяці тому +1

    Hongera sana Mh.Rais

  • @kibwanasimba6431
    @kibwanasimba6431 2 місяці тому

    Dah nilishtuka vibaya mno kichwa chahabari kinamtaja rais alafu namuona yupo kichwa wazi nikajiuliza bimkubwa leo kakutwa nanini

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 2 місяці тому

    Raisi wetu uje na kiteto manyara tunakuonea kwenye picha tu