RAIS DKT. SAMIA AKIZINDUA VIHENGE NA MAGHALA YA KUHIFADHIA NAFAKA, KIJIJI CHA KANONDO-SUMBAWANGA
Вставка
- Опубліковано 11 жов 2024
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akizindua Vihenge na Maghala ya Kuhifadhia Nafaka, Kijiji cha Kanondo Manispaa ya Sumbawanga ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 16 Julai, 2024.
Umeupiga mwingi sanaa surplus itahifadhiwa kwaajili ya dharura, kuuza nje na pia kuvutia viwanda kujengwa vya unga. Akili kubwa sanaaa
Kwanini tuuze mahidi Zambia badala ya kuwauzia unga sisi Tz tuna shida gani
Hii nchi buana🤗
Yani watu wanataka mahindi we unapeleka unga,,. Mmmh!; nani mgonjwa apo?
Zambia wapelekewe unga sio mahindi. Kwa kuwapelekea unga inamaana mtakuwa mmeongeza ajira kwa vijana wetu wa Tz watakaokuwa wanasaga hapo Sumbawanga. Kama mnawepelekea mahindi inamaana mnawapa ajira zaidi vijana wa Zambia kusaga. Uamuzi fanyeni. Viongozi wetu watumie akili. Wasiwe wajinga hivyo na vijana wetu hawana ajira.