RAIS DKT. SAMIA KUWEKA JIWE LA MSINGI UWANJA WA NDEGE WA RUKWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiweka Jiwe la Msingi Uwanja wa Ngege wa Rukwa kiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 16 Julai, 2024.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @RoseMrindoko-jx7mt
    @RoseMrindoko-jx7mt Місяць тому

    Hongera,Dkt Samia Rais wetu!!Kazi iendelee kwa kishindo!

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Місяць тому

    Pamoja na kujitahidi kuweka viwanja vya ndege kila mkoa ila ukubwa wa viwanja uendane na wakati na pia wakati ujao. Huu uwanja wa Sumbawanga ni wa ukubwa wa km 1,700 ambao ni ndege za watu 50-60 ndizo zinaweza kutua, wakati Air Tanzania ndege nyingi ni za watu 70-120. Kwanini Uwanja huu unajengwa kwa ajili ya ndege za Presion Air peke yake wakati population ya watu wa Rukwa itaongezeka na Uwanja utatakiwa kutua ndege kubwa zaidi? Kwanini serkali haiangalii mbele miaka 10-20-30 ijayo wakati wa kujenga miundombinu?