Waliounlike hii video hawajui kupika keki hata ya nusu😏😏😏 hongera mkubwa wangu ma sha Allah,ma sha Allah..may Allah bless you Kwa kutufunza my love ❣️❣️❣️
Hongera kazi nzur napenda sana ila mi sijuw nakosea wapi nikioka Huwa katikati haiiv haraka na inanisumbua kuiva naomba unisaidie hata Kwa kunielewesha
Waliounlike hii video hawajui kupika keki hata ya nusu😏😏😏 hongera mkubwa wangu ma sha Allah,ma sha Allah..may Allah bless you Kwa kutufunza my love ❣️❣️❣️
Huenda wanamatashi Yao dear, thank you dear
Naomba namba zako nahitaji mafunzo mpenzi namba zangu mimi 0762292987
@@mziwandabakers8297 blue and umeweka kiasi gani dear?
@@ummuhaula1848 nnfefeffnrnnnnrfn rfnenefenfnnnrnrbnnbrrbbefrefmrrrbrdgerbbfrcrrrbrrefbnrbn nn job x99
Asalam aleikum Oven yako wap umenunua inaitwaje samahan plz
Mashaa Allah Mungu akuzidishie kipenz ❤️😋
Hongera 😍
Shukran dear
Nimependa sana keki hiyo, nami nitajitahidi kufanya hivyo ninaamini itanitoa.Mungu akubariki,kazi yako ni njema
Asante mziwanda. Be blessed 🙏
Ahsante nimejifunza na nitaipika nione
Asante kwa Somo zuri tunajaribu
Nimependaa😍😍
Habari yk nashukuru sana kwa darasa napenda kukufatilia kl sk
Asante sana my dear
Good,, thanks much
Mashaalah Allah akuzidishie dear asante saana kwa kushare Only Allah atakulipa
Amiin Yaa Rabb 😘😘
Me sjui kabisa kupika keki ndo najitunza
asantee my teacher
Nice job.
Asante kwa somo 🙏
Shukran aunt napenda sana
Ma sha Allah
Well explained thanks
You are welcome
Masha Allah
Expecting more. Good job
🙏
Hongera nimependa
Mko vizuri sana Mimi nataka sufuria tapataje
🎉🎉🎉 nawakubali sana
Asante sana
Hongeren mpo vzur
Hongera safiiiiiiiiiiiii Sana
Asante mno my ,Allah akulipe
Amiin
Asante kwa Mafunzo
Nimependa sana
Dada nimelipenda darasa lako,hongera
Kaz nzur der🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Kazi nzuri
Ina ladha nzuri sana
Nakupenda mno 😍
😘
Mashallah😊
Allahu barik
Thanks ❤❤
hongera kipnz naomba kujua kama unadarasa online nijifunze zaid
Nakukubali mwalimu
Ubarikiwe sana mpenzi kwa kushare ujuzi, nakufatilia mwalimu
🙏🙏
Naomba no zako za simu dear.kazi yako nzr
@@mziwandabakers8297naomba no za simu my.
You are doing fine
Dada big up uko vizuri
😘🙏
Hongera kazi nzur napenda sana ila mi sijuw nakosea wapi nikioka Huwa katikati haiiv haraka na inanisumbua kuiva naomba unisaidie hata Kwa kunielewesha
Kama hizo ulizopika unaiuzaje hivyohivyo? na kama utaipamba kwa butter icing unaiuzaje?
Hongera nakuja mnapatikana wp nahitaji Namb nijibu
Naomba no yako dada, mimi ni mwanafunzi nipo kigoma ndo najifunza kupika keki
Nice
Can I use ovalet making mandazi
Tnx
Nimependa
Safi sana
Nimeipenda uko vizuri natamani nami kufikia hapo ndo kwanza naanza
M.a
Real like it... blessed mom
❤
Napenda Sana nijue my
Barikiwa mno
Amiin love
Samahani Dada mimi naomba vipimo vya blubandi nusu
Muzuru
Nimeipeleka sana hiyo keki kipenz kinacho nikwamisha msingi tu
Shukraan sana izo tin za aluminum tazipataje
Ongera
🙏🏼❤❤
Keki nzuri
😘
Kiwang Cha mwish cha mot ni ngapi
Naombakuuliza bluband kiasi gani nasukari kiasi ganiunatumia
Good
Hivi mfano tin ya mastatili ya inc 12 inaweza beba ujazo wa gram ngapi wa uji wa cake?
Asante naomba kuulize which kipimo kina patikana wapi?
❤
Huwezi kumimina mayai kwa pamoja
Oooh asante sana ccy
Karibu dear
@@mziwandabakers8297 asante sanaa cc
🙏🏻🙏🏻
Hiyo mashine unapata duka gani tafadhali
Upo wao
Hongera Sana. Naomba kujua vyombo vyako vya kupikia cake hizo ni bei gani kwa pamoja?
Naomba kufahamu gharama ya vyombo vyote vinavyo hitajika
Napenda kujifunza
Napenda sna hii biashara in shaallah. Nitafika malengo Allah kareem
Mixer inakiwa wapi na bei gani?
Hellow nimependa mafundisho yako nikiitaji zaidi nakupataje
Najuwa lakini sio sana nahitaji kujifunza zaidiii hasante mom
Maziwa kiasi gn
Maziwa kiasi gn my dear
Kikombe na nusu dear
@@mziwandabakers8297 dada kikombe cha mls ngap umetumia?
@@mziwandabakers8297 dada kikombe cha mls ngap umetumia?
ASANTE
Dada kwanz Asante but kam huo mchanganyko wa kilo na nusu natak kuipk kweny sufuria mbil tyu nitatumia ya inch ngapi ili utosh vzr
Upinzuri
Maa shaa allah mm naomba no yako kunamambo nahitaji unisaidie please
Nakupenda sana kwa sababu upo kibiashara zaidi unawakwamua wengi ningeomba utufanyie fruit ya biashara nakuomba dada
Keki fruit ama ipi dear,karibu sana
Naomba namba ya CM dada angu
Best nimependa unavotengeneza my,ila mie nikitengeneza haichambuki plz nilikuwa naomba ushaur
Dada habari yako, naomba namba nikutafute kwa upishi zaidi.
Mziwanda kwann nikipika keki in panda juu haiji flati?
Soon naanza kwa vitendo
Unapatikana wapi ni nzuri sana
Asante Sana Kwa somo zuri.
Mimi ni fan wa recipe zako . Naomba kujua darasa live ni wapi. ?
Kwanini Mimi kila nikipika inapasuka San juu
Naitaji kujifza kupka. Keki
Karibu sana
Shukran habint kwamfano umetengeza keki nyigi na sehemu ya kuchoma ni dongo zengine zinaweza kusubiri kwa mda ngani?
Zinaweza kusubiri ata lisaa hakuna tabu ila sio vizuri kuzisubirisha
Asante dada kwa mafunzo. Nauliza maziwa umepima na kikombe cha mls ngapi?
250 dear
Nimeipenda Sana naomba no yako dada
Keki ya kawaida t
Aunt hasn't nimepand nilikuwa naomb tuwe marafik zaid man namm mfanyia biashara