Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Asante sana mdogo wangu kwa kunipa somo maana nilikua natamani sana kupika karanga za mayai.
Hongela sana mdogo wangu
Binti mzry na mwenye kazi nzur pia nimependa ❤
😂😂😂
Ahasante mtoto mzuri.uko vizuri na unapika kwa tabasamu.
Asante Kwa somo zuri, hapa nilipo Sasa hivi nipo kwenye jaribio la kukaanga hizo karanga
Napenda sana kujua kupika karanga et
Thank you my dear❤❤❤
Wow so beautifully presented. Great Job fake Robby.
Hongera bint mzur
Nilikuwa naomba namba yako
Hongera shangazi yangu mimi upo vizuri binti special wa wifi yangu
Safi sana nimependa usafi unavyo ziandaa na mimi kesho nitaandaa
Chef wa kimataifa ❤
Nimeipenda
MashaAllah ❤❤❤
Asante San mway
Nimepanda ❤
Asante sana nimekuelew
Hongera sana mdogo wangu
Asante sana somo ni zuri sana
Kazi safiii
Good girl nimekupenda bure dogo
Hongera kpenz uko vzur
Cute❤
Ongera. Toto🎉
🎉❤
Imekaa vzur hiyo asante dogo
Bi mzuri🎉🎉🎉
unasaga na nini sukari
Vzr nmepnda
Good❤
Ay dada tumekuelew asnt san
Kwa Huku dar ukianika hvyo karanga utakuta chombo kipo empty kunguru washajisevia🤣🤣🤣ila hongera mtoto somo zuri
😂😂😂🤣 achana na kunguru, majiran na wapangaj wenzako
🤣🤣🤣
Asante
Honger san umenipereka shure
Hongera sanaa mwanangu
🎉
Nimekupenda mwaya kwanza unaanda kwenye hali ya usafi nimependa
Mbona nying mtazimaliza
Mm nikipika karanga mafuta yana fanya povu
Sio Kila kitu akufundishe mengine kujiongeza "
Hongera sana kwa somo zuri
👍
Kilo 5 sukari kiasi gani
Sugaring saga kwa kutumia kinu na mche
Sukari unasaga kwa kutumia nn
Brenda kile kidude kidogo
mi sijaelewa hapo
Mmmmh hujaelewa nini mtoto wa watu kajitahidi hvo
😂😂
@@theresiastephano1606Apo kwenye sukari si tunajua unaanza na mayai
Mimi sijaelewa hapo kwenye sukari ya kusagwa ni sawa na ile tunayonunua au kutumia kwenye chai
Unaisaga kw mashine kama unayo weka kwenye donas
Ni sukari hiyo tunayotumia unaisaga kabla