Jinsi ya Kupika Keki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2022
  • Kwenye Kupika Keki Hii ya Vanilla Nimetumia
    Margarine/Butter/ Blueband - Nusu kikombe (tumia kimoja wapo
    Mafuta ya kupikia - Kikombe 1
    Sukari- kikombe 1 na nusu
    Mayai 4
    Ladha ya Vanilla kijiko 1 kikubwa
    Unga wa ngano - vikombe 3
    Baking powder - kijiko 1 kikubwa
    chumvi - kijiko kidogo 1/4
    Buttermilk kikombe kimoja na nusu
    Instagram: lilyanapika

КОМЕНТАРІ • 75

  • @agnesmagehema576
    @agnesmagehema576 Рік тому +1

    Asante sana Mungu akubariki

  • @fatmamazige9486
    @fatmamazige9486 Рік тому +3

    Hiii 🍰 haijatoka vizuri kwandani inamatobo kunasehm amekosea nanilijua tu Kama haita chambuka Ila umejitaid

  • @mwanakonyaume3611
    @mwanakonyaume3611 Рік тому

    Shukran jaazila

  • @blandinakasagama4167
    @blandinakasagama4167 Рік тому +1

    Good explanations

  • @soccer1096
    @soccer1096 Рік тому +1

    Sijawahi kupika keki ila leo kwa kufuata maelekezo yako kwa mara ya kwanza nimepika keki na imetoka vizuri imeiva na ni tamu sana, nashukuru sana Madam

  • @EdinaEmmanuel-ni9cq
    @EdinaEmmanuel-ni9cq Рік тому

    Safi nimeipenda sana

  • @swalhajezan375
    @swalhajezan375 Рік тому

    Mmh 😋 yummy

  • @asiaaliy4366
    @asiaaliy4366 6 місяців тому

    ❤Asante sana nimejifuza jinsi ya kupika mana nilikuwa cjui ila sasa nitajaribu kupika my Asante

  • @shazdeesharon7471
    @shazdeesharon7471 Рік тому +1

    Upishi mzuri hila Kama unaficha kitchen yako hivi

  • @marryngailo-wf3fg
    @marryngailo-wf3fg Рік тому

    Anajua

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 Рік тому

    Nice🥰❤

  • @feristasenye7554
    @feristasenye7554 Рік тому

    Asante nimejua

  • @agnesmagehema576
    @agnesmagehema576 Рік тому +2

    Asante my umenifundiaha baadhi ya step ambazo nilikuwa sizifany vzr

  • @sistaleetv
    @sistaleetv Рік тому

    Nimejifunza kitu hapa kwako asante

  • @bdhhe6395
    @bdhhe6395 Рік тому

    😄😄

  • @RenatusPius-ez4zt
    @RenatusPius-ez4zt 11 місяців тому

    Limao linakaz gan

  • @NancyMtui-b9q
    @NancyMtui-b9q 4 дні тому

    Naomba uniandikie process zote nataka kutumia jiko la mkaa

  • @teopistakomba2189
    @teopistakomba2189 Рік тому +1

    Tamu sana hiyo

  • @user-rp2if8wb6d
    @user-rp2if8wb6d 5 місяців тому

    .

  • @Hallel60
    @Hallel60 Рік тому +1

    Asante nitatumia hii recipe nikipika next time.
    Pia kuzuia keki kutoka na matobo matobo(air bubbles) hakikisha kabla tu ya kuiweka kwenye oven, igonge gonge chini ili kuondoa hivyo vi air bubbles alafu ndo uweke kwenye oven.

  • @azizaal-amri3577
    @azizaal-amri3577 Рік тому

    Lamba kazidisha B.p

  • @jemamdendemi9636
    @jemamdendemi9636 Рік тому

    Mhhh;

  • @amanielisha6287
    @amanielisha6287 Рік тому

    Napenda kujifunza kupika keki naomba kufaham

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  11 місяців тому

      unataka kujua kupika Keki za namna Gani? tuwasiliane 0718553999

  • @margaretnestory7977
    @margaretnestory7977 Рік тому

    Ningependa kufahamu kuwa hivyo vikombe unavyotumia vinakuwa na ujazo gani? Kwa kutumia mzani? maana upimaji wa vikombe unanichanganya kidogo.

  • @mercydrmobile1842
    @mercydrmobile1842 Рік тому

    Unaweza tumia mala

  • @emmychristopherndelwa1683
    @emmychristopherndelwa1683 Рік тому

    Unga mzuri kwa keki ni ppf dada huo wa kawaida cake inakua inafifia

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      Ni huu wa kawaida PPF unafaa kwa kupikia vitafunio kama mikate, mandazi n.k

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +1

    Pia badala ya kutia maziwa na vinegar unaweza kuweka yogurt ni maziwa mgando

  • @muniraame1535
    @muniraame1535 Рік тому

    Ovyooo

  • @khadegaseed1413
    @khadegaseed1413 Рік тому

    Hiz sufuria za kuchomek keki km hizo unazitolea wapi

  • @user-lc2cy2dn5c
    @user-lc2cy2dn5c 7 місяців тому

    Naomba unisaidie njia inayosaidia keki isishikize kwenye cupcake Ili muda wa kutoa isisumbue au kukatika kabisa

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  7 місяців тому

      Chukua unga wa ngano gram 50, mafuta ya kupikia gram 50 na mo mpishi gram 50 zikoroge pamoja zichanganyike vizuri alafu uwe unapaka kwenye tin zako za keki huo mchanganyiko keki hazita nasa! Usipake nyingi sanaaa au kidogo sanaaa na tumia brush au vidole kupaka
      Alafu kumbuka ukimaliza kutumia weka kwenye friji
      Unaweza kuitengeneza nyingi zaidi ila hakikisha vipimo vyote viko sawa

  • @irenestephano1332
    @irenestephano1332 Рік тому

    Hayo maziwa unayoweka baada ya unga ni mtindi au

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      ni kama mtindi yanaitwa buttermilk ambapo unachanganya maziwa fresh na kijiko kimoja cha vinegra au limao

  • @milkamburushi2375
    @milkamburushi2375 Рік тому

    Je naweza nikafany 1cup prestige halafu 1/2 cup cooking oil?

  • @shanisuleiman7824
    @shanisuleiman7824 Рік тому

    Dada unahema San pole.. 😔

  • @filbethatoto5834
    @filbethatoto5834 Рік тому

    Hcho kikombe n gram ngap au kinaitwaje hata nkiienda dukani niulze

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      Vikombe ni tofauti na gram,ili kupata gram tumia mzani
      Na ukienda dukani hasa ya wanayouza vifaa vya keki au supermarket waambie wakupe measuring cups

  • @fikirigunefu8135
    @fikirigunefu8135 Рік тому

    Nnaswal madam nn inasababisha keki juu ivimbe?

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      1. umetumia chombo kidogo kupikia keki
      2.umezidisha baking powder
      3. keki ilipikwa kwa haraka hapa inabidi uwe unaijua vizuri oven yako na jinsi ya kuiset kuweka moto sahihi ambao unatakiwa kuipika keki husika

    • @fikirigunefu8135
      @fikirigunefu8135 Рік тому

      @@lilyanapika nashukuru sana madam nimekuelewa🙏🙏

  • @maxynebeiby9467
    @maxynebeiby9467 Рік тому +3

    Nina swali mpenzi...... vanilla yafaa kua ya maji tu??

  • @noelkasian2247
    @noelkasian2247 Рік тому

    Niulize swalii hivi kwenye kekii wanaweka Amila???

    • @eshaskitchen
      @eshaskitchen Рік тому

      Kunaweka baking powder

    • @noelkasian2247
      @noelkasian2247 Рік тому

      @@eshaskitchen asante sanaa

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      hapana kwenye keki haiwekwi hamira ni baking powder au baking soda

  • @stellaokumu-vv6rl
    @stellaokumu-vv6rl Рік тому

    Huo unga gm ngapi

  • @luqmanmohammed639
    @luqmanmohammed639 Рік тому

    Naomba vipimo utoe kwa (gram) na usitoe kwa cup koz
    Cup zinatofautiana

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      Sawa

    • @voihomebakery1589
      @voihomebakery1589 Рік тому +1

      Ukitumia measuring cups za baking hazitofautiani kabisa ziko sawa ila uctumir vikombe vya chai vyako

    • @fridahmasoi6693
      @fridahmasoi6693 Рік тому

      Kuna measuring cups za baking dada ndio unatakiwa kutumia

  • @michaelsammy311
    @michaelsammy311 Рік тому

    Vanilla ni nini

    • @lilyanapika
      @lilyanapika  Рік тому

      ni ladha inayowekwa kwenye keki au biskuti, na hata vinywaji

  • @ibakecakevaluable.
    @ibakecakevaluable. Рік тому

    Ninaswali Kwan prestige aifai mpk uwe na blueband,nk

    • @shanisuleiman7824
      @shanisuleiman7824 Рік тому

      Inafaa

    • @shamzone388
      @shamzone388 Рік тому

      Dear hata mafuta yakupikia ukitia badili ya blueband keki yako itakuwa nzuri sanA unaweza kuchanganya samli na mafuta pamoja

    • @zushymohaa
      @zushymohaa Рік тому

      Asant

    • @zushymohaa
      @zushymohaa Рік тому

      Mashallah

  • @racheljoel5511
    @racheljoel5511 Рік тому

    Mbona keki ndani Kama Ina uwazi Nini tatazo

    • @voihomebakery1589
      @voihomebakery1589 Рік тому

      Cake zengine hutokea hivo jamani binadamu tuwazitoo munafundishwa na bado munasema ovyoo

    • @maryfelesh5789
      @maryfelesh5789 Рік тому

      @@voihomebakery1589 kwani hapo kuuliza kakosea nini kama mwalim akitoa somo mwanafunz yapasa kuuliza mana kakosea ndio

    • @maryfelesh5789
      @maryfelesh5789 Рік тому

      @@voihomebakery1589 mtu anapoanza huwezi mfunza kwa maziwa pia kipimo atumie gram wanawapoteza watu

    • @maryfelesh5789
      @maryfelesh5789 Рік тому

      @@voihomebakery1589 mtu anapoanza huwezi mfunza kwa maziwa pia kipimo atumie gram wanawapoteza watu