Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Naomba nikuulize dada hayo masfria yanauzwa au unatengezesha
Naomba niunge kwenye darasa mpenzi.
MashaaAllah shukran mpenzi
Asante sana kwa hii recipe simple n useful..thank you kwa mafunzo yako
Mashaalah Mashaalah Mashaalah Shukrani Saaaaaaaana 😍😍😍😍😍
MashaaAllah 0ven hizo bei gani Allah akufanyie wepes kwenye bìashara zako
Shukran sana mami
Dada tunaomba vipimo
Ma sha Allah,ubarikiwe shosti😘😘❤️❤️
🙏🙏
Maziwa ni litta moja ama nusu litta
@@mziwandabakers8297 hauna darasa whatsapp?
Nimezipend iyo oven yko dada mpishi bei gn alaf lit ngp
Asante
Asalam Aleykum, oven ya umeme? ni sh ngapi.
Asante mungu akulipe kwa unavyotufunza vzr ila mm najiulizaga sukari nyeupe inapatikan maduka yapi nsaidie kwa hli
Maduka ya vyakula pia mimi ninazo
@@mziwandabakers8297 Bei gani 1kg nitafute namna unitumie Madam ake mimi
@@mziwandabakers8297 sukari nyeupe bei zake zikoje kwa kg 1? Na naweza kupata maduka gani hapa Dar. Msaada dear
Kazi safi sanaa
🥰
Naomba namba nijiunge kwenye darasa lako plz
Asante sana mwalimu, tupo pamoja
Karibu sana
Tafadhali maziwa iyo 2cups ni litta moja ao nusu litta?
Naomba namba na Mimi nijiunge kwenye darasa lako
I have to meet you when I visit TZ .I follow all youe recipes ..great teacher you are ..good job
You are Welcome ❤
Ubarikiwe
🙏😍
Mamy Ni Aina gan iyo ya Oven inaoka cake nyingi ivyo kwa wakati mmoja,Nimeioenda.
Unafundisha bei gan
Asante Sana kwa kazi nzuri unayofanya mungu akubariki. Ningependa kujua wapi naezapata hiyo 8kg stand mixer na ni bei gani in ksh.
0768859358 shukran na karibu sana
Hizi zinauwezo wakukaa siku ngap bila kuharibika?
Because white sugar is a big deal in TZ...hard to find...share with us your supplier's contact na si tumtafute please
Hiyo oven mnauza sh ngapi
Sukar ya brown haifai
Hiyo oven sh ngapi
nitawezaje kujiunga na darasa.naomba maelezo
0768859358
Maziwa ni kiasi gani
Zimetoka vizuri sana dada mungu akubariki ❤️kwa kutuletea maujuzi
Amiin😍🙏
Unaweza kupamba?
Asante najifunza kiukweli
Karibu
Hiyo sukari nyeupe ndo Ile sukari tamu sana? Ambayo inauzwa 1kg 10k?
Cster hapo becking powerder unaweka vijiko 4vikubwa vya chakula au vijiko 4 vidogo vya chai?
Tbsp yaani vya chakula
Hbbty naomb kuuliza nfny nn ile keki yng icpasuke juu
Zingatia moto dear
Ahsant
Tunawapataje whatsapu jamani ili nasi tujifunze?
Naomba kujua nini naweza kuweka kwenye keki ili ikae hatasiku 5 bila kuharibika
Oven yako unayotumia ina ukubwa gani? Mm natamani kununua oven kubwa kama hiyo ili nifanyie kazi
Inauwezo wa mikate 20
Lini mtatufundisha jinsi ya kupambaPpp a
naomba kujua nielekez unapatikan wap
Nazielewa sana recipe zako asante kwa hilo,Mungu akuzidishie
Da mziwanda madarasa ni online au live darasani?
Yote yapo dear,online na live
If I want to bake 1 1/2 what so I need
Check "keki za biashara kilo moja nusu" that the title of the video u will find what you asked
hivi sukari nyeupe ndo KK??
Sio dear kk ni nyingine
umetumia unga aina gani na kampuni gani dear?
Azam ppf dear
Baking powder umepima kiasi gani mwalimu
4Tbsp dear
Ahsante dada kwa kutujuza somo limeeleweka ila naomba kujua ujazo wa kikombe ulichopimia maziwa
kikombe ni ml 250 yani robo lita
Unapata wapi sukari nyeupe?
Hiyo mtihani ni muda sana kuwa nayo
Je ni icing sugar box ngp ntatumia endapo nataka kuziremba zote kwa fondant.
6boxes
@@mziwandabakers8297 thanx mumy
Umepata wapi white sugar???
Upo mkoa gani dealers wanaweza kujitokeza hapa
@@mziwandabakers8297 Dar es Salaam
Nimeelewa vipimo ila nagawanya nifanyie ya nusu yake,ila hapo kwa maziwa ila sina vikombe vya kupima
Sawa dear 1/2 cup ama 125mls
@@mziwandabakers8297 yani hio 1cup ni sawa na mls ngapi
250mls dear
Mi nataka unga wa keki naupataje wapwendwa
Nusu lita 500mls
Naomba nikuulize dada hayo masfria yanauzwa au unatengezesha
Naomba niunge kwenye darasa mpenzi.
MashaaAllah shukran mpenzi
Asante sana kwa hii recipe simple n useful..thank you kwa mafunzo yako
Mashaalah Mashaalah Mashaalah Shukrani Saaaaaaaana 😍😍😍😍😍
MashaaAllah 0ven hizo bei gani Allah akufanyie wepes kwenye bìashara zako
Shukran sana mami
Dada tunaomba vipimo
Ma sha Allah,ubarikiwe shosti😘😘❤️❤️
🙏🙏
Maziwa ni litta moja ama nusu litta
@@mziwandabakers8297 hauna darasa whatsapp?
Nimezipend iyo oven yko dada mpishi bei gn alaf lit ngp
Asante
Asalam Aleykum, oven ya umeme? ni sh ngapi.
Asante mungu akulipe kwa unavyotufunza vzr ila mm najiulizaga sukari nyeupe inapatikan maduka yapi nsaidie kwa hli
Maduka ya vyakula pia mimi ninazo
@@mziwandabakers8297 Bei gani 1kg nitafute namna unitumie Madam ake mimi
@@mziwandabakers8297 sukari nyeupe bei zake zikoje kwa kg 1?
Na naweza kupata maduka gani hapa Dar. Msaada dear