Wahooooo nimeona kweli unajuwakupika namipiya nimpigaji wa kk na patikana DRC Congo nimeipenda style iyi kabisa wala aiombi garama nyingi kama zingine asante sana kwa mafunzo
My dear nashukuru kwaujuzi make wewe simchoyo kabisa. Kwaajili yako saiv nimekua mjuzi wa mambo mengi,,, barikiwa sanaaaa mpendwa Chanel hii idumu milele.
@Maruu Nyange😍😍😍😍😍🤗🤗🤗🤗oooh asante sana dear,nafurahi sana kuskia ivo,endelea kuimarika dear. Mungu atubariki sote, ANEN AMEN AMEN sana kwa maombi yako chanbel hii idumu milele. Asante sana saupport yakk dear.
@@kekiplus1andonly jamani mie naomba namba yako nikienda kununuwa vitu hivo unitumie Whatsapp usihofu kwa hilo jina nimeandika tu mie ni mwamke mwwnzio
Wakati wote nimekuwa nikiona upishi au uandaaji wa keki ni kazi ngumu mno hasa ukizingatia sina baadhi ya vifaa vya keki, LAKINI kupitia wewe nimeona ni kitu simple sana na rahis katika mazingira yoyote, ubarikiwe sana
Waooo keki nzuri Asante kwa kufundisha mungu abariki kazi ya mikono yako
Yan we dada una kitu utafika mbalii,, Yan Mungu akutunzee mnoo na akubariki sana,,,❤🎉
mashallah👌👌 nimependa sana darasa lako. Allah akufanyie wepesi kwakla ufanyalo..I love you ma sister❤❤
Wow how to cook cake chocolate
Hongera sana kazi Yako nzuri nimejifunza
Munguakubaliki kwakipajichako
Barikiwa sana. Maelezo yako yanaeleweka vizuri kabisa. Unafaa kuwa mwalimu. 😝😍
Asante sana kipenz nimejifunz na nimeelewa na kujaribu pia hatimay nimeweza mungu akubarikiiii
Wahooooo nimeona kweli unajuwakupika namipiya nimpigaji wa kk na patikana DRC Congo nimeipenda style iyi kabisa wala aiombi garama nyingi kama zingine asante sana kwa mafunzo
No ya. Whsap
Jambo hivi vifaa zinapatikana wapi maana keki nzur san
Waoooooo yaan leo ndo nimeelewa jaman nitajaribu na mimi jaman,asante Sana madam
wow! i can't stop watching this amazing and beautiful video! simple and easy but beautiful and delicious! keep it up maa'm!
Vanilla no Nini?
Asante dada kwa darasa lako nzuri tunapata mambo mazuri Sana bi.nafsi na enjoy some naamini baada ya hapa nitapika cake nzuri
Well done ,kazi nzur mimi ambaye nakoseaga kwenye kuandika inakuaje nikitaka kufuta mfano nikosee niandike hapo badala ya happy hahahah😅😅😅😅😅😅
Jitahidi usikosee utaharib cake
Mashallah....be blessed napenda io decoration
Waaah taamu saaaan barikiwa Dada kutufunza n sisi
Wow!cake inapendeza..... hongera dada👏
Thanks for sharing with us nitajaribu mapishi yako kupika keki kama hii siku ya bash yangu 💕💕
Nashukuru madam najifunza meng kupitia kipind chako asante ❤❤
Santé Sana mungu akubariki Sana endeleyeni hivi dada
Unaelekeza vizuri sana,....... Unaonekana si mchoyo
Asante sana kwa sapoti yako dear🙏🙏🙏🙏🙏🙏comment yako inazidi kuniimarisha.🙏🙏🙏
Anaelezea hadi raha ma shaa Allah, nimejifunza mungu akubariki Dada
Una patikana wap mpendwa@@kekiplus1andonly
Nimefurah nami kwa kutujuza nasi thanks you kwa upendo wako❤❤
My dear nashukuru kwaujuzi make wewe simchoyo kabisa. Kwaajili yako saiv nimekua mjuzi wa mambo mengi,,, barikiwa sanaaaa mpendwa Chanel hii idumu milele.
@Maruu Nyange😍😍😍😍😍🤗🤗🤗🤗oooh asante sana dear,nafurahi sana kuskia ivo,endelea kuimarika dear.
Mungu atubariki sote,
ANEN AMEN AMEN sana kwa maombi yako chanbel hii idumu milele.
Asante sana saupport yakk dear.
HIV iyo rangi na iyo icing sugar zinauzwa wapi
Iyo ising sugar na izo rangi zinauzwa kwa vipimo na ni gharama kubwa
@@ifgeniakimaro4171 SOKONI UTAZIPATA
@@ifgeniakimaro4171 Icing sugar ipo kwa box ina 2500 au 3000 na rangi zinauzwa kwenye kikopo kuna za maji na unga.
Nimekupenda bure Dada...nilkuw sijui kupika keki lkini kupitia wew nimeshajua tyr...mungu akubrik sn
Asante kwa recipe dear very educative
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@@kekiplus1andonly so educative
Thanks for sharing your work congratulations to you unatufanya nasi tunajifunza na ww
Asante,Mungu akubariki
Hongera sana kwakusaidia wengine,maana wengi hawana moyo wakufundisha bure had pesa..❤❤💋
Alhamdullillah dear,
@@kekiplus1andonly jamani mie naomba namba yako nikienda kununuwa vitu hivo unitumie Whatsapp usihofu kwa hilo jina nimeandika tu mie ni mwamke mwwnzio
Jamani mimi nimejaribu lakini haikauki nifanyaje
Kazi nzuri kabisa...rangi uliyotumia yaitwa aje tafadhali
Vizuri sana👌
My heart akhsante kwa kutufundisha wewe sio mchoyo mungu akupe maisha marefu
Unatufundisha kwa njia rahisi sn. barikiwa sn
@shamsa amos Asante sana,Nafurahi sana kuskia unanufaika na video zangu,tubarikiwe sote dear,
Asante saana dear umenisaidia saana ulinifunza kupika Sasa umenifundisha kudecorate
Ulikuaga wapi jamani we mdada!?....mwenzio nlikua napata shida but now Alhamdulillah ahsante sn
😂😘😂😂😂😂😂😂jamani pole nilikuchelewesha,ila nimefika sasa..Alhamdullillah Allah aendelee kuniimarisha .
Asante sana kwa support yako
I will give you my support for all your post Yani nimekupenda bure mdada huna account Instagram nikufollow my dear...
Asante Sana mpendwa nilikubipu napata shida jinsi ya kuandaa ice mungu akubaliki
Ma Shaa Allah Habibty looking nice.
Yummy in my tummy, May Allah bless your hands. Ameen
🙂😘👍
Thanks so much dear,Allah bless both our hands ..Amiin
Allahumma aaamiiin,unaelekeza vzr saaaaaaaana 😍 Allah azid kukuwezesha in shaa Allah 🤲
Aaaaaw mashaAllah 🙏🙏🙏Amin habibty,shukran sana,Allah atuwezeshe sote
@@kekiplus1andonly Allahumma aaamiiin thumma aaamiiin, nataman hata nikufate ulipo niweze kujifunz vzr yaan unaelekeza vzr bila choyo.Allah azid kukuhifadh tupate mamb mazur zaidi.Nakupenda kwaajil ya Allah 😍😋
Wow.....Hongera sana dada kwa kazi nzuri. Nimeipenda
Fantastic,
Big up mamie
Thanks for supporting
Wawuuu
Nimeipenda 🥰🥰🥰🥰👌👍❤❤❤
Unawashinda na Walio na vifaa
Nimeikubali sans👌👌👌👍👍❤💯😍
Thanks for this simple recipe
Mashaallah hakika wewe ni mwalimu mzuri sana na mimi nitajaribu
I love the way you do it, thank you dear
Barikiwa sana,Mwenyezi Mungu azidi kukuinua ni wachache Sana wanaweza kushea walichonacho.Nimejifunza kitu Kikubwa kwako
Amen love,Amen 🙏 🙌 asante sana kwa maombi ya kheri,Mwenyezi Mungu akubariki pia.🙏🙏🙏🙏
I am really inspired with the way you baked the cake.I wanna learn from you more
Jmn naomba no kwa ajir ya darasa I like
Hongera sana rafiki mungu akubaiki tutajaribu
Baridi
I like it,so simple dada, shukran kwa kutujuza
That looks yummy, maybe in the in summer I will bake it. 😋😋😋
Wooow very simple uktiy allah akuzidishie
Wow that's a great idea of cake 🥰🥰
Jamani hongera ndugu Kwa kufundisha bila uchoyo ntajaribu barikiwa sana ndugu nimekupenda ❤️
That cake is amazing
Please nna swali baking soda ni gani
Unaeza nijibu ata kwenye fb pls my friend
Mashaallah uko vzur mafundisho yko🎉🎉🎉
Allah akuzidishie ukthy
Wow Aki thanks sikuwa najua kudecorate,but I will try
Kweli ni raishi na nzr sana
Sanaaa yaniii
mashallah jmn nmejifunza mamy,, nisipokup mauwa yako ntakuw mbinafsi jaman honger❤
I real adore that be blessed
Thank you
Nimejifunza vizuri
Iko
Vzur
Asante nimetengeneza keki jana nkaipamba lakin sjui nmekosea wap rangi inanyufa hongera mkufunzi uko pw naomba nijue hapo.
Maashallah shukran
Ahsante dada nimejifunza kitu kwako hongera kwakuwa mwalimu wangu❤❤❤
Wow looking amazing 👌.
Thanks dear
JAMANI watu wanajua kutengeneza
KEKI
Asante tume iyona njiya rahisi kweli 👍👍👍👍
Amaizng 😍
Naomba uniandikie vitu tunavyo tumia
Thanks dear.... Nimejifunza pia nimependa barikiwa sanaaa
I love it!
Nice mwakan nitamuandalia mmewangu pamoja na mwanangu I hope wata enjoy Asante kwakunifundisha
Vanilla n asali
Mungu akuinue Zaid ya hapo my dear,kupitia wewe naamini nitafanya jambo,❤
Manshallah
waoo nice
Mungu akubariki we dad tena san maana umenifany nijue kupika keki za wanang kwa gharam nafuu san ten bila ya vifaa asante san
Nzuriiii
Wao nimependa unavyofundisha(◍•ᴗ•◍)❤
wengne uckivu hakuna so ikiwa na subtitles kuelewa rahis
🎉i really appreciate i know how to bake but i eas wondering how i can decorate it without equipment, dhanxx alot u have helped me
Hello nzuriii
Asante sana dear,asante kwa sapoti yako pia
😋😋😋😋 hongera dada mashallah
ua-cam.com/video/jyMCPLxfPKg/v-deo.html
ua-cam.com/video/jyMCPLxfPKg/v-deo.html
Woooohw asante kwa darasa nzuri na lenye kueleweka
MashaAllah
😙😙😙
@@kekiplus1andonly ~
mashallah
@@kekiplus1andonly Mambo
Waooo nimekukubali wewe n mwalimu mzuri sana barikiwa na Bwana
mashllh
Kumbe ni simple
Wow,naenda kujaribu kubeki kekisasa,asande
Waooo nzuri sana nimepika keki sasa najiandaa kupamba Asante
MashaAllah..hongera sana
Ccy its simple nimejalibu kutengeneza nw..nimeweza🤗🤗 its so 😘😘
Waoooooo❤ natamani kujua kama ww nizunr san👏👏🌹🌹
Utajua dear,endelea kujaribu mara kwa mara,utaweza
Asante dada nimekuelewa sana adi umenitamanisha sana
Hongera Sana dada and nimejifunza kuika keki❤🎉
narudi kutoa shukrani zangu kwako kwa ajili yako mwanangu nimemtengenezea keki ya graduration yake kwa kufata maelezo yako Asante
Asante san ddg Kwa mafudisho yako mungu azidi kikupa monyo huo
Duhh hongera kwa ubunifu nimeipenda. Wewe ni mwalimu mzuri
Jaman dada asante nimekuelewa vizur
Very nice am a father in future I will make it for the family in future..
Nimekupenda bureee jamani nitajaribu Mungu akubariki dis😍😍😍
Nimejifunza mengi Dada,, keep it up 🖐️
Barikiwa sana Kwa elimu nzuri
Asante sana mommy nimekulewa nimependa Sana
♥♥♥
Mashaallah shukuran kwa fundisho zuri sister thanks
Congratulations for u...nimeelewa somo nitajaribu.....❤ thanks much very....
Asante dada uko vzr nimekuelewa
Asante wewe ni mbunifu mzuri sana. Hongera!!
Asante sana
Thanks my dear nmepata juzi nitajarbu kupika
Thanks a lot Mungu akuzidishie
Ahsante kwakutufundisha mungu akubariki sana
❤❤❤nimependa am learning how to use jiko. Thanx
mashaallaha nzuri san nimejifunza nitajaribu
Wakati wote nimekuwa nikiona upishi au uandaaji wa keki ni kazi ngumu mno hasa ukizingatia sina baadhi ya vifaa vya keki, LAKINI kupitia wewe nimeona ni kitu simple sana na rahis katika mazingira yoyote, ubarikiwe sana
Wooow Thanks Ngoja Nifanye Jalibio