KUPIKA KEKI NDOGO NDOGO ZA BIASHARA/ KILO 2 TUU / HOW TO MAKE CUPCAKES
Вставка
- Опубліковано 30 тра 2020
- Jinsi Yakutengeneza Keki ndogo ndogo kwaajili ya Biashara
Mafunzo Ya Keki “Watsapp”
Instagram @mziwanda_bakers
Number ya Malipo. 0768859358
#BiasharaZenyeMtajiMdogo #500tsh
VIDEO ZINGINE ZA KEKI
- - Навчання та стиль
Asante Mungu akubariki
Asante sana dadangu mungu akubariki zaidi😗
Dada Asanteee ...barikiwa sana
Thanks mum.your doing great job
Mashaallah nice job🙏🙏
Good, congratulations for really practical
Masha Allah
Napenda unavyo pika dear mashallah
👏👏👏👏
Asante sana dadang
Yum
Niceee.. naomba tafadhali vipimo kwa unga kilo moja.
Shukran sana
Masha Allah ,Allah awalipe
Nzuri nimeipenda
Thank you so much I like all your cakes MASHALLHA KEEP IT UP DEAR.
nzurii sana
Ika ni unga upi mzuri wa kupikia keki hebu tuambie ndugu maana pengine kuna unga special😍
ppf ni mzuri kwa cake dear
me pia naskiaga PPF ndo mzuri,
Jaman. Cake zangu juu zinakuwa ngumu sana
I love your channel
I need to know the cocking temperature of barking a cake
🥰🥰👌👌
Nayafurahia sana mapishi yako mazuri sana keki zimetoka nzuri maashaalah........hongera
My dear naomba kujua hicho kikombe cha kupakulia naweza kupataje,halafu hivyo vimfuko vya kupakia napataje?
Hongera
Niceee
Naupenda upishi wako sana
Asante
Asante
Nice
Kwenye hizo kilo mbili umetoa cups ngapi? Na bei ya jumla mnauzaje kwa wale tunaotaka kuuza 500 cup cake moja?
nice
Nc
Mashallah
Mbarikiweni jamani mziwanda nampenda sana kazinjema
Nimejalibu naona Kama ziko Kama mandazi ndani
Asante 😍 😍 😍 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ntazpataje hivo vifaa vya kuokea cake
Hi Ila,please nisaidie kujua natakiwa ku pre heat kwa Moto wa kiasi gani na kwa muda gani kabla ya kuoka?? ninatumia min oven
Naenda sana Hilo nipo lako unalipata kwa bei gani
Zimetoka ngap
Don't u need to use cake improver/ gel?
Nzuri sanaaaa napenda unavyofundisha
Asante
Nmependa hii recipe hv vifaa vya design hy vya cake za mia tan umepata wap ur no plz
@@aquilinaminja2406 supur market vinauzwa ..na sehem wanauza vyombo utapata
@@salmahassan1295 poa dr ntjrb sehm nyngn maana nmetembea kweli nmevks
asante sana dada mungu akuongezee siku za kuishi ili uendelee kutoa elimu ya mapishi asante recipe hii imenisaidia sana kwenye biashara yangu
Karibu sanaa ❤️
Nimejifunza kitu asanteni sn
Asante ,je maziwa ni lazima?
Agnes natamani kujifunza kupika keki plz
Good job.hiyo mashine bei gani mamii?
Haina hi, Unga kilo moja naomba recipe nahitaji kutengeneza cupcake pls
nimependa napenda kujua kupika keki za harusi na basidei nanamna ya kupamba
Sikuona ukiweka flavour au hukuweka?
Unga uliotumia ni unga wa ngano wa kawaida au special kwa cake?
Nzur mm chini zinaganda shida nn
Habari.Hicho kijiko unachowekea cake batter ni ujazo gani
Vifaa hivyo tunavitaje
Mziwanda bacar
Vikopo hivo vinapatikana wapi na bei gani?
Please i wanna learn
Uwe unatuweke vipimo na vifaa unavyopimia itasaidia zaidi
Hlw
Samahani naomba kujua Kwa vipimo hizi utapata kama cup cake ngapi hivi?
Mimi mama mathew
mimi nina microwave oven sijui kama itafaa, mwenye amejaribu anipe mrejesho please
Hiyo oven bei gani dear
Asante nimejifunza endelea kutuelimisha
Samahan kwan hzo huwek improver, pia wanasema maziwa yanasababisha keki kuharbika haraka naomba unsaidie kwa hlo
Hapo ndo napataka na mm
Mm pia navyojua maziwa yaharibu cake kwa haraka..... Jee ulitumia improver ama vipi dada tusaidie
Hivo fifaa vyakeki vinapatikana wp
Naomba uniunge napenda kujifunza ujasiliamali
Hiyo machine shilingi ngapi dada
Nahitaji Sana darasa lako la Mapishi ya keki nipe muongozo dear
Ninapenda cupcakes
Habari, 2kg utapata keki ngapi?
cake km izi zinakaa kwa mda gani?
Dada ika...naweza tumia handmixer Ile ya kawaida??
Ndiooo
Je ninakaa Muda gn
Samahani hii mashine sh ngapi au naipata wapi
Naomba namba kwa ajiri ya darasa
likes from 254 ndio hizi hapa...Good job Ika..500tshs will be how much in kshs?
I think 23bob...
7000
vifaa una zinunua wapi
Nimependa oven inakuwa bei gani kipez
Asant san dad me napnd san kujua kupik kil ain ya pish nitakufatilia dad
Je jiko kama hilo nalo ni sh. Ngapi?
Dada ulipata cake ngapi tafadhali
Mashine hizo ni sh. Ngapi na zinapatikana wapi!
Ika mile cake yenye maziwa inakaa mda gani bila kuharibika
Kama una jiko dogo hizo zitatosha?
Nahitaji namba
Hapo nimeelewa lakini kwa hizo kilo mbili
Utatoa cup cake ngapi
Ujazo wa hizo cupcakes ni ngapi
Mbona ujatia sodabiki au hawatii
Sasa kama sina overna nafanyaje jiko la mkaa je halifai?
Naomba kuliza unga kilo mbili watoa kap cake ngapi
😋😋👍👍👍👌 Ika Malle
Ladha hamuweki?
Na hizo keki kubwa ni bei gani unauza
Dada habari mi nikipika azichambuki kwa nn
Hzo mashine shingap
Samahani nikiuza mia 2 nitapa faida
Tunahitaji mafunzo zaidi kupigiwa watsap
Nimependa hizo cake lakini hauja tueleza watumia Unga ngani wangono au wamahindi na nikiasingani
Kilo mbili unga unatoa keki ngap
Mamba zake ziko wap
Nimeipenda hii vidio ila hivyo vibati kuvipata ndio tatizo
Sorry naomba nkupate whatp