A-Z Afunguka Binti Anayedaiwa Kulawitiwa na Aliyekuwa RC Simiyu, LHRC Yaingilia Kati

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • #ijuesheria
    Video kwa hisani ya Haki TV

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 День тому +7

    Wallah mungu anakuona wewe binti

  • @muhsiniissa8151
    @muhsiniissa8151 4 дні тому +22

    Hana cha maana anachokieleza ni upuuz mtupu2,njaa mbaya sana,kumbe mtu alikua mtu wako na unasema alikua na tabia iyo kwanini usingemkataa moja kwa moja,,unaenda kupokea apology kwani mmeo huyo??,mjinga sana.acheni umalaya kaeni darasani msome

    • @isakaonehealthdigitallabor8630
      @isakaonehealthdigitallabor8630 3 дні тому

      Huyu demu malaya mbaya zaidi alivyo mjinga baada ya kufilwa kwa maelezo yake alitoka rock city eneo alipokua amepaki Gali jamaa na kumfila Kisha kwenda nyumbani nyezi hostels kwake suala la kwenda police alienda kesho yake baada ya mama yake kumshauli aende police so nijinsi Gani ukiweka doti unaona kabisa demu alinogewa kifilo kwanini asingeenda Rock City Bank hapo mbele kuna askali muda ota wange mkamata jamaa hapo hapo usiku huo huo but isitoshe baada ya yote jamaa alituma watu 3 wakamuita hotel akaenda tena s msenge huyu demu alafu vingereza feki vingi mjinga mkubwa huyu mapumbu ya shangazi yake.....na akome kumuomba Rais wetu akusaidie muache Rais wetu atutaftie maendeo watakatifu wewe kaendelee kuuza mkundu mbwa huyu....eti nilipewa barua nikaikopi na kuweka Dole gumba PUMBAVU ZAKE

    • @MariamLigoha
      @MariamLigoha 2 дні тому +1

      Upo wapi Kwani, kunywa soda kabisa nakuja kulipa, mitoto ya siku hizi hovyo sana

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 2 дні тому +1

      Jinsi ninavyonikera kama ningekuwa jilani ningedili nae

    • @tunsumegideonmwamboneke9639
      @tunsumegideonmwamboneke9639 День тому

      @@rogerabdallah439 mnamtetea nawanda mnamjua ? Uliza graduates wa sua 2010.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 днів тому +59

    Pamoja na kumpongeza Mhe. Rais na Jeshi la polisi. Baadhi ya mabinti wa vyuo vikuu wana tabia ngumu ngumu sana. Wanapenda wanaume wenye pesa bila kujali ni baba zao.

    • @angelistertarimo8215
      @angelistertarimo8215 4 дні тому +1

      Hakika

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 4 дні тому +4

      Haswa Sasa kumbe huyu Binti alikuwa ni mtu wake Sasa amembaka vipi jamani huyu si Malaya tayari jamani , na yeye mwenyewe amesibitisha kuwa alikuwa mwanaume wake

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 4 дні тому +6

      Uyu katumwa amchafue jamaa,,kwanini aingie nae kwenye mahusiano ilihali anajijua yeye Ni mwanafunzi?,uyu mwanafunzi Chenga 2

    • @ashangohi450
      @ashangohi450 4 дні тому +6

      Tatizo wanaacha kilicho wapeleka wanafata tamaaa.hv angepewa ma v8 kabla ya hiyo kitu angeongea

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 дні тому +4

      Tatizo munatamaa ya pesa wewe ni mwanafunzi ilikuwaje ukawacha masomo ukafata dudu la yuyu la mtu mzima wa kumwita baba sasa hivi unamchafua na alikuwa mpenzi wako wacheni tamaa

  • @graciousmgeni7249
    @graciousmgeni7249 2 дні тому +5

    KWAHIYO GARI LAKE ULIANZA KUPANDA LINI.

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 11 годин тому

      Amesema ni mpenzi wake sasa anataka kumlawiti KILA SIKU binti alikuwa anakataa

    • @graciousmgeni7249
      @graciousmgeni7249 6 годин тому

      @@edwardmkwelele HEE mbona hajaongelea swala la kupiga kelele?????

  • @user-jg2dy4kb6j
    @user-jg2dy4kb6j 5 днів тому +20

    huyo Binti anachangamoto ya akili apimwe Kwa maelezo yake

    • @tunsumegideonmwamboneke9639
      @tunsumegideonmwamboneke9639 День тому

      Huyu binti hadanganyi kabisa, ana uchungu moyoni na she is very brave kucome public. Watoto wengi wa kike wanafanyiwa huu unyama kwa sababu ya umaskini tu. Jaribu kufikiria angekuwa binti yako au mdg ako. Stop this . Nyie ndio sababu watoto wanalawitiwa na kukaa kimya kuohopa watu msio na imani nao kama ninyi . Jamii ibadilike 🤬

    • @magallahramadhani8762
      @magallahramadhani8762 20 годин тому

      Boss mkuu mama yako

    • @ernestsinje9700
      @ernestsinje9700 19 годин тому

      Ameenda shule au kaenda kutafuta wanaume?Wasichana wengi wanatabia hii kutafuta wababa wenye pesa wakati wazazi wao wanafikiri wako chuo wanasoma​@@tunsumegideonmwamboneke9639

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 11 годин тому

      Acha ujinga

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 11 годин тому

      @@tunsumegideonmwamboneke9639 point

  • @YusufuMalila-b1d
    @YusufuMalila-b1d 4 дні тому +22

    Binti Mungu anakuona acha kuharibu maisha ya watu kwa kutumikia watu

  • @raymond5175
    @raymond5175 5 днів тому +11

    Ni mpenzi wake, ameingia mwenyewe kwenye gari tayari ni mapenzi ya hiari hayo mengine ni kuharibiana maisha

  • @MercySalmon
    @MercySalmon 2 дні тому +6

    Binti wa hovyo umeperekwa kusoma ww unafanya yoko

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 дні тому +10

    Hayo ni mapenzi yenu kwa nn uje kuyatangaza huku kwenye mitandao na kama ungekua hujakubali ungevunja hata kioo cha gari yaonekana ulikubali sema hajakufanya yale mliokubaliana ndio maana umekuja kumuanika huku

    • @tunsumegideonmwamboneke9639
      @tunsumegideonmwamboneke9639 День тому

      Kabla hujahukumu angalia age difference. Unadhani kwa nini huyo mhe. Alijialini kufanya aliyofnya tofauti na makubaliano naye. Intemidation is real. Hayajakukuta pia yakikukuta ndio utaamini.

  • @InjiliyaUfalmetv
    @InjiliyaUfalmetv 5 днів тому +17

    Tubuni kwa Maana ufalme wa Mungu umekaribia ,YESU Anarudi

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 5 днів тому +43

    Hivi kwanini IGP hajawapandisha cheo hao polisi wa Mwanza kwa kufanya kazi ya kizalendo?

    • @briankatani6770
      @briankatani6770 4 дні тому

      Wakuu. Wa mikoaaaaa Hahahaaa.washitakiwe na yule aliyemsaidia

    • @user-yd1pc8uy8x
      @user-yd1pc8uy8x 3 дні тому +2

      Habar imetengenezwa

    • @johnsonsabanya5860
      @johnsonsabanya5860 3 дні тому

      Hakika

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 дні тому +1

      Walichokifanya Ni majukumu yao na police wote wanatakiwa kuwa hivyo.

    • @wazirisaid8326
      @wazirisaid8326 3 дні тому +3

      Ulipo amua kuwa na uhusiano na mume wa mtu ulikua na Nia gani? Unajiaibisha Bora ungetulia Sasa kila mtu anajua kua ushapitiwa huko!!

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 День тому

    Watoto bhanaa🙏🙏🙏 wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu 🙏🙏

  • @johnsonsabanya5860
    @johnsonsabanya5860 3 дні тому +5

    Uyu Dada kajieleza Vizuri kabisaaa tuache maneno ya ajabu Hawa watu ndo michzo yao hapo wanajiongezea vyeo na pesa kuingia kwa wingi, Sema ili liwefunzo kwa wadada wanaopenda pesa Sana, pole Sana mdogo wangu Mungu akusimamie.

  • @jackiefredrick586
    @jackiefredrick586 5 днів тому +35

    Kufanyiwa kwa mara ya kwanza kwenye gari sio kweli. Ulishindwa kumng'ata na kumparua. Yaan utoe tako kabisa bila mapambano. Mi angeniua kabla ya kunila tako. Tena kwenye gari. Mdogo wangu kuwa mkweli acha kutuzungusha.

    • @barakaalecnathaniel3716
      @barakaalecnathaniel3716 5 днів тому +4

      Kazoefu haka

    • @paschalmartin9598
      @paschalmartin9598 4 дні тому +2

      Hivi vitoto jamani mtu ana miaka 21 anakuwa na uhusiano na mtu sawa na baba yake

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 дні тому

      Alimpa sasa hilo dudu la yuyu lilichana nguo itakuwa alivaa chupi na nguo zake nyingine labda aliwekea dawa ya usingizi kwenye drink ndio akatiwa

    • @williammbwambo79
      @williammbwambo79 4 дні тому +2

      Amepangwa

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 3 дні тому

      Haya ndiyo yanayoendelea kwa watoto wetu wanapokuwa vyuoni .​@@williammbwambo79

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq День тому +1

    Kwani kesi ikiisha atalipwa awe bilionea au?!! Maana huu ni utapiamulo tu mwanachuo mwenye mtindi wa ubongo.
    Sasa anapata Nini.....kajitia fedhea tu.
    Rc atashinda kesi na atampa umaarufu zaidi
    Yeye ataogopwa kama ukoma.sijui ataishije maskini na jamii huyu

  • @CHAMSATV
    @CHAMSATV День тому +1

    POLE SANA MDOGO WANGU USHAURI WANGU JUU YA HILO LILIVYO TOKEA NI VEMA UHAMISHWE CHUO USOME SEHEMU NYINGINE MBALI NA HAPO NA WASIJUE ULIPO ILI UENDELEE KUWA SALAMA MAISHA MENGINE YAENDELEE

  • @tosh7671
    @tosh7671 5 днів тому +17

    Hivi hii sio comedy kweli mbona maelezo haya eleweki. Upuuzu tu huu

    • @user-zq7jb2ij4u
      @user-zq7jb2ij4u 4 дні тому

      Umeona eee mm pmj ni mzazi na nina mtt wa kike kafungua saa ngapi mlango wa gari na pia police uende asubuhi jmn jmn hz kesi za mafunzo !!!

    • @SamwelSimon-tf6oo
      @SamwelSimon-tf6oo День тому

      Anaeleweka hujaelewa nni wwe apo

    • @emm93132
      @emm93132 День тому

      ​@@user-zq7jb2ij4uhii ni habari ya kweli 💯💯 ila imefunikwa na mambo mengi mno...kama ni haki yake justice will privail..km pia pasingekua kua na ukweli mh. Asingetumbuliwa ila binti ndio angekua ndani sasa ..think

  • @saidlindi9619
    @saidlindi9619 День тому +3

    Wenye D mbili lazima wajue huyu dogo kapagwa kumuharibia mheshimiwa,,,anag'ata maneno tu

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 40 хвилин тому

      Angalikuwa ni mtoto wako angaling'ata nini badala ya maneno!

  • @graciousmgeni7249
    @graciousmgeni7249 2 дні тому +1

    ILA "MAGU" HAYUPO TU. NAHISI WE BINTI NA MLIOPANGA HUO MPANGO MNGEKUTANA NACHO LIIIIIVE

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 5 днів тому +19

    KESI IPELEKWE MAHKAMANI UKWELI UJULIKANE HAKI IPATIKANE

  • @user-ii6gs2jg4g
    @user-ii6gs2jg4g 5 днів тому +42

    Huyu nae anatakiwa akamatwe na mke wa mkuu wa mkoa kwa kuzini na mume wake. Shenziiiii

    • @ayoubmtumishi50
      @ayoubmtumishi50 4 дні тому

      Amelazimishwa huyu

    • @livingstonekabantega
      @livingstonekabantega 3 дні тому +3

      ​@@ayoubmtumishi50kivipi kwani alifatwa chuoni kufanyiwa hivyo Binti mwenyew SI ndo alienda Kwa Rc na mahusiano kwanin aliyakubal na yey ni mwanafunzi

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 3 дні тому +1

      ​@@ayoubmtumishi50alienda kufanya nne fundisho kwa mabinti

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 2 дні тому

      RC mbakaji

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 2 дні тому

      RC c mbakaji huyo alisha liwa nyuma na w kwnza mku w mkoa n pili huyo n mzoefu,jambo gan we n x y pil,nyuma huyo alokula nyuma w kwanza, mbona humtaji we hii n dunia

  • @vero57
    @vero57 5 днів тому +8

    Hawa wanafunzi wana acha kusoma wanaaza mambo ya matusi mapemaa!!! Ovyo sana , eti mausiano wewe ndiyo kilocho kupeleka shule??? Alafu unatembea na mme wa mtu, na wewe kiongozi acha kutu alibis watoto tafadhali!!!!

  • @nurumvungi2210
    @nurumvungi2210 4 дні тому +7

    Kazinzi haka😂😂
    Mwaka wa kwanza chuo,kana miaka 21 kameshaanza kuchukua waume za watu...tumuiteje kama sio mzinzi...acha ball itembee.

    • @EdinaLaulent
      @EdinaLaulent 3 дні тому

      Kapumbavu Malaya mkubwa wewe unamharibia mwenzio maisha kumanina ingekuwa Mimi wewe Malaya wewe

  • @festusmakanja3645
    @festusmakanja3645 День тому +1

    Hapa kunajambo linafichwa,najiuliza,kwa nn ww tu ulawitiwe????kumbe ulishakua na kesi kama hiii na muhuni wa mtaan????

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 5 днів тому +27

    kwenda zako malaya ww kumbe ulienda mwenyewe ulijua unaenda kusuka au wewe inaonekana ulikua unampa siku zote sema kwa sababu mmegombana Ndio unataka kumkomoa kwenda zako uko Yani mpaka Nauli umetumiwa halafu unasema Nini wewe ulitaka mwenyewe sasa ivi eti samia akusaidie akusaidie Nini yeye Ndio alikutuma uende au Nenda zako endelea Nahiyo tabia yako2

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 4 дні тому +1

      Kwani kuwa na mahusiano na mtu ni dhambi? Kutumiwa nauli ni dhambi? Kosa ni kumwingilia kinyumbe na maumbile mtu

    • @muhsiniissa8151
      @muhsiniissa8151 4 дні тому +3

      Ni dhambi ndio,kwani wameoana!?,we hujui kua kuzini Ni dhambi???

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 дні тому

      ​@@anodearsulusi7536
      Kwani alimchoma sindano ya usingizi alipokuwa anatiwa nalo nyuma kwa sababu tuangalie yy alitoka akaako mpaka akafika kwa muheshimiwa na akamvulia nguo si kutaka huko au alimkuta njiani akamtia na nguo zake aibu mambo mengine

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 4 дні тому

      ​@@anodearsulusi7536siangekataa

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 3 дні тому

      bora umenisaidia kumfahamisha huyu

  • @user-ml5tq8hj2x
    @user-ml5tq8hj2x 5 днів тому +10

    We mtoto umejiingiza mahali pagumu ambapo hujui mwanzo wake na mwisho Mungu ajuaye yote akusaidie na hata hyo mkuu wa mkoa alyesimamishw kazi Mungu amsaidie na familia yake maana hili pito ni gumu mnoo

    • @kokusimabayona4179
      @kokusimabayona4179 5 днів тому

      Hii issue ni kubwa sana...huyu binti aisee ajilinde tu mwenyewe maana

    • @samwa9496
      @samwa9496 4 дні тому +1

      Hili ni shushu limetumwa tuliosom Cuba tuelewa

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola 3 дні тому

      Mkuu wa mkoa ni raia tu kama raia wengine acha kumtisha binti.

    • @samwa9496
      @samwa9496 3 дні тому

      @@YusuphMwangobola simtishi angekubali kuanikwa sura kama mabanda ya uwani yamebomolewa huo uzushi haoni haya aseme alikuwa mpenzi wake na alitaka fungu kubwa akalikosa ndipo akaamua kumuanika cheza na watoto wala bangi la Arusha

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 11 годин тому +1

    Mabinti wa chuo mue na tahadhani kuongeza elimu kichwani sio kubadili muelekeo wa mausiano hapo ushishangae ulikuwa na mshaki wako ila hana kitu ukaamua kuwa na mkuu wa mkoa ili upate pesa tu mwingine alipata ajali na kiongozi mmoja DODOMA binti kafariki jmn kiongozi uyo kiongozi akapelekwa Hospital kisili sili tamaa wekeni pembeni

  • @festusmakanja3645
    @festusmakanja3645 День тому +1

    Hiii ni laana,hv kweli unakuampenz na umri wa baba yako!!!,mme wa mtu,zote ni tamaa na ujinga

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 3 дні тому +6

    Umelalamika kinyume na maumbile ingekuwa kawaida na maumbile tusingekusikia!

    • @user-hj8sc7jv5m
      @user-hj8sc7jv5m 2 дні тому +2

      Anatafuta ada huyo mwaka wa kwanza tu shida je akihitimu

    • @bahatimashauri3945
      @bahatimashauri3945 День тому +1

      Tusingesikia maana c alkuwa mtu wake ko walishakulana Sana ko mzee baba aliamua abadili kwingne baada ya kufanya Sana mbele

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 5 днів тому +6

    Kila siku mnaambiwa vitoto vya afu 2 sio hamuelewi,,, ona sasa kimemramba RC mstaafu.

  • @amosimariba9820
    @amosimariba9820 День тому +2

    Yaani huyu binti anatumika kisiasa kumharibia huyo kiongozi heshima yake, hivi mtu ufanyiwe ukatili huo halafu uelezee mkavu mkavu hivo, halafu maelezo ya kutendewa ni tofauti na maelezo ya kupanga, ila kuna kitu nimegundua hapo, kwanza amedhihirisha kuwa walikuwa wapenzi sasa inawezekana kuna kitu alimuahidi atamsaidia halafu hajampa ndo ameanza kumchafua, au la basi anatangaza kuwa alitembea na Mkuu wa Mkoa anatafuta sifa, kuhamazisha wanafunzi wenzake kutembea na viongozi

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 11 годин тому

      Acha ujinga

    • @edwardmkwelele
      @edwardmkwelele 11 годин тому

      Kuwa wapenzi siyo kosa, kosa kulawitiwa kwa nguvu bila ridhaa yake AU hata kwa ridhaa yake ni kosa

  • @magrethmajani9170
    @magrethmajani9170 Годину тому

    Namuomba Rais wangu mh Samia msamehe RC kumbe hawa walikuwa ni wapenzi na wanafunzi hawatulii Kosa RC ni kutembea na watoto wadogo n

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 5 днів тому +7

    Kwa maelezo ya huyu dada anaonekana ni mzoefu wa hayo mambo,,,,,ni bwana Nawanda tu, amekutwa na dhahama!!

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 2 дні тому +3

    Pole msichana siwezi kukuhukumu maana sikuwepo unapofanyiwa hayo

  • @EdwardMaziku-td2li
    @EdwardMaziku-td2li 5 днів тому +8

    Huyu msichana ni muongo sana kuna jambo lipo limejificha maana toka mwanzo ni mpenzi wake,kwa fikira zangu walishindana tu kwa pesa aliyotaka na ndiyo maana akamugeuzia kibao mkuu wa mkoa na wanafunzi wa chuo ndivyo walivyo tania zao .hivyo muheshimiwa raisi alilichukulia haraka hili jambo kwani wengine wanatumwa na watu kumuharibia mtu.kwa maoni yangu muheshimiwa raisi wetu murudishe kazini nakuomba sana .asante

    • @machasofficialsite6221
      @machasofficialsite6221 5 днів тому

      We akili huna chukulia angekuwa dada yako au mwanao katendewa haya ingekuwaje? Acha ujinga

    • @EdwardMaziku-td2li
      @EdwardMaziku-td2li 5 днів тому

      @@machasofficialsite6221 we ndiye mjinga na mpumbavu usijua hata kumusikiliza mtu alichoongea pia hata hujui chochote baadhi ya wanafunzi wanayofanya,(wee mjinga nikuulize,alipelekwa chuo kusoma au kufanya mapenzi ?)maelezo yake yanaonyesha ni mwingi wa habari tokea mwanzo

    • @matallahkhamis9579
      @matallahkhamis9579 4 дні тому

      Dada au Mwanangu anaongea huu uwongo anastahili​@@machasofficialsite6221

    • @israelmkaka2807
      @israelmkaka2807 3 дні тому

      Pia amepokea 10ml..Mama yake kapokea 3ml. Pia anasema aliwahi kufanyiwa na kijana mwenzake enzi za Balehe,Mama akayamaliza

  • @MayleenDonaldharris
    @MayleenDonaldharris 3 дні тому +6

    Kidada chenyewe kibayaaa

  • @AMOSSILYVESTER
    @AMOSSILYVESTER 4 дні тому +7

    Mama nae ni malaya anazibitisha kuwa umefilwa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 5 днів тому +7

    HE! SIKIO LA KUFA MTUHUMIWA KAAHIDI ML5 KWA MAMA KAINGIZA ML3 BANK PILI YAELEKEA MLALAMIKIWA KALETA ZARAU POLISI! ILA BINTI MZOEFU!! NA KAPANGWA!!

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 День тому

    Huyu binti naona anajiharibia maisha yake mwenyewe na RC
    Hakuna mme ataoa mtu ambae tyr hana malinda dunia nzima inajua,
    Pia ni vita nyingine na wanafamilia wa RC ambao wanamtegemea pia watoto wa RC
    Pia naona heri angekimbia na kujiweka mbali kbs pia sio kazi iliyomtuma chuo

  • @jamesraphaelmdima4729
    @jamesraphaelmdima4729 День тому

    Mcheni Mungu,acheni uzinzi Jesus second coming is near than ever!

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 5 днів тому +5

    WAKILI TV NIMEFURAHI SANA KUWAONA KAZINI. TETEENI WATANZANIA WANAONEA DAY N NIGHT😢😢😢

  • @HappyAgilityPuppy-lg8wg
    @HappyAgilityPuppy-lg8wg 5 днів тому +51

    kwa sisi' tulio soma quba tushaelewa hyo 😂 huyu dada kwakifupi RC alikuwa mtu wake sawa na hako kamchezo huwa nikao au au hyo dada alisha zowea Kuliwa nyuma asa wamepishana tu mambo Frani au Kafikwa bei na mahasimu wa RC so kaamua kumgeuka mwenzie, nahili gemu linawadau we wengi wanajua hata akipmwa atakutwa hana malinda so it's true. but kes hii wakikabiziwa polisi makini watabaini kitu

    • @issaidrisamusa5962
      @issaidrisamusa5962 5 днів тому +4

      Iwe alifanya kwa hiari , au kwa lazima , ila kwa vile amesharipoti hiyo ni kesi kama kesi nyingine

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 5 днів тому +1

      Upo sahihi

    • @George-jz3jg
      @George-jz3jg 5 днів тому +7

      Namchukia huyu binti kwasababu ameshindwa kumsitiri mama yake ameamua kumudhalilusha na mama yake kifupi amekosa busara kwasababu hayo mazingira yeye ndo aliyaanzisha

    • @user13375
      @user13375 5 днів тому +7

      @@George-jz3jg kamalaya kubuu

    • @WaziriAbdallah-vr4xg
      @WaziriAbdallah-vr4xg 5 днів тому +4

      Hicho kitoto huu ndo mchezo wake ila ukikaangaria ni.kama.hakapo.sawa inabidi atafutwe mtu wa kumuweka sawa pili tamaa hivi vibinti vya 2000

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 День тому

    Mama kapokea million 3,wewe million 10,Kuna kesi hapooo🙏🙏🙏🙏🙏🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @estergeorge1557
    @estergeorge1557 3 години тому

    Utandawazi huuu Mungu tusaidie

  • @peterlyimo6696
    @peterlyimo6696 5 днів тому +58

    Unaingiaje mahusiano na mume wa mtu tena mwanafunzi wa mwaka wa kwanza?

    • @worldherotv
      @worldherotv 5 днів тому +1

      Kama unavyona

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 5 днів тому +3

      Dini inamruhusu kuongeza

    • @charlzmboya
      @charlzmboya 5 днів тому

      0:19 ​@😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊worldherotv

    • @ivanamkapa2369
      @ivanamkapa2369 5 днів тому +1

      Mbaya ni mwanamume kwa ninu asitulie na mkewe mpaka anarubuhi mtoto wa chuo si angeenda kwa magumegume

    • @ivanamkapa2369
      @ivanamkapa2369 5 днів тому +1

      Binti karubuniwa mubaya ni mkuu wa mkoa wa simuyu mtu mzima anarubuni mtoto wa chuo amfire wewe kama mzazi utamlaumu mwanao au hilo lifilaji

  • @kirotostima
    @kirotostima 5 днів тому +18

    Shenzi kabisa kaongo kweli kashazoea kuliwa tigo haka

  • @rachelsam8912
    @rachelsam8912 5 днів тому +22

    Kiingereza chenyewe anaongea broken, but kama ni kweli Mungu akusaidie

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 День тому

    Sukuma ndani mama, binti na wengine wote waliohusika hata hawa waandishi wa habari hizi sukuma ndani

  • @victoriampunza1016
    @victoriampunza1016 5 днів тому +49

    Ogopa sana vitoto vya efu mbili😂😂😂 havikawii kukuharibia kazi

    • @kefamwakipesile275
      @kefamwakipesile275 5 днів тому

      Kwani huyu dogo alikutana wapi na Rc kama sio Rc kumfuata

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 5 днів тому

      Anajiuza huyu​@@kefamwakipesile275

    • @MwamvuaKing
      @MwamvuaKing 5 днів тому

      Hahahaaaa

    • @angelistertarimo8215
      @angelistertarimo8215 4 дні тому

      Balaa.na milioni kumi juu bado kimekomaa huku nyumbani kunanuoa shida

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 4 дні тому

      ​@@kefamwakipesile275mwelewe huyo mtoto asema alikuwa mwanaume wake harafu akagombana ,baada ya hapo alipo pigiwa Tena sm akakubali kwenda akijuwa rc amebadisha mawazo ya kuto taka Tena mkundu, huyu Binti yeye alikuwa alishakubali kuwa naye Kwa jili ya kugombana tu , Sasa huyu si Malaya km Malaya wengine kabakwa vipi

  • @justinealistides5146
    @justinealistides5146 5 днів тому +3

    Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema utusamehe sisi tulio dhaifu na kwa haki yako utuponye.

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 2 дні тому

    Duuuuuue, Mm nashangaa sana haya mambo kwa kweli.

  • @ednalugano2906
    @ednalugano2906 2 дні тому

    Binti wa 21yrs, mwanafunzi wa university, wa mjini, mwenye kujulikana hadi na RC (wa mkoa asioishi). Anatendewa ukatili na udhalilishaji huu mahali penye ulinzi, na hajui hatua za kufanya, lkn anakubali kuficha ukweli? Ni fedha nyingi kiasi gani mama mzazi unalipwa kuficha ukatili aliofanyiwa binti yake ambao una madhara maisha yake yote? Hii kesi inahitaji uchunguzi wa kina na makini!
    Media hii kuweka picha ya binti public kwa case ngumu hii, mna mhakikishia usalama binti huyu?

  • @johanessmwitamwita1723
    @johanessmwitamwita1723 5 днів тому +7

    Mmmmh jmn huyu binti anatumiwa kwa jinsi navyijua tz kwa issue kama tayri alishapotezwa siku nyingi huyu anatumika tuuu sio yy

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 4 дні тому +3

    Pumbavu mnapenda ngono mno majbu yenu ndio hayo mnapenda maisha rahisi kwa kuuza miili yenu sasa mnalia nn hao mabinti wanaoenda wenyewe nao wapewe adhabu pia tofauti na wanaokamatwa kwa nguvu.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 3 години тому

    Ulikua na mahusiano nae, umetumia nafasi hiyo kupata hela,hela ilipopungua unaharibu future za watu.Huyo baba ulivyo mtendea ni Sawa na kumfuatilia.
    Ww ni hatari sana kwa mtu yeyote alie na mahusiano nae ww ,haufikirii sana unafanya tu jambo lolote.

  • @bernardmushi4869
    @bernardmushi4869 2 дні тому

    Acheni hukumu zenu.Huyu ni mmoja kati ya mabinti wengi wa vyuo wanaojiuza mijini kwa sababu ya umaskini wa familia zao.INATIA HURUMA SANA.Msihukumu kwa huyu peke yake bali tafakarini wahanga kama hawa ambao mambo yao hayajatokeza hadharani.GOD HAVE MERCY UPON THIS GENERATION.

  • @omarymwenda1146
    @omarymwenda1146 4 дні тому +2

    Mwalimu Nyerere alisema ukipewa kazi ya Nchi ni lazima UJIHESHIMU, Ingawa hii issue ni very complicated so tusihukumu, TLS na LHRC mnafanya kazi nzuri sana. Tusubiri hatma ya Mahakama.

    • @SayyidAhmadBaalawy
      @SayyidAhmadBaalawy 3 дні тому

      Unaona wanafanya kazi nzuri kweli?? Atakapo potezwa huyu mschana ndio utajua kazi nzuri wanayo ifanya hawa watu ni wahuni sana mwanasiasa na mwana sharia wote niwatu wasio aminika. Mamake mwenyewe akipewa hela alikua akipokea nahakutaka kujua binty yake alipata wapi. Sasa ukiambiwa ana ukimwi ndio utajiona ukicho kifanya kilikua tamaa yako imekuponza

  • @damiankageba77
    @damiankageba77 5 днів тому +8

    Ni upuuzi uliopitiliza

  • @jamaliddiin9357
    @jamaliddiin9357 3 дні тому +2

    Wewe binti pia ni mshenzi ,kumbe ni wazinifu
    toka zak hapa ,haya pia huna ,uso kavu kama kauzu ,muongo mkubw wewe ,

  • @adinantv4701
    @adinantv4701 День тому

    Pole sana mwanangu mungu atakusimamia kwa hili na haki itatendeka na nyie munao muongelea vibaya mungu anawaona leo kwake kesho kwenu mungu ni fundi kwenye utendaji wake acheni kumzihaki binti wa watu watanzania tunatakiwa kukemea kwa pamoja vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia

    • @MansourKabuhaya
      @MansourKabuhaya 5 годин тому

      Untanyasaji gani wakat kapanda gari mwenyewe?? Huyu ni Malaya mzoefuuuuu, Wacha apambane na alichokichaguaa

  • @stevenkuhanwa7819
    @stevenkuhanwa7819 5 днів тому +9

    Duh! Kumbe walikuwa wapenzi awali!, inawezekana, lakini siku hizi hata mke halali anakwenda kushitaki kuwa kabakwa na mumewe halali!
    Kuna hofu ya kuwa aliahidiwa vitu fln ambavyo hakutekelezewa na ndio maana kaamua kulipa kisasi kwa mpenziwe!
    Kurudi rudi kwa X ndio hivyo unakutana na plan X!

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 5 днів тому +10

    Ulipata wapi no ya mkuu wa mkoa ulipata wapi mtoto mdogo mbona wa kawaida sn dd jamani mbona unajiaibisha ,tuone uwo muamala

    • @kokusimabayona4179
      @kokusimabayona4179 5 днів тому +2

      Ila this generation.....🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 4 дні тому +1

      Kachafu sn kahovyo mno Malaya huyo yeye mwenyewe si alisema alikuwa bwana yake kwahiyo km asingefilwa wangeendelea kutombana , unajiabisha tu

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 4 дні тому

      Huyo mwongo tu alipangwa ni kamchezo!​@@ziadasalimu1730

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 4 дні тому +1

      @@ziadasalimu1730 yani kamejiaibiaha sn waache kujipendejeza kwa viongozi na kujipitisha pitisha ovyo aàaaa wanatuaibisha watt wetu htr

    • @bolelambunda6554
      @bolelambunda6554 3 дні тому

      Je angetombwa kawaida isingekuwa ugomvi

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 4 години тому

    Huyu mdada ni mkweli alihadaiwa. Haki yake apewe SIO LA KUDHARAU ..
    NA AKIWA MKUU WA MKOA HANA HATIA .HATUA ZICHUKULIWE.

  • @ernestsinje9700
    @ernestsinje9700 20 годин тому

    Huyu binti katumwa kuharibu maisha ya watu .Kama alikuwa danga lako.Hiyo inaeleweka halafu kuingiliwa kinyume ni mara ya kwanzaa au huwa unafanyaa naye ktk mahusiano yenu? Wewe huoni aibu kuexpose mapenzi yenu.badala ya kusoma mnafanya umalaya .Na hii ni tabia ya wanavyuo wengi .

  • @brunomtweve8073
    @brunomtweve8073 5 днів тому +21

    Mamayako nae tunamfunga kwakosa lakupokea rushwa mana umethibitisha hapa wewe mwenyewe

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 4 дні тому +1

      Umeonaeeeh mshenzi huyu mtoto umelaya wake unamfanya mpaka hamuonei huruma mamaake.

    • @OmanOman-dd5qk
      @OmanOman-dd5qk 4 дні тому

      Sahihi mtowaji na mpokeaji wote ndani na mtenda kosa mwanafunzi kwenda gest

    • @SamwelSimon-tf6oo
      @SamwelSimon-tf6oo День тому

      Mama yako akamatwe haraka sana

  • @SamoMonjwa
    @SamoMonjwa 2 години тому

    Jinci anavyo ongea tu ningumu kuamini nikama uongo flani hiv wakutengrnezwa kuaminisha ukweli,. Nasubili maelezo ya huyo mkuu badae.

  • @eunho9529
    @eunho9529 День тому

    ubaya mabinti mnapenda kamseleleko sana.

  • @NamalaPothino
    @NamalaPothino 4 дні тому +3

    Naomba uchunguzi wa kina ufanyike ,duniani kuna mambo mengi mno

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 5 днів тому +5

    Nyie watoto mmejaa tamaa
    Mkikosa mnachotaka mnabadilisha maneno, unawezwajje, kulawitiwa ndani ya gari bila ya wewe kukubali?
    Kwani hakuna nafasi kama hujatulia, Unaongea uongo

    • @jamaliddiin9357
      @jamaliddiin9357 3 дні тому +1

      Kishenxi hiki kibinti
      alikubaja au ulivua nguo mwenyewe ,panya rodi weee

    • @fatimahants1526
      @fatimahants1526 3 дні тому

      Mtu mzima unalawitiwa muongo , kamuwa kuchafuwa huwara yake, akumbke hii interview itakutesa sana kwenye life yako

    • @SamwelSimon-tf6oo
      @SamwelSimon-tf6oo День тому

      Wewe unashangaa nni kwani

  • @hassanjuma3114
    @hassanjuma3114 23 години тому

    POLE SISTER KWA KUPITIA MAGUMU. MUNGU ATAKUSAIDIA NA UTAPATA HAKI YAKO

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 8 годин тому

    Kumbe kujua kingereza ndo oficial job ya unatakiwa ugongwe umalayaa

  • @shabanirashidi2486
    @shabanirashidi2486 5 днів тому +5

    Shetani ibilisi tokaaa ,uyu dada Ata ongea yake anamchoma muheshimiwa hiv hiv dah

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 5 днів тому

      Kama alimfira kwanini asimseme?

    • @user-du6bd3no2b
      @user-du6bd3no2b 3 дні тому

      Nyinyi sijui mpoje...mnamponda huyu dada ila ipo siku yatawarudieni na nyie...

  • @kimwerihamza4152
    @kimwerihamza4152 5 днів тому +3

    Tuliosoma cuba tumeshamuelewa huyo binti,mwanafunzi wa chuo anashindwa kutamka maneno ya kiswahili,tumuogope mungu kwenye kufitini

    • @user-zq7jb2ij4u
      @user-zq7jb2ij4u 4 дні тому

      Kabisa

    • @alinanusweosward-ov2nq
      @alinanusweosward-ov2nq 3 дні тому

      Yaaan bint anajikanyaga na kiingereza kingi ,mabint wa sample hii wa hovyo sana na always wanajifanya wajuaji sana na nadhani wapelelezi watafanya kazi Yao kujua nn na vip ilikuwa

  • @WilbertChambilo-yl1kc
    @WilbertChambilo-yl1kc 22 години тому

    Haya sasa, wakurungwa mmeelewa vzr. Haka ni kamalaya tu mara ooh haki za binadamu. Shenzi zako kabisa

  • @graciousmgeni7249
    @graciousmgeni7249 2 дні тому

    YEWIIIIIII WE BINTI, KWAHIYO MKE WA RC ANAJUA KAMA WEWE ULIKUA MPANGO WA KANDO AU NDO UNAJIFUNGUA HUMOOO????? MAMA WA RC KUNA JAMBAZI LIPO HUKU LIVEEEEEEEEE LISIKILIZEEEE

  • @mchawaamanmchawa593
    @mchawaamanmchawa593 5 днів тому +4

    Nawanda mara tatu kweli ulifanya mbona naona kuna namna hapo lambda kuna Siri nyingine

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 5 днів тому +6

    huu udokta ambao haufungui kichwa . bado kinakuwa na mambo ya kishenzishenzi tu unasaidia nn?

  • @omarifadhili651
    @omarifadhili651 День тому

    Huyu ni Kuma kweli kumbe ulikubali mwenyewe pia mpk tarehe huijui si uchizi kweli

  • @titongholo6261
    @titongholo6261 5 днів тому +12

    Napata mashaka makubwa sana na maelezo ya huyu binti. Hivi kwa kitendo cha kuingiliwa kinyume ni rahisi hivyo kama anavyoeleza. Kama ni kweli Mungu anajua

    • @gracemwailima1780
      @gracemwailima1780 5 днів тому

      Hata mm sielew elew huyu bint yuko timamu kwel

    • @bonyngoyindengoyinde6139
      @bonyngoyindengoyinde6139 5 днів тому +1

      Uyu n mzoefu na mhuni tu!😅

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 дні тому

      Watt wetu hamuendi kusoma munafata mengi huko nje wazee wanahangaika kutafuta ada kama hamuwezi kusoma muolewe tu musiwapotezee wazee wenu pesa zao za mikopo wazazi tuna mikopo kila cona tunasomesha hatari hii

    • @georgeanyosisye2182
      @georgeanyosisye2182 2 дні тому +1

      Mshenzi huyu kwanza jinga hata kizungu anachoongea kinaonesha serikali inapata hasara kama kapokea bumu.

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 5 днів тому +4

    Kama anamkana mama yake huyu binti

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 21 годину тому

    HUYU BINTI PAMOJA NA MADHAMBI YAKE AMEONGEZA NA KIZUIZI CHA KUOGOPWA NA WAOAJI, MWANAUME AKISIKIA ULIFANYIWA HIVYO ANARUDI NYUMA, ILA MABINTI WA SIKU HIZI NI TAABU HAWASIKII USHAURI WA WAKUBWA.

  • @haidaris.kalunga9541
    @haidaris.kalunga9541 2 дні тому

    Kwa maelezo hayo huyu binti amepangwa kabisa. Hakuna ukweli ht chembe! Anajichanganya tu mara alikuwa sitivya mbele akarudi siti ya nyuma,kupitia wapi? Yaani muongo totally

  • @user-fg8hg9fe1w
    @user-fg8hg9fe1w 5 днів тому +6

    Kamesema kalianza kufirwa toka kapo form two kumbe kazoefu kasitupotezee muda😢

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 4 дні тому

      Haswa Malaya huyo asipotezee muda watu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 4 дні тому

      Haswa Malaya huyo asipotezee muda watu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 4 дні тому

      Wanaume Huwa mnajitafutia wenyewe matatizo ,cheo chako kikubwa waenda pata zahma Kwa mchafu huyu Binti mnyooo wa chooni huo

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 4 дні тому

      Waandishi wae wanamhoji mtu kabla il wabaini KULIKO kumalizia watu bundle na kuwachafulia watu!

    • @Lifebeaconuplift
      @Lifebeaconuplift 3 дні тому

      Wapi amesema kwamba tokea form two

  • @josephmoses5406
    @josephmoses5406 5 днів тому +4

    Mkuu wa mkoa wa mwanza nae alitakiwa kuwajibika.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 День тому

      Mkundu wewe mwambie mama yako mzazi akatombwe na mkuu wa MWANZA Kisha amuwajibishe huyo mkuu wa mkoa MWANZA

  • @user-hj8sc7jv5m
    @user-hj8sc7jv5m 2 дні тому

    Kimtu chenyewe kibaya hata sura hakina si bora na warembo wa Simiyu hakina hata haya wala aibu

  • @josephmoses5406
    @josephmoses5406 5 днів тому +3

    Hawa polisi walau wamejaribu kuwajibika

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 5 днів тому +4

    Binti wewe

  • @user-mf2jf6dp7z
    @user-mf2jf6dp7z 2 дні тому

    Yani inaumiza sana ukichunguza vizur uyu Binti kalelewa na mzazi wa upande mmoja tena ni mama pekee kwa iyo anayo pitia ni malezi aliyo tokanayo uko sasa analalamika wakati walikuwa wanakula pesa pamoja

  • @shabanirashidi2486
    @shabanirashidi2486 5 днів тому +3

    Ata kilivyo vaaa tu kimepangwa

  • @nestor384
    @nestor384 5 днів тому +4

    Hongera nyingi sana kwa polisi na vyombo vyote vilivyojaribu kukabili hadaa za wakuu wa mikoa hawa wawili, Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu anapaswa kufungwa na mkoa wa Mwanza wa sasa alipaswa kufukuzwa kazi pia mshenzi kabisa!

    • @mkadammkadam
      @mkadammkadam 5 днів тому +1

      Ni peke yako uliyeonyesha mawazo yaliyokomaa. Kama kila mmoja wetu anatetea kwa nguvu zote uhalifu ambao kila siku tunalalamika kuwa vitendo hivi vimekithiri katika jamii zetu. Vipi tutaondosha kama hatutashirikiana kuvipiga vita?

    • @livingstonekabantega
      @livingstonekabantega 3 дні тому +1

      Sio kweli afukuzwe kisa tamaa zake

    • @alphaexaud5279
      @alphaexaud5279 День тому

      Huyu wa Mwanza mhhhh!

  • @AshaJuma-g3x
    @AshaJuma-g3x 3 дні тому

    Anatafuta Kiki kwakumkosea heshima. Mheshimiwa huwezi kukubali kufirwaa Kama hujataka

  • @user-xv5vh3lv7p
    @user-xv5vh3lv7p 21 годину тому

    Vijana wenziouwaoni?wewe Binti mdogo,jichunge,angalia maisha,Yako,utaaribikwa Bure,kwa tamaa

  • @user-yv7xg4em4s
    @user-yv7xg4em4s 5 днів тому +4

    Kumbe alikuwa mtu wako sasa anakulawitije

    • @user-cm7yl9ej7i
      @user-cm7yl9ej7i 5 днів тому

      Kwa hyo mama yako angeombwa na baba yako na kuachika siku Moja angekuelea huyo ni sababu ya kuachana na baba yako ungejiskiaje

    • @JuliusMahinya-wl7mq
      @JuliusMahinya-wl7mq 5 днів тому

      ​@@user-cm7yl9ej7ikwa nn usitolee huo mfano kwa mama Yako? Kwa nn mama yake na si mama Yako?
      Yaani jambo la kujadili kawaida unamhusisha mzazi wa mtu!!!

  • @majutojackson5718
    @majutojackson5718 5 днів тому +3

    msimshutumu huyu binti,acheni haki ipatikane, maana kama ni hela amepewa nyingi mno angepiga kimya

    • @MusaMapinda-ch6gz
      @MusaMapinda-ch6gz 4 дні тому

      Binti ni malaya

    • @user-du6bd3no2b
      @user-du6bd3no2b 3 дні тому

      Si vibaya kuwa na mkuu wa mkoa...ila mkuu wa mkoa kumlawiti bila ridhaa yake kakosea sana

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 2 дні тому

      hakuna acha kumtukana hyu Binti Bali ni jasili kwani mapenzi nikosa kufanya acha unafiki

    • @marcoenock4596
      @marcoenock4596 День тому

      ​@@josephmantago2837hakuna kitu Kama icho bint kaingiziwa pesa kwenye a/c na iko hvyo Kuna kit wanagombea Kat ya RC na huyo mwamba aliye toa pesa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 дні тому

    Achae tamaa ya hela na umalaya.Hili silo swala la raisi wa Tanzania Mwanafunzi kuwa na sugar daddy 😢😢😢

  • @jescajohn6619
    @jescajohn6619 7 годин тому

    Haka kajinga kanajikanyaga ,kamepelekwa shule ,kanaenda kufanya ujinga

  • @SalumFuraha
    @SalumFuraha 5 днів тому +3

    Kingereza kingi mjinga we mwanafunzi unaingia kwenye mapenzi

    • @user-cm7yl9ej7i
      @user-cm7yl9ej7i 5 днів тому

      Na mtaman mtoto wako wa kike kama umezaa

    • @josephmantago2837
      @josephmantago2837 2 дні тому

      hyo sio mtoto ndg ni mtu mzima mbona mnamshambulia bint wa watu acha aeleze ukweli

  • @abou.salimu1795
    @abou.salimu1795 5 днів тому +3

    Khaa mkuu wa Mwz nae yuko upande upi sasa

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 5 днів тому +1

      yuko upande wa mbakaji

    • @alphaexaud5279
      @alphaexaud5279 День тому

      Rc Mwanza umezaa? Je ulitaka kuficha na huu ufedhuli Ikithibitika Rais tunakuomba umtafakari Rc Mwanza

  • @emmanuelamos4581
    @emmanuelamos4581 День тому

    Yani mzazi anatetea huyu malaya.huyu alitakiwa viboko kwanza yeye ametumwa kusoma ndo kakimbilia mapenzi.this is non sense.

  • @user-vf8wv8hi5b
    @user-vf8wv8hi5b 5 днів тому +16

    Kaongo hako