HASHIMU RUNGWE 'Mzee wa Ubwabwa' aingilia Uteuzi wa RAIS SAMIA, "hatukulaumu wewe huwajui hao CCM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2024
  • HASHIMU RUNGWE 'Mzee wa Ubwabwa' aingilia Uteuzi wa RAIS SAMIA, "hatukulaumu wewe huwajui hao CCM
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

КОМЕНТАРІ • 16

  • @StephanoMbwambo
    @StephanoMbwambo 24 дні тому +1

    asante sana mzee wetu hashimu bora na wewe umewaona hawa wezi wakitanzania.

  • @gerevasliyunga9831
    @gerevasliyunga9831 27 днів тому +1

    Hekima nyingi sana kwa Mzee Rungwe

  • @StephanoMbwambo
    @StephanoMbwambo 24 дні тому

    na wanafanya hivyo ili kutukomoa sisi wananchi wa hali za chini. lakini mungu atawaona na kuwatembelea wakati wowote wasioujua wao. waendelee tu kutukomoa sisi wananchi kiasi hicho.

  • @issamangapi5486
    @issamangapi5486 25 днів тому

    Akili kubwa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 27 днів тому +1

    Kwa Sababu alifanya uchawa. Ukifanya uchawa tu umeisha pata kuteuliwa tayari. Na hizo pesa wanakopa wakikopa wanakuja kugawana ili waweze kuteuluwa na wakubwa wanahonga ili wawezeshe kupata kuiba kura mwaka kesho.

  • @hemedmselem4889
    @hemedmselem4889 27 днів тому +2

    Sijamuelewa kabisa

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 27 днів тому

    Iko wazi baba

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 27 днів тому

    Mzee wa Ubwabwa kazi unayo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 27 днів тому

    Hiyo ndiyo kauli mbiu aliyo aliyesema Mama kila mtu ale urefu wa kamba yake na kuwajaza watu mapesa mifukoni Mungu atatoa jibu tu

  • @knight6757
    @knight6757 27 днів тому +1

    " KILA MTU ALE NA UREFU WA KAMBA YAKE "

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 27 днів тому +2

    Watawala wa CCM ni laana tu siku moja watakuja kujuta kweli. CCM siyo kuwa wamechoka bali wanajuwa wanatawala wajinga. Kwahiyo wanatufanyia sisi wajinga. Na vijana qetu wamekubalikywa wachawa wa CCM na CCM watawakomesha kama hawajifahamu unadhani nani atawahurumia wakati huyo anayekuhumiza unamusifia?

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 27 днів тому +1

    Wananchi wanabanwa na kodi kwa sababu mipango inayotumia bajeti siyo shirikishi na haiibuliwi na wafaidika wa mipango hiyo.Mipango inaibuliwa na serkali na bajeti ni ya serkali.Wananchi bajeti yao na mipango yao inatofautiana na ya serkali.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 27 днів тому +1

    Mama yao amewambia wale kwa urefu wa kamba yao. Na sijui kwa ninyi waacha kugoma kabla hata hawajapunguza. Sasa hivi hali ni mbaya zaidi kuliko Ukoloni

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 22 дні тому

      Hebu niambie ukoloni maisha yalikuwa tight sana!!!

  • @Mkemia..Kirigiti
    @Mkemia..Kirigiti 23 дні тому

    😆😆ki ukweli huyu mzee napendaga sana kusikiliza interview zake, eti wewe vipiii..😅