JIONEE STESHENI YA TRENI YA KISASA ILIYOPO MOROGORO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 бер 2021
  • Stesheni ya Reli ya Kisasa (SGR) Morogoro imekamilika kwa asilimia 98 na itakuwa na uwezo kuhudumua zaidi ya watu 400 kwa wakati mmoja, migahawa minne na ina uwezo wa kuegesha magari180 madogo, mabasi 6 na malori matano.

КОМЕНТАРІ • 200

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 роки тому +44

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 роки тому +25

    Mashallah hakika kwetu kumenoga jamani hongera Rais wetu 👏👏👏👏👏

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 роки тому +1

      Kama nje wallah! Halafu ndo kaenda wala hajavitia machoni duh! Inauma kweli
      Naomba Mungu, isitokee mijizi ikaanza wizi oooh tubinafsishe ili wakatiwe kitu kidogo.

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 3 роки тому +17

    Vip ndo nitakuwa naingia mie
    Mungu ibaraki Tanzania na watu wake 🇹🇿
    Mungu mbariki Rais wetu JPM 🇹🇿

  • @tronadc7
    @tronadc7 3 роки тому +31

    Hongera nyingi kwa Rais Magufuli 👏👏👏

  • @raymondmboyi8459
    @raymondmboyi8459 3 роки тому +17

    Kongole kwa Raisi Dr. John Magufuli! Hii ni kubwa kuliko 🙌🏽💪🏽

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +11

    Woooow mashaAllah nzuri sana. Mola ibariki Tanzania,Mola mbariki raisi wetu mh.john pombe Magufuli Mola tubariki watanzania tuendele kushikana katika maendeleo.
    AMIN

    • @ahmedzahor2975
      @ahmedzahor2975 3 роки тому +1

      Tanzania ya Magufuli achana nayo inakuja kwa kasi ya 4B nakaribia kusema ndio Taifa la Africa linalokuja juu kwa kasi sn ya kutisha ndio maana majirani zetu kila siku hutafuta sababu za chokochoko kabla tuliaminishwa kua sie masikini wa kutupwa ukweli wa Mambo tumeona black and wait kua sie ni matajiri magu katwambia kwa vitendo na kauli big up sana Mzee Bagu

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 3 роки тому

      @@ahmedzahor2975 nikikwambia huu ni mkopo yani misaada ya wahisani cjui utajiskiaje na maelezo yako yote uliyotoa

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 3 роки тому +1

      @@maujanjatv24h41 masikini husaidiwa hakopeshwi kwa kuwa hana uwezo wa kulipa hivyo ukiona mtu anakopeshwa basi huyo ni tajiri ana uwezo wa kulipa kwa hiyo Tz ni tajiri huwezi kupinga hilo 🇹🇿💪🙏

    • @maujanjatv24h41
      @maujanjatv24h41 3 роки тому

      @@aminasittusaid3830 hivi unajua tz inadaiwa shing ngapi mpaka sasa? Waulize kenya kilichotokea hakuna nchi tajiri inapokea mikopo acha akili mbovu 🥱mikopo inakuja na terms na condition zake we unajua kwnn mpaka leo tanzania haijawai pinga ushoga? Naona unalopokwa tu ata nchi yako huijui

    • @aminasittusaid3830
      @aminasittusaid3830 3 роки тому

      @@maujanjatv24h41 sasa kumbe umeona naropokwa kwa nini usinipotezee basi ili udeal na wenye akili wenzio. Akili nyingi mbele kiza mmhh

  • @josephkauki6094
    @josephkauki6094 3 роки тому +23

    The first one to watch this ...from Egypt

  • @abubakarmalinza9339
    @abubakarmalinza9339 3 роки тому +18

    Maendeleo makubwa kwa mkoa wetu wa Morogoro. Viva JPM

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 роки тому +18

    Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💙💚🖤

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 3 роки тому +16

    Tukubali au tupinge yote tunayo yaona ni maono ya jpm kazi nzuri mm sikutegemea kwa miaka hii ya karibuni Tz tungekuwa na Reli nzuri kiasi hiki ata mradi ulivyoanza bado wengi walikuwa awaamini Kama kweli tutaweza kujenga tukumbuke ss tulikuwa nchi masikinia alafu Rais anasema tutajenga reli ya kisasa kidogo dunia ilituona Kama tuna tania ila Sasa tunaeleweka

    • @ivaniavianarodrigo7201
      @ivaniavianarodrigo7201 3 роки тому +1

      kifo cha huyu mzee jpm nimeumia sana, ningekua na nauli ningekuja kuzika

    • @djrichsingelifreva8245
      @djrichsingelifreva8245 3 роки тому +1

      Raisi wetu alisema sisi Ni matajiri ila utajiri wetu ulikaliwa na Watu wachache kwa manufaa yao Magufuli Mungu akulaze mahala pema peponi

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 2 роки тому

      Na alisema pia Tanzania sisi sio masikini ila awamu zilizopita ukitoa ya NYERERE walikuwa wana tudanganya sisi wananchi ya kwamba Tanzania ni masikini na ni taifa changa kumbe ni uongo wa mchana kweupee na ndio maana wamemuuwa mzee baba wetu Magufuli kwa kuwa mkweli na kuwaamsha watanzania kwenye usingizi wa samaki pono RIP mzee baba 🙏Magufuli 😭😭😭😭😭🏃🏃🏃🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @joasitz9559
    @joasitz9559 3 роки тому +4

    Wow, this is amazing. You can't imagine this is Tanzania. Hongera sana watanzania Acha majirani wawaonee wivu. Pigeni kazi

  • @nicksonpius6128
    @nicksonpius6128 3 роки тому +19

    Jpm namba moja Tanzania na duniani

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 3 роки тому +10

    Kazi nzuri sana kwrli tanzania inekuwa kama ulaya kabisa tumewazidi mno tuweke kifua mbele jamani Rais kafanya kazi tuzidi kumuombea Rais awe afya njema ajenge taifa mbarikiwe wote

  • @barakanestory7366
    @barakanestory7366 3 роки тому +13

    #ayoo unapambana hongera na hongera kwa #JPM kwa uchapaji kazi wako

  • @estermichael1322
    @estermichael1322 3 роки тому +11

    Mungu tunakuomba mlinde Rais wetu

  • @gabrieldenicc4502
    @gabrieldenicc4502 3 роки тому +14

    Ahsante ayo ,mnatuonyesha kwa uzuri kabisa mim napenda mweshimiwa jpm anavyo pambana kwaajili ya vizazi na vizazi lkn tumebakia na kigugumizi upande wa. Nssf hatutendewi haki yaani

  • @nurulugongo4324
    @nurulugongo4324 3 роки тому +6

    Naipongeza sana Serikali yetu cheni ya Rais wetu mpendwa kwa miradi mikubwa ya kimkakati ya kuwakomboa wananchi kuondokana na umasikini

  • @fredricjames774
    @fredricjames774 3 роки тому +18

    Yaani pamoja na jitihada zote zinazofanywa na serikali hii ya awamu ya tano lkn bado kuna watu wanabeza haya mnayoyaona, kweli nimeamini kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 3 роки тому +1

      Sio kenge tu Bali na mijuisi wapo, mijusi wengine ndo wanapiga mdomo kule ubelgiji

    • @ibrahimngurungu5607
      @ibrahimngurungu5607 3 роки тому

      @@highvoltages4169 mwenyezi mungu amtie nia na amuongezee uzalendo zaidi rais wetu na watendaji wake pamoja na afya njema

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 3 роки тому

      Wasikupe shida ni wachache saana sio wengi kabisa ndio maana wanasikika usisahau mabaya huwa yanavuma saana kuliko wema ndio sawa na hilo kundi la watu wa chache

    • @mohamnedsalum2150
      @mohamnedsalum2150 3 роки тому

      Ni chuki tu zinasumbia

    • @claudiangowi9585
      @claudiangowi9585 3 роки тому

      @@highvoltages4169 yule wa ubelgiji safari hii risasi haitamkosa kichwani. Watanzania tumpende Rais wetu jamani

  • @bugaboympemba730
    @bugaboympemba730 3 роки тому +15

    Kumbe maendeleo yanawezekana kabsa duuh

  • @johnmbugani6532
    @johnmbugani6532 3 роки тому +8

    Mafunzo kwa wafanyakazi wote wa SGR ni muhimu, yaani polisi, watu wa usafi, kila anayehusika. Itakuwa dhambi sana Treni ikapendeza miezi sita, baadaye kila kitu kikawa km takataka

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 3 роки тому

      hilo alo neno,utakuta watu wanata kusafiri hata na mbuzi,lol

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 роки тому

      @@errydeo8865 🤣🤣

  • @johnmkude9911
    @johnmkude9911 3 роки тому +6

    Magufuri Huyu. Ananipa Furaha.
    Anavyochapa. Kazi
    Nakupenda Tanzania🇹🇿

  • @isayasway6867
    @isayasway6867 3 роки тому +18

    Magufuli mitano 5 tena jumla iwe 15

  • @onetwoem1808
    @onetwoem1808 7 місяців тому

    Dah kweli jamani kazi nzuri sana pamependeza sana. Hongera sana kwa wote waliohusika na mafanikio haya. Namuomba mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi raisi wangu JPM AMIN.

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 місяці тому

    Hongera sana Samia na mtangulizi wako JPM.

  • @TheBestPhone7918
    @TheBestPhone7918 3 роки тому +1

    Ayo, Asante sana na Muendelee na Kutuonyesha mazr kama haya tunaamin kodi zetu zinatendewa Haki Mbele ya Mwamba JPM Baba Muongoza Njia, Sasa hv natuma Kwetu Urambo Hadi Dar es Salama kwenye rami.

  • @tulibakomwafula9079
    @tulibakomwafula9079 3 роки тому +1

    Mungu utukuzwe kwa mambo mazuri yanayofanyika Nchini Tanzania 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @hitlerpardon9308
    @hitlerpardon9308 3 роки тому +1

    kazi zake JPM RIP Rais wetu pendwa mungu akubariki uko uliko

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 3 роки тому

    asante Magufuli na wasaidizi wako kwa kazi nzuri. shukrani zetu kutoka kwa Mungu wetu Alietupa John Magufuli

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 роки тому +6

    Sasa mshajua kwanini majirani wanaombea mabaya kwa Magu, maana Sio kwa speed hii ya Maendeleo

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 3 роки тому

    Aiseee....Acha bwana...kituo ni kizuuuri kinavutia ile mbaya..kwa kweli nchi yetu inaweza kufanya mambo ya ajabu ya kuushangaza ulimwengu....Ahsante JPM...tulitamani tufurahie wote haya maono yako...umetangulia mbele za haki..vijana wako tutaendelea kukukumbuka na kushuhudia matamanio yako uliyoyaanzisha

  • @luciakimambo7085
    @luciakimambo7085 3 роки тому +4

    Goood job

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 роки тому +1

    waooh my country nimetamani mpaka kurudi home maana kumenoga kira kona arafu kana watu awayaoni haya Mungu azidi kukupa afya njema rais wetu uzidi kutuongoza lnshallha

  • @estherpaul9550
    @estherpaul9550 3 роки тому +1

    Naamin mradi uu utaajiri watu wngi sana...... Big up uncle magufuli

  • @pelesmwaipopo4382
    @pelesmwaipopo4382 3 роки тому +1

    Inauma sana Raisi wetu umetufanyia mengi mazur lakina Umetutoka, R.I. tutakukumbuka daima

  • @beautycaren7257
    @beautycaren7257 2 роки тому

    Hongera kwa kazi ulizoacha Rais John Joseph Magufuri MUNGU akupunguzie adhabu ya kaburi.

  • @alhajchakema8592
    @alhajchakema8592 3 роки тому +4

    Mashaallah

  • @ZainaNampanga-zt7ex
    @ZainaNampanga-zt7ex 3 місяці тому

    Kazi ni nzuri

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 3 роки тому +1

    Ningependa hospital zetu ziwena kituo cha police hongera viongozi wetu wa tz mungu ibariki Africa

  • @princepiusmutaihwa9606
    @princepiusmutaihwa9606 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana JPM

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 роки тому +6

    👏👏👏

  • @oman7710
    @oman7710 3 роки тому +1

    Mungu akuhifadhi Rais wetu

  • @gregorychogelo2013
    @gregorychogelo2013 3 роки тому +3

    Safi Sana!!

  • @abdallahnamtuka4634
    @abdallahnamtuka4634 2 роки тому

    safi Sana engineer

  • @samwelimaliseli4216
    @samwelimaliseli4216 3 роки тому

    Vibaraka wa mataifa yasiyoipenda Tanzania, huchukia sana wanapoona maendeleo haya bora kwa ustawi wa taifa la Tanzania. Watanzania tuwe wazalendo kwa kulinda maslahi ya taifa letu.
    Mungu mbariki Rais John Pombe Magufuli,Mungu ibariki Tanzania

  • @kamwagamwanjale1575
    @kamwagamwanjale1575 3 роки тому +3

    Furniture Luna haja Magereza kuchukua tender kuuzia vifaa ambavyo vinatokana mazao ya nchini kwetu tuna mbao nyingi na nzuri na Magerexa wameonyesha uwezo mzuri wa kutengeneza vitu vya kiwango vizuri ( high quality)

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 3 роки тому

      Mpaka matofali na kujenga pia nadhani pia hata magereza wanaweza tumika tena at cheap price

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +2

    Chuki zidi ya rais wetu ni mambo Kama hayo mungu azidi kukulinda magufuli wetu wakakuombea mabaya lakini kwa mungu never

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 3 роки тому +1

    Dah😢😢 kweli kizuri hakidumu mazuri mengi umetuachia jpm utakumbukwa daima

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 3 роки тому +3

    Mambo kama haya ndio yanafanya watuonee wivu saana watu wabaya kwahiyo tuwe makini vwatanzania uzalendo kwanza mengine baadae magufuli we kaa ikulu kaka fanya kazi

  • @giftkyando602
    @giftkyando602 3 роки тому +4

    Tunao fahamu vizur notification ya Samsung imesikaka apaaa tujuwaneee😂😂😂

  • @mwajumaabeidy8137
    @mwajumaabeidy8137 3 роки тому +1

    Mungu ailaze roho yake mahala pema.

  • @jicholafursa7058
    @jicholafursa7058 3 роки тому +3

    Goo tz

  • @mjuba
    @mjuba 3 роки тому +3

    Shkamoo Magufuli

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 3 роки тому

    Masha Allah mwenyezi mungu ni mkubwa maana vi2 kamahivi tulizoea kuviona kwawenzetu weupe hatimae vinapatkana tz yetu Allah ampe afya njema na umli mrefu rais wetu

    • @issahamis9393
      @issahamis9393 3 роки тому

      Kazi yake insha'Allah kishaikamilisha.

  • @florencebudoya3814
    @florencebudoya3814 3 роки тому +2

    Wow kama Gare du Nord Paris.

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 3 роки тому

    Wow

  • @kamanda007
    @kamanda007 3 роки тому +1

    Magufuli ametuonyesha tunaweza... RIP mwamba 🙏

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 роки тому

    Afu utasikia ma mbwa baadhi afe afe.sijui yatafanya menyewe😏😏😏 ilove my prsdaa MUNGU akulinde Tz bado inakujitaji mitano tena

  • @boaz9248
    @boaz9248 3 роки тому +4

    Jengeni Tanzania wa afrika watoke south Africa, ninyi sio ma xenophobic, mungu bariki Tanzania

  • @jameskyando178
    @jameskyando178 3 роки тому +1

    Nice

  • @um_185
    @um_185 3 роки тому

    Kazi nzuri sana👏👏👏. Sasa, Watanzania tujitahidi kutunza hiyo miundombinu; Mungu Ibariki Tanzania, Mungu mbariki rais Magufuli na Watanzania wote, Amen!

  • @hamuayubu4231
    @hamuayubu4231 3 роки тому

    Nampongeza jpm sna mchapakazi mungu akulinde popote ulipo japo atukuoni raisi wetu tunakuombe raisi. Wetu

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 роки тому

    THE BIGGEST BOSS NASRI.

  • @hoseastephen4508
    @hoseastephen4508 3 роки тому

    Hongera kwetu kwa kuwa nchi ya tatu East Africa kuwa na SGR baada ya ETHIOPIA na KENYA.

    • @Abdul-ol5sm
      @Abdul-ol5sm 2 місяці тому

      Hyo ya Kenya sio sgr ni panda twende😂😂😂😂

  • @omaringulangwa3085
    @omaringulangwa3085 3 роки тому +2

    Alafu kuna mjinga mmoja anasema magufuri ajafanya kitu ivi kweli unazo akili kweli au unamavi kuchwani sio akili

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 3 роки тому

    NEXT LEVEL 1🇹🇿✔✔

  • @josephmgeni208
    @josephmgeni208 3 роки тому +1

    Sasa hiyo stand Mzee katujengea kwa wema tu lkn msipagawe itakapo funguliwa mkachukulia ni kitu flani kikubwa kiasi cha kushinda thamani ya Mtu sababu kitu kipya kinahitaji maelekezo mpaka waelewe msifunge Magari minyororo na kutaka faini kama tabia iliyokuwepo Mlimani city

  • @sahimiisshak4483
    @sahimiisshak4483 2 роки тому

    OUAHHH MACHA ALLAH

  • @fadhakkirfoundation
    @fadhakkirfoundation 3 роки тому +1

    HUJAFA HUJAUMBIKA.VIDEO HII ITAWALIZA WALIO WENGI LAKINI TAFAKARI CHUKUA HATUA. 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ua-cam.com/video/Lmf7YbD72Uw/v-deo.html

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 роки тому

    Asante magufuli

  • @albertbunyinyiga7581
    @albertbunyinyiga7581 3 роки тому +3

    Hizi wapinzani waga awaongelei

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 роки тому

    Safi sana....!.....ila msiruhusu kuuza pombe ndani ya hizo Restaurant...!

  • @nicholasamosbakar6182
    @nicholasamosbakar6182 3 роки тому +2

    mlioondoka kisa miundo mbinu rudin nyumban kumenoga.

  • @carolinerichard8254
    @carolinerichard8254 3 роки тому

    Khaaaa jaman Mungu angenisaidia nipate hata kazi ya usafi kwenye treni iyo

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 роки тому +1

    Pumzika kwa amani Chuma 💔💔

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum2150 3 роки тому +2

    Tundu lisu wlcm hom

    • @anthonynetto4503
      @anthonynetto4503 3 роки тому +2

      Aje lissu tujenge Tanzania yetu mkataa kwao mtumwa kumpongeza magufuri anaona vibya wakati akiludi Tanzania air port imejengwa na mage standard. Gani kama hiyo anabakia uvumi amsifie magu tu kwa ubunifu wa hali ya juu kujenga Tanzania

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 3 роки тому

      Kututoka huyu mzee ni pigo kubwa Sanaa hakika alidhamilia kulikomboa taifa

  • @vero57
    @vero57 3 роки тому

    MAGUFULI TUTAKUKUMBUKA SANA,RIP PAPA magufuli

  • @missangatv1368
    @missangatv1368 3 роки тому

    Good, tunaweza ila kunawatz kama Tundu Lissu nagenge lake hawana uzalendo zaidi yakuwaza kutawaliwa nahao Mabeberu,
    Mungu mubariki Dr. JpJ.Magufuli!

    • @kamanda007
      @kamanda007 3 роки тому

      Upinzani sio uadui tuache chuki zisizo na msingi.. Magufuli ametuonyesha tunaweza na sisi sio maskini kama wengi wanavyofikiria, let's keep a good work kama Magufuli, RIP mwamba 🙏

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 роки тому

    Nafurahia kulipa kodi kwa sababu naiona imetumika vyema

  • @rumb5876
    @rumb5876 3 роки тому +1

    Wow! Kazi nzuri

  • @hadijashabani890
    @hadijashabani890 3 роки тому +1

    R I p baba tutakukumbuka daima😭😭

  • @johnmbugani6532
    @johnmbugani6532 3 роки тому +1

    Watu wa Treni wajifunze kutoka kwa mwendokasi DSM kuhusu matumizi ya tiketi za mashine. Mwendokasi wamefeli 100%. Mashine hazifanyi kazi, Sasa walinunua za nini. Hivyo miradi mingine hatuhitaji mashine km hatuna uwezo wa kuzihudumia

    • @jamalmageser9390
      @jamalmageser9390 3 роки тому

      Mashine zinashindwaje kufanya kazi aisee? Ni wizi wa mapato tu,ukiweka mashine hakuna wizi. Ukitoa mashine wizi ni mkubwa wa mapato

  • @geofreychambua2560
    @geofreychambua2560 3 роки тому +2

    Itasaidia pia abiria kushukia mjini badala ya mbezi ..hapo na mwendo kasi pia wajipange maana ikimwaga usafiri uwepo

  • @tryphonraphael1646
    @tryphonraphael1646 3 роки тому

    Tutamkumbuka daima raisi wetu kwa Mambo ambayo katutendea

  • @giftjoseph9664
    @giftjoseph9664 3 роки тому +1

    Bongo kama ulaya now, MUNGU ibaliki Tz.

  • @aybkham5795
    @aybkham5795 3 роки тому

    Safi kiongozi alikuwa na nia kubwa, VIP MSIKITI JAPO MDOGO MMEWEKA APO!? MUHIMU SANA

  • @rajabuhondo4973
    @rajabuhondo4973 3 роки тому

    R I p JPM kazi umeifanya kwa moyo kwani ulikuwa mzarendo wa nchi yako mungu akihi fadhi na mema ulio kuwa uki yafanya kwa wanyinge wengi Leo nasi tuna azwa kutizamwa Kuna nchi tz 🇹🇿 Ina kuja kwa upepo wa kimbunga Ni juhudi zako chuma

  • @zuenanyutwa6043
    @zuenanyutwa6043 3 роки тому

    Baba yetu magu umetuachia Mambo mazur

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 3 роки тому

    Mambo ni Moto nitasafiri hatakama Sina safari maalum Magufuli ichuma kikolyumoto

  • @AsiaSelemani-bj3nd
    @AsiaSelemani-bj3nd Місяць тому

    Hii stend ipo mororgoro sehemu gani?

  • @makusaro2289
    @makusaro2289 3 роки тому

    Ubunifu wa Magufuli usichezee.Akiufungua Mh.Samia utapewa Jima lake Ccm hoyeeeeee.

  • @fatinajames5274
    @fatinajames5274 3 роки тому

    Rip magufuli umeitendea haki nafasi ya urais nakuombea kila siku mungu akufungulie mlango wa peponi

  • @neydenyo6786
    @neydenyo6786 3 роки тому +1

    Niseme nini basi kwa mpendwa wetu😖😭😭

  • @joshuakisanga9614
    @joshuakisanga9614 3 роки тому

    Ayo tv siku nyingine mtuoneshe picha za juu pia

  • @daudmtange8005
    @daudmtange8005 3 роки тому

    Msikiti ama kanisa hakuna au JPM asinge weza kubali bila kua na ivyo vituu

  • @Abdul-ol5sm
    @Abdul-ol5sm 2 місяці тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️

  • @jacobstephanonaziadi4724
    @jacobstephanonaziadi4724 3 роки тому

    Daaa kudadeki watanzania tunamsema vibaya tuu magu ila kazi anafanya kwakweli mambo hayaa mazuri MUNGU mwema ampe nguvu afanye makubwa zaidi.

  • @maryntukula8988
    @maryntukula8988 3 роки тому

    Nawaombeni watanzania wote na viongozi tuweke utaratibu wa kutunza mandhari ya jengo hili la station na maeneo mengine aliiyotujalia kama zawadi ili tumuenzi mpendwa wetu hayati JPM.

  • @noelamtesigwa6819
    @noelamtesigwa6819 3 роки тому

    Utunzaji sasa😢😢😢 stend ya mbezi tu pale ni majangaa hata mwez hujaishaa

  • @johnassilvester1600
    @johnassilvester1600 3 роки тому

    Waukau karibuni moro

  • @jrsingham
    @jrsingham 3 роки тому +1

    Msikiti wapi