Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

MAKONDA AMKABIDHI MILIONI 10 JAMAA ALIYESHINDA MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA "SISI SIO WASHAMBA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 81

  • @justinelukumay5308
    @justinelukumay5308 Місяць тому +4

    Mh Makonda God bless you unachachukubwa ya kuwajenga Vijana ndani na nje Ya Arusha Barikiwa kakaangu

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 Місяць тому +8

    Ahadi imekuwa kweli namuona yule mtendaji mwenye miwani uliyemwita aje afanyekazi office ya mkuu wa mkoa well done🎉

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Місяць тому +4

    Mungu akubariki Mheshimiwa Makonda kama Mkuu wa Wakuu wa Mikoa Tanzania Vijana wapambanaji tunakukubali Taifa zima. Hizi Sekta ambazo sio rasmi ndiyo zinagusa maisha ya vijana wengi ambao ni wapambanaji. Good job and Big up

  • @Nick16697
    @Nick16697 Місяць тому +28

    Imekaa poa sana, lakini ningeshauri kwakua nia ni kukuza utalii basi jina la mashindano yangeitwa jina hata la mbuga za wanyama yoyote Tanzania, ili kukuza utalii

    • @AliJuma-go4rc
      @AliJuma-go4rc Місяць тому +1

      Yan wabongo kutajwa Samia mutoe makosa cjui mnaumizwa na nn haya jina tu ndo wataliii hawatokuja

    • @albertlaizer8464
      @albertlaizer8464 Місяць тому +1

      Uko na akili sanaaa wwe joh

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Місяць тому

      ​@@AliJuma-go4rckwani kakosea nini mbona unashida wewe

    • @innocentinyasi9198
      @innocentinyasi9198 Місяць тому

      Maoni mazury sana kaka sema ni mwanzo maybe Races ijayoo watatumia

    • @user-zs4qz4wm2n
      @user-zs4qz4wm2n Місяць тому

      ​@@AliJuma-go4rcwewe ndo kichwa mgando mwenzio katoa mawazo mazuri wewe unaleta upuuzi😂😂

  • @browntv1119
    @browntv1119 Місяць тому +11

    makonda wewe sio mtu wa kawaida umeletwa na mungu endelea kupambana mkuu vijana tuko nyuma yako

  • @paulinaobiria9649
    @paulinaobiria9649 Місяць тому +3

    Hongera kwa waandalizi na hongera kwa mkuu wa mkoa kwa kuwaunga mkono wachezaji wa mchezo huu, umeonesha kuwajali na hii itaamsha ari ya washiriki na pia kitakuwa kivutio katika mji huu na itaongeza uchumi wa watu wa Arusha

  • @apostlemagdalenakongera1238
    @apostlemagdalenakongera1238 Місяць тому +4

    Yesu Kristo azidi kukutetea na kukulinda daima hongereni sana Wana Arusha kwa kupata jembe kama hilo

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Місяць тому

      🥰🥰🥰👏👏👏

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o Місяць тому +1

      Yesu Ninani yako wewe?Bwana Wamungu au Yeye Ndiye Mungu?😅

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y Місяць тому +1

      @@khadi-z4o kwani mtume ninani yako wewe mbona unakuwa jambazi wakuvamia Imani zawatu 🙃

    • @khadi-z4o
      @khadi-z4o Місяць тому

      @@user-nb6yh2bn9yMtume Nimtume na Mungu Ni Mungu Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Hana Mfano wowote nakitu chochote ama mtu yoyote Duniyani.Ndomaana Akaitwa MUNGU.

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 Місяць тому

      Ujinga wa watu weusi mpaka leo tupo utumwani, Yesu hana mpango na sisi watu weusi, vijana wake wa ulaya ndio walitupa hiyo imani baada ya kutuswagwa utumwa. Labda vijana wake wa ulaya ndio anawatetea, we bakia hivyo hivyo

  • @user-rh5iy3ei3g
    @user-rh5iy3ei3g Місяць тому +4

    Ila wana Arusha sikuiz hatupumua kwa burudan tunazopata,ni back to back Alhamdullilah 😊

  • @UshuaniMedia
    @UshuaniMedia Місяць тому +3

    asante ayo kazi nzuri kaka one day niwe kama ww..🤔

  • @DaudiSiyame
    @DaudiSiyame Місяць тому +1

    May God give you better health and more strength

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Місяць тому +4

    Mambo mengi mnayapatia jina la Rais. Mambo mengi yasiwekwe kwenye siasa bali taifa. Kwakua 100% ni Rais Wa Tanzania, lakini kuna ambao hawampendi.

    • @michaelpengo8730
      @michaelpengo8730 Місяць тому +1

      Sasa kama humpendi rais vyake unavitakia nini?

    • @AliJuma-go4rc
      @AliJuma-go4rc Місяць тому +1

      Yan watu wote mwenye akili ya kufkiria ni ww tu? Acha wivu wa kijinga fanya kaz na ww jina lako liwekwe sehem kama hizo 😂😂😂

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      Sio kumchukia ila too much is hurmfull yaani inachosha kujipendekeza kumekuwa kero kila kitu Mama ifike wakati ipunguzwe hii style. Hii tabia ilishika hatamu enzi ya Mwendazake ila sasa inachosha kila kitu ni Mama sijawahi kusikia wakisifiwa watanzania kwa ulipaji wa kodi utaskia zimetoka kwa dah

  • @user-pi5df7qu3y
    @user-pi5df7qu3y Місяць тому +1

    Mr president makonda respect sana

  • @AlbinusPeter-yw6oy
    @AlbinusPeter-yw6oy Місяць тому +1

    Mh makonda wewe nomaaaaa sanaaa

  • @winnyolesirikwa4477
    @winnyolesirikwa4477 Місяць тому +1

    Mungu akulinde Makonda ila wanawake mmeniangusha yaani hata mmoja wa kushiriki kwenye mashindano hapana 50/50 iko wap? Hebu tuache uvivu tunaweza tushiriki❤

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti Місяць тому +1

    Longer mdogo wangu

  • @abdulmniga8938
    @abdulmniga8938 Місяць тому +1

    Safi sana

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Місяць тому

    Mh makonda ni mbunifu sana kwa kweli

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Місяць тому +1

    Jiji la Arusha Jiji la Wajanja inafaa kuwa na Mbunge kama Makonda wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakikisheni Makonda anakuwa Mbunge wenu. Huyu akiwa Mbunge kisha Mungu akamsaidia akawa Waziri nakuambia hiyo Wizara watumishi watalala na viatu maana kazi itapigwa usiku na mchana.

    • @jedidahbintidaudi8241
      @jedidahbintidaudi8241 Місяць тому +1

      ati watala na viatu..yaani nimechecka mpka nikaanguka kwa kiti aiii jmni wewe😂🤣

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s Місяць тому

      Sio masihara🎉🎉🎉.

  • @ErastoOmari-ij1zs
    @ErastoOmari-ij1zs Місяць тому

    M/Mungu Akupe UmrinMrefu Makonda

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh Місяць тому

    Ingekuwa vyema mungewapa cheki hiyo cash haitoleta mauwaji mji wenyewe ni wa matukio jamani 😢😢

  • @user-mq4et8ie5c
    @user-mq4et8ie5c 28 днів тому

    Namuona John mdenye

  • @MarkSulle-yg5lt
    @MarkSulle-yg5lt 13 днів тому

    Nimekuja kukuangalia mkuu nikiwa na huzuni mnooo😢

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +1

    Hakuna kitu kirahisi kama kuchezea akili za watanzania, ni wepesi wa kudanganywa kwa kupewa vitu vidogo vidogo. Wanaridhika kwa kudanganywa na vitu vidogo wanasahau mtaka cha uvunguni hawaoni mbali hawana upeo kabisa sijui nani kawaroga .Inashangaza kwamba hawaoni wanaperembwa ili wajisahau wawape nafasi wenye kula nyama wao wanaambulia mtori .Yaani wanaonjeshwa bali kula wanakula wengine. Ndio maana kila siku anabuni jambo jipya hapoi yupo kwenye mkakati maalumu wa kucheza na madhaifu yetu.Upinzani mkali upo Arusha kanda ya Kaskazini nimemaliza .

    • @yusuphtwaha8386
      @yusuphtwaha8386 Місяць тому

      Unazingua haya mashindano yapo kila mwaka sio kwamba makonda ndio ameyaleta makonda ameyaongezea nguvu tu arusha sio mkoa wa kuuteka kirahs hvo vyote anavyofanya makonda vilikuwepo sema tu havikua na sapoti

    • @careemdulla1629
      @careemdulla1629 Місяць тому +1

      Haya mashindano yanafanyika karibia kila mwaka hapa Arusha ila kwa alivyo yaanda muheshimiwa Makonda sasa ndio yamekuwa na mvuto hongera sana Makonda.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba Місяць тому

    Hayo ndio maendeleo ya viongozi wa ccm,,kikombe kilicho jaa maji hakiitaji maji mengine

  • @ZuhuraTwaha-fs5ub
    @ZuhuraTwaha-fs5ub Місяць тому

    Kwani kama ni mashindano ya Samia kwanini yako mkoa mmoja hii haiko Sawa kwa mtazamo wangu lakini kama ni Jambo la raisi Rais ni wawote ila haya tuone picha liendelee😢

  • @jonakajigili6991
    @jonakajigili6991 Місяць тому

    Wazo zuri sana ili lengo likuze utalii zaidi kuliko siasa

  • @workmantiktok
    @workmantiktok Місяць тому

    hapo imekaa vizuri

  • @mtukufusafari5535
    @mtukufusafari5535 Місяць тому

    Makonda mpaka sasa kuna sehemu watu wanasema ww unastahili ata kuwa rais wa nchi nzima siyo mkoa tu

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 Місяць тому

    Makonda oyee

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 Місяць тому

    Aangalie wahuni wa huko Arusha wasije wakamvamia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @zomasamweli
    @zomasamweli Місяць тому

    Makonda unahakili sana

  • @ibrahimuabinala695
    @ibrahimuabinala695 Місяць тому

    👋🙏🙏🙏

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 Місяць тому

    Nchi ya matajiri ..muwape na ndege pia🎉... 😅

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter Місяць тому

    Spining

  • @davidshaban7375
    @davidshaban7375 Місяць тому

    Jina la Samia sijalikubali

  • @madengejr
    @madengejr Місяць тому +1

    Ingeitwa ,, utalii wetu na vipaji vyetu

    • @AliJuma-go4rc
      @AliJuma-go4rc Місяць тому +1

      Wabongo acheni wivu Samia ni rais wenu hata mumchukie kila mbongo utaskia analia na jina kwani si na ww ufanye kaz ili ufikie level ya kutajwa kila sehem tafuta hela ww acha mambo yaso na tija yoyote kwako

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh Місяць тому

      ​@@AliJuma-go4rc
      Kwani jina lina nini Mafia kaletwa DC mpya miezi 3 tu kuletwa ukaja mwenge pale pale akatayarisha uwanja wa kusheherekea mbio za mwenge na usiku ule ule ukatangazwa ule uwanja wa michezo uitwe Maposongo Alena jina la babu yake si basi na watu wote wapo happy kwani wamepita ma Dc wangapi mbona hawajaitwa hata majina ya barabara za mtaa

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 Місяць тому

    Daaaaa ila Makonda????

  • @arabisimwandaone5508
    @arabisimwandaone5508 Місяць тому

    Saf sana

  • @user-zu8ou2oe4c
    @user-zu8ou2oe4c Місяць тому

    Wewe jamaa ni mbunifu sanaaa mahisi ww ni mkuu wa wakuu wa mikoa yote tanzania

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema Місяць тому +1

    Wakuu wa Mikoa wengine nawaomba waige mfano wa Makonda badala ya kukaa ofisini kujilipa posho na kufuga vitambi na matumbo makubwa wangemsaidia Rais Samia kwa kujiongeza na kuwa wabunifu tukawa na kina Makonda wengi nakuambia hili Taifa tungefika mbali.

    • @titongome3037
      @titongome3037 Місяць тому

      Huyu Makonda ni damu yamagufuli tumuombe Mungu haje awe rais watanzania ila acha kumsifia mama

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Місяць тому

      ​@@titongome3037Yupo kumpigia Mama abaki Madarakani wewe unadhani yupo kwa ajili ya nani ?😅

  • @Bquality
    @Bquality Місяць тому

    Namuona masoud hapo hahahahaha

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 Місяць тому

    Chugga km mbele

  • @user-qh2bx5em6j
    @user-qh2bx5em6j Місяць тому

    Myteves😂

  • @user-qj2fz8uq3j
    @user-qj2fz8uq3j Місяць тому

    Wakuu wa mkoa mjifunze kit

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz Місяць тому +1

    Hawa wazungu tungewabagua tu! Tuwakate kwenye mashindano hata kama wameshiriki

  • @salumchema5098
    @salumchema5098 Місяць тому

    Pelekeni.hosptal

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo Місяць тому

      Kufanya nini huko. Hizo kesho tunapiga bia na nyama choma zote.

    • @barakarobert1029
      @barakarobert1029 Місяць тому

      Walishatibiwa bure wakapewa na dawa bure

    • @samwelilazaro2835
      @samwelilazaro2835 Місяць тому +1

      Ulisahau wiki nzima ya matibabu pale uwanja wa michezo asee?? Duh binadamu kazi kweli

    • @jerrymartin6521
      @jerrymartin6521 Місяць тому

      HONGERA SANA WEZETU WA ARUSHA