Je, unafahamu ukweli kuwa mradi wa sgr na ule wa JNHP ni miradi pacha? Na kwamba kwamba treni ya sgr haitoweza kuanza Safari zake Hadi kukamilika na kuanza uzalishaji umeme huko bwawa la JNHP
Kitaalam rocomotive zote za sasa ukitoa zile za stima ,vinatumia umeme tofauti yake hvyo vinatumia umeme wa dizeli injini ikifanya kazi inakua kama genereta inazalisha umeme ili undeshe treni.hizi za sasa hivi ndio zinatumia umeme wa grid ya taifa
Hapana kaka Frank, changamoto zimekuwa nyingi na changamoto hizo zinasababisha kunakuwa na delays, this will happen na nikuhakikishie tu kwamba Tanzania sio nchi ya kwqnza kuunda reli hata wenzetu walioendelea wamepitia changamoto nyingi, ni miradi michache sana Duniani ya reli imetekwlwzwa kwa wakati , railway conatruction is very complex na miradi kuwa nje ya muda mara nyingi ni inevitable
Kazi nzuri lakini kwa uwelewa wangu Dunia sasa inapambania kwenye matumizi ya umeme na sio mafuta. Hilo linachukuliwaje? Kwanini nasi tusijiande kuelekea huko.
Ukaguzi unapofanyika kunabainika mapungufu ambayo yanarekebishwa, mapungufu hayo huchukua muda tofauti tofauti, na marekebisho hayo yanapokamilika ukaguzi unaanza tena ndio maana yanachukua muda mrefu
@@kimariokelvin kuna uzembe mkubwa sana kwa watenda kazi wetu, unachokisema kinaweza kutokea ila sio muda wote, na hata kama kuna hiyilafu sio lazima ichukue muda wote huo kurekebisha.
Hakujawahi kuwa na system ambayo ni perfect, ndio maana kuna zoezi linaitwa commissioning, kila mtambo wowote duniani lazima ufanyiwe hiki kitu, kwani mara nyingi kunakuwaga na deviation na muda huo ndio hizo deviation zinarekebishwa, ikumbukwe kwamba vichwa ni tailor made products sio kama bidhaa nyingine ukikamilisha product moja nyingine zote mia zitakuwa zimekamilika.
Kukagua ni muhimu sana, na ni sehemu ya mkataba, hivyo vichwa vinafanyiwa majaribio ya tripu za kubeba mizigo zisizopungua 3 vikiyokea DSM kwenda Tabora, katika safari hizo mapungufu yakibainishwa yanarekebishwa na kama hayajarekebishwa basi TRC haivipokei mpaka vitakavyokuwa sawa
RIP mwamba JPM. Ufunguzi wa SGR ilkua ifanyike mwaka jana mwezi wa 11. Tena kwa ubora. Sahizi kuna Mbwa zinapenda Sifa tu na Quality ya kazi yao ni 0.0011. Speed yao konokono na upigaji. Mungu yuko kazin
hichi kipindi kilikuwaga kitamu sana enzi za MAGU
Kafufuwe
@@am2323tze 😂😂😂😂
Ben Mwanantala hayupo tena
Kwahiyo tukusaidieje
@@ibrahimallyweunaijuahiyoco8608 jitie dole
Hongera kwa kazi nzuri@ShirikalaReliTanzania
Asante sana jpm love u
Je, unafahamu ukweli kuwa mradi wa sgr na ule wa JNHP ni miradi pacha? Na kwamba kwamba treni ya sgr haitoweza kuanza Safari zake Hadi kukamilika na kuanza uzalishaji umeme huko bwawa la JNHP
Teh teh teh wamesema ina Mabetri nama Generator
Una uhakika na ulichoandika? Tuambie umeme unaotumika ni kiasi gani?
Ndugu hatuna umeme wa kutosha ikiwa wa nyumbani Ni mgawo
Siyo kweli
Watanzania mbona hamuelewi.
Umeambiwa hivi vichwa ni vya reli ya kati cyo ya umeme.muckilize kitu kinachoongelewa.cyo mnapayuka tu.
Hongereni
Hao watoto wata iba kila kitu
Lakini saranda vinashindwa kupanda mpaka viungwe viwili
Hivi ni kwa ajili ya reli ya kati na sio train ya umeme hivi ni kwa ajili ya mizigo
Kichwa hichi ajaleta jpm jamani!!ni samia
Hivi vichwa je tayari vilishaanza kazi ama bado?
Kitaalam rocomotive zote za sasa ukitoa zile za stima ,vinatumia umeme tofauti yake hvyo vinatumia umeme wa dizeli injini ikifanya kazi inakua kama genereta inazalisha umeme ili undeshe treni.hizi za sasa hivi ndio zinatumia umeme wa grid ya taifa
Tanzania kupata treni za umeme imekuwa ndoto isiyo timia. Kila siku stori tu.mara hivi mara vile,,Bure kabisa
Hapana kaka Frank, changamoto zimekuwa nyingi na changamoto hizo zinasababisha kunakuwa na delays, this will happen na nikuhakikishie tu kwamba Tanzania sio nchi ya kwqnza kuunda reli hata wenzetu walioendelea wamepitia changamoto nyingi, ni miradi michache sana Duniani ya reli imetekwlwzwa kwa wakati , railway conatruction is very complex na miradi kuwa nje ya muda mara nyingi ni inevitable
Kujenga reli sio kama kujenga choo
Ange kuwepo magu tusinge letewa ya hivi
Rangi mbayaa
Mkiisha kuvitengeneza mtuambie mmenunua korea bilion 2.3
Nami naja kukagua
Hivi Vitwa Mbna Kama Analog Jaman ..mbna Tunarud Kulekule..vichwa Vibayaaaaa
Hivi ni vichwa vya rali ya kati sio vya sgr muelewe
Ukiangalia kwa jicho la umakini sana utagundua hivyo vichwa ni Used na wala sio vipya
Safi
Hakuna kitu vichwa gani hivyo picha zingine mnaleta behewa za ovyo
Kongole!!!!! Hongera!!!!
Wonderful 🇹🇿
Karabatini basi angalau majengi hayo ya karakana
Je hivyo vichwa ni kwaajili ya mizigo tu
Yes hivyo ni special kwa mizigo tu 3000Hp
Tren la makaa ya mawe
Mungu ni mwema sana siku zote then kazi iendelee
Kazi gani ya wizi
Vichwa vya treni na mabehewa ya SGR lini yanakuja. Maana maneno yamekuwa mengi sanaaaaaa. Tumechoka na story
RIP jpm
Hata neno 'engineer' kwa kiswahili maana yake ni 'mhandisi'
Trains
Tunakubari
Nilitegemea kuwa hata na " microwave" !
Tunashukuru mama tunashukuru mbeba maono
Hivyo ndio vya mwendokasi
Hapana. Ni vya reli ya meter gauge
Where is MWANANTALA?
Kazi nzuri lakini kwa uwelewa wangu Dunia sasa inapambania kwenye matumizi ya umeme na sio mafuta. Hilo linachukuliwaje? Kwanini nasi tusijiande kuelekea huko.
Kuna technicalities nyingi sana hapo ila reli yetu ya SGR ni ya umeme, ya meter gauge(ile ya zamani) sio ya umeme na haitawekewa umeme
injinia mbona unajikanyaga maelezo yako siyo sahii ebo.jifunze jinsi ya kutoa maerezo unatwaibisha
Kukagua vichwa vitatu inwachukua muda wote huo? Tuacheni mzaha jamani. Hiyo ni kazi ya week moja tu kama mtu anajua anachokifanya.
Kabisa hata mimi nimeshangaa
Ukaguzi unapofanyika kunabainika mapungufu ambayo yanarekebishwa, mapungufu hayo huchukua muda tofauti tofauti, na marekebisho hayo yanapokamilika ukaguzi unaanza tena ndio maana yanachukua muda mrefu
@@kimariokelvin kuna uzembe mkubwa sana kwa watenda kazi wetu, unachokisema kinaweza kutokea ila sio muda wote, na hata kama kuna hiyilafu sio lazima ichukue muda wote huo kurekebisha.
Hahaha wiki tatu alaf mkipakiwa siku 2 mmepata ajali iwe zogo
Kazi nzuri, Mama Samia ,kazi nzuri TRC lakin pia tusisahau kumuenzi na kumkumbuka mzee Magufuli aliyethubutu mpaka tukaweza fikia hapo.
Mutaongea mengi mulisema religion aitakamilika sasa mebadilisha kauli.munasema kzi ya jpm.iwe ya jpm iwe ya nani.tunachotaka ni maendeleo
Najua ni mpya, kumbe ni vyakurekebisha🗿😟🗿
Hakujawahi kuwa na system ambayo ni perfect, ndio maana kuna zoezi linaitwa commissioning, kila mtambo wowote duniani lazima ufanyiwe hiki kitu, kwani mara nyingi kunakuwaga na deviation na muda huo ndio hizo deviation zinarekebishwa, ikumbukwe kwamba vichwa ni tailor made products sio kama bidhaa nyingine ukikamilisha product moja nyingine zote mia zitakuwa zimekamilika.
Pigeni rangi hayo mabati yameungua na jua
😂😂😂😂😂
Mambo yapoyapo tu🥴
Kwa hiyo mlivipokea bila kuvikagua?
Kuvikagua nadhani anamaanisha kupata mafunzo ya matumizi kwasababu ni system tofauti na yazamani tupo kidigitali kwa sasa...
Kukagua ni muhimu sana, na ni sehemu ya mkataba, hivyo vichwa vinafanyiwa majaribio ya tripu za kubeba mizigo zisizopungua 3 vikiyokea DSM kwenda Tabora, katika safari hizo mapungufu yakibainishwa yanarekebishwa na kama hayajarekebishwa basi TRC haivipokei mpaka vitakavyokuwa sawa
Muwe munasikuliliza sio Muba comment tu.
🤭
kipindi kimekuwa bored
Rangi zenu (color code) si nzuri, jaribu kuchanganya na kijani hapo. Combination hyo haivutii zimekaa kiukame hivi
Rangi sio za Tanzania kabisa
@@rasheedabby2871 yani wa tz kwa ujinga wenu hamkosi la kusema wewe kwenu kuna rangu ya tz
@@mudighurayra Tuongeze mafuta usiumie
Ben Mwanantala alienda Wapi?!
Ila mbunifu wa rangi zenu zero kabisa
😂 mafuta tena ?
Mafuta tena sio umeme
Mafuta tena 😁😂🤣🙌🏾 sio umeme 😂😂
Hiyo siyo Ile ya umeme Mzee hii ni ya kawaida kama hizi tunazo zijua
@@maridadimaridadi1123 so tusubir ya Umeme...
Mafuta tena sio umeme!!
Mafuta ya nini sasa kama itatumia umeme.?? Au wameshakula fedha wakanunua diesel trains
Hii ni kwa reli ile ya zamani.
Vichwa vya treni huitwa diesel-electric yaani hutumia diesel kutengeneza umeme ambao una drive mitambo ya magurudmu, mortars.
Magu allilipia kitambo hivi
Usimsingizie kwakua hayupo
Kwani hivyo vichwa vilinunuliwa na kinanan siselekali yenu wenyewe msituone wajinga yote mnafanya wenyewe ccm naselekali yenu Koo kma vyazaman nivuzur au nivibaya nyinyi ndoo mlinunua
ndugu zangu tumepigwa hizi treni za mwaka 1995. speed.180😃😃 magu alisema analutea zenye speed 380.mpka 400 ..R.I.P. magufuli.
Umeambiwa ni Mgr sio sgr jua kutofautisha mzee
Speed ya mwisho ya reli inayojengwa ni 160 hivyo vichwa vya km 380 vya kazi gani?
Nyie nao karabatini na mabehewa ya second seat na first class.
Yale ya India yanakera.
Jaman sasa iyo mwendo kas kwel duuh tumepingwa nakitu kizuto
Walai watanzania washaapigwa tayari mzee magufuli alituambia ni umeme tena nimesikia haitumii mafuta mengi????
Brother hivi syo vichwa vya sgr,hivi vichwa ni Reli ya kati (mgr) ile ya zamani .vya umeme bado havijafika bro kuwa na amani hatujapigwa
Hivyo ni vya meter gauge ndugu siyo vya standard gauge tofautisha hapo mimi ndiyo napga kaz humo
Hivi sio vya umeme hivi ni kwaa ajili reli ya kati train ya mizigo muhimu kusikiliza kinachoongelewa
RIP mwamba JPM. Ufunguzi wa SGR ilkua ifanyike mwaka jana mwezi wa 11. Tena kwa ubora. Sahizi kuna Mbwa zinapenda Sifa tu na Quality ya kazi yao ni 0.0011. Speed yao konokono na upigaji. Mungu yuko kazin
Nyie simlisema hv sio vichwa vya umeme ni vya mafundi mbona mnatuvuruga