Mshukuruni sana hata kama alikuwa dikteta ayati Magufuli, zaidi na zaidi mama Samia Suluhu Hassan kaweza kukamilisha....Ukipenda maendeleo jinyime raha kwanza....
@@kautharjay5868 Sijamanisha mimi bali wapo watu ambao hawakumuelewa JPM ndio walimzungumzia kuwa Diktekta....Afrika kwa miaka hii ya karibuni Magufuli ndio amekuwa rais bora Afrika mzima.
Pongezi nyingi kwa serikali ya awamu ya 5 na 6 na Watanzania wote kwa ujumla. Kwakweli kazi imefanyika. Ombi langu kwa TRC ni kujitahidi kusimamia viwango vya huduma h ambayo tumeviona siku ya kwanza viendelee siku zote, tujitahidi tusije tukawa kama BRT, ilianza vizuri sana, lakini katikati ya safari mambo yakawa tofauti! Watanzania pia, tuipende, tuilinde, tuitunze, tuwe uchungu na tuwawajibishe wale wote watakakuwa na nia ovu ya kutaka kuharibu miundombinu yetu. Kitunze kidumu!
Kadogosa, one of the best CEO. Ila yote kwa yote tumshukuru sana yule mzee amelala pale Chato, na Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan kwa kumalizia. Najua figisu figisu nchi hii ni nyingi mno, ila maza amekomaa. Hapa kwa kweli na ubishi wangu, nasema MITANO TENA😂😂😂😂
Pongezi Kwa uwongozi Kwa kukamilisha hadi hapa walipo fika mm kwangu najisijia raha Sana maana nipo dar ila nalima mrogoro kwaiyo imenirahisishia Sana weekend moro jumapil nalud
Jambo la maana ungekuwa safari zinaanzia Morogoro kwenda Dar, ili wafanya biashara wawahi kufika Dar kufunga mizigo na wengine kuuza bidhaa sasa ratiba ya sasa ni kama inawanufaisha watu fulani
Pongezi kwa Awamu ya 6 inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dokta Samia na Pongezi kwa Wizara ya Uchukuzi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
Usafi na mapato ya hii biashara kutokwenda mfukon mwa wajanja ndo jambo la msingi pili serikali kuwa makin na wachezea mifumo na wahalibifu wa miundombinu watu hao kesi yao iwe miaka 40 jera
Kaka Kado, kwa akili zangu za kipuuzi nahona chuma iko sawa ila chini kuna sehemu kama reli aiko sawa kuna mitikisiko flani ivi bahazi ya sehemu au mshika kamera ana kimue ume cha safari nini?!!
Sema station ya DSM kwa nje inaonekana chafu mavumbi mengi kwenye vioo atafutwe service provider anayeweza kukidhi kutoa huduma kwa machine za kisasa kwenye usafi
😂😂 shida Tanzania hakuna value ya aesthetics (muonekano) Kwahiyo soon hizi treni zitachakaa kama mabasi ya mwendokasi Watanzania tunadamu ya kiafrika ...If it goes its good...😂😂 Hatujali mwonekano wake Na pia hatuna uwezo wa kukimaintain kwa hiyo kitu tutakitumia mpaka kiishilie😂😂
haha ukinunua kitu kinakaa vile vile?? labda Kama unamazoea ya kubadikisha kila baada ya mienzi 6 lakini hakuna nchi kitu kikae mda mrefu kisibadili muonekani huo ni uongo
Pongezi Kwa uwongozi Kwa kukamilisha hadi hapa walipo fika mm kwangu najisijia raha Sana maana nipo dar ila nalima mrogoro kwaiyo imenirahisishia Sana weekend moro jumapil nalud Dar kazin
Hongereni sana kwa kufanikisha safari hii! ila mjipange, maana hiyo idadi ya watu itaongezeka mara dufu zaidi!
Hio nikweli unapoboresha miundombinu maana yake Unaongeza uhitaji wa watu kutaka huduma.
Magufuri alikuwa ni raisi mwenye maamuzi magumu na maono ya mbali ,,angekuwepo angeshaanzisha kitu kingine unique kabisa .R.I.P ancle
Huku ndo pakusafiria sasa, hakuna wapiga debe huku💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jpm mwamba wa miundo mbinu Tanzania ulale salama chato.Hongera pia serikali ya TZ kwa kazi hii nzuri.
Hongera sana kwa nchi yangu Tanzania ila ongezeni mabehewa mpige hela haraka tuludishe mikopo ya watu.
Mshukuruni sana hata kama alikuwa dikteta ayati Magufuli, zaidi na zaidi mama Samia Suluhu Hassan kaweza kukamilisha....Ukipenda maendeleo jinyime raha kwanza....
What is the meaning of "dictator "
😂😂😂 dah Uongozi ni kazi saana haya ndugu tunakushukuru kwa Maoni
Unaujua udikteta vizur wewe
magufuk hakuwa dictetar hata kidogo
@@kautharjay5868 Sijamanisha mimi bali wapo watu ambao hawakumuelewa JPM ndio walimzungumzia kuwa Diktekta....Afrika kwa miaka hii ya karibuni Magufuli ndio amekuwa rais bora Afrika mzima.
... Mimi yoo mimi yooooo KIMBINYIKO bai bai... Bado nakuoenda ABOOD, NEW FORCE bai bai.. narudi kwa BABA na MAMA KATARAMA bau bai .....
Kiongozi SGR inafanya kazi kubwa kwani kutakuwa na utalii kila weekend Dar to Moro Kwa hiyo hongera sanaa
Pongezi nyingi kwa serikali ya awamu ya 5 na 6 na Watanzania wote kwa ujumla. Kwakweli kazi imefanyika.
Ombi langu kwa TRC ni kujitahidi kusimamia viwango vya huduma h ambayo tumeviona siku ya kwanza viendelee siku zote, tujitahidi tusije tukawa kama BRT, ilianza vizuri sana, lakini katikati ya safari mambo yakawa tofauti!
Watanzania pia, tuipende, tuilinde, tuitunze, tuwe uchungu na tuwawajibishe wale wote watakakuwa na nia ovu ya kutaka kuharibu miundombinu yetu. Kitunze kidumu!
Kutengenezwa parking za kulipia. Mtu anaacha gari anaenda Dar akirudi anachukua gari anaondoka.
Ninakiwanja kikubwa jirani wako kwenye michoro ya parking ndio biashara nayotarajia mpendwa
@@tanzcanmediatv4473hongera
Tanzania yetu 👏🇹🇿
Kadogosa, one of the best CEO. Ila yote kwa yote tumshukuru sana yule mzee amelala pale Chato, na Rais wa sasa Samia Suluhu Hassan kwa kumalizia. Najua figisu figisu nchi hii ni nyingi mno, ila maza amekomaa. Hapa kwa kweli na ubishi wangu, nasema MITANO TENA😂😂😂😂
😂😅 mm mwenyew na sapoti mitano tena Maza kakomaa kwelikweli
🤣 🤣 🤣 Mm sitaki hata mitano
umeongea point Sana mtu akifanya kitu unasema lkin watu wanaponda sana Mimi hiyo relief inavyojengwa naiyona mpka kumaliza n
Sanaa hapo ni samaki na vegetable Kwa ujumla sasa Dar wanapata salad za maana 😂😂😂
Congratulations, Tanzanians, on the maiden SGR trip. 🇰🇪
Asante jirani
Pongezi Kwa uwongozi Kwa kukamilisha hadi hapa walipo fika mm kwangu najisijia raha Sana maana nipo dar ila nalima mrogoro kwaiyo imenirahisishia Sana weekend moro jumapil nalud
Tanzania nchi yangu 💙🇹🇿🙏
Jpm Mungu akuweke mahali panapostahili
Jambo la maana ungekuwa safari zinaanzia Morogoro kwenda Dar, ili wafanya biashara wawahi kufika Dar kufunga mizigo na wengine kuuza bidhaa sasa ratiba ya sasa ni kama inawanufaisha watu fulani
kuna vitu kama kuku na vitu vya kunuka nuka viachwe ule utamaduni wa zamani uishe
True,fact
duuu 😂Sasa watasafirisha wp?? 😂
Daah watu wanaanza kukimbizana wasije kubanwa na milango😂😂😂watanzania bwana sijui tutaendelea lini!
Ongela.tanzania
Mpendwa Mkurugenzi watanzania sio wanapenda usafiri wa treni , wanapenda usafiri wa haraka - watu hawataki kuchelewa sasa hivi
Pongezi kwa Awamu ya 6 inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dokta Samia na Pongezi kwa Wizara ya Uchukuzi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendeleee 🇹🇿🇹🇿
Nice
Nchi yetu imebarikiwa
Naitaji mapu ya SGR kwaajili yakulipia tiketi
wakenya vipi kuhusu hili mwageni commmets zenu
Tushakubali, hapo Kwa traini hatukaribiii hata kidogo😂 ..kongolee..majirani..au mahaters wetu
Traini zimo sawa sioni rire ribaya kama mkenya
Achana na Wakenya. Uchokozi huo
Pongezi kwa hatua hii.
Yaani ni raha
Ila naye masanja kadogosa ni mtu nanusu anaiweza leli
mpambanaji jamaa......hana longolongo
Wasukuma watu wa kazi…siyo MIDEBWEDO ya Pwani
Tuna mayai billion moja
Huyu waziri mnafiki kweli anaiga kama Magufuli 😂 eti anajua idadi ya mifugo nchini
Huku ndo kuzuri sasa hakuna wapiga debe😂😂
Ratiba ya safari
MINA SEMA UO MWENDO MZUR SANA WAKISEMA WETEMBEE ULE MWENDO MALA MBUU AKUNA NAE TOKA APO BOLA MWENDO UO UO KWAKWERRRR LADI WATU WAFIKE SALAMA
Hongela 😂😂😂😂 Majilaniii wetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tleni lenu labeba mizigo??🇹🇿
Zipo trains maalumu kwa ajili ya mizigo
Hata kukuza miji na bashara viwanda kilimo bustani za matunda na vegetables
Ratiba yake inawakwepa wafanya biashara, wafanyakazi na Abiria nk kutoka Morogoro kwa asubuhi na jioni/ usiku
Treni ipo sasa, safari ya kulipa loan sasa imeanza.
nashauli treni ingeanzia moro saa 12 kwenda daa kwakua abilia wengi wanatoka moro asubuhi wanafata biashala jioni wanarudi moro
Ticket unapataje
Ni fahari kubwa kwa Watanzania wote
Usafi na mapato ya hii biashara kutokwenda mfukon mwa wajanja ndo jambo la msingi pili serikali kuwa makin na wachezea mifumo na wahalibifu wa miundombinu watu hao kesi yao iwe miaka 40 jera
Dar dodoma lini?
Mwezi ujao
Nashauri viongozi msiwe mnapanda chombo wote kama mlivyo fanya ikitokea limetokea la kutokea nani atasema 😅😅 mpeane majukumu mgurugezi kapanda naibu kapanda katibu kapanda sio kweli
Ajira wanapeanaga wapi watz unemployed everyday
Hizo ngazi vipi......
Tupeni ratiba za safali na muda
Wee mtoto wa kihindi umefikaje fasta wakati bado upo safarini?
Sasa mbon tren haifiki tabora kilamara ni dar na dodom
haha Sasa uko Kuna reli ya umeme
Kwnin wahudum watren wasiwe wakiume pia
❤🇹🇿❤️🇹🇿❤️🇹🇿
Ilikuwa na kichwa mchongoko
muda gani kutoka dar to moro
Kaka Kado, kwa akili zangu za kipuuzi nahona chuma iko sawa ila chini kuna sehemu kama reli aiko sawa kuna mitikisiko flani ivi bahazi ya sehemu au mshika kamera ana kimue ume cha safari nini?!!
Hiyo ni kosa la Camera man. Treni haiyumbi hata kidogo
r.i.p jpm tutakuku,buka umeacha alama vizazi na vizazi umekuwa kama wakoloni walivyojenga reli ya 1909
Sema station ya DSM kwa nje inaonekana chafu mavumbi mengi kwenye vioo atafutwe service provider anayeweza kukidhi kutoa huduma kwa machine za kisasa kwenye usafi
kwa nje kweli.....Ndani ni nyingine kabisa
Naibu waziri ,capital na mtaji nini unaongea ?
INATUMIA MUDA GANI KUFIKA? PIA INASIMAMA VITUO GANI?
Umasikini unatuletea maajabu ya wasomi wetu ktk uchawa, Badala ya kusimamia kile ambacho unacho ktk Elimu yenu, Mnakuwa chawa wa watawala!
Dodoma bado
magufuli apewe maua yake
Tunataka kuona utekerezaji na sio maneno mengi , baada ya miaka 5 shirika life
Majungu tu!ndoishakua ss kafe sasa
@@omariKalyango kama ujaielewa koment kama kimya na sio mambo ya majungu hapa kafee wewe sas
Hayo madirisha hayafunguki ,sa tuta nunuaje mahindi, nyanya ,miwa ??
😂😂
kama unataka Mahindi nenda kwenye MGR....inaruhusiwa huku tunahitaji usafi....kulakula NO
@@UnitedAfrica-uw9ct wamesema hii ndo itachukua nafasi ya MGR
@@nasibugunda7927 Hapana MGR inaendelea kama kawaida....na hata hii SGR zitakuwepo za madaraja tofauti
Hahahaaa😂😂😂
Punguzeni upumbavu wa kuhoji muda wote officials tu, sasa wahoji wasafiri waseme wenyewe experience yao hao viongozi tumeshawasikia tumechoka
The camera ain't clear, plz make some adjustment
😂😂😂😂 yan siasa bhn et mayai 4 b, mbn sjawaona mje kuhesabu kwangu
wamehesabu bwana ww ujaona tu😂😂
Online booking haifanyi kazi…
mark my word after 2 yrs the whole system is failed.
Only an idiot can mark your words
Yote hio? Hizo behewa kwanza zitachafuliwa humo ndani kila mahali
Dua la kuku hilo halimpati mwewe abadani
We ni mchawi nini?😅
utaki maendeleo unawivu
😂😂 shida Tanzania hakuna value ya aesthetics (muonekano)
Kwahiyo soon hizi treni zitachakaa kama mabasi ya mwendokasi
Watanzania tunadamu ya kiafrika
...If it goes its good...😂😂
Hatujali mwonekano wake
Na pia hatuna uwezo wa kukimaintain kwa hiyo kitu tutakitumia mpaka kiishilie😂😂
haha ukinunua kitu kinakaa vile vile?? labda Kama unamazoea ya kubadikisha kila baada ya mienzi 6 lakini hakuna nchi kitu kikae mda mrefu kisibadili muonekani huo ni uongo
Umeongea vizuri Sana mwelimishe mshamba huyo mbwa@@kautharjay5868