Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

#STESHENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2021

КОМЕНТАРІ • 496

  • @machaggechacha3422
    @machaggechacha3422 3 роки тому +118

    Duh! Kushinda sehemu nyingi sana za ulaya nilikofika na kuishi kama London, Ufaransa na hata ujerumani hapa hazifui dafu. Nalinganisha huo muundombinu na nchi kama Ujapan na Uchina. Nchi za Magharibi naona hapo ziko nyuma kwa hili. Magufuli amejifunga mkanda sawa sawa anatupigania. Huyo nwanaume kweli kwani anawapenda watanzania watoke kwenye matope. Hongera jembe letu Magufuli Mungu akupulizie upepo wa amani na maisha marefu kwako.

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 3 роки тому +44

    Allah Akbar... Tutafika kwenye Nchi 🇹🇿 yetu ya ahadi Inshaallah 🙏 Mwenyezi Mungu atubariki sote tuseme Amini

  • @charlesotieno8228
    @charlesotieno8228 3 роки тому +64

    Congrats TZ from 🇰🇪.I hope in our lifetime we get to see a Dar-Mombasa or Nairobi-Arusha SGR line

    • @isaaczakayo5054
      @isaaczakayo5054 3 роки тому +3

      Arusha-Nairobi would make a lot of sense. The Arusha-Moshi-Dar.

    • @t1910j
      @t1910j 3 роки тому +10

      I pray so too. It’ll be ideal. I can’t wait to visit Kenya from Dar by train. Long live Kenya 🇰🇪 and Tanzania 🇹🇿.

    • @deewinc
      @deewinc 3 роки тому +5

      The purpose of SGR is to connect countries. It will happen.

    • @empoweredentrepreneurworld7446
      @empoweredentrepreneurworld7446 3 роки тому +5

      Wowow I'm proud of Kenya started Build it they open us Tanzania to know it's possible

    • @HASASON
      @HASASON 3 роки тому +6

      @@empoweredentrepreneurworld7446 we mpumbavu kweli, plan ya SGR ilikua toka enzi ya Kikwete tena wachina ndio walikua wajenge Magufuli akakataa, wakenya wenyewe wamejenga kituko cha diesel na sio pesa yao

  • @nawafmohamed5837
    @nawafmohamed5837 3 роки тому +26

    JPM 🙌🏻. Unatupa heshima watanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emmanuelzani502
    @emmanuelzani502 3 роки тому +38

    Jamani, haya yote yanayofanyika, bado mtu anasema haoni alichokifanya JPM. Kweli???

  • @mkude
    @mkude 3 роки тому +26

    Maashaallah safi sanaa,sasa hivi watanzania tunatembea kifua mbele hata majirani zetu hawana viwango hivi tupoo jujuu,the best sgr in east and central Africa. Tuombe mungu Rais wetu apate pesa za kuunganisha kipande cha makutopora isaka, na kipande cha isaka Kigali,ohhhhh Tanzania inakwenda kupendeza.

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому +3

      Amen

    • @emmanuelchaplingi9050
      @emmanuelchaplingi9050 3 роки тому +3

      Amina

    • @shangwehubert5838
      @shangwehubert5838 3 роки тому

      Isaka kigali ni uamuzi wa ovyo kabisa bora iishie isaka au mwanza... kiuchumi haitakiwi kupeleka rwanda itapunguza ajira na mapato bandari itakuwa rwanda offloding na uploding works zitapungua...waje wachukue mzigo hapa...kuipeleka rwanda ni sawa na kuihamishia bandari kigali

    • @africaneyetv467
      @africaneyetv467 3 роки тому

      Kenya ndo superpower east Africa sgr yetu kwa kiwango kikubwa imepita juu kwenye mnara hiyo yenu mtengeneze mitaro gari la moshi lisikwame watanzania kiwango chenu ni burundi randa na somalia .

    • @josephstephen2047
      @josephstephen2047 3 роки тому

      @@africaneyetv467 Choko wewe hiyo sgr yenu ya diesel ndio unaweza linganisha na hii?

  • @claudinemaxime936
    @claudinemaxime936 3 роки тому +28

    Kazi nzuri sana! Hakuna tofauti na stesheni nchini hapa Belgium, the Capital of Europe:-) Ulaya yote imejengwa na Afrika,,, Sasa mambo yamebadilika ! Ni wakati wa kujiheshimu na kuzijenga nchi zetu sisi wenyewe! Mungu ibariki Tanzania !

  • @jamesnteleva7073
    @jamesnteleva7073 3 роки тому +45

    Wow! Bravo JPM!💪🏾 Bravo my TZ!🇹🇿💪🏾 Bravo wajenzi💪🏾 Bravo Ben!💪🏾 Naomba Mungu anipe uzima ili nii-enjoy hii treni mpya. I can't wait to board it. Naona inachelewa...😂🤪😜

  • @wamoroboy8963
    @wamoroboy8963 3 роки тому +7

    😭😭😭😭 K2 ambacho siwezi kusahau n kifo cha Rais Jonh Pombe Maguful nenda baba meng umefanya🙏

    • @alicemwankotwa5600
      @alicemwankotwa5600 3 роки тому

      Yaaani inauma Sana

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 3 роки тому

      Mimi Nipo South Africa to be Honest Kifo cha JPMNi pigo Kwa Wazalendo wote Tanzania, lnauma sana Yaan

  • @masundelwa
    @masundelwa 3 роки тому +13

    Daaah kama kungekua na VOICE NOTE comments ningemuimbia magufuli wimbo mzuuuuuuri Sana kumsifia kwa kazi nzuri alioifanya hapa SGR dar es salaam.... Maana hili jengo limepiku uzuri was vituo vingi vya train DUNIANI nasema teena DUNIAAANI🌏🌍🌏 .. ama kweli sisi Tanzania ni NAMBA MOJAAAAAAAAA

    • @faza4023
      @faza4023 3 роки тому

      Kwelii kabisaaa

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 3 роки тому +6

    Oooo watanzania hawawezi hiki nini kilakitu ni uwongozi tu hatimae tumempata Raisi wetu Mh John Pombe Magufuli mungu akujaali afya ♥️♥️♥️

  • @mangaabubakari5111
    @mangaabubakari5111 3 роки тому +7

    Allah anijalie uzime inshaAllah namimi nije nijionee kazi nzuri Rais wetu Magufuli aliyoifanya hapo Dar especially ubungo Interchange, Tazara flyover, Tanzanite bridge na kikubwa zaidi SGR inshaAllah na kuipanda kabisa hiyo treni. Ombi langu naomba mtuletee treni zakisasa kbsa kama zile za china zenye pua kama ya Dreamliner kwasababu ujenzi niwakisasa zaidi station nizakisasa zaidi kama za France kwahiyo na treni ziwe zakisasa zaidi😂😂😂 Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Rais wetu na wasaidizi wake wote inshaAllah tutafika mbele zaidi

  • @zakayokiboma2074
    @zakayokiboma2074 3 роки тому +73

    Muweke picha za vivutio na mali asili zetu ndani ya jengo kwa kushirikiana na wizara ya maliasili na utalii,pia kuonyesha utamaduni wetu

    • @misschagga8042
      @misschagga8042 3 роки тому +3

      Yani hapa ndio umeongea la maana kabisaaaaaa

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 роки тому

      Yap, hapo umeongea, maana makampuni ya pombe na watu wa burudani za miziki na wengineo hawakawii kuichangamkia fursa hiyo kwa kuiwahi na kuweka matangazo yao.

    • @jkOmar2024
      @jkOmar2024 3 роки тому

      Good

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 3 роки тому +18

    Hongereni sana

  • @ndulamwakitalima7505
    @ndulamwakitalima7505 3 роки тому +15

    J.p.m kazi tu na kazi tunaiona stesheni yetu ni nzuri hats Gautrain Pretoria cha mtoto magufuli juu ccm juu

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 3 роки тому +2

      Yaani Magufuri juu zaidi, CCM tumeipenda sababu ya Magufuri, Baba wa Vitendo asiye Mfisadi, Mwana harisi wa Kitanzania na kiafrica kiujumla, Mwenye upendo wa kweli na watu wake na Taifa lake, wala hawazi kuuza wenzake au kuwanyonya au kuwanyanyasa wenzake kwa madaraka yake tuliyompa au kujijazia au kujipendelea mwenyewe kwa kipato kinachopatikana Mungu Ambariki huyu Ni Mwana wa Africa,

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 3 роки тому

      Kweli Mzee Baba

  • @KHAIFATVONLINE
    @KHAIFATVONLINE 3 роки тому +25

    Mambo ya bro Magu hayo tumpe mitano tena 2030

  • @silabongamasenga3314
    @silabongamasenga3314 3 роки тому +16

    Kazi nzuri

  • @quinnskitchen8486
    @quinnskitchen8486 3 роки тому +7

    Great job Tanzania,Kenya and Tanzania raising standards in East Africa 💕❣️❣️...Uganda continue sleeping,that old man is wasting you
    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MavaziClothing
    @MavaziClothing 3 роки тому +13

    Hongereni Watanzania mpo juu mawinginu

  • @tsaonethapelo6373
    @tsaonethapelo6373 3 роки тому +20

    Ajira hizo jamani mimi siyo msomi ila watanzania wenzangu watanufaika

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 3 роки тому +10

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari 1

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja397 3 роки тому +15

    Safiiiii👍 JPM na Tz

  • @2danadem
    @2danadem 3 роки тому +12

    Congratulations to Tanzania for this beautiful infrastructure which will come soon in operation, I appreciate the video even though I do not (unfortunately) understand Swahili. It is new and I wish the users will keep it clean and it will be maintained well as it is a huge investment for the people of Tanzania.

  • @mustaphersamson6174
    @mustaphersamson6174 3 роки тому +10

    HAKIKA MAGUFULI BABA LAO.

  • @bchikop
    @bchikop 3 роки тому +15

    Ebhaaaana eeeeeeh😋😋 well done, mi🖐 tena💪💪

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 роки тому +12

    God is great 🙏 Jesus akulinde my prezzz dar

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 3 роки тому +13

    Great

  • @amiryhamza1984
    @amiryhamza1984 3 роки тому +28

    ASANTE RAIS WETU JPM

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 3 роки тому +13

    Ni balaa kazi nzuri Hakuna tofauti na stesheni za uko ulaya

    • @africaneyetv467
      @africaneyetv467 3 роки тому

      Sioni kitu hapo ni yumba tu ya kawaida

    • @jamesmwita2995
      @jamesmwita2995 3 роки тому

      @@africaneyetv467 naami nyumba hiyo wewe unayo

    • @africaneyetv467
      @africaneyetv467 3 роки тому

      Kwani mimi ninaishi kichakani?

    • @abuubilal2646
      @abuubilal2646 3 роки тому

      @@africaneyetv467 nenda ulaya kwenye nyumba tuachie nchi yetu

    • @eddyvillejracamosie5562
      @eddyvillejracamosie5562 3 роки тому

      @@africaneyetv467 Sasa kama hiyo ni nyumba tu kwani hizo za Ulaya ni nini???

  • @superstartv1048
    @superstartv1048 3 роки тому +1

    Tanzania nchi tajiri sana kama alivokuwa anasema JPM tumeshamkumbuka JPM wetu

  • @josephnkengurutse
    @josephnkengurutse 3 роки тому +17

    Sisiote tutakuja Tanzania kabisa mimi naona ya kwaba Tanzania ni kama ulaya kabisa Mugufuli kuja Congo tunakulia kabisa

  • @sannycpaul9423
    @sannycpaul9423 3 роки тому +2

    Greatyfull 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nlichikipenda ni kwamba kile cha kwenye Raman ndo kimetokea hicho hicho............ Rai yangu ni kwa TRC iwekwe kitengo maalum cha kuilinda miundo mbinu, kwa maana Usafi na Ulinzi na uchakavu..... Coz nmeona vituo vya mwendokasi havina matunzo kabisa, pachafu, pia miundo mbinu inaharibika bt Hakuna anaejari... Hii mnatutia hasara wananchi

  • @ramatyga2289
    @ramatyga2289 3 роки тому +15

    Kaka Ben asante kwa kutujuza

    • @claudinemaxime936
      @claudinemaxime936 3 роки тому

      professional work,,, hongera sana mtangazaji,,, keep going!!!

  • @jaymnungwana4873
    @jaymnungwana4873 3 роки тому +2

    Ongera Sana mkandarasi kuto uturuki kwa kazi zenye ufanisi mkubwa natumai Mh.RAISI MAGUFULI atawapatia Maeneo yaliyo Baki muyamalizie mpaka mwanza,kigoma pamoja na mpanda asanteni Sana kwa kazi nzuri YAPI MERKEZI

  • @5facts60
    @5facts60 3 роки тому +12

    Haya bhna mii naamini ipo cku moja tanzania itapata heshima inayostahili tuna kila kilichopo duniani kwa nin tushindwe

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому +1

      Mola yupo nasi na yanatimia ndugu

    • @tegezdomin8363
      @tegezdomin8363 3 роки тому

      Chamuhimu ni kulinda Amani yetu tusivulungwe na bara la ulaya na mitandao ya kijamii

  • @josephatalphonce4474
    @josephatalphonce4474 3 роки тому +3

    😭😭😭😭rest in peace our president jpm

  • @ngabolipurkeilaizer7002
    @ngabolipurkeilaizer7002 3 роки тому

    Nimefurahia Sana. Me Kama mzalendo mpenda nchi yangu. Hadi natamani kufika dare, salaam maana me mtanzani but sijawahi fika dar, esaalamu. But Bado nipo nje ya nchi yetu. Kidogo kikazi nikirudi nitafika dar

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 3 роки тому +15

    Tusipomwongeza JPM MIAKA MITANO tutakuwa zaidi ya wehu! JPM 5TENA

    • @wazirituppa6739
      @wazirituppa6739 3 роки тому +1

      Pesa ya Serikali hiyo yeye nimuakirishi wetu tupongenzwe wote kwa sababu ni kodi zetu hizo

    • @kassimkobby1679
      @kassimkobby1679 3 роки тому

      @@wazirituppa6739 sawa tunakubali lakin JPM ni msimamiz mzur wa kodi zetu

    • @irenewile
      @irenewile 3 роки тому

      Tumwache Tu Kama Mugabe au museven

  • @michaelmaziku991
    @michaelmaziku991 3 роки тому

    Pumzika kwa amani mzee baba kwa hili kwangu kama Alikiba tu salute

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 3 роки тому +1

    Hongera Dr Magufuli na Watanzania kwa jumla... 🙏🙏🙏
    Naomba tungelikuwa na kiongozi kama wenu kwetu Kenya...
    Congratulations guys...

  • @mariajason3547
    @mariajason3547 3 роки тому +4

    Wishing all the Best kwa Tanzania. Nawapenda sana.....🥰🥰🥰

  • @isaacbhudoma8750
    @isaacbhudoma8750 3 роки тому +11

    Kila kitu chato,,,,🤓🤓 maana watasema hapo sio dsm

    • @annamremi6551
      @annamremi6551 3 роки тому +2

      Chato ya dsm hii 😃😃😃

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 3 роки тому +6

      Walemavu wa akili hao wanaofikiri maendeleo yako chato tu. Achana nao wanatupotezea muda.

    • @ellyisidoli2192
      @ellyisidoli2192 3 роки тому +1

      Isaac umeona e

    • @isaacbhudoma8750
      @isaacbhudoma8750 3 роки тому

      @@ellyisidoli2192 atcl imetangaza safar za dar Arusha ,,,,,, sijasikia kelele , ikatangaza dar Zanzibar, sikusikia kelele 🤣🤣🤣 ila chato sasa na hivi chato iko washington

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 3 роки тому

      Isaac Bhudoma wamaanisha nini ?

  • @kajiajohn6124
    @kajiajohn6124 3 роки тому +2

    Achievements of the ages for our northern land for This to project.We Equally congratulate turkey Engineers.long live Turkish people and Engineer

  • @wallaceisaya2997
    @wallaceisaya2997 3 роки тому +5

    Bravo bravo!! TRC mpya ya kesho

  • @MYCYOBEL
    @MYCYOBEL 3 роки тому +16

    Wale wa kulalama watasema na hapa ni chato

    • @tanzaniakwanza1699
      @tanzaniakwanza1699 3 роки тому +2

      Uaituzibe midomo. CHATO CHATO BORES US. SITEGEMEI CHATO IWE HIGH KUIPITA MWANZA

    • @ibrahkimesu2402
      @ibrahkimesu2402 3 роки тому +4

      Utadhani Chato ni Burundi labda

  • @josephemmanuel3175
    @josephemmanuel3175 3 роки тому +15

    Magu noma sana

  • @fauzibinzoo6563
    @fauzibinzoo6563 3 роки тому +3

    tumefika hatua nzuri sana swali linakuja kwenye utunzaji hapo nina wasiwasi kidogo

  • @abdallahmatenga1654
    @abdallahmatenga1654 3 роки тому +2

    Ahsante baba Magufuri

  • @kiboelieza5154
    @kiboelieza5154 3 роки тому +2

    Daaah aise kama huyu mzee angendelea kdg tu bongo ingekuwaa kama ulaya duuuuh ameeenda 😭😭😭

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 3 роки тому +1

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @chekajumasebunga8358
    @chekajumasebunga8358 3 роки тому +1

    Magu safi sana TZ kama mtoni vile, mandereo ni hayo mandereo mengine chakarika mwenyewe upate hela ya kula same as everywhere.

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 роки тому +8

    Naisikia raha kuwa m Tanzania muzarendo

  • @ntoliabraham2650
    @ntoliabraham2650 3 роки тому

    Mweshimiwa Rais...Mungu aendelee kukupa maisha marefu....hii kazi nzuri Sana.

  • @nicksonpius6128
    @nicksonpius6128 3 роки тому +5

    Jpm namba moja duniani Tanzania

  • @himlayzer3543
    @himlayzer3543 3 роки тому

    Mashallaah kazi nzuli kila la kheli

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 3 роки тому +8

    Halafu eti mbelgiji alikua anataka kuwa rais😆😆😆😆

    • @saidimasudi6450
      @saidimasudi6450 3 роки тому +2

      Mwehu yule anaropoka tuu
      Nasikia mjanzito sasa

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 3 роки тому +5

    Wangemchukua hata yule mchoraji wa tinga tinga akatuchorea picha nzurii za wanayama jamani🇹🇿🇫🇮

    • @GAstonAmosi
      @GAstonAmosi 3 роки тому

      Mbona kama naona mataruma yana kutu tayari ama itapuliziwa vitu ikae sawa?

  • @sir-deogratiasclemencealib2271
    @sir-deogratiasclemencealib2271 3 роки тому +1

    Hakika kumekucha
    Heshima kwa Mheshimiwa Raisi wetu mpendwa Dakta John Joseph Pombe Magufuli
    Viva Tanzania
    Tanzania namba moja
    Tanzania kwanza

  • @nassibuduma7162
    @nassibuduma7162 3 роки тому

    Kwajina la YESU KRISTO kazi iende mbele.

  • @farmup2023
    @farmup2023 3 роки тому

    Dah hongera mzee wetu magu hii ni amazing in Tanzania kweli maendeleo makubwa sana

  • @harunaiddi5628
    @harunaiddi5628 3 роки тому +2

    Duh!
    Yaani kwa Mali za wananchi Tanzania inafanya makubwa hivi

  • @hamisiharuna3099
    @hamisiharuna3099 3 роки тому +8

    Na hii ipo chato upande wa chini

  • @bahariawalk
    @bahariawalk 3 роки тому

    Dr John Pombe Magufuli apewe sifa na apewe kuiongoza TZ miaka 20. Kinacho nifurahisha ni kuona ma engineers wakubwa wa ma projects nao pia watanzania. Mungu aibariki Tanzania na east africa kwa ujumla. Viongozi wa inchi za east Africa ombeni ushahuri kwa mzee JPM.

  • @adamvrolik3346
    @adamvrolik3346 3 роки тому +1

    Nawapata vizuri kutoka south africa watanzania tufanyeni mahamuzi magufuli abaki madalakani milele ilitufaidi matundayake

  • @prudensianarutakuburwa6204
    @prudensianarutakuburwa6204 3 роки тому

    Kazi nzuri sana. Hongereni sana. Msisahau wasafisha vyoo wawepo kila wakati na sehemu za kutupia Taka taka. Ndani na nje pamoja na wafanyakazi wa kutunza mazingira. Maintenance muhimu sana.

  • @salehfarsy802
    @salehfarsy802 3 роки тому

    Tunamtakia Afya Njema Rais wetu John Pombe Makufuli
    aweze kuwa Imara yeye na Familiya yake
    Pia awe kutuhudumia wa Tanzania
    Amiin Amiin

  • @togetherchristiansmedia3437
    @togetherchristiansmedia3437 3 роки тому +2

    Beautiful station

  • @lightmashauri1725
    @lightmashauri1725 3 роки тому +5

    Mhhhh harari sanaa

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 3 роки тому +1

    *HABARI YAKO, .*
    *-JE umekuwa ni mtu wa kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa?*
    *-JE umekuwa ni mtu unaye wahi sana kufika kileleni?*
    *-JE umekuwa ukishindwa kabisa kurudia tendo baada ya kumaliza round ya kwanza?*
    *-JE umekuwa ukitoa kiwango kidogo sana cha mbegu kiasi kwamba huna uwezo wa kusababisha ujauzito kwa mwenzi wako n.k?*
    SASA SULUHISHO LA MATATIZO YOOTE YANAYO HUSIANA NA MASUALA YA UZAZI NA NGUVU ZA KIUME NI ARGIPLUS
    KARIBU TUKUHUDUMIE
    BIDHAA ZETU NI SALAMA KABISA KWA MTUMIAJI.
    CALL 0629395655

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 3 роки тому

    Kisha kuna wapumbavu wachache wanamtukana magu !!!!r.i.p my only president

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 3 роки тому +1

    MUNGU atubarik na Mr jpm🙏🇹🇿

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 3 роки тому

    Napenda wasomi wanaaongea Kiswahili sanifu bila kuchanganya na Kiingereza.Kazi nzuri Injinia

  • @meshackngaboss1236
    @meshackngaboss1236 11 місяців тому

    Miaka miwili sasa bado wanamalizia asilimia 2% JPM alizowaachia 😅😂😂 hii inchi kazi ipo ,endelea kupumzika kwa amani Jembe JPM.

  • @edwinmwandete4525
    @edwinmwandete4525 3 роки тому +2

    Asipogombea 25-30 tutaandamana wazalendo wote tujiandae

  • @davidchesco52
    @davidchesco52 3 роки тому +16

    Ebwanaeee hii ni hatar sana

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 3 роки тому

    Hv kwel hii ni tanzania au Ni ulaya eeeh mungu mtunze maguful

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 роки тому +9

    Tunasonga mbele

  • @gynae8407
    @gynae8407 3 роки тому +1

    Wapiga dili hapa kinawauma kinoma noma. Tanzania hoyeeeee.....mimi kwa mtazamo wangu huyu mzee JPM angeongezewa muda hata 10 yrs tena.

  • @cdadysmart5035
    @cdadysmart5035 3 роки тому +1

    Uko vizur bro Ben

  • @Mastermind25491
    @Mastermind25491 3 роки тому +1

    Kweli wananchi tuzidi kulipa kodi ,,maendeleo ni yetu sote viva #JPM

  • @shebbyelphonce8514
    @shebbyelphonce8514 3 роки тому

    Mheshimiwa magu hongera sanaaaaaa mungu akupe miaka mingi nasis chuga tunaona treni sasa nilkua nimeona morogoro na iringa tu hongera

  • @PAIKUN.
    @PAIKUN. 3 роки тому

    Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda and Burundi should unite to form one nation.

  • @fashiontrendstv3207
    @fashiontrendstv3207 3 роки тому +1

    Safi sana sasa zingatieni usafi kuwa na dustbin zakutosha

  • @J4UPro
    @J4UPro 3 роки тому

    Safi sana Rais wangu uzalendo kwanza mengine baadae JPM Forever

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 3 роки тому +4

    ASANTE RAIS WETU MPENDWA DR.JPM, MUNGU AKUBARIKI SANAA

  • @millymajjy205
    @millymajjy205 3 роки тому +10

    Pia vipi kuhusu waiting lounge mbona haujatuonesha..?

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому +1

      Ndugu kuwa mpole bado asilimia 4 zikikamilika ndo tutaona system yote ikiwa na installation ya vifaa vyote ikiwemo viti

  • @johnsonbaisi3136
    @johnsonbaisi3136 3 роки тому +1

    Beni niepitiaituo vyote vya mabasi ya mwendo kasi pamoja na kupanda mabasi. Mifumo yote ya kuhudumia abiria kielektroniki imekufa na haina tumaini ya kufufuliwa. Tena hata uongoxi wa mabasi hayo hawastuki au kutuomba radhi. Swali kwa SGR: Wanajifunza nini kutoka DART?

    • @geofreymaghali183
      @geofreymaghali183 3 роки тому

      Kwa kweli inakera sana! Nafikiri kuna shida kubwa sana ya kiuongozi kwetu Watanzania linapokuja swala la utunzwaji miundombinu ya miradi mbalimbali. Mfano, vituo vya mwendo kasi baadhi mabati yanang'oka, ventilation bars zinang'oka ,milango inaharibika, mabasi hayaoshwi, mitaro barabarani imejaa mchanga mpaka maji yanakosa pa kwenda, hakuna anayejali. Tujifunze kuwa na bajeti maalum ktk mapato inayohudumia hii miundombinu. Inakera kwa kweli!!!

  • @abbubakarmfinanga57
    @abbubakarmfinanga57 3 роки тому +1

    Mashalah

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 3 роки тому

    Msukuma kaitamata nchi kwa mkono wake mmoja tuu na kaikeuza yote . Inafurahisha sana

  • @jacobmigera2626
    @jacobmigera2626 3 роки тому

    Safi sana, hongera jpm

  • @togetherchristiansmedia3437
    @togetherchristiansmedia3437 3 роки тому +1

    Woow beautiful

  • @issayasosolo5463
    @issayasosolo5463 3 роки тому +5

    Kuna haja kuuliza hawa watangulizi walikwama wapi na huyu kaweza na ni inchi hiyo hiyo waliyo tawala,

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 роки тому

      Na pia Kuna haja watakaofuata pia kujitathimin ni jinsi gani wafanye vizuli zaidi

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 3 роки тому +1

      Isaya Unauliza jibu 30 yrs tulipigwa sana wasomi wetu ndo wametufirisi wameficha pesa zote ulaya ni ajabu sana unakufa pesa yote unamwachia mzungu sasa sijui maana yake nn? Mfano mzuri Mobutu na wengine uwajuao

    • @mathewtwimanye92
      @mathewtwimanye92 3 роки тому +1

      Ulaya yote imejengwa na AFRICA

    • @machaggechacha3422
      @machaggechacha3422 3 роки тому

      Walikuwa wezi na malofa.

    • @shantalismailhassan9878
      @shantalismailhassan9878 3 роки тому +2

      Yaani hata mi najiuliza swali hilo hilo mpaka naogopa sometimes nafikiria labda raisi kachukua mkopo mkubwa kwa hawa watu weupe hlf akiondoka aache mzigo wa deni kubwa. Lkn tena najikosoa na kusema nidhamu yake ya hapa kazi Tu na kujituma ndo imeleta matukio makubwa kama haya. Na siku alisema kuwa Tanzania ni nchi tajiri Sana niliichukua hii kauli yake serious Sana na niliamini. Kinachotakiwa ni uzalendo naamini katika hilo. Mungu ibariki Tanzania, watu wake,viongozi wote waadilifu na watenda Haki na Raisi J. Magufuli katika kila hatua ya kuikomboa nchi na umasikini. God bless Tanzania.💪🏾💪🏾💪🏾

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 роки тому

    Jamani ajira hizo,ajira hizo,kwa watanzania,kwenye hiyo control room.Barikiwa nchi yangu.

  • @cdadysmart5035
    @cdadysmart5035 3 роки тому

    Mash Allah Allah atufanyie wepes

  • @henrickchambilo3119
    @henrickchambilo3119 3 роки тому +7

    😍😍😍

  • @levinekalikuela4916
    @levinekalikuela4916 3 роки тому

    God's Hand be upon you President Magufuli. Continue to lift the country to its original shape it was supposed to be. It was not because few and selfish men sold our resources to other countries for their selfish end. Shame upon them! We could be very far. All in all God is Great has raised a Prophet, a Seer, a Visionary, and a great man of Actions and Planning. Magufuli Hoyeeeeeeeeeeeeeeeew!!!!!!

  • @andrewmashika3756
    @andrewmashika3756 3 роки тому +1

    Amazing!!! 😀

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому

    Mabeberu watakosa kuchukia kwa hili maana walikuwa wanazila tu pesa zetu kaja mwamba kakanyaga miaka mitano magufuli lazima wakuchukue rais wangu ila mungu yupo.pamoja na ww na watanzania tunaekupenda 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 3 роки тому

    ASANTE SANA MZALENDO NAMBA MOJA WA TANZANIA DR JOHN POMBE MAGUFULI

  • @hemedimussa2383
    @hemedimussa2383 3 роки тому +4

    hilo ghorofa nyuma ya steshen mbona alipo mahali usika