Trc mnazingua sana au sijui ni kazi na mazoea train ya Pungu ni mbovu haiendi na muda na haina muda maalumu acheni uswahili train mbovu inafika asubuhi ndio ina anza kutengenezwa halafu mna lalamika shirika linaendeshwa kwa hasara wakati hizo hasara mna zisababisha nyinyi wenyewe acheni kukaa maofisini
Watu wanaopenda kusafiri ,iwe kibiashara au kutalii ukifika London Train Station, Hamburg Train Station ,Frankfurt Train Station ,Dubai Train Station ...... pilika pilika za kibiashara zinazofanyika ni zaidi ya Kariokoo. Afu kingine, kibiashara huwezi kutofuatisha usiku na mchana. Hongera TRC. Lakini tokeni kwenye maneno anzeni shughuli. Kitaalamu mradi unapochelewa kufanya kazi(kuzarisha) hupoteza value !!
HONGERA SANA BINTI YANGU KTK UHANDI. NAONA HATA KUFUNDISHA UNAWEZA. UNA UWEZO WA KUJIBU HOJA NA KUFAFANUA KUKIDHI HAJA YA WATAZAMAJI NA WASIKILIZAJI!!! MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA KUWATHIBITISHIA AKINA MAMA KUWA UHANDISI SI WA WANAUME TU. AMEN.

Hongera Sana dada engineer kwa maelezo yanayoeleweka, nime-enjoy mno
Wow that's nice looks like Europe
Kazi nzuri ila naona kama paa lipo chini sana na kama hewa mwanga humo ndani kama shida vile.
Uhuru na kazi, Hapa kazi tu, kazi iendelee..
Watu wanaopenda kusafiri ,iwe kibiashara au kutalii ukifika London Train Station, Hamburg Train Station ,Frankfurt Train Station ,Dubai Train Station ...... pilika pilika za kibiashara zinazofanyika ni zaidi ya Kariokoo. Afu kingine, kibiashara huwezi kutofuatisha usiku na mchana. Hongera TRC. Lakini tokeni kwenye maneno anzeni shughuli. Kitaalamu mradi unapochelewa kufanya kazi(kuzarisha) hupoteza value !!
Dada anajua kueleza vizuri
HONGERA SANA BINTI YANGU KTK UHANDI. NAONA HATA KUFUNDISHA UNAWEZA. UNA UWEZO WA KUJIBU HOJA NA KUFAFANUA KUKIDHI HAJA YA WATAZAMAJI NA WASIKILIZAJI!!! MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA KUWATHIBITISHIA AKINA MAMA KUWA UHANDISI SI WA WANAUME TU. AMEN.
Hongera sana magufuri tunakukumbuka sana ndugu yetu rais mzalendo kama mwalim nyerere ila huku umetuachia uozo
RIP JPM toka kaondoka ujenz ni maneno tu
Majaribio ya sgr mmefanya kama siasa vile kipande cha Dar - Moro mwaka wa 3 huu imekuwa stori tu mmetufanya sisi kama watoto sijui
Hizo zilikua vision za Magufuli alikua anamaanisha toka moyoni hawa wengine wanafanya kuzuga tu ndo maana kila kitu uswahili
shout out to my sister well explained.
Great 💕🇹🇿
Design ya station ya Dodoma mbaya
Mmeifanya vizuri kuweka Na Jengo la TRA
wimbo mbaya kweli mpaka unatia hasira ukichanganya na maneno maneno yenu mengi ya siasa siasa yasiyotimilika ndio kabisa 😡
Mtoto wangu unajua kujieleza
Jaman ukweli MAMA ANAFANYA KAZI SIO MCHEZO KAMA NI MWENDELEZO KWELI MAMA KAZI INAENDELEA KILA LA KHERI MAMA ETU KIPENZI.
Mko vizur huku kwetu kenya hawasemi kua mje mchukue vyumba mtashukia tu vyumba vimejaa tayar
Sio ulemavu hata wagonjwa,tumieni neno watu wenye changamoto mbalimbali
naipenda Tanzania RIP JPM🥲🥲
mama tina katika ubola wako
Jpm
Dodoma hakutakuwa na chumba cha abiria wanaosubiri kusafiri?😮
Sasa tunaanza kupanda lini train au mpka elfu mbili na therathini
Safari Dar - Moro zinaanza lini?
ISSUE SIO UJENZI ISSUE KUTUNZA MRADI,NENDA STAND YA NANE NANE NI MSIBA BOB
Nimetoka Leo huko Hadi tabu jengo la abiria wamejaa wamana wamegeuza mgawahawa tabu tupu...
@@ipyanangajilo226 Vyoo havifai kabisaaa
Nna swali, Safari ya Mwanza paka Dar kwa SGR inachukua masaa ma ngapi...??
Masaa 8
HICHO KIPANDE CHA PILI SIJUI KAMA KITAOSHA AISEE