Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

GPS: RAIS RUTO azua GUMZO baada ya kuichana URUSI kwa kuivamia UKRAINE, ni mwelekeo mzuri?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 чер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 634

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 2 місяці тому +21

    Hayo ndo matunda ya ruto baada ya kwenda Marekani, poleni sana wakenya

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 2 місяці тому +31

    Since nimenza kufuatilia sns..nimejifunza meng sana...na uchambuz wa Hali ya juu...big up to Ally,dj sma na Fredrick...👊👊

  • @froogame1922
    @froogame1922 2 місяці тому +32

    SNS is more than university.

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 2 місяці тому +12

    Nawakubali sana sana SNS kwa uchambuzi wenu mpo makini sana. Shukran sana

  • @jacobmutisyamboya7742
    @jacobmutisyamboya7742 2 місяці тому +37

    IT'S NOT A MUST TO BE WITH EUROPE .AFRICA IS A BIG LAND WE CAN STAND ALONE WITH OUT EUROPE

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 місяці тому +1

      The problem is we are 2 late for that

    • @maheitumdintunya2928
      @maheitumdintunya2928 Місяць тому +2

      don't think about that! africa without europe is impossible to develop in any sector

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 Місяць тому

      lazima Africa iwe na connection na Europe. Ngano yenyeww ya kulisha continent yatoka Ukrain, so lazima uwe umblically connected.

  • @FayeezAlbahassaney
    @FayeezAlbahassaney 2 місяці тому +12

    Dj sma na bro wa kat MashaAllah TabarakaAllah

    • @maidimples8236
      @maidimples8236 Місяць тому

      Huyu mwengine ni mbishi na hatak kuamini kuwa Afrika we can

  • @Pacos-1234
    @Pacos-1234 2 місяці тому +10

    nakubali mazee love from BURUNDİ

  • @Dellylubunga
    @Dellylubunga 2 місяці тому +11

    Kutoka DRC 🇨🇩🇨🇩 Kinshasa asante sana SNS

  • @sakandalinus3125
    @sakandalinus3125 2 місяці тому +7

    Welldone economists. I like your conversation. Your opening our mind

  • @AliDulla
    @AliDulla 2 місяці тому +4

    Kaka asante sana hivi vipindi kama hivi safi sana munatufanya kuwa na uwelewa mzuri kituo chako ni number moja

  • @MohammedAlwi-hg9fi
    @MohammedAlwi-hg9fi 2 місяці тому +4

    Yap DJ Sma mashallah bro

  • @ABM1963
    @ABM1963 2 місяці тому +5

    EAC inatakiwa iwe na Foreign policy inayo fanana other wise itakufa.
    Tanzania ijikite Zaidi SADEC ndo Tunaenda nao vizuri.

    • @barikiringo6311
      @barikiringo6311 2 місяці тому +1

      Tufanye kazi na sadec lakin tusiondoke Eac moja kwa moja (neutral) ili tuweze kufanya trade na hao jirani wanafiki😅

  • @BUSHASHASWITCH
    @BUSHASHASWITCH Місяць тому +2

    💯🇧🇮🇧🇮🇧🇮salamu Kwa wana Sns wote na watangazaji wote Kwa ujmla na sijasahawu Dj sma 🎉🎉 scriiiii paaaaaa

  • @KamundalaLwesso
    @KamundalaLwesso 2 місяці тому +9

    Iyo discussions ilikuwa poa, Asante sana vijana wa africa mna mtazamo mzuri wa mambo ya ulimwengu

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 2 місяці тому +11

    Huyo Anataka kupitia kwenye kwenye deni kubwa sana hafai kua kiongozi wa kenya

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 місяці тому

      Ungekua ww ungefanyaje put ur self in Ruto's shoes

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 2 місяці тому +14

    Kenya ina historia ya usaliti,kwanza mwanzilishi wa taifa la kenya alikua kibaraka wa mkoloni kenya tunaita home guards alikua yupo kwa mau mau usiku anaenda kwa mzungu.Walisaliti sana wapiganiaji uhuru wa Africa mfano wanaharakati wa south Africa walipokua wanakimbilia Kenya makaburu walipohitaji warudishwe Kenya iliwarudisha wakashitakiwe.Kenya ni nchi ya aibu.

    • @mohamedkazema6381
      @mohamedkazema6381 2 місяці тому +1

      Naapa kwa Mungu, mimi kwa umri huu sikupata kujua kwamba Kenya iliwahi kuwarudisha Africa kusini waliokuwa wapigania uhuru WEUSI wa Africa kusini ili wakashitakiwe na serikali ya kidhalimu ya makaburu huko SA -- pathetic, !!!!😮😮😮. If that is the case, for reparation, it have to apologize to South Afticans today.

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 2 місяці тому

      Mmi ukweli ciwapendi hawa viumbe kwasababu wanaturudisha nyuma mbwa hawa kumamazao

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 2 місяці тому

      ​@@mohamedkazema6381Nikweli kabisa serekali kenya ilikua ni majasusi

  • @Raizzo26Fiasco-pf1lz
    @Raizzo26Fiasco-pf1lz Місяць тому +2

    Ali masubi umeongea vizur sana huko mwisho coz mifano ya taifa lako kwenye uwekezaji ni kigezo bila woga na ukweli umesimama hapo

  • @user-gg6dy4zp9f
    @user-gg6dy4zp9f Місяць тому +1

    Tutumie vizuri kwa ukamilifu taaluma zetu tunaweza.
    Acheni uchawa

  • @mofatkijana9536
    @mofatkijana9536 2 місяці тому +5

    Kazi nzuri wangwana

  • @alexdougly82
    @alexdougly82 2 місяці тому +6

    My brother Ally acha pride and I see like umekuja studio kushindana hivi. Just give your options not competing

    • @zulungconde1647
      @zulungconde1647 2 місяці тому

      wewe mshenzi umekuja kupata elimu..au kukosoa.?

    • @alexdougly82
      @alexdougly82 2 місяці тому

      Mimi mshenzi nimekuja kukosoa, vipi umeridhika au kuna tusi ingine you want give it down Sir.

    • @sadikathumani1003
      @sadikathumani1003 2 місяці тому +1

      brother kama ulivowaza mimi
      Ally analeta ujuaji kuliko kuelezea muda

    • @maidimples8236
      @maidimples8236 Місяць тому

      It’s very clear for sure

  • @Hamzamkunguni-xe5nn
    @Hamzamkunguni-xe5nn 29 днів тому

    Nimependa sana uchambuzi wenu muko vzuri sana mungu awabaliki

  • @loningoletayo8453
    @loningoletayo8453 2 місяці тому +3

    Uwezo wa Ally hapana kwa mambo mengine

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 місяці тому +4

    Dj Smaa, unatolea mfano wa mbali mno Ungemtolea mfano Mzalendo namba 2 hayati Doct J. P. Magufuli. Samahani lakini Dj Smaa. Uko vizuri dogo.

    • @jut1161
      @jut1161 2 місяці тому

      Si kamtokea mfano Nyerere bado tu haitoshi lazima amtaje Magu

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому

      ​@@jut1161Nyerere sisi hatujamuona tunamsoma tu kwenye vitabu

  • @JuliusAnaeli-ke7qt
    @JuliusAnaeli-ke7qt 2 місяці тому +4

    Masubi subir smaa amalize nawe uongee,tuwasukilize hoja by hoja mnapandiana sana.Juli listen from Japan

  • @AyoubHajj
    @AyoubHajj 2 місяці тому +7

    Mimi nataka kuchangiya kitu
    Mimi mdgo Sana katika kufatiliya siasa na maendeleyo ya nchi za afrika na maendeleyo ya nchi za maghari, mmi naona hakuna njia yoyote kwa maendeleyo yetu zaidi ya kua na maendeleyo ya viwanda. Viwanda ndiyo vitatupa kuzalisha na kuongeza thamani ya vitu tunavyo zalisha na kuuza kuweza GDP yetu na kupata maendeleyo
    Ivii kweli viongizi wetu hawajuwi haya!!
    Hakuna nchi yoyote duniani katika historia zimeendeleza bila ya maendeleyo ya viwanda ili tu kuzalisha na kuongeza thamani ya vitu vyao na ndiyo vitu vinavyo ongeza maendeleyo ya nchi zao tuangaliye kwa mchina

  • @94winga
    @94winga 2 місяці тому +4

    Masubi leo umefel sanaa 😂

  • @Plus255studios
    @Plus255studios Місяць тому +2

    Kwenye hii debate mlimuacha mbali sana huyu Mh. Mwenye miwani. Haku grasp nini mlikua mnajadiri.

  • @murtalla2826
    @murtalla2826 2 місяці тому +3

    Ali masubiiii 😂😂😂 Ali masubii 😂😂😂 Ali masubiii 😂😂 nimekuita mara tatuu

  • @hafidhmiraji9479
    @hafidhmiraji9479 2 місяці тому +3

    Huyu masubi naye anamentalit ya kimagharibi yan tayar ashaamin hawez bila wao

  • @AhmadaHassan-gy5uj
    @AhmadaHassan-gy5uj 2 місяці тому +59

    Rais mjinga kuliko wote Africa

    • @julianamwamgogwa
      @julianamwamgogwa 2 місяці тому +2

      Mjinga wewe luto jiniac anajua anafanya nini

    • @user-tb4ol6yp6c
      @user-tb4ol6yp6c 2 місяці тому

      Sasa Ukraine itamsaidia Ukraine yenyewe inahitaji support akuna ujinias wowote kaka​@@julianamwamgogwa

    • @AhmadaHassan-gy5uj
      @AhmadaHassan-gy5uj 2 місяці тому +1

      @@julianamwamgogwa hata wewe pia ni mjinga,kwa hiyo wataka kuniambia Marais wengine hawajui wanafanya nini?

    • @peterlove4g869
      @peterlove4g869 2 місяці тому

      The first may be Evariste

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 2 місяці тому

      ​@@julianamwamgogwaYes ananyonya inyee ya wazungu

  • @djafro8729
    @djafro8729 2 місяці тому +64

    Mimi kama mkenya ruto ni useless president ever to rule kenya

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 2 місяці тому +4

      Ruto ni umbwa kabisa

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 2 місяці тому +3

      😂😂😂nimecheka aseh

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 2 місяці тому +2

      Mkunduwako ndio kenya,,, hata hao urusi na china, wakishika hatam watatutenda wanavotaka,, wa africa ni kama kahaba.

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 2 місяці тому +5

      @@martinisadru9899 hujaelewa mzee urusi wana madini na raw material za kutosha kama sisi same to china wao wanagombania masoko sasa kuna ulaya natural resources zao ziko limited ndo mana ni world police waibe mafuta uranium madini ivo

    • @gabapentin8070
      @gabapentin8070 2 місяці тому +1

      So better russia anaefight for multipolar world kuliko ao paka wa G7 wanaoleta misaada na makatazo ya kutokupinga ushoga

  • @billskeez92
    @billskeez92 2 місяці тому +28

    RAISI mpuuzi sana East Africa

  • @EmmanuelKiwia-ss9rw
    @EmmanuelKiwia-ss9rw 28 днів тому

    Big Up

  • @bennybennitto
    @bennybennitto Місяць тому

    Huu ni mjadala bora zaidi wa GPS mpaka sasa... Mmeelezea vizuri sana kuhusu afrika kutawaliwa na magharibi. Kudos!!

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 2 місяці тому +6

    Hongereni sana...Uchambuzi wenu ni mzuri sana

  • @jastinndangala8085
    @jastinndangala8085 2 місяці тому +10

    Ndomaana wakenya wanamuita ZAKAYO

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 2 місяці тому +1

    Dj smar nakuona uko poa sasa mungu ni mwema i hope una endelea vizuri

  • @isdorykiwale
    @isdorykiwale Місяць тому

    Uwekezaji katika elimu latest education ni uongo brother mwenye miwani . Tujifunze kujifungia kambini na ku sacrifice baadhi ya mambo kubadili mentality yetu. Lazima tubadili mitizamo yetu Africa

  • @adamyusuphmsigala
    @adamyusuphmsigala 2 місяці тому +3

    Masoud ww unatulisha matango poli

  • @user-uu1nx8lj7f
    @user-uu1nx8lj7f Місяць тому

    Asanteni Sana kwa kutuelimisha vizur mnauwezo mkubwa sana wa kuchambua by Yasinta walyuba

  • @abelimwakijungu1226
    @abelimwakijungu1226 Місяць тому

    Stori nzuri sana kutufurahisha vijiweni. Wajibu wa kiongozi kwa siasa za kimataifa siyo rahisi kiasi hicho.

  • @AnchaAlide
    @AnchaAlide Місяць тому +1

    Nawakubali sana kutoka msubiji

  • @user-cw2nj4io3v
    @user-cw2nj4io3v 2 місяці тому +2

    Mko vizuri!

  • @willydugilo3258
    @willydugilo3258 2 місяці тому +5

    Anaupenda ushoga hiyo ruto!!

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 Місяць тому +1

    Sns ni watu makini sana, hakika hicho chombo chenu kitazidi kusonga mbele zaidi

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 2 місяці тому +31

    Huyu wampindue tu hafai kwa afrika yetu mbumbumbuu kabisa

  • @musakihama7205
    @musakihama7205 2 місяці тому +2

    Nyinyi mmebaki, masalia,wamba kwelikweli,heshima sana,na mimi natamani kuwa hapo ila uwezo😢😢😢Dah.

  • @isdorykiwale
    @isdorykiwale Місяць тому +1

    Ameeleza vizuri lile la Guantanamo bay kati ya Marekani na Cuba

  • @bobdutchbobdutch8443
    @bobdutchbobdutch8443 2 місяці тому +1

    My brother's from another mother, I Appreciate for your speech I hope Tanzania people, aswa 😢 viongozi wetu wasio na ufahamu

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah4786 Місяць тому

    Nyinyi mnatisha yaani hata kama wewe ni kichwa ngumu utaelewa tu. Jamani SNS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.

  • @ramagwama
    @ramagwama 2 місяці тому +1

    Sns big up xanaa mnafungua xana waafrika kwa madini mnayotupa naii ni njia moja kuja badilsha maisha ya vizaz vijavyo baadae.

  • @Siasia209
    @Siasia209 2 місяці тому

    Ahsante sana sky kwa kutuletea Henry Mwinuka kujumuika pmj na kina Aliy masubi pmj na djsma mungu awabarik

  • @hamidauhuru813
    @hamidauhuru813 Місяць тому

    Hawa kina kaka ningewajua miaka 8 iliyopita, nisingepata supp kizembe ..wanajua kuchambua sana, mifano na logics za kutosha. Huwa sikosi hizi session za uchambuzi.. keep it up SnS

  • @AnnoyedHarp-tg7ur
    @AnnoyedHarp-tg7ur 2 місяці тому +1

    Asanteni kwa Elimu

  • @ramadhaniseifuledi513
    @ramadhaniseifuledi513 Місяць тому

    Nawakubali

  • @hafidhyakoub8369
    @hafidhyakoub8369 2 місяці тому +4

    Kuna basic needs na luxury needs (africa tuna angalia sanaa luxury needs)

    • @ellykimu9288
      @ellykimu9288 2 місяці тому

      luxury goods and necessary goods

  • @canisiusibrahim9856
    @canisiusibrahim9856 2 місяці тому +1

    Aise sky mko vizuri sana hawa vijana wakiongozwa na dj SMA ni wa moto sana

  • @clyvanboss
    @clyvanboss Місяць тому

    DJ sma ni brave duuuu huyu jamaa anatishaaa sanaaa apewe urais

  • @hamimhassan9354
    @hamimhassan9354 2 місяці тому

    Am proud of you brother's, tunaongeza maarifa sana na am so attentive with this GPS hold by sns.

  • @khamsjabdullah691
    @khamsjabdullah691 2 місяці тому +1

    Hii mada imekuwa bora na elimu tosha hata kwa viongozi wetu wa nchi endeleeni na vipindi bora mungu yuko nasi

  • @user-nv7kj3gl3o
    @user-nv7kj3gl3o 2 місяці тому +2

    Njaa mbaya sana alafu ukipenda pesa sana tatizo

  • @BizimanaMuhamed-yo2pq
    @BizimanaMuhamed-yo2pq Місяць тому

    Good jop

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 2 місяці тому +1

    Tamaaa mbaya sana wanamtumia vibaya sana

  • @piussogoye
    @piussogoye 2 місяці тому +1

    big up sana wana sns, nawakubar sana

  • @sifaoksbagirishyasie2410
    @sifaoksbagirishyasie2410 Місяць тому

    Ahuru WA fikra Kweli Ndio unaitaji. Kupenda na kupromot vya kwetu. Utaona njinsi mtabadilisha Mambo, kidogo kidogo Kuanzia vijijini. Kuwekeza kwenye wakulima na kuwapata motisha. Kujiwrkea bei zenu.

  • @ezekielphilemon7343
    @ezekielphilemon7343 2 місяці тому +1

    Ahsanteni saaana

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 2 місяці тому +4

    Sasa nyinyi vijana msiishie kujadili tu, leteni pia campaign/vugu vugu la nini kifanyike, changes begin with you

  • @adronicokalumna
    @adronicokalumna 2 місяці тому

    Kazi nzuri sns god bless you all

  • @noelonesmo9946
    @noelonesmo9946 Місяць тому

    Kwanza kabla ya hapo Urusi mipaka yetu kati ya sisi na kenya. Tafadhali

  • @uwezotv
    @uwezotv Місяць тому

    Niwapongeze sana ma broo MKO kwenye MAWAZO yangu

  • @aminielkombe66
    @aminielkombe66 2 місяці тому +2

    Cha kwanza kabisa,,kuacha kila kitu na kuwekeza kwenye elimu bora ya SKILLS kwa 20yrs,, tutatoboa.

    • @user-hj4bc5uh2x
      @user-hj4bc5uh2x 2 місяці тому +1

      Naelim inatakiwaboa siohii hii haitufundishi kujitegemea

    • @user-pj8cj7ps5b
      @user-pj8cj7ps5b 2 місяці тому +1

      Safi sana elimu kwanza elimu ya ujuzi na utambuzi

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому +1

      Mkipewa elimu ya kutosha mtaisumbua serikali baadae na vyama vyao wao kutawala milele, hivo elimu Itakuwa hii hii bumbuwazi ili wao waendelee kutawala milele na Daima.

  • @user-qb8fx9np5x
    @user-qb8fx9np5x 2 місяці тому

    Very good information

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 2 місяці тому +4

    SNS naikubali sana sana na sitakuja kuacha kusilikiza ila mna shida Moja nyie ni wanafiki sana leo mtaongelea Russia Ukraine American Mara Kenya lakini ukweli ni kwamba Kuna pesa zinatoka nje kila siku na hamsemi ila nchi za watu mnaongea kichizi, mnaonekana mnauchungu ila mnauoga kuliko maelezo natumaini Kuna watu watanielewa Kuna matukio mengi sana Bongo ila hamtaongelea ata kidogo😢😢😢

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 2 місяці тому

      Ukila na kipofu usimshike mkono. Matatizo ya Afrika Mengi yanafanana wakiongelea ya Niger wewe reflect na kwetu.

    • @komboruga4271
      @komboruga4271 2 місяці тому

      Sisemi wanafiki but waongelee Nchi yetu

    • @afromixstudios
      @afromixstudios 2 місяці тому

      Bongo sio😂😂😂

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 2 місяці тому

      Ww unaujua uhuru wa vyombo vya habari bongo? Au unafikiri wenzako hawapendi maisha? Au unafikiri wapo kukufurahisha ww unaishi kwa shemeji yako na kusubiri ugali? Mkuu wanafahamu fika bongo sio kama Kenya, south Africa, Ghana, Botswana, Namibia kwenye uhuru wa vyombo vya habari kupitiliza.

  • @binegonshimirimanabutazima9435
    @binegonshimirimanabutazima9435 Місяць тому

    Hivi ni vipindi vya ukombozi wa fikra na fikra za muAfrika zitakapo komboka huko mbeleni tutapata viongozi wazalendo na tutaungana afu AFRIKA itakua huru💪🏿✊🏿

  • @abrahamhabarugira2483
    @abrahamhabarugira2483 2 місяці тому +2

    Sky ichi kipindi tunaomba kiwe kirefu kidogo tunakipenda sana

  • @kichenjewillian5720
    @kichenjewillian5720 2 місяці тому

    Brighter people

  • @heridunia
    @heridunia 2 місяці тому +1

    wanafuse nakubali sana mada za.umundani japo ninamda mdogo sana ila nimependa tutakutana kwenye group mwezi unaokuja inshallah.ila viongoz wetu ndo umasikin wetu tina umasikin wa viongozi kama kiongoz anaweza kuuza mgodi kwaajil ya mtoto wake na sio anaowaongoza apo nisawa na kufuga kuku alafu ukimla anakudhuru

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 2 місяці тому +2

    Tokea ruto atoke US amefika ana baddilika ivo nakuanza kuivamia urusi jmn njaaa mbaya

  • @user-hk6ls3yw9q
    @user-hk6ls3yw9q Місяць тому

    Naomba viongozi wetu wajifunze kupitia s n s

  • @Plus255studios
    @Plus255studios Місяць тому

    Huenda ana mambo mengi kichwani ila anashindwa ku deliver. Mwafrika anapigwa na wazungu ktk kila angle its really really hard kwa mwafrika kujitoa ktk hizi chains. Wamekua wakiua chochote kinachochipuka kwenye aridhi ya Afrika wana make sure nothing good comes from mtu mwenye ngozi nyeusi
    Wazungu sio watu ni madudu when it comes kwenye prosperity ya watu wengine they wont make it easy for us.
    Nyerere na wengine wali define vyema sana Maendeleo maana yake nini, "Utu".

  • @cassimjohar1694
    @cassimjohar1694 2 місяці тому

    Mko sawa

  • @user-ls1ot6fs4v
    @user-ls1ot6fs4v 2 місяці тому +1

    Ni kiongozi juha tena sana

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay Місяць тому

    sns hiyo discussion ni nzuri ni eye opening kwa watz na africans in general! il kwa kifupi wanao imaliza Africa ni viongozi wetu kuwa corrupt..wazungu wana wadanganya then wanaiba vitu vya thamani kwenye nchi zetu! na ata nchi zilizo endelea unakuta zinatoa scholarship kwa nchi za Africa lakini wanavyo fundisha wafrica na raia wao ni tofauti!

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 місяці тому

    Binafsi sikuwa na intrest na Simulizi za kisiasa ila kwa sasa I'm deeply, napata upeo juu ya dunia inavyoenda, hongera CEO ❤

  • @ivanlyimo6727
    @ivanlyimo6727 Місяць тому

    Kwa hiyo ni sawa Urusi kuivamia Ukraine? Big up Ruto.

  • @user-nk4oq4ek9y
    @user-nk4oq4ek9y 2 місяці тому

    Nyie bro mwatutowa taka za maskio jmn salute sanaa

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 Місяць тому

    Hongera sana Ruto

  • @HamduniYasir
    @HamduniYasir 2 місяці тому +4

    Dj Smaa na Enrik mnaongea point sana ila uyo mwingine sijui uwa anaongea nn aisee

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 місяці тому +1

      Wakiongea kile unachotaka kukisikia ndio kwako inakuwa point?

  • @Charlzlomo
    @Charlzlomo Місяць тому

    Ruto good prezzo africa bigerthan uhuru

  • @abdallasaid5593
    @abdallasaid5593 2 місяці тому +2

    The flying president....bure kabisa,sijui atakufa lini😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fredirickshoo9560
    @fredirickshoo9560 2 місяці тому

    Congratulations,kwa uchambuzi wenu makini na uweledi mkubwa katika kuchambua mambo kiundani zaidi.Mungu awabariki

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 2 місяці тому

      Pengine baadaye uchumi wa ulaya ya magharibi utakuwa daifu na Uchumi wa BRICS utakuwa yenye mguvu sana pengine hapo kenya wataomba kujiunga na BRICS kuna uwezakano ya kukataliwa.

  • @IsmailiIsmaili-ec7pt
    @IsmailiIsmaili-ec7pt 2 місяці тому

    Mko sawa vijana

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 Місяць тому +1

    Burundi marahisi wetu wote niwa selfies yan kila mwenye anaingia pale anaingia kwaajili yatumbo lake nafamilia yake so sad Burundi tunateseka sna 😥😥😥

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 2 місяці тому +2

    Usijaribu kuweka mkataba na mzungu. Utajuta yamenikuta ,kesinimeshindwa ,Afrika kueni makini sana 😔😔

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 2 місяці тому +1

    Ni kweri huku tuna teseka stress ni nyingi pesa ukiipata madeni ni mengi kwa hiyo wala huioni hiyo pesa ni kweri kabisa kila mmoja yupo kwenye kauseling

  • @nassoromussa4440
    @nassoromussa4440 2 місяці тому +6

    Dj SMA unaongea kwa hisia sana when it comes to defend African resources against Capitalist

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 2 місяці тому

      Huyo kibaraka wa Putin hana lolote. Anaongea kwa hisia kwa sababu bwana ake Putin ameambiwa ukweli

    • @sosbrayantbenjamin9701
      @sosbrayantbenjamin9701 2 місяці тому

      ​@@MzeeKigogo_hoja zote hzo huelew😂 tunasafar ndefu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 2 місяці тому

      ​@@MzeeKigogo_wewe ni kibaraka wa kishoga

    • @MzeeKigogo_
      @MzeeKigogo_ 2 місяці тому

      @@sosbrayantbenjamin9701 hoja gani wameongea zaidi ya kubwabwaja kwa hisia tu. Wanatolea mfano Traore wakati anajulikana kabisa ni Kibaraka wa Russia.

    • @rajabumbendenga5480
      @rajabumbendenga5480 2 місяці тому

      ​@@MzeeKigogo_
      Inaonekana wewe ni mgeni kwenye hii SNS maana nakushangaa unavyoumia juu ya putin hali ya kuwa hapa ndio uwanja wa nyumbani na yanasemwa yale ambayo hayaandikwi kwenye media zenu za upinde BBC,VOA,DW Na mfano wa hivyo na ukitaka yatakayokufurahisha wewe ijapokuwa mengi ni ya propaganda nenda kwenye hizo mean stream media usitake wote tuwe vibaraka wa mmarekani

  • @martinmendrad3531
    @martinmendrad3531 2 місяці тому

    Daaah Bonge la session, Big up wazee

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 2 місяці тому +2

    SNs Samahani Katika Uchambu wenu juu ya kile alicho kisema Rais wa Kenya Mh Rutto Kumlaani Rais wa Urusi V. Putin kuivamia kijeshi Ukraine nini athari kwa Kenya hapo baadaye?.

  • @mohamedamar7468
    @mohamedamar7468 2 місяці тому

    Naomba mnapo changia mada msikate acha azungumze mmoja mpa amalize, mwenyekiti simamia ili

  • @khalidimzamiru9406
    @khalidimzamiru9406 2 місяці тому +1

    Kama unaikubali hii combination gonga like hapa twende sawa😂😂