GPS: Uvamizi wa Ukraine ndani ya URUSI waipeleka VITA pabaya! PUTIN aahidi Majibu Mazito, Ni Hatari

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 375

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 Місяць тому +20

    Wanangu sana nawakubali sana more love more blessings

  • @EmanuelMkongwi
    @EmanuelMkongwi Місяць тому +9

    Daah yaan mim hunitoi apaa nikama nimekaa kwenue movie vile sanaa wakuuu🤜💥🤛

  • @michaeljuma254
    @michaeljuma254 Місяць тому +19

    Dj sma🔥🔥🔥🔥🔥 Ali Masubi pamoja na Henry🔥🔥🔥🔥

  • @AbiKubanga-n5l
    @AbiKubanga-n5l Місяць тому +10

    Namkubali sana dj smaa

    • @blueboybajos6880
      @blueboybajos6880 Місяць тому +1

      namim

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha Місяць тому

      Mpe na mkeo sasa

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE Місяць тому +2

      ​@@AlexGwiha yaani mmbwa hujitambulisha mwenyewe ndiyo wewe Alex LGBTQ

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo 28 днів тому +2

    Chambueni kwa fact bila kuegemea upande wowote! hii itafanya sisi Wana and! tuzidi kuwaamini zaidi kwa chambuzi zenu. big- up.

  • @user-fx8ui5wo5k
    @user-fx8ui5wo5k Місяць тому +5

    Mungu awabariki nimeelewa sana nime wafuata mwanzo mwisho mungu awabariki

  • @amirinestory
    @amirinestory Місяць тому +20

    Ahsanteni kwa kukata kiu yangu ya GPS facts na kuunganisha dots bila kusahau kusikiliza utabili wa masuala ya dunia...Ahsanteni sana kwa kipindi Bora 👊

    • @Chettymlambalipsi-lb9km
      @Chettymlambalipsi-lb9km Місяць тому +1

      Kumbe tupo wengi

    • @amirinestory
      @amirinestory Місяць тому +1

      @@Chettymlambalipsi-lb9km saaana...hichi ni kipindi cha wanaojitambua...tunaepuka kuishi maisha ya mchongo mchongo

  • @christiankambuga9338
    @christiankambuga9338 Місяць тому +13

    Safi sana christian from south africa 🇿🇦

  • @salumuselemani-km2ee
    @salumuselemani-km2ee Місяць тому +11

    Msiseme Ukraine semeni NATO ndio wanafanya hayo yote

    • @coj7920
      @coj7920 Місяць тому

      Uko sahihi, maana Ukraine wameishiwa soldiers. Hao wanaoingia Russia ni NATO

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 Місяць тому

      Hakuna Majeshi ya Nato hapo nato wanasapoti siraha tu ila Urusi anawanajeshi wa kukodi na pia inchi ya Belarus imetoa Wanajeshi wake kumsaidia Putin hata makombora aliyo tumia juz Umesikia kapewa na Korea kaskazin so hakuna inchi Duniani inayopigana bila mshirika.

    • @Aminmwansile-we8vn
      @Aminmwansile-we8vn Місяць тому +1

      Usiwafundishe kazi wanaijua kazi zao kumbuka siyo wajinga kama wewe

    • @allykwaya
      @allykwaya 28 днів тому

      Kweli nakubali upo makini

  • @user-kc5qs1bq9c
    @user-kc5qs1bq9c Місяць тому +8

    Tunaomba Ally Masubi amuombe msamaha Dj smaaa kwa kuwa anamkosoa kila anapoongea ukweri na muda mwingine anamkosoa hata penye ukweri na hii tabia inazidi kuota mizizi na aache mtu aongee amalize ndipo na yy aongee na aache utimu uizrael .

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 Місяць тому +1

      Wewe unaemkosoa Ally Masud acha kuleta mambo ya ushabiki kwenye GPS, kwa kuwakosoa hawa jamaa ni kama kutaka kuwafanya kuwa hawajui kazi yao, kwa kifupi hatutaki ubishi huku GPS

    • @ZamgoyadanielZamgoya
      @ZamgoyadanielZamgoya Місяць тому

      At me nahic iv ivo jamaa anajiona mjuaj sana

    • @ZamgoyadanielZamgoya
      @ZamgoyadanielZamgoya Місяць тому

      Inakua inaboa sna nahic yey mwenyew hajuii tu

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha Місяць тому

      Achen kuwagawa katik makundi takataka nyie nyie munajua wamepata sehem ya kujipatiA liziki.

    • @Njiwamichael-km1dm8et9x
      @Njiwamichael-km1dm8et9x 29 днів тому

      @@user-kc5qs1bq9c ivi wewe unajitambua kweli ivi unataka ushabiki au uchambuzi maana jamaa anachua ao wengine mashabiki afu unamkataa

  • @AllyAllyRamadhani
    @AllyAllyRamadhani 25 днів тому +1

    Uko vizuri mchambuzi wa mwisho unajua sana

  • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
    @AbdulRahmanAliy-sr7gw Місяць тому +1

    Asanteni sana

  • @YussufMohd-fc1dj
    @YussufMohd-fc1dj Місяць тому +3

    kazi mzur

  • @MariagorethPetero
    @MariagorethPetero Місяць тому +3

    Maria Zakharov nampenda sana❤

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 29 днів тому +1

    Ali Masubi hattariii🙌,jamaa tunamkubali sana uchambuzi wake,Hongera SnS kwa kutuongezea huyu mwambaa,jamaa mwingiiiii,ana madini ya hattariii 🔥 🔥

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 Місяць тому +2

    Wana sns msiwe na kauli kalii
    Mnamtisha mchambuzi wetu Ally
    Bigup sns team

  • @shangazadunia3000
    @shangazadunia3000 29 днів тому +3

    HERY UKO VIZUR SANA, ILA hapa uoijisahau juu ya ukraine kushambulia Raia, Kivita Hairuhusiwi.
    HONGERA Smaa kwa kumrekebisha Hery pale aliposema ,vita ni kupiga popote, vita zinasheria , na mwisho umeonekana kukubaliana kuwa putin anatumia akili sana katika vita hii.
    Kwa Ujumla kazi yenu ni nzuri

    • @user-fh7gu7eb2d
      @user-fh7gu7eb2d 27 днів тому +1

      watu wana shida sana,ukraine akipigwa sawa tu,ila urusi akipigwa mnapiga kelele,kwani urusi si ndiye aliyetaka vita ngoja na yeye apigwe

    • @VladimirAbsalom
      @VladimirAbsalom 27 днів тому +1

      Kwan urus inapiga wanyama pori Ukraine?

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 Місяць тому +1

    Asante SnS

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 Місяць тому +8

    Masubi ana nondo ambazo hamna pahala unaeza pata

  • @rashidyshemkande8099
    @rashidyshemkande8099 Місяць тому +6

    Allah bless Putin more.

    • @rashidyshemkande8099
      @rashidyshemkande8099 Місяць тому

      Allah bless Putin more

    • @panadomadola3064
      @panadomadola3064 Місяць тому +2

      Putin ni shoga tu, na Zelesky ndio hanampelekea moto saiv

    • @Awatee
      @Awatee Місяць тому

      ​@@panadomadola3064😂😂😂kumbe mashoga mupo wengi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Місяць тому +3

    Nimejifunza kiongozi Bora inabidi uwe mvumilivu busara hekima na kutumia akili Sana kwenye mambo yako .. uvumilivu ndo Kila kitu ..Asante Kwa darasa zuri gps hakika tunajifunza Sana...inabidi utumie akili Zaid kuliko hisia... mashalah mashalah mashalah...maokota okota namim mashalah ndugu zangu wa gps..endeleen kutupa maharifa

  • @GraceMashinga-be9wb
    @GraceMashinga-be9wb Місяць тому +2

    Appreciate sana sns

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 Місяць тому +4

    Dj Smaa tulikumiss xna🔥🔥

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 Місяць тому +18

    Hakika hii GPS nikiboko
    Big up SNS
    Big up SKY
    Big up wachambuzi
    Russia 🇷🇺🇹🇿🇮🇷🙏
    Ni kiboko yao wakifanikiwa kumuanguxha wamagharibi tumeixha

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

      Jeshi la ukraine linazidi kusonga mbele ndani ya urusi na hadi leo hii linadhibiti km 30

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Місяць тому

      ​@@MathewNathan-yb2bzIla nadhani Ukraine anachokitaka ni kuwa na nafasi nzuri wakati wa mazungumzo, sababu Yaonekana Trump anarudi madarakani na itakuwa ni shida kwa Ukraine.Russia anashikilia eneo la ukubwa wa km square 108000 kwa Ukraine na Ukraine mpaka muda huu anashikilia na kusonga mbele Kama square kilometre 30.Zelensky kasaini Martial law Hadi mwezi November lengo ni kusoma upepo wa uchaguzi wa Marekani.Hivi vita vinapoelekea hatima yake itategemea na mshindi wa uchaguzi wa Marekani.

    • @YahayaKishakwi-q7b
      @YahayaKishakwi-q7b Місяць тому +1

      Nachekaga sana nikimwona dj smaa anafyo teseka anatamani Ukraine Israel wangamiswe mwambieni ache udini kwenye habari iwe nzuri iwe mbaya

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

      @@YahayaKishakwi-q7b hahahahahaas

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 Місяць тому

      @@MathewNathan-yb2bz Hatozidi zaidi na atapata hasara kubwa na atajuta kwanini arijaribu. Mpe wiki mbili utaona koment yake mitandaoni akiigiza vichekesho vyake.

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su 26 днів тому

    Hongereni sns kwa uchambuzi mzuri 🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏 mfikee mbaaaaliii nyooote hapooo 💪💪💪💪💪👏

  • @rashidikhalfani-qt8rp
    @rashidikhalfani-qt8rp Місяць тому +17

    Urusi aipambani na ukrain inapambana na nato

    • @MariagorethPetero
      @MariagorethPetero Місяць тому +1

      🎉Umenena haswa!

    • @davidajentwa2284
      @davidajentwa2284 28 днів тому +1

      Ni kweli

    • @paulvimbamvula9508
      @paulvimbamvula9508 27 днів тому +2

      Hakuna wanajeshi wa NATO ndani ya Ukraene....sila ata muRussi anapewa ...vita ni roho na utaa lamu. Yeye murusi aliona kama Ukraene watapigwa kiraisi sasa Ukraen nawo wamepata ndege zakisasa na pia intelligence wako vizuri na pia ni wa Ukraen wali mtengezeya mu Russi Ma bom ya nuklea

    • @bonifacemwansasu6638
      @bonifacemwansasu6638 26 днів тому

      Yes ​@@paulvimbamvula9508

  • @panadomadola3064
    @panadomadola3064 29 днів тому +2

    Ongereni sana kwa uchambuzi mzuri, ila mnachotakiwa mkumbuke ni kuhusu vita vya Urusi na Ukrain, na vita vya Israel na Hamas, mnachotakiwa kujua ktk hivi vita, kusema kweli vita ambavyo ni vigumu ni vita vya Israel na Hamas hasa ni vigumu sana.kwa Israel, sababu ni kwamba Israel yeye anachangiwa bila kificho na mataifa matano na isitoshe hivi ni vita vya kiimani,na pia Hamas wao hawavai unfom na wanajikinga na raia,yaani shughuli zao za kijeshi wanazifanyia kwenye makazi ya raia kama vile mashuleni,mahosiptalin, kwenye kambi za wakimbizi na ndiyo maana raia wanà kufa wengi

  • @mussamkanga3329
    @mussamkanga3329 Місяць тому +2

    Nawapenda sana mkikamilika

  • @AdnaneisufomomadeMomade
    @AdnaneisufomomadeMomade 25 днів тому

    Nawakubali sana

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 27 днів тому +1

    📦 hiliii hapa Ukraini hawatokiii

  • @Chelsie2016.
    @Chelsie2016. 21 день тому

    Hello am your big fan and Big fan of GPS
    Please one day umu invite Yericko Nyerere aje nayeye atowe uchambuzi wake please do it kwa wana SNS na GPS
    Asante

  • @chambalafrankdaniel397
    @chambalafrankdaniel397 Місяць тому +7

    Nilitamani Sana kuwaskia mkizungumzia hii inshu nilichogundua Nato wanajalibu kujua nguvu ya URUSI iko sehem gani make mipango yao ni one day waivamie URUSI

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 29 днів тому

    Nawakubali sana wabarishaji wangu…

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 Місяць тому +5

    Viva russia viva putin❤❤

  • @ezekiakiwovele7794
    @ezekiakiwovele7794 29 днів тому +1

    Hakika

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 Місяць тому +1

    vichwa vyote ndani ya mjengo #GPS mtu kati🔥💯🙌

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Місяць тому +2

    Kwa mantik iyo kaka Henry wanasemaga ivi kama vita nivita mural💪

  • @djimafunny1593
    @djimafunny1593 29 днів тому +2

    Jamaa huyo mweupe anachangany kingereza mpaka anaboa

    • @calvin6445
      @calvin6445 29 днів тому

      Ni kwa vile anaitwa Henry jina la kithunguuu😅

    • @michaeldjunior1023
      @michaeldjunior1023 24 дні тому

      Ukiwa mahiri wa Lugha zaidi ya moja,hiyo hali ya kuchanganya lugha ni suala la kawaida sana. Inabidi uwe na nidhamu ya hali ya juu kuzingatia lugha moja wakati wa mazungumzo,kiufupi ni ngumu kuacha kuchanganya kama unaongea lugha zaidi ya moja.

  • @GABRIELGEORGE-qq1nj
    @GABRIELGEORGE-qq1nj Місяць тому +1

    Mnajua sana sky, dj sma na wengine wote

  • @ghazarahmed80
    @ghazarahmed80 28 днів тому

    Ally umeongea point sana hapo kuhusu silaha za NATO kutumika na Ukrainę , safi sana

  • @yusuphmuhogo
    @yusuphmuhogo Місяць тому +2

    Yani vita asababishe mwenyewe alafu atoe pole ya msiba

  • @williammkoba1895
    @williammkoba1895 Місяць тому +4

    Vita yoyote haikosi wanafiki baadhi ya viongozi wanamsaliti putin hiyo action ni kubwa sana waliofanya ukraine putin ajiangalie

  • @abdullahmapesa
    @abdullahmapesa Місяць тому +4

    Nimefurai Sana kuskia GPS kwa mara nyingine tena 🙏🙏

  • @MWANGAZAbrain
    @MWANGAZAbrain 29 днів тому

    HONGEREEEN GPS, Hery, Dj Smaa, lakini zaidi kwa leo ni kwa Aly masud kwa sasa Umeiprove ,Katika mazungumzo , Umeongea kwa utaratibu na kujipanga kwa Uhakika. safi sana, Umepunguza Ubishi na kujua sana,Leo umeionekana unajua. Hongeraaaa mmependeza sana.

  • @maulidomar9578
    @maulidomar9578 28 днів тому

    asante wakuuu safi

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo 28 днів тому

    Big- up sana, by kalama mollel/ Arusha

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 29 днів тому

    Shukran Sana ndugu zangu nakuomben mzid kutuhabarisha

  • @salminijumasalminijuma6213
    @salminijumasalminijuma6213 Місяць тому

    Hongereni

  • @bilalimsafiri7316
    @bilalimsafiri7316 Місяць тому

    Daaaah mgodi unatoa madini safi sana, Big up SnS...

  • @CashKassim
    @CashKassim 28 днів тому

    Big up mko vizuri sitaki kumic kipindi chenu mungu awajalie kheri

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m Місяць тому +2

    mungu aijalie russia na tanzania piah

  • @user-rk9sd4kc4d
    @user-rk9sd4kc4d 29 днів тому +1

    Asmaa,baada yakuambiwa chechinia imeingia kachangamka jamani,

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ Місяць тому +2

    Hivi kwa nini Urusi asimchape marekani asubuhi Tu mambo yaishe😂😂

    • @raydanfrenk
      @raydanfrenk Місяць тому

      😂😂😂😂 weeeeeh pale ni pamoto

    • @MariagorethPetero
      @MariagorethPetero Місяць тому +1

      Sikia, mbali na ukorofi wote wa Marekani kwa dunia bado ina mchango mkubwa pia kwa dunia. Urusi na Marekani wakipigana ni sawa na kuiharibu dunia nzima maana hizi nchi mbili mchango wao kwa dunia ni zaidi ya asilimia 50. Iwe kwa intelijensia, uchumi, usalama, n.k.

    • @AlexGwiha
      @AlexGwiha Місяць тому +2

      Hajui huyu marekani hapaguswi hata Kim wa kolea analijua Hilo pamoja na uchizi wake wote. Anayetaka kujiloga aguse arizi au jibo lolote la america.baba huwa haguswi .

    • @Njiwamichael-km1dm8et9x
      @Njiwamichael-km1dm8et9x 29 днів тому

      @@NdovuDentalClinic_ bro pachafuka apa mbaka kuzimu america sio wakuguswa ckiaga stor kwa watu tu

    • @djmaxbeatztz
      @djmaxbeatztz 28 днів тому

      ​@@AlexGwihamarekani hapigani moja kwa moja.na kama siku marekani atapigana moja kwa moja hiyo ndo itakuwa vita ya tatu ya dunia

  • @user-xc5mk4ro2z
    @user-xc5mk4ro2z Місяць тому

    Sns mko juuu aiseee mm sna ata lakusema my brothers

  • @CHARLESMOSHA-yy6zx
    @CHARLESMOSHA-yy6zx Місяць тому +3

    nawafuatialia vizuri mtazamo wangu ni kuwa urus hapigani na ukrain ila anapigana na usa na pmc yake nato wanaitumia ukrain kumpiga urus stotenbag alisema nato sio sehemu ya vita ila inaisaidia ukrain kujilinda kwa msemo huu ni kwamba vita ni kati ya urus na nato ila wanaitumia ukrain kama uwanja wa kumpigia urus lakin

  • @PUTINN365
    @PUTINN365 Місяць тому +2

    Ally upo vzuri kaka🎉🎉

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 Місяць тому

    Hongereni kwa uchambuzi makini...

  • @HukerRama
    @HukerRama Місяць тому +2

    Kweli kumechangamka

  • @AbdulkarimKihoi
    @AbdulkarimKihoi 29 днів тому

    Nawakubali Sana wakuu Kwa uchambuz😊😊😊😊

  • @Dadboy.
    @Dadboy. 28 днів тому

    Djsmal upo vizur

  • @browskymuba6923
    @browskymuba6923 29 днів тому +1

    Lkn ali masoud yuko vizuri sana kwakweli

  • @user-vi7ly9zh1q
    @user-vi7ly9zh1q Місяць тому +4

    Putin mtu nanusu 🇷🇺🇷🇺💪

  • @mohamedikunchi7165
    @mohamedikunchi7165 Місяць тому +1

    Leo masubi umeua bila kubishana nawakubali sana sms

  • @Gulfnas1
    @Gulfnas1 Місяць тому +3

    Yote kwa yote Putin ana utu

  • @shangazadunia3000
    @shangazadunia3000 29 днів тому +1

    Ila niwakumbushwe Neno HEKO,Mmekuwa mkilitumia sana , hongera naamini kuna watu huwenda wasilijue lina maana yake , ,Neno HEKO Maana yake (PONGEZI)

  • @RamaMongi-z1m
    @RamaMongi-z1m Місяць тому +2

    Masubi vs dj sma wanapambano lao Moja ilo simchezo kubishana flani ivi inanoga vibaya sana

  • @mohamedikunchi7165
    @mohamedikunchi7165 Місяць тому +1

    Smaa, Henri, masubi nasky nikapakej flani ivi kamekamilika %100

  • @mwanahamisrashid7787
    @mwanahamisrashid7787 26 днів тому

    Safi Sana nawakubali kutoka Dubai sing'oki kwenye GPS

  • @jeremiahmagau8623
    @jeremiahmagau8623 Місяць тому +3

    Nyie mnafanya propaganda hivi watu 17k kwa huo muda Ukraine si wangekuwa wameisha? Urusi ni jina tu, miaka miwili bado ana struggle. Urusi nao wanapoteza sana vifaa mzee.

  • @gilbethmartine1197
    @gilbethmartine1197 29 днів тому

    Kwa kweli tumevuna mengi sana

  • @FadhilliIddy
    @FadhilliIddy Місяць тому +1

    Katika chambuz ulizozichambua mr all masubi leo umejitahidi sana kaka umetixha, kwa akil ya haraka haraka wanajeshi wa ukrein wametolew kafar

  • @gamalielbahendwa5034
    @gamalielbahendwa5034 29 днів тому

    Dj smaa aliwahi kusema kuna nchi zinawafundisha wanajeshi ili kufuruga na kuharibu Taifa la Urusi.

  • @Russia-vd4yq
    @Russia-vd4yq 29 днів тому +1

    Moja kwa moja,Ukraine yadai kudhibiti kilomita za mraba 1,000 za eneo la Urusi
    Kiongozi wa Urusi Vladimir Putin ameelezea shambulio la kuvuka mpaka kama "uchokozi mkubwa".

  • @user-jy4pm3hh9s
    @user-jy4pm3hh9s 29 днів тому

    Mmkaa kishabiki sana kwann mmbeze sana ukraine

  • @UUWF
    @UUWF Місяць тому +2

    Sio rahisi kama mnavyoongea

  • @AllyAllyRamadhani
    @AllyAllyRamadhani 25 днів тому

    Mchangiaji wa mwisho anajua sana

  • @inogelapixels
    @inogelapixels Місяць тому +1

    Mimi nafikiri Urusi ameruhusu Ukraine waingie Urusi ili apate sababu ya kitumia siraha nzito amalize vita

  • @bishweko
    @bishweko Місяць тому +2

    😂😂😂Henry mwita vita ni vita

  • @blueboybajos6880
    @blueboybajos6880 Місяць тому +1

    leo kikosi kimeenea💥🗽

  • @EmmanuelKiwia-ss9rw
    @EmmanuelKiwia-ss9rw Місяць тому

    Mmejipanga vizuri zaidi wakati huu

  • @TeddyDickson-w5p
    @TeddyDickson-w5p Місяць тому +2

    Ukrain yeye katoa uwanja tu,vita ni Rasia vs NATO

  • @masanjamussa3421
    @masanjamussa3421 25 днів тому

    Nyinyi ni mashabiki wa kuturudisha nyuma kama dunia
    Mnashabikia udikteta na utawala wa mtu mmoja.
    Hii ni mbaya sana.

  • @HukerRama
    @HukerRama Місяць тому +3

    Kweli urusi imejiponza yenyewe alikua n UWEZO kumaliza mapema tu

    • @user-oj3fq4pi2u
      @user-oj3fq4pi2u Місяць тому

      🎉😂kweli, yeye kila siku Nato wanafanya vikao namna ya kumdhiti na wanakusanya silaha nzito kila siku, yeye alitakiwa ashambulie mapema, na kumalizia vita mapema...sasa asishangae, asipoangaia vita hii inaweza kumshinda.l

    • @MariagorethPetero
      @MariagorethPetero Місяць тому +1

      Nia ya Putin ni kuidhoofisha NATO. Ndiyo maana wengi wanafikiri Mrusi kashindwa vita kumbe siyo mipango ya Urusi kumaliza vita bali kuidhoofisha NATO.

  • @user-fx8ui5wo5k
    @user-fx8ui5wo5k Місяць тому +1

    Naona humu ndani kuna manya'gahu wakili urusi ana pambana na Amerika na washirika wake kwajumla sasa wewe unayesema urusi Hana nguvu ningekuona ninge kushika nikupeleke front line uhone mzik WA urusi

    • @MariagorethPetero
      @MariagorethPetero Місяць тому

      Wengine hawajasoma, wengine hawana muda wa kufuatilia historia, wapo wapo tu. Usiwalaumu bhana. Mimi nawaangalia tu😂

  • @user-ly3yy8iv9z
    @user-ly3yy8iv9z 9 днів тому

    Ukraini mnguu AWA simanie zidi ya ugaidi wa urusi

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro Місяць тому +1

    TANGU VITA IYANZE NI SIKU 901 SIO SIKU 898

  • @manfredmlay2743
    @manfredmlay2743 28 днів тому

    Dj sma ni mrusi total 😅😅

  • @RaymondPaul-bs7su
    @RaymondPaul-bs7su 26 днів тому

    Mmmh bomu la FAB 3000 ni dgo kabisa hilo.....wanalo jingine kubwa zaidi kuliko yote nafikiri duniani Linaitwa FOAB 44000.....Ndio linafuatia bomu la la Marekani linaitwa MOAB 12000

  • @shangazadunia3000
    @shangazadunia3000 29 днів тому +1

    HONGERA ally Masoub , SASA Umekuwa kijana, wanaokuchamba kama alivyosemaga Sky,
    kwenye comment,Sasa HAWATOKUCHAMBA TENA, aumeimprove sana kijana kabisa.

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo 28 днів тому

    Wewe ndio mchambuzi mwenye fact! Usiopendelea urusi, tofauti na d.j smaa, uchambuzi wake umekuwa ukiegemea kuwapendelea warusi zaidi.

  • @AlexNswila-g1q
    @AlexNswila-g1q 29 днів тому

    Nyie Lakn ninacho kiona iki uwenda ukawa mtego kwa ukren

  • @aliomarali8890
    @aliomarali8890 Місяць тому +2

    alichofanya mrusi ni mtego

  • @ErastoRukoka-ie9hg
    @ErastoRukoka-ie9hg 11 днів тому

    Jamaa wa mwisho ww ni nouma sana #shati ya zambarau

  • @bonifacemwansasu6638
    @bonifacemwansasu6638 26 днів тому

    Mimi naamini diplomasia ndio suluhu,vita ni uharibifu wa maisha na mali,kwa kifupi Urusi alifanya kosa kubwa kuanzisha vita

  • @godfreyobadiah7892
    @godfreyobadiah7892 28 днів тому

    Mnaongea kwa upole inapofikia point ya urusi kana kwamba mnaegamia upande !

  • @worldelectro2787
    @worldelectro2787 Місяць тому +1

    MUnaongea kwa hekma kubwa.

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m Місяць тому +2

    nawakubali sana wazee wenzangu

  • @user-ql6hg7fy9p
    @user-ql6hg7fy9p Місяць тому +1

    Ukraine hana wanajeshi tena hao ni mamluki wa Nato ila wote wataangamizwa tu, tuvipe vitu muda, muda umebeba majibu ya kila kitu, muda ukifika utaongea tu.

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 Місяць тому +2

    Viva putini

  • @christianrukurugu4341
    @christianrukurugu4341 29 днів тому

    Kila siku mkichambua mnasema Ukreni anapigwa sana, lakini mbona Ukreni anazidi kwende mbele?.