KUHUSU MAKAMBA KIJANA MZALENDO ACHARUKA "BITEKO AMCHUNGUZE MAKAMBA ALIYOYAFANYA KWENYE NISHATI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 286

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 7 днів тому

    Uyu jamaa inawezekana ni usalama wa taifa kwa sababu story zake ni za kujitoa muhanga ni kama kuna wakubwa wanamtuma hongera sana kaka ilove u

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому +1

    Tena kanda ya Xiwa inachapa kazi sanaaaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому

    Unahoji vizuri sanaaaa mwandishi wa Mwananchi pongezi sanaaaa nahuyu mwannawane anachapa kazi vizuri anaijua vizuri katiba

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому

    Mwandishi mzuri sanaaaa Nyarobi na unahoji vizuri Mungu akubariki upewe maua yako

  • @obadiakajungu6965
    @obadiakajungu6965 5 місяців тому +5

    Nakubaliana na wewe kwa yote unayoongea!
    Mungu akubariki sana.
    Unaongea kwa uchungu sana kuonesha jinsi nchi ilivyozungukwa na kuongozwa na vibaka!

    • @RehemaMlowe-k6t
      @RehemaMlowe-k6t 2 місяці тому

      Mwizi huyo ,akiwalaisi atauzaichi yetu

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 6 місяців тому +3

    Uko vizuri sana .tukipata watu watano kama wewe nchi itafunguka

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому

    Ni kweli wengi sana wanaojipendekeza tena hao wengi sana Bungeni

  • @daudhenry6212
    @daudhenry6212 5 місяців тому

    Jamaaa anaitwa nani😂😂😂 hachoshi kusikiliza

  • @MiltonSatte
    @MiltonSatte 6 місяців тому +7

    Kwa kweli huyu kijana ametukumbusha mambo mengi muhimu ushauri wake uzingatiwe

  • @sabuomar2420
    @sabuomar2420 6 місяців тому +4

    Thanks, wewe ni mrithi wa Musiba, Aluta continua !

    • @jacksonamos2008
      @jacksonamos2008 6 місяців тому

      Kwani Musiba yuko wapi siku hizi

    • @TibihikaGerad
      @TibihikaGerad 7 днів тому

      ​@@jacksonamos2008Aaaaaaah imeanza mambo ya Sheria mtu anaua adharan na watu wanajitokeza kutetea😂😂😂

  • @MaikoHaule-v6r
    @MaikoHaule-v6r 4 місяці тому

    Uko vizuri kwa kulisaidia taifa tujitambue jamani

  • @FrancisChuwa-tk8xt
    @FrancisChuwa-tk8xt 5 місяців тому +1

    Itoshe sasa kumtumia Makamba kuivusha nchi hii. Mama alikuwa na nia njema.Alitaka awaangalie yy mwenyewe. Katika kipindi ambacho tunakabiliana na maadui wakuu wa nchi hii (Mabeberu) hatuwezi kutembea na hawa ambao ni over-ambitious.watahongwa watuuze wazima wazima.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 місяців тому +6

    Yombaga mwanawane

  • @Mwana-k2g
    @Mwana-k2g 5 місяців тому

    Hili li jamaa bhana na lafudhi yake ya Mwanza linajitahidi kufuatilia siasa hadi linapata kigugumiz kuongea😅😅😅😅😅

  • @AtanasiDotto-bk7hk
    @AtanasiDotto-bk7hk 5 місяців тому

    Pongezi kubwa kwako kiongozi hakika Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya watanzania🔨

  • @AlanMbilinyi
    @AlanMbilinyi 6 місяців тому +10

    Makamba ni mwizi sana,Wizara ya Nshati ameiba bilioni350 pesa nyingi sana bado mama bado alikuwa anamlinda nakumhashia Wizara nyingine Hafai hafai.ILI RAIS ILI AJISAFISHE MAKAMBA ASHUNGUZWE NA MWIGULU ATENGULIWE BILA HIVYO KWELI ANAWAFUGA WEZI.

  • @frankpeter4178
    @frankpeter4178 6 місяців тому +8

    Usukumani kuna vichwaa, unastahili kuwa Mbunge na zaidi

  • @sjosephmashany-eu6rf
    @sjosephmashany-eu6rf 6 місяців тому +1

    Kiukweli mama anamacho makali ❤yanaona sana, ila nashauri hizo nyadhifa wawe wanachanganya na viongozi wetu upande wa chama ambao niwazalendo wawe wanapewa fulsa nafasi zisizunguke humo humo huku wengine wanavunjika moyo

    • @phillipbwilengende3434
      @phillipbwilengende3434 6 місяців тому

      Makamba, Chalamila, Ndejembi, Kikwete, Pinda, Nnauye, nk. ni majina utaendelea kuyasikia sana. Hayawezi kusahaulika kwani wenye majina ..

  • @onesmonkwabi1022
    @onesmonkwabi1022 6 місяців тому +29

    Amfukuze Waziri wa fedha(Mwingulu Chemba)

  • @georgenkindikwa5190
    @georgenkindikwa5190 6 місяців тому

    Mama Samia snatakiwa awemakini sana watu wapo kwamasilahi yao

  • @BenjaminChristopher-r9d
    @BenjaminChristopher-r9d 6 місяців тому

    Kwakweli mtu apendwinaote tanzania munapenda rushwa poleni sana wapinzani wamakonda kawapiga spana ❤ 😂 Mungu atakulinda hutarudi tena wapige tena

  • @IddiUledi
    @IddiUledi 4 місяці тому

    Dalili za umasikini Moja wapo nikukaa na kupoteza muda kumteta na kuchunguza mwezako anakula Nini anaishi vipi.badala yake muda huo😊 unge utumia kufanya kazi ukaleta maendeleo yako na taifa.

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 6 місяців тому +17

    Bado mwengine MWINGULU hatosha pia sisi Wananchi tunaona

  • @petermboje5839
    @petermboje5839 5 місяців тому

    Nimekuelewa kaka

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 6 місяців тому +4

    Dotto Biteko kijana mzuri sana hekima na busara mungu amlinde,Dotto Biteko safi sana.

  • @rabomunde3550
    @rabomunde3550 6 місяців тому +1

    Jamaa nimemkubali"""!
    Shikamoo dogo

  • @athumanyassin7796
    @athumanyassin7796 5 місяців тому

    Hakuna mwanasiasa msafi wengi ukiwachunguza wana mazongezonge yao kama tumesha yaona haya tuanze kupika viongozi wapya wenye uzalendo ili miaka ijayo tupate viongozi bora

  • @AmaniMwakalapuka
    @AmaniMwakalapuka 6 місяців тому +3

    Akili kubwa sana hii

  • @OmarOthman-w9k
    @OmarOthman-w9k 6 місяців тому

    Unatoka povu bureee kwani yeye mama mgeni na serkali hii? Wanajuwana hao ndugu yangu ila msichoke kusema😅😅😅😅😅😅

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 6 місяців тому +1

    Makamba, Mwigulu, Bashe, Ridhiwan, Mhangama, na Mchgengerwa ni mabomu tu. Sijui kwanini rahis amewavumilia kiasi hiki ukichia Mchengerwa na Ridhiwan tokana na wazazi wao.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 місяців тому +1

    Safi sana na Mzalendo

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 6 місяців тому +26

    Magufuli aliwaondoa alijua ni tatizo Mama akawarudisha ili aonekane kwamba yeye ni mwema ionekane walionewa sasa amejionea kwenye ukweli utabakia ukweli tu

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 6 місяців тому +1

      Msukumo viongozi wastaafu pia ni mtoto wa mwenzetu.Magufuli alikua haangalii sura ya mtu.

    • @idrissamohamed1100
      @idrissamohamed1100 6 місяців тому

      Una ushahidi au

    • @dassustephen731
      @dassustephen731 6 місяців тому +1

      Huo NI mwanzo Tu na bado

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 6 місяців тому +1

      Tatizo wakina makamba wananiona hii nchi ni yao wanadeka watakavyo na uwezo wa kifanya kazi ni mdogo

    • @Kaka_Rambo
      @Kaka_Rambo 6 місяців тому

      Wazuri hawafi

  • @pastorysent6586
    @pastorysent6586 6 місяців тому +1

    Yombaga mwanawane,ila ulitakiwa uongee kabla hajatumbuliwa,
    .....ila wananchi wanahitaji waziri wa hela atolewe

  • @ImmaJulius-rg4yf
    @ImmaJulius-rg4yf 4 місяці тому

    Ameongea vizuri

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 6 місяців тому +3

    Mzungumzaji huna taarifa kuwa mtandao wa wezi wa rasilimali za nchi walijindaa kujimilikisha kila kitu . Walifurahi mheshimiwa mwamba Magufuli kufariki.

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 6 місяців тому +2

    ni kweli watu wa lake zone sio mchezo, wengi ni kazi tuu

  • @robertedward1992
    @robertedward1992 6 місяців тому

    Bado jutu Moja pale fedha.alitumbuee.

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 місяців тому +1

    Mwigulu nae apumzishwe yeye ndio muhizunishi mkuu wa pesa zetu hazina. Sio mzalendo wa kweli mpigaji pia

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 6 місяців тому +3

    Nimemkumbuka sana hayati baba wa Taifa na rais mstaafu
    mwl Nyerere, alikuwa mzalendo kwa vitendo,hakuwa mkabila wala mbinafsi familia yake iliishi kawaida tu!

  • @thomasburito
    @thomasburito 6 місяців тому

    Kiongozi uko vizuri.

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 6 місяців тому +5

    Duh! Tarehe 21/ 7/ 2015 alitimuliwa na JPM.
    21/7/24 Ametimiliwa na raisi samia😂

    • @saidmabanga388
      @saidmabanga388 6 місяців тому

      21/7/2015 raisi wa nchi alikuwa kikwete

    • @shavasjohnkay-cw8lg
      @shavasjohnkay-cw8lg 6 місяців тому

      Juju liliexpire21/7/2015,akarenew likaexpire tena 21/7/2024 .Sidhani kama atarenew tena. 😂😂

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 6 місяців тому

      ​@@shavasjohnkay-cw8lg😂😂😂

  • @CharlesMafwimbo
    @CharlesMafwimbo 6 місяців тому +6

    Kwa nini mafisadi nchi hii wanaogopwa? Katiba yetu inaonyesha mapungufu makubwa hawa wote wangeshitakiwa mara moja

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 6 місяців тому

      Ndiyo maana chama kinaogopa suala la katiba mpya!

  • @SillinusNyanda
    @SillinusNyanda 6 місяців тому +1

    Mwigulu...makamba...Nape.Hawa jamani....Ni hatari sana...Na ukweli watu kama Hawa wamo wengi sana..Wabathilifu wa mali za umma.Ubanafsi.Waangaliwe kwa jicho la tatu

  • @elizabethsimba9743
    @elizabethsimba9743 6 місяців тому +1

    Safi sana.

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 6 місяців тому +12

    Raisi Magufuli aliliona muda sana hilo Kuhusu Nape na J. Makamba .
    Mama hakuamini Hivyo kwasasa ameelewa Kwanini Raisi mwendazake aliwatengua.
    Nimpongeze Raisi samia kwa uoni huu .

  • @salumjoka6286
    @salumjoka6286 5 місяців тому

    Ukweli mchungu

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 6 місяців тому +1

    Waaveja Mwana wane

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 6 місяців тому

    Hata mimi nilishangaa sana kitandula kuwa naibu waziri mama nadhani katika uteuzi kuna asilimia50 na zingine niwashauri

  • @LaurentMagesa-iv5yt
    @LaurentMagesa-iv5yt 6 місяців тому +3

    January na Nape hawafai katika taifa hili .

  • @LameckMbele
    @LameckMbele 6 місяців тому +5

    January makamba na Baba yke ni wajuaji sn na rafiki yke Nape kikosi hiki ni kibovu sn

    • @selegioelias9076
      @selegioelias9076 6 місяців тому +1

      Hawa ni wahuni alio wasema pole pole baloz

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 6 місяців тому

    Ukombozi wataifa hili Ni Mungu tu atakayelipambania kwa maana walio shika mipini hawaoni maumivu ya washika makali😮😮😮😮

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 місяців тому +3

    Kada yeyote wa ccm, Akitoka baba anaacha mtoto ashike nafasi, huo ndio mfumo wanaojisifia kuwa ni wa kidemokrasia, ndivyo wanavyopokezana kijiti cha utawala wa kiukoo kuanzia Tanu youthlig/Uvccm tangu 1985!. Magufuli aliwaondoa, wakarudishwa na sasa tena wameonekana wana majungu na tamaa ya kiti wanaanza kuondolewa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 місяців тому

      Hao ni watoto wao na wanafanya kama kisultani au kifalme, subiri tuone watawapa wizara nyingine.
      Magu aliona hawana uwezo lakini mama yao kaona asiwaangushe ndugu zake 😂😂😂😂😂 watajipanga awape kazi nyingine akishindwa kabisa atawapeleka ubarozini 😂😂

    • @winifridabyesigwoa741
      @winifridabyesigwoa741 6 місяців тому +1

      ​@@MsAggie500😊😊😊😊😂😂

  • @TwaibuLali
    @TwaibuLali 5 місяців тому

    Acha ukabila wewe angaria nnchi ulipata uhuru kupitia wapi nyinyi mlikuwa wapi tulia wacha jaziba kachukue 🎉

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 6 місяців тому +2

    Sasa hili bwawa la Nyerere mahitilafu tena haya jmni..gharama kubwa sana serikali inaenda kuingia..vitu vingi vimejengwa chini ya viwango...mmh

  • @RamadhanRamdhan-i2c
    @RamadhanRamdhan-i2c 6 місяців тому +1

    Hapo uko sawa hujakosea hana uwezo mambo yake ya kitoto sana

  • @mosesmzakwe7774
    @mosesmzakwe7774 5 місяців тому

    January
    Nape
    Kinana
    Mwigulu
    Bashe
    Masauni
    Mbarswa
    Hawatoshi kuwa viongozi ndani ya Taifa kwa masrahi mapana ya Taifa hili.
    Ukweli utabaki kuwa ukweli

  • @levislewis4291
    @levislewis4291 5 місяців тому

    Ni ukweli anaongea ila tatizo kubwa ni mfumo wa ccm usiofuata katiba ila utashi....
    Hapo ndipo ccm inakosa kupendwa zaidi inakua na machawa na wanafiki...
    Na ukweli ccm wote mbinguni hakuna nafasi yenu bila kuondoa unafiki...
    Baada ya uongozi mtaondoka Duniani kama ilivyo kwa yeyote... Jueni Hilo.. Kitabu macho apa nacho kinaangalia miyoyo yenu... Muogopeni Mungu kwenye unafiki..
    Ni ushauri wangu nautoa bure kama mwananchi mlipa Kodi.

  • @lilianHigilo
    @lilianHigilo 5 місяців тому +1

    Mwigulu atumbuliwe

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk 5 місяців тому

    Msiba aritahadhalisha sana kuhusu Makamba na wenzake, sasa wametuletea hasara ndio mnashituka , hawa hawafai hatakua Barozi wa Nyumba kumi.

  • @FrancisNgereja
    @FrancisNgereja 6 місяців тому +1

    Francis zongo ngereja mama samia asiangalie sura ya makamba,lzm ashitakiwe watanzania tumechoka tuna shida mno,hy makamba alete hz hela ht wananchi wa khali ya chini tupate ht unafuu wa maisha tunaibiwa mno,jamani watanzania wamekosa cha kuzungumza kwy nchi yao,wanatawaliwa na mabeberu,mtu mmoja anawetesa watu million 60,du!! Mama kamala hao wanyanganye hate za kusafiria walete hela,na hilo bwana liishe

  • @Bone_Gamer24
    @Bone_Gamer24 6 місяців тому +1

    kwenye safari hapo uko sawa sana

  • @ChachaSamwel-k8u
    @ChachaSamwel-k8u День тому

    braza ukicheki kwandani nirushwa au udalali

  • @RamadhanMakoka-vp9cl
    @RamadhanMakoka-vp9cl 5 місяців тому

    Mngemtazama pia wakati alipokua waziri wa mazingila alifanya nlni,

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 6 місяців тому

    Judidh ameteuliwa utafanyaje hujuma wakati Dotto naye ameteuliwa

  • @mwanjalimfaume6380
    @mwanjalimfaume6380 6 місяців тому +6

    Utaona watapewa nyasifa zingine Msizungumze sana

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 6 місяців тому +1

    MWIGULU NAE HATOLEWE PALE AMEKAA SEHEMU SIO YAKE. KUNA PESA NYINGI SANA HAZINA ZINAPOTEA

  • @TinaZimba
    @TinaZimba 6 місяців тому +2

    Makamba ni mwizi silipendi hata kidogo kwa wizi wake

    • @Mobmob2013
      @Mobmob2013 6 місяців тому +1

      Jizi alafu machawi

  • @tatankakoroba48
    @tatankakoroba48 6 місяців тому

    She often wait for the right time...she doesnt react quickly..anamsoma mtu anamjua kwa undani zaidi kisha anaamua..very smart leader

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 22 години тому

      Smart wapi ni mwizi walewale tu nayeye

  • @nyamsabhimagesa
    @nyamsabhimagesa 6 місяців тому

    Until we stop being naive, then that is when we shaĺl be able to perceive things and not to mention making the right decisions by selecting the right person. Otherwise, we shall continue to be the casts of thei drama.
    Ati waswahili wanasema hivi "FUNIKA KIKOMBE MWANA HARAMU APITE KWANZA... Na kikombe hakina budi kufunikwa kea kuwa baadhi ya marefa wa mchezo huu ambao hawakupaswa kujulikana , wamejulikana kwa baadhi ya washabiki...
    Lakini tena huyo ndio atakuwa Rais wenu wa miaka 10 mpaka 15 ijayo. Amkeni. KATIBA ya Muungano, KATIBA ya Tanganyika na KATIBA ya Zanzibar ndio suluhu pekee yake ya nchi hizi..

  • @nurdinsurve9475
    @nurdinsurve9475 5 місяців тому

    Hakuna hayoo kwa huyoo makamba haja msaidia yoyote wala simu hapokei huyo makamba

  • @wabbaitan3063
    @wabbaitan3063 5 місяців тому

    Mwandishi wa habari kuna kitu unajaribu kukikingia kifua kwa kumuuliza maswali uku ukiwa na ukweli wake, Unavutia kwa Makamba, nawe ni Mmoja wa wale wana habari walio upande wake, kimahadili mwandishi huruhusiwi kuwa upande, bali ni kuandika habari zote kwa usawa, hufai kabisa ndio maana unauliza maswali yenye lengo la kumchonganisha kwa Rais, na Makamba ukimwita kijana wakati ni Mtu Mzima, ni kuwanyima haki vijana wenye haki ya kuitwa Vijana. Angalia Gen Z Uko Kenya, huo ndio umri sahihi ya neno vijana, 18-35yrs. Mtu ana umri zaidi ya 40yrs ana Mke na Watoto, bado unamuita kijana? uko ni kuwanyima vijana nafasi, vijana wanawakilishwa na wazee au watu wazima kabisa wanaojiita Vijana.

  • @hamisihemedi1099
    @hamisihemedi1099 6 місяців тому

    Kweliiiiiiììio ndugu yangu uko sahihi kabisa

  • @hamidumwalula4127
    @hamidumwalula4127 6 місяців тому

    Remote ndo inaleta shida ktk nchi hii

  • @asungushepatrick5414
    @asungushepatrick5414 6 місяців тому +1

    Hawa viongozi wachunguzwe utajiri wao, mana wanatuona watanzania wanasesere.

  • @FrancisNgereja
    @FrancisNgereja 6 місяців тому

    Mhe kasimu majaliwa tunakuamini,mhe biteko tunakuamini, vaeni kofia ya magufuri mmsaidie mama samia

  • @MarriamNg9wi
    @MarriamNg9wi 6 місяців тому +1

    Wezi hao wafilisiwe warudishe fedha za watanzani

  • @EzekiaMyila
    @EzekiaMyila 6 місяців тому +9

    Makamba hafai ataishia kuota urais hatapata

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 4 місяці тому

    Nkindikwa unayamwaga vizuri na mama ayasikie vizuri kwa makini aliwabeba kumbe wabaya wake

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 22 години тому

      Ana huo muda wa kuyasikiliza haya aache kwenda dubai

  • @DanielWambura-j8r
    @DanielWambura-j8r 6 місяців тому

    Hakika umeongea point tupu

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 6 місяців тому +7

    Shida ni aliyewaweka ukiwa wana doa kubwa ...tena akawapa nafasi kubwa sana na kuwatoa watu WEMA wwaliodhibit uwizi kama Kaliman

  • @loycep7785
    @loycep7785 6 місяців тому

    Yaani viongozi wetu wanaturudisha nyuma kwa sababu ya tamaa zao za hela na kusabsbisha Taifa letu kuwa maskini wakati uchumi wetu unauzwa ebu tuweni makini
    Na baadhi ya viongozi wakisema ukweli wanachukuliwa hatua hiyo siyo sawa mwogopeni Mungu wapendwa

  • @LaurianiMkunzi
    @LaurianiMkunzi 5 місяців тому

    Huyo bwana Mama amuone,pia ikiwezekana ampe nafasi ya kumsaidia kazi.

  • @SalomeJackson-c1y
    @SalomeJackson-c1y 5 місяців тому

    Huyu msukuma akipewa uongozi serikalini wafanyakazi watanyooka.

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 5 місяців тому

    Wewe,hapo uko nje.kwamba tuna viwanda via nyaya na transformer,wapi vilipo?

  • @LuciaAgustino-pt5mg
    @LuciaAgustino-pt5mg 6 місяців тому +1

    Ukovizur kaka unasema ukweli

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo 6 місяців тому

    Waache kaka mungu yupo atawaumbua hajawafukuza wanaandaliwa kwenda kufanya maandalizi ya kuiba kura hao ni vinara wa ccm

  • @Benjamini-k7d
    @Benjamini-k7d 6 місяців тому +3

    Tatizo ni rais wetu ni mubovu sana hayo yalikuwaga majipu yeye kawakaribisha

  • @thuwein
    @thuwein 5 місяців тому

    Mnahitaji court summons for character assassination. Stay tuned.

  • @mshanaakbar3687
    @mshanaakbar3687 5 місяців тому

    Mimi Niko kanda ya ziwa madudu ni mengi Sana kuliko kanda zingine

  • @mshanaakbar3687
    @mshanaakbar3687 5 місяців тому

    Ni Muda mrefu Dotto yuko madarakani mbona mafuta hayashuki?

  • @listere-i1b
    @listere-i1b 6 місяців тому +1

    Nitashangaa sana alie kuwa waziri wa nishati january makamba asipo shitakiwa kwa ajiri ya uhujumu uchumi

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex 5 місяців тому

    Muulize Hugo mwandishi Kwa Nini huwa hawaendi kuwahoji hawa viongizi wanaotuhumiwa,mnawaogopa au munaogopeshwa??????

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo 6 місяців тому

    Ni kweli

  • @mshanaakbar3687
    @mshanaakbar3687 5 місяців тому

    Habinder Sigh Seth aliachiwa wakati wa Magufuli wee ni muongo

  • @ISMAILPAMBA
    @ISMAILPAMBA 5 місяців тому

    Unaongea kwa hasira sana huenda unachuki binafsi kwani suala la nishat lilianza toka enzi za Mr Muhongo kma umesahau hata Mr Luasa aliwajibika kisa ni Nishat Acha chuki binafsi ndg yng.

  • @mohammedmdangwe2056
    @mohammedmdangwe2056 6 місяців тому +2

    makamba ni mwizi afungiliwe mashi taka

  • @Robert-p7c1k
    @Robert-p7c1k 6 місяців тому

    Ni mwizi mkubwa huyo makamba, mama hongera kwa kuondoa hili jipu, ni habari sana

  • @lemuelrugumyamheto5094
    @lemuelrugumyamheto5094 6 місяців тому +1

    Bado inawezekana kuwa Kiini Macho tu.Sitaona ajabu wakiibuka katika nyadhifa nyingine tofauti katika system hii.

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 6 місяців тому

      Hawa baba zao walikuwa marafiki yaani mzee Makamba na Nauye baba yake na Nape na huyo Kinana. Na Makamba baba yake January ndiyo wenye nchi wana uwezo was kupiga simu Ikulu na kuongea na Ikulu kwahiyo ongeeni tu ila hakuna lolote la maaana litakaloleta unafuu, wabunge walipiga kelele lakini ndo kwanza aliambiws fanya kazi usisisikilize maneno ya watu naungana na wewe ni kiini macho

    • @Fesary
      @Fesary 6 місяців тому

      Kiini macho, sema kiini sasa iyo imeenda

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 6 місяців тому

    Kwa interview yake hiyo ana kesi nyingi za KUJIBU japo sio mwanasheria fikra zake anazilazimisha kuwa ndio lengo la RAIS kumtengua makamba mtangazaji atakuponza ufungiwe kwa kukiuka kanuni za vyombo vya habari mm SIPENDI utendaji wa makamba alipokua Waziri wa nishati kuna Mambo hayakua sawa ila siwez kumsapoti mzungumzaji kwa upotoshaji uchochezi ubaguzi uzalilishaji spika na mamlaka ya Rais

  • @mussamuna900
    @mussamuna900 6 місяців тому

    Huyu jamaa tipo vizur sana, ila huyu mwandishi ni chenga sana