Maisha ya Marekani: Maswali na Majibu nilipokuwa TikTok Live

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...
    DONATE TO EBM SCHOLARS
    1. PayPal www.paypal.com...
    2. CASH APP cash.app/$EBMS...

КОМЕНТАРІ • 28

  • @kevinmushi8209
    @kevinmushi8209 2 місяці тому +1

    Kama una amini kuna itajikata utulivu wa akili na uvulimivu zaidi na mandalizi nakutoa hofu ya uwoga niambie chuga boy habari za mda huu😢

  • @lijonjo
    @lijonjo 2 місяці тому +1

    Habari. Nimesoma certificate ya Information Technology, nahitaji kusoma Diploma ya Information Technology. Naomba msaada wako.
    Niwe na Documents gani?
    Ada bei rahisi ni kiasi gani?
    Hostel za bei rahisi sana ni bei gani?

    • @kevinmushi8209
      @kevinmushi8209 2 місяці тому

      Baba nitafute tufe pamoja na mimi hivyo ivyo nataka nijue

  • @MkoiTvTz
    @MkoiTvTz 2 місяці тому +1

    Aluta Kontinuo Kamanda

  • @LeahVlogstoday
    @LeahVlogstoday 2 місяці тому +2

    Ni visa gani na paswa kuitumia kumuombea mama na mdogo wangu

  • @estherkiema3569
    @estherkiema3569 2 місяці тому

    Niko marekani tayari

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 2 місяці тому

    Hello abari za asubui ndugu zangu. nawashukulu sana kwa ushilikiano na upendo na ushauli wenu,kwa uyo ndugu yetu ambaye yuko New Jersey je nitawezaje kutoa ushauli kwake mimi nipo Delaware Wilmington na mimi nimepitia hayo anayo pitia lakini sasaivi tuko sawa na mwanangu.

  • @victornzebele3990
    @victornzebele3990 2 місяці тому

    Ahsant kaka kwa elimu hii❤❤❤

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 2 місяці тому +1

    Uyo kaka abaye yupo New Jersey ni jirani na Wilmington Delaware je naweza kumpataje?

    • @karlschrader4026
      @karlschrader4026 Місяць тому +1

      @@stellaprotazibashaijaban-gq4mb kumbe wewe jirani yangu? Niko claymont

  • @RuhumurizaEric-ot5jh
    @RuhumurizaEric-ot5jh 2 місяці тому

    Hi kk nitapataaje nambali yako??? Please

  • @NassirAbdi-fs6vj
    @NassirAbdi-fs6vj 2 місяці тому

    EBM vipi kuhusu community college unahitajika uwe na kiwango gan cha pesa kwa kozi ya kilimo

  • @estherkiema3569
    @estherkiema3569 2 місяці тому

    Hamjambo nyote jamani niwezaje jiunga nanyi nina maswali private nitawezaje kuwasiliana na mr mwakuliro

  • @vom84
    @vom84 2 місяці тому +1

    Nikiwa na miaka 39 naweza nikaja USA na nikapiga kazi za kubeba mizigo kazi zisizo hitaji elimu ?

    • @user-ki9wu6no3d
      @user-ki9wu6no3d 2 місяці тому +1

      Yes Zipo kazi za Kila aina..wanaziita kupiga box Lakin Uzuri Kwa nchi kama Marekani Kunakuwa na vitendea Kazi rahisishi...

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 місяці тому

      Utaweza?
      Kama kazi za kumhamisha mtu akitaka kuhama

  • @houseoflifechurchtv9069
    @houseoflifechurchtv9069 2 місяці тому

    Hello EBM. Mimi nataka kuja kupitia green card in marriage na Nilikuwa deported jee ubalosi utaniruhusu

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 2 місяці тому

    Eti Gombana na Ruto awe Kama Roma Mkatoliki🏃🏃🏃🏃😂😂😂

  • @vom84
    @vom84 2 місяці тому

    Napandaje live na mm?

  • @vom84
    @vom84 2 місяці тому

    Hii ni live? Mm nipo DAR nafuatilia sana

  • @user-nb2cw5cn5c
    @user-nb2cw5cn5c 2 місяці тому

    Mwakani mwezi wa 1au wa 2 nitakuwa marekani inshallah 🙏🇺🇸

  • @kaupigwe
    @kaupigwe 2 місяці тому

    Ebm why Trump 2024. It is always 10 for Democrats before a change.

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 Місяць тому

    Tatizo wewe mzee wa EBM autoi PIN watu watafikaje huko, wewe kazi kuhoji vtu vya kijinga tuu, sasa hivi kuna dada yetu 1 tunamkubali saana anaitwa Devota lnflluença1 huyo anatupa madini yoote soon tutafika majuu, wewe kaa na hayo mallotel yako