JE, WAISRAEL WANA HAKI YA KUUVUNJA MSIKITI WA AL AQSA ILI KUJENGA HEKALU LA 3?-MDAHALO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Katika vita inayoendelea baina ya Israel na Hamas ni kwa sababu Hamas wanataka kuwazuia Waisrael wasiuvunje msikiti wa Al Aqsa uliopo Jerusalem ili kulanza ujenzi wa hekalu la 3. Je watafanikiwa? Na ni nini hatma ya vita hii kiunabii? Karibu kwenye mdahalo huu baina ya Mwalimu Daniel Mwankemwa na Nabii Iliyas. Karibu tujifunze!

КОМЕНТАРІ • 198

  • @Immanuel-tb8ys
    @Immanuel-tb8ys 6 місяців тому +1

    Nawaelewa sana watumishi, mjadala ni mzuri sana lakini kuna tofauti za katika eneo la wigo wa uelewa na busara, pia kama hisia za kiimani zitatumika kutoa hoja tutashindwa kupata mwelekeo sahihi, chamsingi wote tukubali kuongea kwa msingi yote mitatu yaani kisiasa, kidini na kihistoria, kila msingi ujadiliwe na wote kwa wakati mmoja na si kwa wakati mmoja mnajadili kwa kutumia misingi yote, naanisha tuanze kisiasa wote kwa pamoja tunasemaje, kidini wote kwa pomaja tunasemaje. Na tumalizie kihistoria wote tunasemaje hapo ndo tutapata mwafaka

    • @beatricenangale5439
      @beatricenangale5439 5 місяців тому

      Yesu Kristu hakuanzisha mgogoro Bali huyu nabii Eliya anaconception iliyoyofauti kiimani

  • @user-jd9bx2qv6r
    @user-jd9bx2qv6r 3 місяці тому

    Mwalimu daniel uko sawa kabisa hiyo ni nchi ya ahadi kwa wayahudi na lazima tuachane, na siasa maana imani ilikuwepo kabla ya siasa so hili swala tuchambue kiimani tuache siasa ya juzi tudumu kwenye misingi ya Mungu ya imani tuache siasa

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz 9 місяців тому +2

    Naunga mkono waya hudi ni sehemu Yao ya kihishoria ndani ya maandiko matakatifu katika bibiria

    • @saeedisa9798
      @saeedisa9798 2 місяці тому

      Hata hawa tambui masihi Isa mwana wa Mariamu

  • @beatricenangale5439
    @beatricenangale5439 5 місяців тому +1

    Ila Shekh amefikisiwa ki maelezo, kwa hiyo anetafuta mbinu tu za kuahiriusha

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 5 місяців тому

    Someni vizuri bible. Baada ya wayahudi. Kimuasi MUNGU. Mungu ariwaambia. Nitawatawanya. Mtakua mateka wamataifa. Kisha nitawakusanya tena kama kuku akusanyavyo vifaranga.kwa hyo saivi MUNGU anawakusanya mabaki.kwahiyo waislamu hapo cyo kwao. Wavamizi. Watokeeeeee.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 10 місяців тому +3

    Vyovyote iwavyo Waisrael wapo kuutimiza unabii ndo maana tukaambiwa kwa mtini tujifunze, tukiona unaanza kuchipuka tuchangamke maana wakati umefika wa ukombozi wetu. Siwatetei Wayahudi juu ya kumkataa Yesu ila Mungu alikusudia sisi tusiomjua Mungu kwanza ili tupate wokovu. WAISRAEL WALIONDOLEWA NA MUNGU KUPITIA WATU NA WAMERUDISHWA NA MUNGU KUPITIA WATU.

  • @uwandanet9382
    @uwandanet9382 9 місяців тому +1

    Nchi hiyo ni ya Wakanani. Hawo wote ni magaidi wa kimsingizia Mungu

  • @user-jd9bx2qv6r
    @user-jd9bx2qv6r 3 місяці тому

    Kwani nabii eliya siasa imeanza kwanza au imani kwanza kama ni imani imeanza basi lazima tujadili kiimani acha siasa kwanza iwe ya mwisho

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 3 місяці тому

    Watoa mada muna maneno mengi kwenye utangulizi wenu.
    Munachosha sana

  • @user-bc3ld1to8c
    @user-bc3ld1to8c 10 місяців тому +1

    Mbna we nabii unachengesha mamb tena unachanganya mamb hujui kua Israel alipewa na mmiliki wa dunia pia hao waliotolewa kama waturuki walikua sio pao Israel walipewa umiliki wa milele

  • @raykyando7571
    @raykyando7571 9 місяців тому +1

    Kumtaja Yesu haina maana kwamba mtaiona pepo la hasha , YESU anasema enendeni ulimwenguni kote mkaihubiri injili na kila aaminiye kuwa YESU NI BWANA na Mwokozi wa maisha yake ataokoka , hakusema atakaye muamini mohammadi, YESU anasema mimi ndimi njia ya kweli na uzima hakuna mtu atamwona baba bila kupitia mimi (YESU) Full stop. Mafundisho mengine zaidi ya hapo ni ya mpinga kristo ( wapinzani wa YESU

    • @yohana1242
      @yohana1242 3 місяці тому

      Wew kweli hujielewi yesu amtaje Mohammed kwa nini wakati Mohammed hajaja bado duniani ule ulikua ni wakati wake alipotumwa na mungu kuja kauwalingania watu na kila mtume ana wakat wake

    • @NduguEzekiel
      @NduguEzekiel 2 місяці тому

      ​@@yohana1242 umepotoka na UKIFA na hali hiyo bila kutubu utaenda jehanam...

    • @yohana1242
      @yohana1242 2 місяці тому

      @@NduguEzekiel mkiristo tunamuelewa san na anajiona yuko sahihi na imani yake na anajiona yuko kwenye haki pasipo kujua ukwel wandani na dini yake ya kipagani utaabuduje sanamu utaabuduje sanamu ushaambiwa muabudu mungu wala usimshirikishe na kitu chochote kuweka sanamu tu ndani ya nyumba dhambi nyingi san nyinyi munaeka masanamu kila pembe wakristo muelezwe vp ili muelewe tunaoko enda ni kubaya kuna azabu za mungu

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 10 місяців тому +2

    Hivi Hamza unabii wa kumpatanisha Mungu waYesu Kristo na shetani umeutoa wapi? Unatoa unabii wa kumpatanisha na shetani? Mungu Yehova na mungu wako alla hawawezi kuwa kitu kimoja hata mwisho wa Kila kitu

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 10 місяців тому +3

    Hamza shetani anakutumia vizuri mno. Shetani amekupata wakala sahihi. Unajiona unanua na kuelewa vizuri mambo hayo. Ukweli shetani kakuvalisha lipepo limekupovusha unatumika bila kujitambua. Huo unabi wako unaodai unao ni maluweluwe hakuna kitu kama hicho. Hilo ni mijini imekuvaa inakuendesha. Subili uje uone mwisho wake.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 місяців тому +2

    Mbona nabii anajificha kwa mchina? Ugomvi wa Isrel na Palestine hauwezi kuondoshwa kwenye udini, haiwezekani. Nabii Hamza akajipange tena.

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 10 місяців тому

      Uondoshwe wapi UN au wapi? Mana kidini bwana Yesu ndio aliewafukuza kwa uovu wao na huku ktk uislamu Mungu ndie aliewapiga marufuku kurejea mpaka gog wamagog watakapowarejesha tena. Na kila mara wanapokuwepo ktk ardhi ile takatifu wanafanya umwagaji damu na fasad ndio kama walivyokua wakifanya tokea Israel ilipoundwa 1948. Kihistoria ukisema ardhi ya mababu zao kwani hata huyo Abraham ambae ndio babu wa Israel jee yeye hakuwakuta wenyeji pale? Acheni kulishwa propaganda na kufanya muishi kama vipofu.

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 5 місяців тому

    Huwezi kutumika mabwana wawili.

  • @nduwayokarenziamon2236
    @nduwayokarenziamon2236 10 місяців тому

    Jambo langu la mwisho lita wahusu nyinyi sote muliopo kwa kuongoza mazungmuzo haya. Mu sipo zungumza hili neno mkiwahusu wakaaji wa mahali haya, kuliko ku izungumuzia ki historia kama mahali pekee yaani ( geographical territory), (chronilogical history) na different occupations or invasions kwenye mahali hapo mtazidi kukosea ninyi sote. Imani tofauti ulimwenguni kote zina msingi wake kwa imani kutoka mahali hapo. Ha kuna miungu tofauti, kwa undanii mcanganyiko huo, muna Mungu anaye miliki vyote pasipo ifahamu wetu na bila kuelewa matendo yake.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  6 місяців тому +1

      Nimejaribu kusoma ujumbe wako kuna mahali sijaelewa hasa pale ulipoandika kwamba imani zote zimetoka hapo Masahariki ya Kati. Jambo hilo siyo kweli. Uislamu asili yake ni Makka Saudi Arabia

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr 10 місяців тому +2

    Mafarisai walitawala TZ kitambo hamwezi pumua tena (yaani waislam)

  • @evangelistjacintajonathan3914
    @evangelistjacintajonathan3914 10 місяців тому

    Lazima huo msikiti ubomolewe Kama ishara ya kumpisha mpinga kristo aingie na kanisa liondolewe

  • @user-wg2gd2nl6c
    @user-wg2gd2nl6c 5 місяців тому

    Kuna maada hazihusuani na siasa. Eliya ulitakiwa kujibu maada husika. Usihushe cyasa. Maana hata ssi Tanzania. Tuna history yetu. Kwa hyo mtu akija kutufanyia vurugu. Lazima tugane nao.kwa hyo Sasa ulitakiwa kujadili maada husika.

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 10 місяців тому +2

    Daniel hupo sawa kabisa

    • @BonnBonn-op6dr
      @BonnBonn-op6dr 10 місяців тому

      Sasa huyu Daniel amekudja kwenye debat ya vita ya wa Yahudi nawa Palestina awo amekudja kwenye Debat ya Biblia???? Hata sura hayina Nuru kweli kabisa inatisha

  • @user-kl1tx3qq1z
    @user-kl1tx3qq1z 10 місяців тому +1

    Danieli uko sawa naunasema kweli huyo mwezako hawezijua mMbo yakiroho juu yeye niwa kimwili mhamed yeye die kilicho najisi mathayo 24:15 kwakuweka msikiti mahali patakatifu hari nguruwe ìla anakula vitu vingine Mathieu

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga 10 місяців тому +1

    kumbuka vita hii inapiganwa na watoto wa mtu mmoja kasoro mama zao

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv 10 місяців тому

    Nabii ilyasa ana damu ya kiislam halafu anajichanganya hata kisiasa waarabu walivamia like eneo wakiwa wanalazimisha dini kiislam kuingiza pale !!! Kama waarabu walivamia na waisrael wakawanyika kurudi kwao baada miaka uliyo itaja haiondoi ukweli kuwa Ile ardhi Yao hata kabla ya 1948 alafu taifa lilikuwepo mwaka huo lilirudishwa !!tu!

  • @thomsonsabano1488
    @thomsonsabano1488 9 місяців тому

    Hongera sana kwa kujadili mambo mema ya Mungu. Kuliko kujadili mpira tu. Nzega Tabora Tanzania

  • @nduwayokarenziamon2236
    @nduwayokarenziamon2236 10 місяців тому

    Jambo la 3. Kwa nini sheh amza ana rudo sana kwa neno ghaidi? Hapo hatambue yakwamba anapigana kidi kwa chombo cha ma neno. Hio dini kwa muelekeo wa imani ni siasa inayo muongoza kwa undani.

  • @FestusJchunya-hc3hv
    @FestusJchunya-hc3hv 10 місяців тому +1

    Waarabu wenyewe sio ardhi Yao kwamba wanahaki halafu hata quiran Ina SEMA wazi kuwa Ile ardhi walipewa wayahudi!!

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      Kwahiyo kama walipewa mayahudi halafu walipotea kukawa kunakizazi Cha watu hapo wanaishi zaidi ya miaka 1000 ndo wakawauwe na kuwatoa kwahiyo red Indians wenye asili ya America waende america wakawauwe na kuwatoa.soma historia bro wewe mkiristo leo ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina Kwa ubaya wa waisrael,wakristo nao wananyanyaswa huko na kutemewa mate,angalia Gaza wamelipiga KANISA na kuwauwa waislamu Kwa wakristo waliokuwa wanajihifadhi

  • @mkude
    @mkude 10 місяців тому

    Wewe mwalimu Daniel wapalestina wapo hapo zaidi ya miaka 1000 na walikuwepo mayahudi wachache wanaishi kwa amani kwahiyo wewe unaunga mkono waisrael waje hapo wawatoe na kuwaua na kuwabomolea nyumba zao,halafu hao waisrael wala hawana ukaribu na wakristo leo hii wewe ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina, angalia Gaza wamelipiga KANISA ambalo waislamu na wakristo wameuliwa walikuwepo hapo wakijihifadhi

  • @libetztanzania-kiswahilina2845
    @libetztanzania-kiswahilina2845 10 місяців тому +2

    SHEKHE HAMZA NABII ELIYA KARIBU KWA YESU KRISTO MNAZARETI MWANZO NA MWISHO ALFA NA OMEGA NDIO NJIA UKWELI NA UZIMA.

  • @ChristmasMaheri
    @ChristmasMaheri 9 місяців тому

    Umoja wa Mataifa,mwaka 1941 walipiga kura ya kukubali kuwa Palestine igawanywe kati ya waarabu waliokuwepo na waisraeli waliohamia kutoka maeneo mbalimbali.Kura iliyopigwa ilikubalika kuwa waisraeli wahamie Palestine iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza.Waingereza walipoondoka Palestine,waisraeli waliunda Taifa lao.Kule Umoja wa Mataifa,waarabu walikataa matokeo ya kura.Waarabu walishindwa katika kura hiyo na walikataa kutambua au kuishi pamoja na waisraeli katika nchi ya Palestine.Hii ndiyo tatizo la msingi.

  • @peterthobias5000
    @peterthobias5000 6 місяців тому

    Eti nabii jamani yy mwenyewe ni gadi kwa mungu maana imeandikwa nyakati za mwisho kutatokea manabii wa uongo

  • @marysanga5310
    @marysanga5310 10 місяців тому

    maada ilikua sio siasa mukiingia katika siasa siasa hazipo katika Mungu siasa hazina ukweli
    Mungu alio ichagua inji hio kuwapa wana waisilaeli ndio anaye jua siasa ni wongo MUNGU ni kweli

  • @user-ff7xk8id2i
    @user-ff7xk8id2i 10 місяців тому

    Sasa kama huo msikiti Al aksa unasimamiwa Lebanon through trust Islamic fund.itakuaje waisraeli wauvunje huo msikiti.na miaka yote waislam ndio wanaosali hapo?

  • @gwantwamwakajela4362
    @gwantwamwakajela4362 4 місяці тому

    Mwalim Danieli hatoshi kufafaniua maandiko sisemi hafai ila hatoshi

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  4 місяці тому

      Gwantwa unataka nifafanue nini wakati Sheikh Hamza hatimaye alikiri kwamba ni kweli vitabu vya Kiislamu, Kiyahudi na Kikristo vinathibitisha kwamba Israel ni mali ya Waisrael? Ikiwa niliyekuwa ninajadili naye ameelewa na kukubali, kutotosha kwangu kufafanua kunatoka wapi? Fuatilia kwenye channel yake umsikilize mwenyewe alichosema.

  • @user-xi7wh3dr4o
    @user-xi7wh3dr4o 10 місяців тому

    Wakristo vipofu Kwanini washirika wao ni mashoga (Marikani Ujerumani Uingeleza Ufaransa na.....) Nyie wakirsto vipofu na viziwi Mungu asimamiwe na na watu wanaungana na watu wanaoamrsha uchafu.

    • @sammganga6865
      @sammganga6865 10 місяців тому

      Vipofu nyinyi mnaoshondwa kung'amua mambo mnadanganywa na dini feki.

  • @silaondijo-hi6mi
    @silaondijo-hi6mi 10 місяців тому +3

    Free free Israel

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 10 місяців тому

      FREE MASHETANI WA ISRAELI

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 10 місяців тому

      ​@@mombasa0076😂😂😂😂 asante ndugu

  • @nicksonlibent2903
    @nicksonlibent2903 4 місяці тому

    Kitu cha kujifunza na ninaamini unakijua na ni vile unajizima data tu.
    UKIANGALIA MAANA TU YA JINA YAKOBO NI VITA, ISRAEL NI MAPAMBANO, SO NI LAZIMA KUMILIKI NA KUTAWALA KWA ISRAEL KUZINGATIE MABAVU

  • @user-wz9vs5px4e
    @user-wz9vs5px4e 9 місяців тому

    Elia anacho zungumuza nisahihi kabisa ila kwasababu muko kwenye Dunia isio nauruma isio penda amani lazima muwasapoti marekani na chote kinacho tokea nimufumo wamumarekani

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  9 місяців тому

      Umeelewa kichwa cha mada? Tumeongea kuhusu ISrael au Marekani?

  • @bisagakaboboye8060
    @bisagakaboboye8060 10 місяців тому +1

    Je kupambana na ukoloni ni ughaidi au ni kudai uhuru wa nchi yao? Taifa la israeli lilikuwepo tangu mwanzo lakini wakoloni wakawafukuza nchini mwao.

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga 10 місяців тому

    naomba unifafanulie lzraeli haikupewa nchi ya kanani na mungu je unaelewaje kuhusu safari ya wana wa izraeli kutoka misri hadi kanani nakuuliza nabii eliasa

  • @SarahKapella-rm2of
    @SarahKapella-rm2of 8 місяців тому

    Yule anayeanza kuzuru mwingine ndiye Gaidi.

  • @lisauroble31
    @lisauroble31 10 місяців тому

    HAMZA ANawafunfisha sisi tufuta vitabu diyo mstakwa mtu hivi mayahud watapiganasku mwisho munguamewaapa laana matamanyo yawo kugeuzahaki wanajuwa wakefuta yawo amuza tuwekee maada tujifunza kutoka kwako

  • @uwandanet9382
    @uwandanet9382 9 місяців тому +1

    Niko pamoja nawe Daniel. Mpango wa lsraeli kuwa Taifa si mpango wa Mungu.

  • @hafidhimuadham9976
    @hafidhimuadham9976 10 місяців тому

    Uyo hamza ni mkristo naunabii wake umeshafika mwisho naongea mie (sharif muadham

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 3 місяці тому

    Saud Arabia wana katiba yao inaitwa Dastur siyo Quran

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 місяців тому +1

    Ugomvi wa Israel na Palestina ni wa kidini na kihistoria, Hamza anajificha kwenye siasa inayoanzia 1948 Israel waliporejea kwenye nchi yao rasmi,. Azungumzie historia kabla ya kurejea kwao 1948. Israel ni nchi ya nani kwa asili?

  • @uwandanet9382
    @uwandanet9382 9 місяців тому

    Wote ni magaidi nchi hiyo ni ya Wakanani

  • @simonbaltazar9152
    @simonbaltazar9152 3 місяці тому

    Watajengaje hekalu bila kuwa na sanduku la agano? lazima uelewe kuwa hekalu litakalojengwa ni la shetani,sio la MUNGU

  • @nicksonlibent2903
    @nicksonlibent2903 4 місяці тому

    Eliasi unakosea kusema kwamba Israel ni taifa la Kishetani, tubia huo uovu...
    Kama Kweli wewe ni Mwenye nia njema inakuwaje unataja jina na shetani kwenye maswala ya kisiasa?

  • @jumayakobo7703
    @jumayakobo7703 9 місяців тому

    Waizieli Hawa siyo wale wa yakobo Hawa ni wahatari Santa Mimi naamini hivyo

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 місяців тому +2

    Shekhe Hamza anasema Yesu ni mkombozi wa maisha ya wanadamu. Waislamu mnakubali hilo? Kama hamkubaliani naye maana yake anakufuru siyo? Kama ndivyo, mnamuunga mkonoa Kafiri na kwahiyo wotemmekuwa makafiri😂

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 10 місяців тому

      waislamu ata baadhi ya maneno yaliyopo kwenye bibilia yenu ni ya kweli lkn Haina Mana kuwa tumeunga mkono kila kilichopo ktk bibilia kwa sababu kuna mengine ni ya uzushi, alafu waislamu wameruhusiwa kushirikiana na watu wengine ata kama c waislamu ndio mana mitaani tunaishi na tuna heshimiana, ata wewe tunakuunga mkono ikiwa tu kuna jambo litakuwa la kweli kuna wakristo wengi tu kuna baadhi ya mambo wanayajua kuhusu uislamu na tunaungana nao ktk mambo ayo

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 10 місяців тому

      Kutokana na ufatiliaji wangu wa Waislam kujua Biblia siku hadi siku watajua ukweli kwani baadhi ya maandiko ambayo Muislam anayakubali ni yale tu yatakayo tumika kuukandamiza Ukristo tena kwa kukatisha maandiko kwakusomewa na Shekhe na chuki na ubaya wanao pandikizwa Waislam toka wakiwa wadogo kuwa Wakristo ni watu wabaya na Biblia ni kitabu cha uongo na wala msikiguse wakati Mashekhe wanajua ukweli vizuri ila waumini ndio wanadanganywa wasijue kweli. Baada ya Wasilam walofanikiwa kufafanuliwa Biblia kila siku wanampokea Yesu mpaka India wameona wachome moto makanisa na kuwaua wakristo. Irani wanateka wakristo wanawaua nakuzika kwenye kaburi moja watu hata mia sasa nani magaidi?

  • @shabanmaganga9972
    @shabanmaganga9972 8 днів тому

    Je usayuni ni ukiristo ?

  • @bekabakari7394
    @bekabakari7394 10 місяців тому

    Kwaujumla huko united nation
    Swala hili halizungumzwi kidini kama sisi tunavyo zozana
    Nimikataba aliyopangiwa Israel anapingana nayo
    Na kuwakandamiza Palestinian un hawaelezi kuhusu
    Ibrahim wala Jesus Christ

  • @user-gk6ty7tt9o
    @user-gk6ty7tt9o 8 місяців тому

    Huwezi kuzungumzia historia ya Israel bila bila kuhusisha Biblia.

  • @mmeagroup-TV
    @mmeagroup-TV 10 місяців тому

    Nonsense

  • @mkude
    @mkude 10 місяців тому +1

    Acheni kupotosha watu hakuna atakaevunja huo msikiti wala waisrael hawajalizungumzia hilo,halafu haihitaji kuwa muislamu kupinga ubaya wa waisrael inahitajiubinadamu kuipinga Israel wanawaua watoto kwa wanawake,hao waisrael wala hawapo karibu na wakristo leo hii wewe mkiristo ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina, waisrael wanawanyanyasa wote wakristo kwa waislamu angalia huko gaza wamelipiga KANISA ambalo wakristo na waislamu wamewaua walimuwa wanajihifadhi

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 9 місяців тому

      Wakristo wanapopingwa na Waisrael ni kutokana hawajafunguliwa neema ya kumjua Yesu Kristo ambaye hakuleta kumtangaza yeye kwa vita bali kwa neno tu waliomkubali walifuata neno na wakawa na amani ndani ya Waisrael,sasa wasiolikubali bado wanaamini Yesu alikuwa muasi wa Imani yao ya Kiyahudi,baada ya hawa wawili kusuguana kiimani pia wakawa wameshasambaa mataifa yote ya Kiarabu ikiwemo Madina,Saudi Arabia(Makabila matatu ya Waisrael walitawala pale wakaja kutimuliwa baada ya Muhamad kuanzisha Uislam na kuwachinja).
      Kuja kwa Uislamu ndiyo kulikuja na hali ya kueneza Imani yao kwa Kuharibu na Kuua kiasi cha kuiteka Israel na kulazimisha kujenga Msikiti wa A-lAqsa hiki ni kipindi cha Halifa Umar baba wa mke wa Muhamad aitwaye Hafsa(historia yake Umar alikuwa katili sana kwa kuchinja kiasi alipewa jina la utani na Muhamad Saifullah yaani Upanga wa Allah
      Wayahudi wanafanyiwa haya yote kwa ajili ya Uislamu tu,leo hii Waisrael wanaonekana wabaya ni kwa sababu Waislamu wameibeba ajenda ya Wapalestina kwani kwa Imani yao ndani ya Quran Muislamu ndugu yake ni Muislamu sasa Wapalestina waliikumbatia imani ya Kiisalamu kwa kuona ni Watetezi wake kwani Ndani ya Q'uran kuna maelekezo ya kuwaua Wayahudi na pia Wameambiwa ni maadui zao Wakristo na Waisrael(Wayahudi).
      Hivyo hata hawa Walimu wanashindana hapo kwa sababu wanamkaribisha huyo Muislam anayeitwa Hamza Isa na kudai ni Nabii Elyassa(Elias) ambaye Waislam hapa Tanzania walishamuweka kitimoto na kupangua hoja zake za Kinabii na uchochoro anaouona ni kukaa karibu na Wakristo ili kujitanua.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 8 місяців тому

      Kuua wanawake na watoto hiyo sio hoja hata Mungu mwenyewe miaka ya nyuma aliwaagiza wana wa Israel waende vitani wakaue watu wote ikiwemo wanawake na watoto na kisisalie kitu.kikubwa tuwaombee kwa Mungu na Mungu akikubali maombi yetu wataishi kwa amani.

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz 9 місяців тому

    Erias ana piga chenga kwa kujitetea kwa kufuata Siasa

  • @ChristinaCharles-py1ct
    @ChristinaCharles-py1ct 10 місяців тому

    Wayahudi hawana haki ya kuuvunja msikiti wa al aqsa.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 місяців тому +1

    Kwani hata ingekuwa ni kujadili kisiasa, kwani kisiasa, ni nchi gani itakubali kuvamiwa iwe kisiasa au kidini wakakubali? Israel watakubalije wanyang'anywe nchi yao?

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 10 місяців тому

      😂ZANZIBAR NA PALESTINE😂
      @Wakiristo waliivamia Zanzibar kwa jina la Mapinduzi Matukufu na wakaifanya kuwa Koloni yao kwa jina la Muungano Daima.

  • @user-ff7xk8id2i
    @user-ff7xk8id2i 10 місяців тому

    Kwani niulize hao wote wanaopigana.hao ni mandugu na wote ni famili ya Abraham.sasa Abram ni muislam ama niwa dining gani

  • @hilarymtepa9811
    @hilarymtepa9811 10 місяців тому

    Ni kweli mataifa yote sasa hivi yanaendeshwa ki-secular.Hiyo Saudi Arabia Quran haitumiki kihiivyo ,imebakia kimaandishi tu lakini kiuhalisia dini haitumiki.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 місяців тому

      Kwa hiyo Saudi Arabia haina Katiba kwa sasa?

  • @babauna3458
    @babauna3458 10 місяців тому

    Wajua mayahudi kabla kupelekwa Jerusalem. Walikua wanaletwa Uganda. Eid amini akawafukuza . Alafu wa kapelekwa palestine ndio balaa zote. Kwanza mayahudi hawatambui yesu ni mungu wao ndio walimuaa mungu yesu.

  • @EsitaDavid2-wp1uf
    @EsitaDavid2-wp1uf 10 місяців тому

    MWALIMU DANIEL YUKO SAWA,MUNGU WA ISRAEL NDIYE MUNGU MWENYE NGUVU,KARIBUNI KWA MUNGU WA ISRAELI MUNGU WA BWANA WETU YESU KRISTO, ANAKUJA KUTUCHUKUA,DUNIA INAENDA KUCHACHA NA BADO.UFUNUO ,1-22.

  • @shadrackmwasonya8781
    @shadrackmwasonya8781 10 місяців тому

    Wasemaga "Hii imeendaaaaaa" "Hiii imeeendaaaaaaaaa! Mungu awabariki Sana Makamanda.

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 6 місяців тому

    Jee waisrael watakapo taka kurudi nchi aliyotoka Ibrahimu hapo uru wa wakaldayo au mesopotamia kwa sababu Mungu alimwambia toka ktk nchi ya baba yako na ndugu zako na jamaa zako hata nchi nitakayo kupatia ,je?? Israel wakiamua kirudi irak waislamu hamata lalamika tena na kusema wanevamiwa na waisrael???

  • @user-lu2fy2iu6d
    @user-lu2fy2iu6d 10 місяців тому

    Jamani tujichange nauri hamza aende israel akatulize vita

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 10 місяців тому +1

    Huyu Hamza alikuja hapa kujadili mgogoro wa Israel na Palestina kana Nabii au kama Hamza tu? Nashangaa nabii gani hataki mjadala wa unabii unaohusu Israel anataka siasa? Mimi huyu huwa ananichanganya tu, simuelewagi.😂

  • @user-ff7xk8id2i
    @user-ff7xk8id2i 10 місяців тому

    Sasa bw.daniel.kama wayahudi walikataa mambo ya mungu.na pia walmkataa Issa.sasa hao niwatu gani simakafiri.wanawakataa mpaka hao wanao jiita wakristo pia hawatambui.sasa hao ndio mnawatetea

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 10 місяців тому

      Bado watabaki kuwa Waizraeli na pale patakua kwao mpka mwisho wa Dunia. Ila kutawanyika na kuteseka mpaka kukusanyika yote hayo yameandikwa kwenye Biblia, kingine kutokana na wao kumpinga na kumkataa Yesu! hivyo hata ule utukufu walikua nao haupo tena kwao na hata zile kabila 12 ziliishia kipindi cha kuondoka Yesu nae ndie aliutoa huo utukufu, hivyo upande wa kisiasa kweli ni magaidi kidini pale ni kwao ingawa wazawa hawakua wazungu ni watu weusi wale wanatumia jina Izrael lakini wale ni Pandikizi la wazungu USA na England kwa malengo yao maalum.

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij 10 місяців тому

    Kama ichi yetu angalikua na watu wasio kuwa na akil kama tanzania basi tungepata tabu sana yani wa israel walikua watu weusi kk?

  • @salumndege6486
    @salumndege6486 10 місяців тому +1

    Mimi nashangaa siye watu weusi tunahusika wapi ktk migogolo ya wazungu

  • @user-wz9vs5px4e
    @user-wz9vs5px4e 9 місяців тому

    Nimeamini wasomi maporofesa ningumu kujuwa hili la malestina na izirael mupaka uwe nanema .naitwa waipinta

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  9 місяців тому

      Sijaelewa hebu fafanua tena ujumbe wako

  • @DevotaSanga
    @DevotaSanga 10 місяців тому

    ibrahimuni nani misri ni nini n a lzrae ni tai fa ambalo liliingiaje kamani namamba inijibu eliyasa

  • @user-np1ge8eo1y
    @user-np1ge8eo1y 10 місяців тому

    Iv Zakaria alianza kutabiri mwaka gani?

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 10 місяців тому +1

    Daniel huyo sio nabii na Hana unabii wowote jina lake ni hamza mwite hivyo. Mwulize amefika wapi na unabi wake.

  • @josephmahona3006
    @josephmahona3006 10 місяців тому +1

    Mwl danieli nimekufatiria sana umekosa maarifa kama aliyokua nayo nabii eliyas mdaalo mzuri tunazidi kujifunza ila mimi ni mkristo ninae simama na elyas

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 місяців тому

      Fafanua

    • @shabanmaganga9972
      @shabanmaganga9972 8 днів тому

      Daniel kapaniki badala ya kutoa elimu kifupi ufahamu wake kuhusu mada bado Sana

  • @abdalahsuleiman8989
    @abdalahsuleiman8989 10 місяців тому +1

    Huyu Daniel Hana akili kabisaaaa huyu hamza njaa ndiyo inamsumbua mpaka kujiita Nabii uzayuni ni chama Cha Freeman mason Cha kiyahudi

    • @pueblo148
      @pueblo148 9 місяців тому

      Nimecheka sana.
      Daniel Yuko sahihi.huyu mwenye kualika umoja wa mataifa mara wachina juu juu haeleweki

    • @denismugisha2
      @denismugisha2 2 місяці тому

      Wewe ndio huna akili usitukane wenzio kuwa mtaarabu

  • @user-bc3ld1to8c
    @user-bc3ld1to8c 10 місяців тому +1

    Shekhe umesema kua hawa waisraeli walitoka ndipo hao wapalestna wakaingia pale Israeli sasa tuludi kidunia hivi wewe Leo hii utoke hapo ukute ndani kwako kuna mtu kaleta familia nani gaidi au utatoka uende ukalale mtaloni

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      Unaleta mifano ya kitoto acha unafiki wewe wapalestina wapo zaidi ya miaka 1000 hapo taifa la Israel lilishasambaratika,sasa wanahaki gani ya kurudia nakulazimisha na kuuwa watu walikuwa wanaishi hapo kizazi na kizazi,halafu hao waisrael Wala hawana ukaribu na Nyinyi wakristo leo hii ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina, huko Gaza wamelipua kanisa ambalo waislamu Kwa wakristo waliokuwa wanajihifadhi

    • @user-bc3ld1to8c
      @user-bc3ld1to8c 10 місяців тому

      Vitu vingine mbona hata kwa macho tu vinaonekana bas nikubaliane na wewe kua hao waisrael walisambalatika wapalestina wakakaa kwao iweje sasa baada ya kuludi kwao wapate nguvu kuliko hao hamas jaman tuache ubishi Israel wananguvu na uwezo mkubwa kwasababu mungu wao ananguvu pia nimaagano kutoka kwa mungu mkuu

    • @user-bc3ld1to8c
      @user-bc3ld1to8c 10 місяців тому

      Alafu pia huyu nabii anakili kua mskiti lazma uvunjwe sasa unavujwa vip jua kua mungu anaweza hata kumtumia shetani kutimiza agano Lake kama kwel hao hamas ni wa mungu kwann wasivunje msikiti wenyewe wajenge hekalu pia swala la wao kuuwawa hapo kwangu mimi haina shida kabisa kumbuka kabla hata ya Israel kumiliki hapo wakaanani walikua hapo mungu aliwatoa kwa nguvu na kwa mauaj makuu iweje hamas

  • @user-bo2ms3pu6u
    @user-bo2ms3pu6u 10 місяців тому +1

    Awe muislam au mkristo ukweli usemwe

  • @ramazaniissa-hv8yc
    @ramazaniissa-hv8yc 10 місяців тому +1

    Inaana wewe miwani unaunga mkono mauwaji inakubidi uchunguzwe akili yako

    • @pueblo148
      @pueblo148 9 місяців тому

      Haungi mkono mauwaji lkn huo ndio ukweli.mtu akuvamie kwako auwe maelfu ya familia Yako unapojibi mashambulizi inakua nongwa.Acha wakung'utwe.wangefikiria hivo wasingeenda kuwavamia masimba wakiwa wamelala.sasa wananifanya malaika.

  • @user-ff7xk8id2i
    @user-ff7xk8id2i 10 місяців тому

    Mbona leo hammas wanaitwa magaidi kwa kua wanajitetea.mbona waisrael wakati wakiwauwa wapalestine hawakuitwa magaidi.kwani waisrael wao ndio wako na haki yakua kina mama na watoto.

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      Hao wanafuata media za kizungu walikuwa wanamwita MANDERA Gaidi kutete Arthi yake,halafu hao waisrael hata hawana ukaribu na wakristo wakristo wa Jerusalem wapo pamoja na waislamu kuliko Israel hawaekewi kitu hao,huko Gaza wamelipiga KANISA

  • @DeusiSetivin-ls9uz
    @DeusiSetivin-ls9uz 9 місяців тому

    Hamza anasomaga bibiria na korrarn anashindwaje kujibu wakati hua nimsomi wa vyote ? Inatufanya tujie wewe hamza unaupendereo wa kuegemea upande wa kutetea dini yake ya waisram

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 10 місяців тому

    ACHENI KUPOTOSHA WATU , MNACHOFANYA NYINYI NI UCHOCHEZI NA UPUUZI .
    NANI AMEAMBIWA AVUNJE MSIKITI NA HUO MSIKITI UNAKUKERENI KWA LIPI.
    ACHENI PROPAGANDA ❤
    KAMA NINYI MNATAKA KUVUNJA MSIKITI NENDENI TU MKAVUNJE TUONE MTANUFAIKA NA NINI .

  • @desireas
    @desireas 10 місяців тому

    Naitwa AS DESIRE jamani tunawafuata hata huku drc Mungu awabariki

  • @aliabdallah4233
    @aliabdallah4233 10 місяців тому

    Bwana Hamza unanimlza ukimambia Danieli tueke biblia pembeni tuchambuwe kisiasa kwanza tatzo danieli kusiasa hujuwi ndio mana alkwepa

  • @blues4life633
    @blues4life633 10 місяців тому

    Unakua live kuptia mtandao gani Daniel?

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 місяців тому

      Kupitia mtandao wa Bayyinat DM TV

  • @azizmunisi1806
    @azizmunisi1806 10 місяців тому

    Naomba mniambie pale palestin ni nani walikua wanaishi kabla nabii Ibrahim kununua ardhi pale na walikua wanaitwaje

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 місяців тому

      Walikuwa wanaishi Wakanani kama Quran 5:20-21 ilivyosema

  • @user-vr8rq5lw6n
    @user-vr8rq5lw6n 10 місяців тому

    Unajiita nabii kumbe mwehu tu huna ufaham wwt ww ni manafiki wa kutupa.

  • @CanBoyCanBoy
    @CanBoyCanBoy 10 місяців тому +1

    Nabii uchwara

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 10 місяців тому +4

    Daniel uko ovyo huna hoja, kinachokusumbua ni chuki za kidini, kiukweli jamaa amekutupa mbali sana.

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 10 місяців тому +1

    Ni sawa useme wamburu na waludi Ethiopia wawafukuze wale walio waacha au wangoni waludi South Africa wawafukuze makabila yalio baki huko,kuna watu awaamini vitabu na wanayaona yanayo endelea wataukum vip

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 10 місяців тому

    Ndio waisrael Wana haki ya kuvunja msikiti wa Aqsa

    • @faisaloaljabry6400
      @faisaloaljabry6400 10 місяців тому

      Nenda kawasaidie kuvunja msikiti na kwa kukusaididia huko ni mbali misikiti iko mingi hata huo uliyopo kwenu ni msikiti kavunje lakini ujue huvunji uislamu unavunja nyumba yakufanyia ibada na katika uislamu tunaweza kufanya ibada popote tu.

  • @nduwayokarenziamon2236
    @nduwayokarenziamon2236 10 місяців тому

    Jambo la 5. Sheh ametupotosha pale alipo anzia, hapo alipo hakikisha ya kwamba mwaka 1948 siyo mwanzo wa israheli ni wakati wa kurudishwa kwake, lakini hakubali kutafsiri sionists ni watu gani, na ukimifuata vizu, utasikia kwamba, anapenda kuuepuka ukweli fulani kwani anapigana sana kidini apana ki historia..

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      Ndugu soma acha unafiki,unajua wewe mkiristo leo hii ungekuwa Jerusalem ungekuwa pamoja na wapalestina Kwa mauzi wanayowafanyia wakristo Kwa waislamu mnatemewa mate nyinyi mkionekana Jerusalem halafu leo unawaona wazuri,wamepiga Gaza Kanika la Karne linamiaka zaidi ya 800 wamelipiga wamewaua wakristo na waislamu waliokuwa wanajihifadhi katika Hilo kanisa,hata mayahudi wengi Duniani hawakubaliani na taifa la israel.sasa hivi nchi zenye wakristo wengi wameshavunja mahusiano na Israel Kwa ubaya wanaoufanya

  • @hoffmanlupaya5728
    @hoffmanlupaya5728 10 місяців тому +2

    Hamza unaongea mambo ya uongo. Unaongea vitu vya kimwili, mambo hayo hayako hivyo. Usidhani Mungu analingana na akili Yako. Unapotosha watu acha kuwa wakala wa shetani

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 10 місяців тому

    mwankema ovyo Sana Mwaipopo amekuita muendeshe mjadala unmkimbia

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 10 місяців тому

      Ndugu fungua Clip za nyuma za Mwaipopo yeye ndo hataki na amewatangazia na mashekh wenzake wasifanye debete yoyote na hawa kina chaka kisa akisomewa mistari ambayo wengi wa Waislam hawaijui na inamuanika Muhammad yeye Mwaipopo anasema wanamtukana Muhammed wakati ni ukweli na nivitabu vya kiislam vyenyewe vimeandika

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 6 місяців тому

      Wewe mwakemwa hueleweki n
      Kuna klip yako moja niliona nikaona wewe kweli na WA ovyo na
      Mwalimu Daniel,nataka unifahamishe ili tuamini kuwa biblia ni kitabu Cha Mungu Hawa kina petro ,Marko,yohana, Paulo,na wengine,walio semwa katika biblia,haya maneno wanayosema wao wsmesmbiwa na nani?

  • @hafidhimuadham9976
    @hafidhimuadham9976 10 місяців тому

    Usiongope watu wrwe sio nabii

  • @GaudenceSanga-lr6zo
    @GaudenceSanga-lr6zo 10 місяців тому

    Israel ni taifa jipya au lilikuwepo? Na kama lilikuwepo kwao wapi? Shegh hamza nipe jibu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 10 місяців тому

      Ilo taifa la izrael halipo yani limekufa

  • @alsam4881
    @alsam4881 10 місяців тому +1

    Mwl. Daniel acha chuki za kidini, nenda kasome tena dini na historia vizuri ili upate kuelimika, Na Je wewe unaona ni sawa Watoto wasiyokuwa na hatia wanauliwa na waisraili? Dini gani inakubali kuuwa watu wasiyokuwa na hatia? Hao waisraili ni magaidi na ni wezi, na ndiyo maana Hitler aliwauwa sana kwasababu alishawaona kuwa siyo watu wazuri kuishi nao hapa duniani. Na pia waisraili walikataa kwenda kuishi Uganda kwasababu waliona kuna Simba huko na wakaogopea maisha yao.

    • @charlesmapunda5905
      @charlesmapunda5905 10 місяців тому +1

      Chamsingi ombea vita iishe ukisema Waizrael wabaya hawafai, kwani nani alimuanza mwenzake kuua watu wasiokua na hatia? sasa wao wanaona wanaonewa sasa wameteka watu wasio na hatia na hawataki kuwaachia sasa wanategemea nini? na hivi hizi video wanazo toa kuonyesha unyama wanao ufanya kwa askari wa Izrael walio wateka? au unalaani tu bila.kuangali sababu zinazopelekea Waizrael kutositisha vita? na nzuri zaidi wanajua nchi zote zilizo wazunguka hawawapendi kama walijua hawataweza kupambana kwanini walianzisha vita? Mkuki kwa Ngurue kwa binadamu mchungu.

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      ​@@charlesmapunda5905acha unafiki au labda hujui,waisrael wanawaua wapalestina miaka zaidi ya 50 west bank hakuna Hamas kabisa miaka zaidi ya 10 wamewaua wapalestina zaidi ya 10000,kuwa mkweli acha unafiki huko west bank hakuna wanamgambo wa Hamas, waisrael wanawavunjia nyumba za wapalestina na kuongeza makazi mapya new settlement na kuwaweka waisrael UN wanapinga Hilo hata Amerika wanapinga Hilo kuongeza makazi mapya Kwa wapalestina story ni ndefu zaidi wananyanyaswa sanaa wapalestina.angalia kuwa makini sanaa na hizo western media,walimwita hata MANDERA Gaidi kisa anatetea Arthi yake

    • @mkude
      @mkude 10 місяців тому

      ​@@charlesmapunda5905halafu ndugu hao serikali ya Israel Wala hawana mahusiani mazuri na wakristo, wapalestina ndo wanaishi vizuri na wakristo ungekuwa Jerusalem sasa hivi wewe mkiristo ungekuwa pamoja na wapalestina wakristo wakipita wanatemewa mate wananyanyaswa pia,angalia Gaza waisrael wamepiga KANISA, KANISA ambalo wakristo na waislamu walikuwa wanajihifadhi.angalia mataifa mengi ya kikristo wanawapinga Israel Kwa ubaya wanayofanya tayari mataifa zaidi ya Saba yenye wakristo asilimia zaidi ya 90 wamevunja mahusiano na Israel.Amerika ni taifa linalool gozwa na watu wasiokiwa na dini ndo manaa lipo na kuwaletea israel.

    • @AnyimikeKajeti-fl3os
      @AnyimikeKajeti-fl3os 9 місяців тому

      Wow amzaBado hujui historic yaIsraeli

    • @pueblo148
      @pueblo148 9 місяців тому

      ​@@charlesmapunda5905akuanzae mmalize.kwani wapalestina walipovamia Gaza wakawaua maelfu ya waislael hawakuwepo watoto na WA awake? Yaani unaanza uchokozi ukizidiwa nguvu unajifanya mwema kama malaika.Wacha wakung'utwe siku nyingine sio unamvizia Simba umuue anapokushtukia umeua watoto wake anakushambulia halafu unaanza kulia unaonewa.Na je waislael walipovamia wasingekuwa na nguvu ya kujilinda ingekuwaje Sasa hivi? Ngoja wawakomeshe hao Hamas wakae chini na Islael kimazungumzo sio kuwavamia kivita.Sasa unaleta kuwahutumia wachokozi? Mimi nifate kwangu univamie uone nitakachokufanya.hata kikuea na mafuta ya moto nitakumwagia uharibikiwe sura.Yaani utanyukwa usirudie tena.Sasa siku nyingine wataelewa kuwa mtu mzima atishiwi nyau.

  • @harrisonmakundi3223
    @harrisonmakundi3223 3 місяці тому

    Mwenye historia ni mungu mwenyewe hakuna kitabu chenye historia sahihi kuliko bibilia takatifu ambaye diye alfa na omega mwanzo na mwisho wa kila kitu .nikiwasaidia huwezi kujua taifa la Israel kama hujui historia ya abraham.baba wa imani amina.mwazilishi wa taifa la Israel ni mungu mwenyewe ni milki takatifu ya mungu mwenyewe duniani.

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 10 місяців тому

    Na Pharaoh (Ramsi Thani) pia alikuwa Gaidi wa Egypt😂

  • @mussammanga7791
    @mussammanga7791 10 місяців тому

    Waisraeil wepi?

  • @mombasa0076
    @mombasa0076 10 місяців тому

    WAANGALIENI VIZURI HAWA JAMAA NI WAPOTOSHAJI.

    • @BAYYINATDMTV
      @BAYYINATDMTV  10 місяців тому

      Kama ni wapotoshaji unaonaje na wewe ukaribishwe ili uje kupanyoosha palipopotoshwa? Tuma namba yako tutakutumia link.

    • @mombasa0076
      @mombasa0076 10 місяців тому +1

      utume link wewe ni kama nani hapo