AFISA ALIYE FANYA KIBURI MBELE YA MAKONDA AKIONA CHAMOTO MBELE YA WANANCHI ARIPULIWA PAPO HAPO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2024
  • #AdilTV

КОМЕНТАРІ • 163

  • @RevCharlesJPeter
    @RevCharlesJPeter 3 місяці тому +12

    Ingekuwa watendaji wote wangefanya kazi vizuri huenda kazi ya mheshimiwa Makonda ingekuwa ndogo sana

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 5 місяців тому +12

    Big up mh. Makonda 🙏🙏 unanipa raha sana wewe kaka!..

  • @user-uy8vp1fr7e
    @user-uy8vp1fr7e 4 місяці тому +5

    CDE. PAUL CHRISTIAN MAKONDA Anakipaji sana cha kuhoji. Mungu ametisha sana kumleta huyu.

  • @PromissGmtoto
    @PromissGmtoto 22 дні тому +1

    Daaaah 😢😢😢😢😢
    Mwenyezi mungu akulinde babaetu MKUU WA WAKUU WA mikowa

  • @omwanatyson6241
    @omwanatyson6241 Місяць тому +1

    I really love this man your doing a great work sir keep it up

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Місяць тому +1

    Mungu azidi kukutunza mtumishi wake...kwa mkono wa Mungu unatusaidia wanyonge wa nchi hii,
    Zaburi 35: 1..... ikakufunike wewe na viongozi unaoshirikiana nao, kwa jina la Yesu.

  • @GraceKakwene
    @GraceKakwene Місяць тому +1

    Kaka mungu akulinde na kazi yako nzuli

  • @user-yw7uu6mc3m
    @user-yw7uu6mc3m 4 місяці тому +6

    Makonda uko safi msaidie mama,halafu baadaye kamata mwenyewr kijiti charisma yako ni kubwa ya uongozi bwana yesu asifiwe.

  • @mudiyork7702
    @mudiyork7702 4 місяці тому +1

    Ni haibu sana kwa mtu yoyote kuto muanga mkono mheshimiwa mkonda. Big up na kama hunaipenda nchi yetu Tanzania na maendeleo basi mheshiwa makonda piga kazi naomba Allah akujalie maisha marefu na salama pamoja na Mama yetu Samia suluhu more love ❤❤❤

  • @josephmaroa636
    @josephmaroa636 4 місяці тому +4

    Mungu akulinde ndugu makonda❤❤❤❤❤❤❤

  • @MerinaPauli
    @MerinaPauli 2 місяці тому +1

    Kiukweri nh makonda umeiludisha ccm yetu chama chetu sasa kazi iendelee mungu akulinde

  • @user-vo1wo4lu4c
    @user-vo1wo4lu4c 5 місяців тому +6

    Makonda hoyeeeee mungu akutunze baba

  • @user-mf9tu4yu3p
    @user-mf9tu4yu3p 4 місяці тому +5

    KAZI NZURI SANA MAKONDA

  • @MasungaJooji
    @MasungaJooji Місяць тому +1

    Makonda pinga supana hao mafisadi mungu akunlinde nawenyehusuda

  • @Bushira-gi4wx
    @Bushira-gi4wx 3 місяці тому +2

    Endelea kuchapa kazi Mwamba

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 5 місяців тому +7

    Ma Hana majibu mpaka huruma, mambo kama haya kazini una bambikizwa tu na Wa kuu mda kama huu Wana kugeuka inakula kwako,

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 5 місяців тому +6

    Jamani mama anatia uruma sana bila shaka itakuwa wajanja wamemcholesha

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 5 місяців тому +4

    Aminaa👏 hakika hautakufa bali utaishi!...🙏🙏🙏

  • @lehayaabed7469
    @lehayaabed7469 5 місяців тому +7

    Makonda endelea kufanya haswa usitishwe na wananchi wasiojielewa Kwan ww nikiongozi kweli

  • @geofreykazaula7940
    @geofreykazaula7940 5 місяців тому +7

    Big up Makonda, nakukubali sana, kweli Mama akae atulie wewe piga kazi.

  • @rahmarama5669
    @rahmarama5669 4 місяці тому +2

    Hakika huwezi kufa kwa kupambania Haki ya wengine,Live Longer Makonda

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 3 місяці тому +2

    Genius makonda

  • @msafirimfilinge8222
    @msafirimfilinge8222 5 місяців тому +5

    Mama anakiburi huyo!😂😂😂😂

  • @SarupiiMuster
    @SarupiiMuster 2 місяці тому +2

    Makonda nihatali makonda fanya uje kwamgwe wilaya yahandeni bara bara hatuna aisee

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 Місяць тому +1

    Mnang'ang'ania uongozi halafu kutekeleza mambo ya nchi na wana nchi mnaleta leta utapeli

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 4 місяці тому +3

    Makonda ana kula raha kwakweli

  • @user-nc1fy9dt6r
    @user-nc1fy9dt6r 2 місяці тому

    Uko sawa Makonda Mungu akutangulie

  • @user-if9gi2rx8f
    @user-if9gi2rx8f 4 місяці тому +3

    Makonda amekuwa jaji police mwanasheria takukuru mwenyekiti wa Kijiji mratibu nk hii ndio bongo

    • @user-ct4vj9gg6w
      @user-ct4vj9gg6w 4 місяці тому

      Ww ulitaka awe nani uyo anatekeleza ilani ya chama punguzeni unafiki

    • @user-mc6zk5wj8p
      @user-mc6zk5wj8p 4 місяці тому

      Unataka makonda afanye kazi gani ? Akili huna kabisa kichwa maji

  • @MahmoudTwalib
    @MahmoudTwalib 3 місяці тому

    Namkubali Sana muheshimiwa makonda mungu amuwake mile na milele

  • @abduawesu9165
    @abduawesu9165 4 місяці тому +3

    Makonda ndie Rais wetu wa baadae.

    • @davidkiula429
      @davidkiula429 4 місяці тому

      Hakika upooo sahihi kama mimi nionavyoo

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 Місяць тому

    Makonda deal na kina mama in a soft way. Kina mama hao ni viumbe dhaifu

  • @RhodaAmasha
    @RhodaAmasha 29 днів тому

    Kwa kweli makonda anafaa sana

  • @AbduKalimu
    @AbduKalimu 5 місяців тому +2

    Yaan nashindwa niseme nn ,makonda jiandae tukupe urais,

  • @thadeos-hu3wj
    @thadeos-hu3wj Місяць тому

    Big up brother

  • @jonathanyotham6222
    @jonathanyotham6222 3 місяці тому

    Big up makonda
    Nakupenda sana

  • @WinifledyMbugi-ur1hq
    @WinifledyMbugi-ur1hq 5 місяців тому +2

    Makonda anakubarika kila kona nchi nzima

  • @AminaMwakapotela-hr1mq
    @AminaMwakapotela-hr1mq Місяць тому

    Nimeimpenda hapo🎉😮😊

  • @RhodaAmasha
    @RhodaAmasha 29 днів тому

    👍👍👍

  • @christopherclement4159
    @christopherclement4159 Місяць тому

    Mungu ni mwema

  • @ibrayomapenzi7048
    @ibrayomapenzi7048 4 місяці тому

    Adili tv for life

  • @user-gr9hq8ki4u
    @user-gr9hq8ki4u 4 місяці тому

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 5 місяців тому +2

    😂mitume imetokea mbea

  • @user-oz3vh3gm5k
    @user-oz3vh3gm5k 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 4 місяці тому

    Hakika kz ipo, Afisa utumishi hajui uhamisho wa watumishi wakati yy ndoo mwenye Mafaili yote ya watumishi, hata Afisa utumishi wa Wilaya hawezi kuhamisha bila wa Mkoa kufahamu, ni uzembe au kutajua wajibu wake.

  • @Sunrise-xp9ym
    @Sunrise-xp9ym Місяць тому

    Kazi inaanza tena

  • @user-fd7pp1eu5s
    @user-fd7pp1eu5s 5 місяців тому +4

    Mmh

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 3 місяці тому

    Makonda❤❤❤❤

  • @VeronicaMsenga
    @VeronicaMsenga Місяць тому

    Makonda 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @Oscar-qs7tn
    @Oscar-qs7tn 4 місяці тому

    Hongera Sana mama Kwa kulinda kiapo chako

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 4 місяці тому

    Makonda ni Mpumbavu.
    Huyu mama hawezi kuamliwa na msemaji wa Chama.
    Hizi ni drama tu....😂😂

  • @MauaHaji-ur4ln
    @MauaHaji-ur4ln 4 місяці тому +2

    Makonda ❤❤❤❤

  • @josephjacob6054
    @josephjacob6054 3 місяці тому

    Fanya Kaz mtumishi wa mungu

  • @user-in6sv4gh5u
    @user-in6sv4gh5u 28 днів тому

    Kila nikikutazama kaka naiona pcha ya magifur

  • @faustinthomas9551
    @faustinthomas9551 3 місяці тому

    Dooo!!huyu mama kunawatu wanampangia haamui mwenyewe

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 5 місяців тому +3

    Tanzania ni shida. Hao wanaapa kulinda na kutotoa siri za serikali.

  • @al-bleproshooteur1922
    @al-bleproshooteur1922 Місяць тому

    🎉

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s 3 місяці тому

    Watanzania ni mazombi kushangilia ujinga wa makonda kwani yeye sio mamlaka ya kumnanga mtumishi kwa mjibu wa Shelia za kazi

  • @AmriMzeru
    @AmriMzeru 4 місяці тому +1

    Jamani kuhama ni haki ya mtumishi,iwe ana sababu au Hana sababu

    • @VeronicaAdam-lx8yd
      @VeronicaAdam-lx8yd 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂 had mtu kuham kunashid ten kubwa san

  • @user-hc3px3oq1l
    @user-hc3px3oq1l 4 місяці тому +1

    mi kwa mawazo yangu atumbuliwe tu maana hilo ni jipu

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 Місяць тому

    Hii ni mbwembwe kwaajili ya kura, save this.

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 4 місяці тому

    mama huyo ni mjinga kama ma ccm wenzake hilo ni tatizo lao wakoloni weusi ccm

  • @charlesnyao8970
    @charlesnyao8970 4 місяці тому +1

    Mimi ni Mkenya ila nafuatilia mambo ya Tanzania.
    Makonda fanya kazi.
    Magufuli style

  • @npiperito19
    @npiperito19 4 місяці тому

    Tz mbele, ila sisi mosambique akuna cheriya, na laiti kama tungekua na cheria izo, angalau tungekaa na amani🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @user-pe8wh5bw2h
    @user-pe8wh5bw2h Місяць тому

    Viongez wote wangekuwa km makonda nchi inaendelea sn yani nijembe kuliko majembe yot nakuaminis sn

  • @RevCharlesJPeter
    @RevCharlesJPeter 3 місяці тому

    Na mheshimiwa anamwambia wazi kuwa "najua mengi kuliko wewe". Hapo pagumu sana

  • @JojiVedastusi
    @JojiVedastusi Місяць тому

    Makond tunakutegemea bab gombea ulais baba unastair bab

  • @davidkiula429
    @davidkiula429 4 місяці тому

    CCM namuomba MUNGU sanaaa hiii inchi apewee Paul makonda, Sina maana wengine hawafaii no ni mtazamo wangu tuuu nachukia sanaaa watu ambao wanaharibu taswila sahihi ya nchi hiii, maana Kuna watu wameteuliwa kwenda kumsaidia Rais Kazi cha kushangaza wanatenda yao binafsi kiukweli nawachukia sanaaa tenaa sanaaa

  • @mariamngorongoromaria6634
    @mariamngorongoromaria6634 5 місяців тому

    Watumishiiiii mh

  • @user-vl8nz4uv6k
    @user-vl8nz4uv6k 3 місяці тому

    Makonda mbona mkoa wa pwani aufiki?

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 5 місяців тому

    Binaadam wabaya sana

  • @athumanmnguruta338
    @athumanmnguruta338 4 місяці тому +1

    Tunaomba picha ya mhalifu iivutwe tumtambue

  • @user-pe8wh5bw2h
    @user-pe8wh5bw2h Місяць тому

    Akae kwa kutulia pambn baba

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 3 місяці тому

    Ujue sijui viongoz kama hawa wanapatikana kwa njia gani kiongozi jeuli kiasi hicho au wanapitishwa na mabwana zao wanao waweka madarakani na kila maamuz wanawasikiliza mabwana zao

  • @wallacekikaho1509
    @wallacekikaho1509 4 місяці тому

    Mama kulinda kiapo cha utumishi wake

  • @davidkiula429
    @davidkiula429 4 місяці тому

    Hasa hawa ma RC, wakurugenzi, DC pamoja na baadhi ya mawazili kiukweli sio waadirifuu kabisa na hawamtakiii mema mheshimiwa Rais

  • @Nyasasorpfamily
    @Nyasasorpfamily 4 місяці тому

    Watu kama hao ndio wanatuludisha nyuma kwenye taifa hili

  • @Nashohaule
    @Nashohaule Місяць тому

    Nawengine wajiandae

  • @JoweriJowerimariko
    @JoweriJowerimariko Місяць тому

    Joweri

  • @mohamedmatewele9185
    @mohamedmatewele9185 5 місяців тому +4

    Hapo makonda alikosea sana

  • @user-im4jv9he2t
    @user-im4jv9he2t 4 місяці тому

    Makonda unafeli wapi?kakuambia boss wake ndie mwenye uamuzi

  • @user-bd9ms4pg9z
    @user-bd9ms4pg9z 4 місяці тому

    Taarifa itv

  • @HashimYahya-ic2wn
    @HashimYahya-ic2wn Місяць тому

    Makonda nitumie namba yako nikutumie mirioni 3

  • @user-mg6qd7si5c
    @user-mg6qd7si5c 4 місяці тому

    Kweli Mheshimiwa Hao ni Mchwa Kabisa

  • @user-ic4zo2pj8v
    @user-ic4zo2pj8v Місяць тому

    Duuh

  • @user-dw6bk7sy2n
    @user-dw6bk7sy2n 4 місяці тому

    Jamani makonda nakupenda bure

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 місяці тому +2

    Mungu akupe ulinzi, maraika wakuzingire, roho mtakatifu akuvae miguuni mpaka kichwani🎉🎉🎉

  • @user-yk5gm5qj4u
    @user-yk5gm5qj4u 4 місяці тому

    Mkuu makonda serikali Kuna vilaza sasa afisa utumishi hajui mmmmh hafai

  • @gastonbiyagwa9061
    @gastonbiyagwa9061 4 місяці тому

    Katiba mpya ni muhimu.haya mambo ni uzalilishaji

  • @HelmanIsaac
    @HelmanIsaac 3 місяці тому

    Ulitumia cheo kama fimbo makonda wangu

  • @magekanyika7014
    @magekanyika7014 Місяць тому

    makonda uongoz wako unafaa tunaomba utembelee na rungwe

  • @davidnguma6655
    @davidnguma6655 4 місяці тому

    huy dada mpigaji pia,,,,,,

  • @modestalois2535
    @modestalois2535 3 місяці тому

    Mtu mwenye akili timaru huwezi zungumzia tetesi

  • @user-lg8rs2br6g
    @user-lg8rs2br6g 4 місяці тому

    Tanzania nakuja

  • @user-pe8wh5bw2h
    @user-pe8wh5bw2h Місяць тому

    Patamu hapo

  • @keffaonchiri7813
    @keffaonchiri7813 3 місяці тому

    Makonda hoyeeeeeeeee!

  • @user-bs4dx5so3q
    @user-bs4dx5so3q 4 місяці тому

    Makonda Fanya kaz

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 2 місяці тому

    Vibaka wengi awamu hiiii

  • @Fatuma-io6xg
    @Fatuma-io6xg 5 місяців тому +2

    T

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara8845 3 місяці тому

    Hilotatizo lipo inchizima mashure yote hasa yamjini kunamichango yakuchangisha wanainchi eti masomoyaziada usimamazi waserekari nimbovu sanna

  • @edwinmaruchu5566
    @edwinmaruchu5566 4 місяці тому

    Eti wanawake wanaweza nyambafu.