Mh. Makonda hongera wanakupinga kwasababu unauwazi ,unasaidia wanyonge na Tanzania yetu haipendi kuambiwa ukweli uwe mvumilivu Mungu Yuko pamoja na wewe na akulinde na watu wabaya endelea kusaidia wanyonge
Makonda anafaa Sana yaan Zaid ya mahakimu. Anafaa Sana kuwa raise sema tu wanasiasa majambaza Kama kina lisu wanamsakama sana.makona nikiongozi mkubwa sana
Mungu awassidie wote viongoz mnaowasikiliza mayatima ,masikin,wanyonge kama mm mungu mbariki makonda ila makonda mwambie chalamira naye atusikilize watu wake wa dar es salam
Kalama za mzee magufuli walahi zipo kwa makonda, asante ayati magufuli kwa kutuachia kiumbe japo chakufuta machozi kwa uchache watz,, makonda unanikosha sana ila Raisi wako apana!!! We nikiongoz bora ila Raiss wako ni bora kiongoz simfagilii mwanangu,, na uyu mtendaji ni wakuigwa walahi
Makonda ndie anapaswa kua raisi wa jamuhuri ya muungano wa tz baada ya Samia hasani suluhu naripoti kutoka pasua Moshi Kilimanjaro hii imepita bila kupingwa
Jamani watanzania wenzangu nimefatilia sana, lakini nasukumwa kusema kitu. Nitakao wakwaza Wanisamee, Najiuliza maswali mengi sana, je Viongozi WETU wa ngazi zote waga wafatilia utandaji wa Mdogowangu makonda, ?.
Mungu wa Ishara na Miujiza hajawahi kuwaacha watu wakarimu..
Hakuna hasara kwenye kutenda mema na uaminifu.
Hongera sana Mtendaji kwa kupanda cheo❤
Mungu akulinde kipenzi cha watanzania
Makomda Muntu wamungu namupenda miye niko Murundi rakini napenda Uyu Baba❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Nakupenda bure makonda Allah akuzidishie inshallah
Huyu mtendaji naamini mama anamuona. Uteuzi zaidi unamuhusu hata uwaziri.
Uwaizir mpaka awe mbunge nawew
Mungu ni wa Milele...kila mtu anafungu lake..Hongera sana Mtendaji
Wakati wa bwana niwakati sahihi blessed Much Mheshimiwa karbu na Mwanza
Mungu ni mwema mtendaji kata kapandishwa cheo ila Mingu alipanga iwe hivyo❤
Mungu akuweke sana makonda
Huyu mtendaji ana akili sana anajua kujieleza na anajua anachokifanya
huyu Mtendaji anajua anachokifanya,, anafaa kua kiongozi hata katika ngazi ya mkoa👏🏻👏🏻👏🏻
Wema na uaminifu unalipa hongera kwake kijana Mungu amemuinua
Mungu ni mwema
Mgogoro wa mzee umempandisha mtu cheo. 💯
Mungu akikupandisha bana ni muda wowote
Kabisa yaani
CHANGAMOTO HULETA FURSA
Anatakiwa mshahara wa kwanza kabisa wa cheo Kipya ampatie mzee hata nusu ya mshahara wake kwa mimi ningefanya hivyo
@@HawaSwaleheh yaan sio poa ksa
Acha kabisa ... kila jambo jemaa lina lipaa 😢😢😢
Brow makonda big up
Yaani Mheshimiwa Makonda yuko juu nampendaga sana Mungu azidi kumulinda siku zote za uhai wake.
@@Fortunefamilyyy makonda Ni Zaid ya jaji mkuu
Mh. Makonda hongera wanakupinga kwasababu unauwazi ,unasaidia wanyonge na Tanzania yetu haipendi kuambiwa ukweli uwe mvumilivu Mungu Yuko pamoja na wewe na akulinde na watu wabaya endelea kusaidia wanyonge
Wow Mungu mwema hongera afsa
Kazi nzuri mweshimiwa makonda
Nyie watu endeleeni kuwa waaminifu Mungu anainua
Mungu wa mbinguni aendelee kumsimamiia Makonda. He is a true definition of the leader
Makonda is over working
Ma Shaa'Allah
MUNGU Amekuongoza na hili jembe hana tofauti na utakavyo mungu awabariki kuwatumikia wananchi
Makonda nakukubali sanaaaaaa
Makondo ni mtu smart sana
MASHAALLAH ALLAH AMZIDISHIE KHEIR ZAID
Nimependa sana hii Mh mkuu wa mkoa ❤❤❤
MashaAllah safi sana
Hii nimeipenda Muheshimiwa..
Mh.Makonda kongole sana nakuelewa sana , one day i wish you will be our next president. Utatufikisha mbali sana mtetezi wa wangongee.
Makonda anafaa Sana yaan Zaid ya mahakimu. Anafaa Sana kuwa raise sema tu wanasiasa majambaza Kama kina lisu wanamsakama sana.makona nikiongozi mkubwa sana
Asante makonda
Mungu akiamua kukupandisha hakuna wa kukushusha🙏
Yaan makonda dahhh!! Sijui tukulipe nn kwa wema wako. Mungu akulinde mdogo wangu mh! Rc.
MUNGU NO MWEMA KILA WAKATI, KUNAFAIDA KUMTANGULIZA MUNGU, MAKONDA MUNGU AKUINUE
Manshalah manshalah manshalah mungu azid kuwapa afya na uzima makonda na huyo aliepandishwa cheo
Hakuna mtendaji wa ivi congratulations
Kwenye jambo la mungu halichelewi
Mungu yupo sana
Wema ni hazina kwa mungu
So impressive 🙂🙂
Mmm!! Wema ni akiba hongera myendaji
Mtendaji ni very bright na anajua kuelezea kama lecture
Safi sana hakuna watendaji wa hivi
Good job🎉 👌👌
Hongera sana mkuu wa mkoa makonda shikamoo mpina
Mungu awassidie wote viongoz mnaowasikiliza mayatima ,masikin,wanyonge kama mm mungu mbariki makonda ila makonda mwambie chalamira naye atusikilize watu wake wa dar es salam
Mtendaji Safi sana
Ongera sana
Mungu azidi kukubariki na kukupa ulinzi wa kimungu mheshimiwa
Hongera sana mtendaji..na mkuu wa mkoa umefanya jema kumpandisha cheo safi sana
Makonda namini tunakucherewesha kaka apo ulipo ninaimani na ww unaweza kuiongoza nchi yetu
See god😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽Hongera sana bro 😊
Heeeeeeee is very BRIGHT SO KICHWA MAJI WALAI 🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Mimi ni miongoni mwa watu wa maombi ninakuombea sana uhai mrefu uje utawale Tanzania nzima
Uyu jamaa si kusema anaakili sana hapana ila nimfatiliaji mzuri wa anaowaongoza nimempenda bule kabisa
MUNGU HUYUUU,,ACHENI AITWE MUNGU🙏🏻
Ameeeeen.
Uwaminifu mzuri,haki uinua taifa
Mtendaji apewe mauwayake
Mungu aendelee juju kinda babawawanyonge
Hoyooo makonda tunakuhitaji na huku kenya 🇰🇪
Wanikumbusha Magufuli🎉
Hongeraa mkuu WA MKOA Kwa kumuona mtendaji anajuaa kufatilia na kutatua migogoro ya ardhi pia anajua kujieleza.
Makonda nimerudi tenaaaa, nasemaje? Yaani wewe, wewe makonda wewe! Popote alipo Rais naomba mpeni hii msg, naomba Makonda abaki Arusha mpaka jiji libaki safi. Makonda hongera sana.
@@MagrethMallya-we8ui Jumbe yako ni muhim sana✍️✍️✍️✅✅✅✅
Asante kwa kazi mzuri mweshimiwa makonda MUNGU wa mbingu na nchi akubariki
Yani kijana kanyooka mpaka hadi raha, any way usikate tamaa uliepo duniani Mungu mda wowote unakaa juu. Kaa imara mda wote 🎉
wakati wa Mungu, kila la heri Mtendaji.
Mtendaji miaka mingi kazini ila haleti mazoe na sehemu ya kazi
Yuko vizuri tungekuwa nawatemdaji wafuagiliaji kama huyu matatizo yangekuw yanaisha ,makonda hoyeeee!!
Nmeamini waaminifu na waadilifu hawana hasara mbele za Mungu. Malipo yao yapo hata kama yakichelewa
Hatari Makonda MUBGU anakuona
Makonda uko sawa
Makonda hadi usiku unarikiwe sana
Mungu akutunze sana.amen Mr nkini. Mwenye haki wangu ataishi kwa amani.Amen
Chapa kaz baba t 2:41 mungu aenderee kuku tetea 3:14
Wonderful
R.C Makonda the Best
Kwa wale wasomaji wa Biblia,tuseme ni Daudi ameitwa machungani,1samwel 16:1-13
Safi sana
Wema ni akiba,na hiyo ndiyo faida ya kutenda wema
Leo mtendaji anainuliwa kwa sababu ya wema wake alioutenda awali.
Waaaaoo mungu akubariki makonda utukufu kwa muumba yote Amen
Great
Hongera sana❤❤❤
The guy deserve it ...kazi nzuri mtendaji anapenda hakii kwelii
Ukweli cku zote unauma
Kalama za mzee magufuli walahi zipo kwa makonda, asante ayati magufuli kwa kutuachia kiumbe japo chakufuta machozi kwa uchache watz,, makonda unanikosha sana ila Raisi wako apana!!! We nikiongoz bora ila Raiss wako ni bora kiongoz simfagilii mwanangu,, na uyu mtendaji ni wakuigwa walahi
Makonda ndie anapaswa kua raisi wa jamuhuri ya muungano wa tz baada ya Samia hasani suluhu naripoti kutoka pasua Moshi Kilimanjaro hii imepita bila kupingwa
Makonda Baba..!!!!
Madonna hoyeeee🔥🔥👏👏👏
Jamani watanzania wenzangu nimefatilia sana, lakini nasukumwa kusema kitu. Nitakao wakwaza Wanisamee, Najiuliza maswali mengi sana, je Viongozi WETU wa ngazi zote waga wafatilia utandaji wa Mdogowangu makonda, ?.
God
Natamani makonda uwe waziri mkuu
Nmeanza kukufatilia mda sana na nmekukubal rasmi leo
Natamanisana sikumoja makonda awe wazuri wa mambo ya ndani naaminikinakitu kizuri tutakipata
Tulio analia mara nyingi tujuane
😮Kamanda, mbona unashika shika hivyo vitu bila gloves za kujikinga kwa madhara yanaweza kujitokeza?!
Mungu akulinde sana
👏👏👏👏👏
Mbona mambo haya huwa mnayafanya kipindi cha kampeni tu
🎉🎉🎉
Kwakweli nampenda sana makonda mm naomba mungu japo Dua yangu itachelewa lakini ipo siku ww utakua raisi
Makonda baba amia chadema