Kwahio miaka 20 alio kua mwenyekiti wa kitongoji na mi Tano alio kuwa Diwan Bado hamkujua kama sio raia au ni raia 😅😅😅TUNACHEKA ILA SIO YA KUCHEKA INAUMIZA SANA😢😢
Makonda ndio rais ila ingekua kila mwaka iwekwe miezi malum ya kusikiliza kero za watu sio mpaka iwe uchakuzi itakuwa wanaogopa kutumbuliwa kutakua na haki na uadilifu
Hii ndo tatizo la mkoa wa kigoma kila mtu ni afisa migration ndo mana mkoa upo nyuma na wilaya zake zote zipo nyuma alafu chahajabu nimchaganyiko wa inchi mbili .
Makonda chapa kazi hata malaika ALIZAWA Haki nisawa na mathematics ukienda tofauti latina ukose majibu respect Sana Sana Mukubari ushauli kutoka Kwa Wananchi wenu napale utakapo ona mkojuu basi uskubali ushuke bila kujua shida nini Nchi yenye Amani ni Tanzania basi wale wanao Kuja Kwa manufaa Yao binafsi basi wafukuzwe Kaz au kufuta kabisa vyete vyao TENA IFANYIKE IKIWA WAPO KWENYE MAJUKWAA YA MIHADHALA WAZIWAZI
Lazima ichunguzwe maan watu wanchi nyingine kuw ktk madaraka ni rahisi kutuletea vita katk nchi yetu maan watakuwa watatoa siri za nchi hata lugha inaonekana haipo sawa n ndugu yake hapo unamsikia lugha
Kweli RUSHWA ni ADUI wa HAKI. "Uchunguzi unaonyesha sio raia " swali je wewe kama ni afisa uhamiaji huyu ni raia au sio raia "Siwezi kutoa majibu" Je hapo kuna harufu gani neno ni moja tu TUWE WAADILIFU KATIKA MAJUKUMU YA KULITUMIKIA TAIFA. Tanzania kwanza.
I salute you mako nda you are the man of men🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Makonda oyee love from Burundi
Mh. Paul Makonda hongera sana Mungu akupe nguvu na hekima hakika narudia hakika umetenda vyema 🙏
Kwahio miaka 20 alio kua mwenyekiti wa kitongoji na mi Tano alio kuwa Diwan Bado hamkujua kama sio raia au ni raia 😅😅😅TUNACHEKA ILA SIO YA KUCHEKA INAUMIZA SANA😢😢
lpk la ok f get for l ok
Mungu akubariki Makonda naona Mungu anatuponya majeraha ya Baba kuondokewa na baba yetu mtetezi wawa nyonge
Arusha makonda leo 😊
Mungu akulinde raise wa baadae Mungu akupe umri mrefu
Mweshimiwa Makonda mwenyezi mungu akupe umli mlefu
Mweshimiwa makonda hongera yako kwakuwa saidia wananchi mungu akujalie maisha marefu
Makonda kazi unafanya hongera sana 🔥🔥🔥🔥
Mh. Makonda mwenyezi Mungu tunamuomba akutunze uzidi kusaidia wanainchi Hakika tuna farijika sana mungu ametuletea mkombozi
Makonda anatufariji, watanzania hii ni huruma ya mungu. Tumkumbuke JPM WETU.
Tuna kukubali sana Ndugu Christian Makonda.wew Jembe kabisa.
Kwa kweli makonda mungu akuweke nakupendaas sana
Mungu akulinde raisi wetu wa baadaye ❤❤❤
Makonda 2025 Ugombee Ulais Kula yangu Ipo Nitakupatia Ishahallah
Nakubali
Hongera Makonda shujaa magufuli amefufka kwa mara Tena maradufu
Makonda kazi nzuli.
mungu akutie nguvu baba ww umezaliwa umeumbwa unahuluma baba njoo kwetu kologwe tanga baba tunateseka 28:34
Makonda 🎉🎉🎉🎉🎉 yako hiyo mungu akubariki
Tanzania mko sawa kabisa ..hope we had this in Kenya
Makonda chapa kazi malaika nae ALIZAWA❤
Apa kweli magufuli amefufuka ongela makonda 👏💪(from Malawi)
Hakika
Kweli makonda mungu amutuze daim
Jamani kumbe hukokunamadudukweli
Makonda mungu akulinde kazi unaweza
Asante akuna haki ndani ya ccm
Hongera bb sema tupone
Salut makonda
magufuru wa pili fanya kazi baba mungu akupe cheo uwe rais
Walane wao kwawao
Makonda tutor kilio tunacho kulilia watanzania wema tunaokupend SEMA bas
Yaan hawa Wana nchi,walikuwa wap kusema huyo co raia Wa Tanzanian,,,,,,hiyo sio kwel,,waache wivu,,,makonda simamia hak
Woooooo😊
UYOOOOO NWANAMKEEE JAIBFWAAAA LOOOOOO. AFUKUZWEEE KAZIIIIIIIU. MWIZIIIIII SANA HUYOOOO
Napenda kweli mnayo yatenda huko kwanini hukumikoani hayapo,huku hakuna watu kama nyie kuna mambo mengisana yanaendelea huku
29:02 Mh. Poul makonda ilikuwa ngumu sada kukuelewa ila Mungu akupe Nguvu na akuepushe na tamaaaaaa
The spirit of JPM.
Kila kiongozi na aelee na ajae kwe nafasi yake🤗🤗 ila wengi wao wanazama kabisa 😄😄
Uongozi wa nchi hii haufuati sheria bali ufuata maelekezo hakuna litakalobadilika chini ya Uongozi wa ccm uovu umekuwa tabia ya serikali ya ccm
Ukitaka kuendelea kuwa uongozi ndani serikali ya ccm ukubali kuwa mungo na fisadi
Hakuna jipya ndani ya ccm
Kweli serikali isiyowajibika na watendaji wabovu kero tupu nchi nzima
Makonda na misheni ya kupata kura 2025 hakuna mwenye mpango na maisha na umaskini wa watanzania
😂😂😂😂😂😂 Nakuombea makonda uichi myaka myingi😂❤❤❤
Mungu akulinde my brother Paulo Makonda ,pigs kazi Kaka tunaimani kubwa Sana na wewe .
Ilove u makonda❤❤
makonda mungu akulinde
hapo sawa
Mungu azidi kumjalia bwana po makondaaa uyu atatusaidia mbeleni
Ukiwakuta wako uko maofifsini sasa utafikiri wanamilkini sayari ya mars,kumbe wako earth,
Tumeyazoea kwetu mwenyekiti wa Kijiji chetu alitutangaza familia yetu si raia kwa sababu tu mzee kagombea asichezee Mali yake
Aibu.ya makongo
Ukweli nawoo lazima mseme 💯💯
Jeshi
Makonda ndio rais ila ingekua kila mwaka iwekwe miezi malum ya kusikiliza kero za watu sio mpaka iwe uchakuzi itakuwa wanaogopa kutumbuliwa kutakua na haki na uadilifu
Nahisi akija huku atasikia kero zetu na utatuzi utapatikana hongera makonda msaidie mh rais
Nchi hii pasua kichwa Tu,Mungu amlinde makonda,tatizo raia hawana namba za Makonda,mwenye namba ya Makonda aitowe
Wanyama poli
Uyo mwenye cm ya itel
Ni kawaida ya nchi hii kuwazushia watu siyo raia
❤❤❤❤
Hongela kwakazi unayoifanya kwawanao nyimwahaki mungu akulipe nitazidi kukuombea
Wakamizaji aooooooo
Eti masufulia au sahani 😂😂 😂
🎉🎉🎉🎉❤
Kuna mwananchi
Anachombeza😅
Kifo cha babu sea
hii barabara ikachekiwe jmni...Muenezi wa sasa alishughulikie kwa haraka sana. hiii ni nchi yetu sote..chekini hii barabara tupewe majibu HARAKAAA!!
Hili zoezi raisi alipigie mhuri Kila mwaka liendelee hawa wanao wanao ichakachua serikali watakuws na hofu yakulitumikia taifa
Mm naitaji
Nimeangalia huyu anaye piga makofi aliye vaa nguo za ccm nimegundua jambo flani mwisho akipiga makofi Kuna ........
Mabakuli...ma sufuria😂😂😂Makonda tunakuombea uje kuwa rais❤
Muenezi njooo kiteto nakuomba Kuna migogoro imezidi sana
Mwanasheria anaonewa hayo maswali walitakiwa wajibu Watu wa Uhamiaji
Kuna jamaa anaongea sna yni 😂😂😂 yupo pembeni ana kihelehele
Makonda chapa kazi bb
Hii ndo tatizo la mkoa wa kigoma kila mtu ni afisa migration ndo mana mkoa upo nyuma na wilaya zake zote zipo nyuma alafu chahajabu nimchaganyiko wa inchi mbili .
Mimi namupenda makonda Kaka baba yagu
Niamby
❤
Makonda chapa kazi hata malaika ALIZAWA
Haki nisawa na mathematics ukienda tofauti latina ukose majibu respect Sana Sana
Mukubari ushauli kutoka Kwa Wananchi wenu napale utakapo ona mkojuu basi uskubali ushuke bila kujua shida nini
Nchi yenye Amani ni Tanzania basi wale wanao Kuja Kwa manufaa Yao binafsi basi wafukuzwe Kaz au kufuta kabisa vyete vyao TENA IFANYIKE IKIWA WAPO KWENYE MAJUKWAA YA MIHADHALA WAZIWAZI
1985nyasanga 26:16
Icho Kiswahili hata kama yy ni foreigner apewe tu uraia!..🇰🇪🇸🇴
Wanahongana rushwa ya ngona hao wanaubaguzi
Kasuru ishugulikiwe haki wanateseka sana wala tunawaombea sana
Majaliwa
Akuna mtu wapo wa huamiaji akikuangalia tuu anajua
Lazima ichunguzwe maan watu wanchi nyingine kuw ktk madaraka ni rahisi kutuletea vita katk nchi yetu maan watakuwa watatoa siri za nchi hata lugha inaonekana haipo sawa n ndugu yake hapo unamsikia lugha
Daaaa awaviongoz ndio wanao takiwa katika kujenga taifa
🙏🙏🙏🙏💅🙏
CCM ni nzuri sana lakini ndan yake kunawatu hatari sana wabaya
Yani magufuli alivyo kufa watu wanakelo makonda baba fanya Kanzi tunajua magu kafufuka
mwamba
Hatar sana
Cc juu
MAKONDA JESHI LA MTU MMOJA KTK UBORA WAKE.
Kweli RUSHWA ni ADUI wa HAKI. "Uchunguzi unaonyesha sio raia " swali je wewe kama ni afisa uhamiaji huyu ni raia au sio raia "Siwezi kutoa majibu" Je hapo kuna harufu gani neno ni moja tu TUWE WAADILIFU KATIKA MAJUKUMU YA KULITUMIKIA TAIFA. Tanzania kwanza.
Dada yuko vzur
Uyu makonda no mchapakaz
Mwacheni azeni na mwinyi sio mzanzibar
Kasuru hakuna viongozi niwezi tuu yani majambazi sugu 😂😂😂😂😂😂
Ww itamakondatuu😂😂
Makonda Wewe njembe
Kaka pambana
Hapo makonda alikua anabbishana na propaganda team kasoro huyo mdai haki
Star wangu ni makonda
Kabura ya makonda arikuwa nani??? Sitara wako
MAGUFULI @@khadjamhozya